'Halima Mdee akamatwe na Polisi akiwa na pingu na aletwe Bungeni' -Spika Ndugai

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 286

  • @wilsonkaseha2034
    @wilsonkaseha2034 7 ปีที่แล้ว +2

    safi sana speaker, nakuunga mkono kwa hilo! mambo ya kutukana tena hata vijiweni siku hizi unaweza yakosa! utukufu wa bunge uko wapi sasa!

  • @raphaelluhemeja6836
    @raphaelluhemeja6836 7 ปีที่แล้ว

    ....Asante ndungai na awe mfano kwa wabunge wengine wenye tabia kama zake make kuna wabunge wanatafuta umaarufu kwa kufanya mambo ya ajabu ambayo ni kinyume cha maadili ya taifa letu na mapenzi ya mungu kwa ujumla. AMINA

  • @zenamshana6852
    @zenamshana6852 4 ปีที่แล้ว +2

    Ndugai anahekima Sana mungu ampiganie spika wetu

  • @cristinamrema5274
    @cristinamrema5274 7 ปีที่แล้ว +2

    Thanks Millard Ayo

  • @joycesimon8115
    @joycesimon8115 7 ปีที่แล้ว

    mheshimiwa spika pole sana mungu akupe ujasiri wa kutosha ili ulimudu bunge hili wengi ni vijana ambao wanatanguliza jazba bila kupima yanayotoka kwenye vinywa vyao

  • @jenyyusuph4973
    @jenyyusuph4973 7 ปีที่แล้ว +3

    tumesikitswa sana spika wetu nakuombea mungu akupe saburi simchezo kuwasikiliza hao wabunge.

  • @hawawezidianakukushusha756
    @hawawezidianakukushusha756 7 ปีที่แล้ว +4

    safi sana Mh spika huyu halima wewe ni sawa na babake anatakiwa awe na ukomo wa maneno so kuropoka tu na alivyo na jisauti ka chura

  • @thetreasure2230
    @thetreasure2230 7 ปีที่แล้ว +3

    Spika mzuri hivi halafu mnashindwa kumtumia vizuri. Ngoja mletewe yule mama wa Kinyakyusa Dr. T.A.M awanyooshe.

    • @mujwasteven
      @mujwasteven 3 หลายเดือนก่อน

      Ulijuaje mkuu

  • @ريهامالسريري-ل1ص
    @ريهامالسريري-ل1ص 7 ปีที่แล้ว +20

    safi sana spika laazma uwe na msimamo ningeshangaa kuona mmelinyamazia

    • @mkunderade4626
      @mkunderade4626 7 ปีที่แล้ว +1

      افلح السريرس nahisi hata Julia baba naomba hekima iwe zaidi moyoni mwako

  • @maryammaryam-jp2zg
    @maryammaryam-jp2zg 7 ปีที่แล้ว +3

    kha kweli spika ni falaaaa

  • @graciousjerry1322
    @graciousjerry1322 7 ปีที่แล้ว

    safi sana Mh Ndungai huyo dada siku zote hanaga adabu adi mtaan kwake anajiona yeye ndo yeye kamaliza kila kitu dunian hajui kuwa cheo dhamana! waliompandisha ndo hao hao wanaweza kumshusha! mfungen pingu za mikono na miguu huyo dada ad pingu za mdomo kama zipo ajifunze!! mfyuuuuu

  • @shakilamasoud8979
    @shakilamasoud8979 7 ปีที่แล้ว +6

    safi sanaaa. wa ache ujinga wao

  • @gilbertjuma660
    @gilbertjuma660 7 ปีที่แล้ว +2

    safi sana job

  • @mamarama6360
    @mamarama6360 7 ปีที่แล้ว +4

    safi sana Halima ana chonga sana ajui kama madomo unamchongea kichwa

    • @mkunderade4626
      @mkunderade4626 7 ปีที่แล้ว +2

      Bim Khamid yaani baba wawatu anaongea hadi nalia.tusamehe baba

  • @hassankayla4076
    @hassankayla4076 7 ปีที่แล้ว

    Safi sana nimefurahi kusikia sauti yako Spika wa bunge lazima awajibishwe kazidi kuropoka, mdomo unaponza kichwa na hv ana sauti ya peke yake akiongea tu kila mtu anajua amelopoka

  • @yohanamolel2318
    @yohanamolel2318 5 ปีที่แล้ว +1

    Nikweli

  • @reginamrema1417
    @reginamrema1417 7 ปีที่แล้ว +1

    wafundishe adabu watovu wa nidhamu wote, nimekupigia suruti👍👊 mheshimiwa spika niaibu kubwa kwa mwanamke kupayuka ka kama hajafundwa imenisikitisha Mimi kama mwanamke

  • @jemabenediti2849
    @jemabenediti2849 3 ปีที่แล้ว

    Hataree

  • @daudmalangisa3272
    @daudmalangisa3272 3 ปีที่แล้ว

    Atapona kwa jina la Yesu

  • @kingcobra9238
    @kingcobra9238 7 ปีที่แล้ว +1

    poleni sana kwa ajali iliomkuta mbunge ila msiweke matuta wekeni rasta kama za mikumi itakua safi sana na ajali zitapungua

  • @mussamussamussa8444
    @mussamussamussa8444 7 ปีที่แล้ว +6

    Safi sana akafunzwe adabu,

  • @edsonisholagi5775
    @edsonisholagi5775 7 ปีที่แล้ว +3

    ndugai oyeeeeeeeeeeeeee

  • @mako331
    @mako331 7 ปีที่แล้ว +1

    safi mkuu demokrasia isiyo na mipaka ni vurugu jamani, mbona hatulielewi hili???

  • @sphrb1063
    @sphrb1063 7 ปีที่แล้ว +2

    asante Millard ayo kwa habari za uhakika 🙏

  • @gastordominic410
    @gastordominic410 7 ปีที่แล้ว +4

    Hiyo sehem kuwepo daraja la waende kwa miguu la juu

  • @mwajumaselemani879
    @mwajumaselemani879 7 ปีที่แล้ว +3

    Piga kazi baba umeaminiwa ndiomana uko hapo,kelele na matusi yao yasikuteteleshe daima msimamo,mwenye nyumba akimbii siafu waadabishe pasipo kuangalia itikadi za vyama vyao.

  • @issahmwakinyuke9506
    @issahmwakinyuke9506 2 ปีที่แล้ว

    mpaka tukio litokee ndiyo tunajiami?

  • @mosesnduati6572
    @mosesnduati6572 5 ปีที่แล้ว +1

    Tundu lissu

  • @azahally9216
    @azahally9216 7 ปีที่แล้ว +1

    safi sana spika

  • @shufaaa.4766
    @shufaaa.4766 7 ปีที่แล้ว +6

    safiiiii huyo halima hana adabu kabisa

    • @sheazuberi4765
      @sheazuberi4765 7 ปีที่แล้ว

      chadema hebu kuweni na adabu hivi kwanini mnakosa dispirin mnadhani sifa au ndio umaarufa walazima cheni kutafuta kiki zakijinga

    • @raymondichristopha5868
      @raymondichristopha5868 7 ปีที่แล้ว +1

      +Shea Zuberi huyu ndio chanzo cha kufanya awe anatenda haki kwa watu wote pia nas tunaumia kwa kuwa wabunge wetu wananymwa haki km watetez wetu.

    • @emmatarimo2815
      @emmatarimo2815 7 ปีที่แล้ว +2

      Shufaa A. Mbona na huyo spika alimpiga mtu hadharani enzi zile anagombea ubunge? Ni nidhamu hiyo?

    • @hassanmusa5162
      @hassanmusa5162 4 ปีที่แล้ว

      kwanini africa hatuna umoja

    • @hassanmusa5162
      @hassanmusa5162 4 ปีที่แล้ว

      Shufaa A. kuweni na mshikamano na uwiano wakwapamoja mujenge taifa

  • @kipyeamasha6278
    @kipyeamasha6278 5 ปีที่แล้ว +1

    Mungu away eyes

  • @YamunguYb
    @YamunguYb 7 ปีที่แล้ว

    Safi sana
    huyu mdee Hana malezi Bora

  • @mzeechidi3378
    @mzeechidi3378 7 ปีที่แล้ว

    msimamo wa wapinzani ni kupinga kila kitu,nahisi hata wakionyeshwa kwamba hiki ni choo-watasema ni mess!!!wabunge kama hawa ndio wanaoharibu nidhamu/heshima ya bunge.Hongera mh.spika kwa msimamo thabiti.

    • @catherinekanyangali4940
      @catherinekanyangali4940 6 ปีที่แล้ว

      kwa hili halima umekosea ungemtukana mwingine ila siyo ndungai aiseeee

  • @kayayooisaac4128
    @kayayooisaac4128 7 ปีที่แล้ว +1

    Kiukweli sikufurahishwa na maneno aliyosema mdee, hasa katika alilokuwepo, lkn pia lazima nikiri kwamba pia Ndugai naye ana mapungufu mengi hasa linapokuja suala la maamuzi ya spika ambayo wakati mwingine huamsha hisia mbaya kwa wapinzani, na kwa watu wasio na busara kama mdee hujikuta wakiropoka tu ili kujaribu kuonesha hisia zao.

  • @fridahfredy5272
    @fridahfredy5272 7 ปีที่แล้ว +6

    Halima ananidhamu sana kweli mchukulie hatua

  • @mrpaultz
    @mrpaultz 7 ปีที่แล้ว +1

    job ndungai nchi yetu sote muogope mungu

  • @sashaaden3062
    @sashaaden3062 7 ปีที่แล้ว +6

    unanichekesha
    wewe
    uliyesema
    tumuachie
    mungu
    ndo
    ahukumu
    nikukumbushe
    ya
    kaisari
    mpe
    kaisari
    na
    ya
    mungu
    mpe
    mungu

  • @manyangagrace4342
    @manyangagrace4342 7 ปีที่แล้ว +4

    jamani mnatukwzwa sana, mmekuja kutuwakilisha na si kutukana, kumbuka Spika hakujiweka alichaguliwa. Nyie mnaotukana mnatudundisha nini sie watazamaji?

  • @sarahminja7255
    @sarahminja7255 7 ปีที่แล้ว +1

    kiongozi hatakiwi atukane bwana jamii inajifunza kwake

  • @joisytimbul3491
    @joisytimbul3491 7 ปีที่แล้ว +8

    wewe sio mungu , wakutoa ukum tumuachie mungu yeye ndie mtoa hukum, usiseme eti wanyongwe wewe nani mpaka utoe ukum?

  • @ezekieljosephsemroki5297
    @ezekieljosephsemroki5297 7 ปีที่แล้ว +4

    Halima mdee kaolew
    kama hujaolewa nijenikuoe utanyookatu maana Mimi nitakufundisha nidhamu utanyooka ndani yasiku mbili yote Tisa ila halim nakukubari sana achamatusi wewe nimtanzania kwaiyo mtanzani nimtu anayependa jamani naukarimu

  • @danydanford6189
    @danydanford6189 7 ปีที่แล้ว +2

    tutangulize utaifa mbele tuache ushabiki

  • @jeromemushi3403
    @jeromemushi3403 4 ปีที่แล้ว

    Duniani hapa ukipata huongozi kidogo tayari sheria ni yako mtoa hukumu ndio ww daaaa utazan mungu ndio kakupa huongozi huo unapomfanyia mwenzio ubaya kumbuka ubaya unalipwa hapa hapa Duniani kwanjia yoyote ile tuishi kwa kupendana hakuna anaejua kesho yake 🤔🤔🙏🏼🙏🏼🙏🏼

  • @fredrickluzigarashid1328
    @fredrickluzigarashid1328 4 ปีที่แล้ว

    Yani msikitisha kwali!

  • @davidkambulaje338
    @davidkambulaje338 7 ปีที่แล้ว +4

    ni kweli jpo Spika hakuwa sahihi lkn Dada Halima hakufanya vema kimaadili ya kitanzania, angejaribu kutuliza hasira

  • @ziguatv9190
    @ziguatv9190 7 ปีที่แล้ว +9

    Uko sahihi Spika, hatuwezi kuruhusu tabia za ajabu ajabu zitawale taifa hili.

  • @abdulmalickupete9015
    @abdulmalickupete9015 7 ปีที่แล้ว

    Mara nyingi mwanamke Wa aina hii akiolewa ndoa haifikishi hata mda Wa wiki mbili mpuuzi hana adabu wala aibu

  • @manstego2983
    @manstego2983 7 ปีที่แล้ว +1

    Spika ndugai ndiye mwenye matatizo , halafu hujifanya muungwana ,mstarabu na heshima kumbe Hana lolote.
    maneno na vitendo vya mheshimiwa Halima mdee dhidi ya spika ni sawasawa.
    Ndugai hafai kabisa ni problem.

  • @kingcobra9238
    @kingcobra9238 7 ปีที่แล้ว +2

    mh spika toa makucha na meno nje usicheke na watovu wa nidhamu mungu atakuongoza ishaallah

    • @mamaasia4179
      @mamaasia4179 6 ปีที่แล้ว

      kweli.halima.hana.adabu.kabisa

  • @amocimokha1555
    @amocimokha1555 7 ปีที่แล้ว

    Uhuru bila sheria na taratibu za inch ni vurugu matokeo yake ndo hayo kila sehemu ni siasa mpaka kazini mhuuuu

  • @agneserasto9806
    @agneserasto9806 5 ปีที่แล้ว +1

    Hutafikiri awa wapinzani kero zao humo bungeni kama aio watanzania mambo mbaya sana wanayofanya wanazidiwa ata nawatoto wadogo

  • @thetreasure2230
    @thetreasure2230 7 ปีที่แล้ว +1

    Halima umri unaenda na hana hati miliki ya kikunio. Sasa anawashwa hadi kwenye ubongo. Mheshimiwa Halima Mdee tafuta dudu utulie.

  • @dnaofgodtv4873
    @dnaofgodtv4873 5 ปีที่แล้ว +1

    Mzazi mzr hamchokozi mtt kwa kuwa yy ni mkubwa. Heshima ni two ways traffic!

  • @matthiasmassawe4760
    @matthiasmassawe4760 7 ปีที่แล้ว +1

    ney

  • @mwajumaselemani879
    @mwajumaselemani879 7 ปีที่แล้ว

    kwahyo hakitunayoitaka bungeni ni kutukanana na kubishana kama walevi,hao ndio wawalishi wetu tunachowaagiza kutoka majimboni,chakushangaza matatizo hayafikishwi wamebaki kulushiana vijembe kama waimba taarabu hii ni shida.

  • @manasemeshack3273
    @manasemeshack3273 3 ปีที่แล้ว

    Wawe na dispil bungeni

  • @bakarali8075
    @bakarali8075 6 ปีที่แล้ว +1

    Nawe utashughulikiwa na Allah In Shaa Allah

  • @csato9415
    @csato9415 7 ปีที่แล้ว

    Matusi hayafai kabisa mbele ya jamii si kwa kiongozi tu bali mtu yeyote...! ila mtu ukiminya sana uhuru wake wa kutoa mawazo inapelekea mtu kujawa na ghadhabu ambazo hupeleke kusema chochote kwa wakati huo kwa kuwa tu anaona kaonewa, na pengine huja kujutia baadaye kwa yale aliyoyatamka.Lakini pia bunge letu halifanyikazi kwa maslahi ya watanzania walio wengi kwani wanaonufaika ni wachache.

  • @juliusringo8544
    @juliusringo8544 7 ปีที่แล้ว +2

    Inatakiwa tutende haki kwa wote msimwonee mtu yeyote. Mnamtafuta nini basi tusameheane jamani.

  • @bakarali8075
    @bakarali8075 6 ปีที่แล้ว +1

    Upuuzi

  • @rodrickdyampaye4499
    @rodrickdyampaye4499 4 ปีที่แล้ว +1

    Hapo nikazi tu

  • @scholasticalvibayaaa484
    @scholasticalvibayaaa484 7 ปีที่แล้ว +8

    Halima mdee kma huwezi kuongea vitu binavyolea maadili ziba mdomo wako na super glue

  • @drimanlutungulu8326
    @drimanlutungulu8326 7 ปีที่แล้ว +10

    halima nimempenda mara mia

  • @azizayassin3623
    @azizayassin3623 7 ปีที่แล้ว +6

    hyo itakuwa poa juu anafanya bunge n kama uwanja wa matus ikiwa hta jiko liko na heshima yke

  • @josephmwakabungu8385
    @josephmwakabungu8385 7 ปีที่แล้ว +4

    Ni kweli kbsa spika ktk hili atukubaliani na mambo aliyoyafanya Halima Mdee. Hatua Kali zichukuliwe,sizungumzi kiitikadi natoka maoni yangu kama mtanzania

    • @furahah9437
      @furahah9437 7 ปีที่แล้ว +1

      Spika na WW tenda haki kidogo

  • @ukweliunauma4570
    @ukweliunauma4570 4 ปีที่แล้ว

    Ndugai useme nani alie mpiga risasi Mhe Tundu lissu.

  • @jacksonmars7894
    @jacksonmars7894 7 ปีที่แล้ว +6

    Hugo mwanamke kwanza kibayaaaa Kinajifanya kinajua kila kitu

    • @munaahmed8499
      @munaahmed8499 4 ปีที่แล้ว

      Jac mm wa 1 siez kuumba binadam mwenzangu lkn namchukia mno huyo mwanamke na huyo alomuoa ana shida ndan ya nyumba walah ongea yake na ni mbabe hatar

    • @jacksonmars7894
      @jacksonmars7894 4 ปีที่แล้ว

      @@munaahmed8499 huyu bado hajaolewa hana mume bado ila ana watoto

    • @munaahmed8499
      @munaahmed8499 4 ปีที่แล้ว

      Hata mwanaume hawawez kumsogelea kwa hapo walah domo zegeeee

  • @thabitification
    @thabitification 7 ปีที่แล้ว +5

    Wabunge wenyewe wanatukana, wengine wakiwatukana ni shida MAKONDA ALIKUWA YUPO sahihi kuhusu tabia za baadhi ya wabunge.

  • @esteranney953
    @esteranney953 3 ปีที่แล้ว

    Kweli kabisa baba simamia nafasi yako

  • @davidobedgangai1654
    @davidobedgangai1654 6 ปีที่แล้ว +1

    Huyu Mdee ni Mbunge au mhuni wa Kawe????

  • @kassimsemlamba3928
    @kassimsemlamba3928 7 ปีที่แล้ว +3

    apewe onyo halima na asamehewe. akirudia tena aadhibiwe.

  • @emanuelissaya8799
    @emanuelissaya8799 7 ปีที่แล้ว +2

    Halima alikosea sana though mm ni chadema ila sikubaliani na Halima mdee

  • @raphaeltv6051
    @raphaeltv6051 7 ปีที่แล้ว +5

    mnaovuruga utaratibu ni nyie kwa kuweka ccm mbele badala ya taifa
    #2020 sio mbali

    • @floramollel6753
      @floramollel6753 4 ปีที่แล้ว

      RAPHAEL TV nini wewe

    • @allenmalya82
      @allenmalya82 4 ปีที่แล้ว

      Daaaaaa malezi nayoyanachangia wazazi tunakazi

  • @جميلهخميس-ط5ث
    @جميلهخميس-ط5ث 7 ปีที่แล้ว +2

    Hii ndio Tz ya awamu ya tano mtanyooka2 Acha move iendelee

  • @florameza9529
    @florameza9529 7 ปีที่แล้ว +3

    Naomba ktk kazi zenu pia mmtangulize MUNGU jua cheo ni dhamana kuna cku kitaondoka wewe utakumbukwa kwa lipi?

  • @dostovan5142
    @dostovan5142 2 ปีที่แล้ว

    What goes around comes......... Finish ze sentence

  • @mwajumaselemani879
    @mwajumaselemani879 7 ปีที่แล้ว +7

    Mh Ndugai hebu fanya utaratibu hapo bungeni waje wataalam wa magonjwa ya akili,au muwafanyie vipimo wabunge baazi wanaonekana kabisa bado wanatumia bangi.

    • @monikazakaria6775
      @monikazakaria6775 7 ปีที่แล้ว +1

      haswaaa

    • @said306nyatu9
      @said306nyatu9 4 ปีที่แล้ว

      Sawa sawa kabisa baadhi ya wabunge wanakula bangi asa wa ccm

  • @mnada_56
    @mnada_56 7 ปีที่แล้ว +2

    Ukitenda haki hayo yote hayatokuwepo

  • @tintz3157
    @tintz3157 7 ปีที่แล้ว

    Kumbe halima nae bashite,,,teja halima katika ubora wake wa matusi,,,kumbe serikali ilikuwa sahihi kuzuia matangazo ya bunge live,,,

  • @hassanmadodi5396
    @hassanmadodi5396 7 ปีที่แล้ว

    Flora zungumza kama msomi hayo maneno anatakiwa aseme aliyekuwa bar, kwani mtu akinyimwa haki yake ndiyo atukane? kwani hakuna njia mbadala zaidi ya matusi? afadhali ukitukania bar hakuna atakae kuhoji.

  • @raysonsadik9562
    @raysonsadik9562 6 ปีที่แล้ว

    Ndugai mkali

  • @abdubabu5454
    @abdubabu5454 7 ปีที่แล้ว

    kazi niliokua naitaka sasa imeanza rasimi,tunataka displini bungeni ionekane,bunge limekua kama uwanja wa chandim,yani bora uangalie ndondo kap,kuliko bunge,spika lifungie hilo li halima mdee halina sifa zakua bungeni likauze mbege kwao moshin

  • @queenmwasanguti2370
    @queenmwasanguti2370 6 ปีที่แล้ว

    Marita mhimu

  • @sazafsuma7542
    @sazafsuma7542 5 ปีที่แล้ว +1

    Alie vunjika mguu hamjamchukua ila yeye mlimuitia ndege

  • @khamisihaji2905
    @khamisihaji2905 3 ปีที่แล้ว

    Alikuwepo makufuli leo yuko wapi mukiambia ukweli munasema munatukanwa uwezo kakupa muungu lkn ujue walikuwepo wenye nguvu sana ww si chochote leo wako wapi je mm na ww endelea baba ujue mwisho upo.

  • @luganokapula6267
    @luganokapula6267 7 ปีที่แล้ว +1

    hana akili timamu huyo pamoja na wanachama wake

  • @chassesinamba3561
    @chassesinamba3561 6 ปีที่แล้ว +3

    Kama WA ccm afee2

  • @georgefaustini5679
    @georgefaustini5679 7 ปีที่แล้ว +4

    wao ni wabinafsi tumewapigia kura watuwakilishe Kwa Picha hii.sisi wananch tunaumia na wanakula kodi zetu.wakamatwe wanyongwe kabisa.

    • @sarahhappy1886
      @sarahhappy1886 7 ปีที่แล้ว +3

      ata kura ukupiga unabwaya tu eti wanyongwe kaanze wewe kufa nyau wewe

  • @shahibuswalehe5101
    @shahibuswalehe5101 6 ปีที่แล้ว +1

    spika inabidi ukate fimbo wakileta ujinga ni kuwachapa tu hawana adabu hawajafunzwa maadili huko walikotoka

  • @jaziumusa4131
    @jaziumusa4131 4 ปีที่แล้ว

    Nikwe uliwapa onyo wakina tundu lisu

  • @agneserasto9806
    @agneserasto9806 5 ปีที่แล้ว

    Hivi hutawara huu wapinzani watafanya fujo mpaka mwisho wa mihura yote miaka kumi kamati ya kuwachukuria hatua hinakua wapi yani sisi wanachi tumechokeshwa na kerere kama za awa wapinzani

  • @rajabumapunda454
    @rajabumapunda454 7 ปีที่แล้ว

    ubabe ubabetu tz,

  • @nessa4899
    @nessa4899 7 ปีที่แล้ว +5

    Matumbo Yenu yatapasuka Kwa njaa... Mna watesa watu Kisa spika wa bunge ipo siku mtaumbuka tu.

  • @boazimbwaga8771
    @boazimbwaga8771 6 ปีที่แล้ว

    Halima mjinga san anatufundisha nn laiya wakawaida

  • @jeremiahmwasapilicharlie2926
    @jeremiahmwasapilicharlie2926 6 ปีที่แล้ว +1

    halime fala tyu ,,,kwaza anatabia za wanaume ,#tomboy#

  • @ziguatv9190
    @ziguatv9190 7 ปีที่แล้ว +6

    Mtu akileta u-0, unam treat ki ziro ziro vilevile😊

    • @mnada_56
      @mnada_56 7 ปีที่แล้ว +1

      😂😂😂nmekuelewa

  • @beduelmaldy4449
    @beduelmaldy4449 3 ปีที่แล้ว

    mhhhhhhhh! halaf leo anajiita mtetezi wa kina mama!!

  • @alimakame9215
    @alimakame9215 5 ปีที่แล้ว +1

    Mh

  • @justinnyariiloveyu7627
    @justinnyariiloveyu7627 7 ปีที่แล้ว

    wana haki hao ccm hakunaga haki

  • @alimakame9215
    @alimakame9215 5 ปีที่แล้ว +1

    Mpaka itoke ajali ndomuweke taassar