ไม่สามารถเล่นวิดีโอนี้
ขออภัยในความไม่สะดวก

SPIKA NDUGAI AMFUKUZA MBUNGE WA CHADEMA, AGOMA, ASKARI WABUNGE WAMTOA KWA NGUVU

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 มิ.ย. 2020

ความคิดเห็น • 821

  • @kingmroboto4984
    @kingmroboto4984 4 ปีที่แล้ว +220

    Kama nawe hujapendezwa na alicho kifanya Spika usiogipe pita na like yako hapa coz sio haki kilicho fanyika

    • @chayogasperi9783
      @chayogasperi9783 4 ปีที่แล้ว +7

      Tumependezwaaaaaaaaaaaa !!!!!!!!!!!

    • @yirgayemyirgah7820
      @yirgayemyirgah7820 4 ปีที่แล้ว +4

      Daaaah nlkua sijaangalia mpka mwisho kiukweli ndugai kazngua asee yn upendeleo wa wazi kabisa

    • @csato9415
      @csato9415 4 ปีที่แล้ว +2

      @@yirgayemyirgah7820 Hicho ndicho kinachafanyika mara kwa mara kwa kuwapa nafasi ya kusikika zaidi wabunge wa CCM, kuliko wa upinziani hasa CDM ambao ndio hofu ya kuu. Huu ni upendeleo wa wazi.

    • @khatibabdi
      @khatibabdi 4 ปีที่แล้ว +1

      kwa hili spika amekosea

    • @gwakisaphilipo7000
      @gwakisaphilipo7000 4 ปีที่แล้ว +1

      King Mroboto tunako end a kila mtu atamiliki wakizingua pa kichwani

  • @ramadhanimahongole8764
    @ramadhanimahongole8764 4 ปีที่แล้ว +26

    Yan ndugai kamwacha mbunge wa ccm aliekuwa anamzalilisha mwenzie kamtoa anaezalilishwa bila kosa Kwakuwa ni mbunge wa chadema!? kwel hii sio sawa chadema wanaonewa sana ndan ya bunge

  • @edibilisalum3292
    @edibilisalum3292 4 ปีที่แล้ว +17

    Ndugai ndugai
    Tambua yapomaisha nje ya bunge
    Muogope mungu

    • @gilbertvicent4229
      @gilbertvicent4229 4 ปีที่แล้ว

      Aache kuogopa kupoteza kiti chake na hela amuogope Mungu?
      Hawa watu Mungu ndiye atakaewaweza kwa kuchezea kodi zetu na kutumia madaraka yao vibaya...
      Spika ubabe wako Mungu muogope sana

    • @anuaryally6177
      @anuaryally6177 4 ปีที่แล้ว +1

      @@gilbertvicent4229 kiongozi wenu anaalalisha mashoga lisu je aogopi mungu

    • @whatisthetruth.8793
      @whatisthetruth.8793 4 ปีที่แล้ว

      Buckle up and enjoy your ride.

    • @ntindatv815
      @ntindatv815 4 ปีที่แล้ว

      hakika

    • @allyabdallah446
      @allyabdallah446 4 ปีที่แล้ว

      Iman ya chama nikubwa kulikon Iman ya dini yake? Je huyu Ana Iman ya dini kweli, jee a Akiongozi wa dini, jee Imani yake na dini yake anaamin kwamba ataulizwe cheo chake aliwatendea haki wote?

  • @khamisnassor5833
    @khamisnassor5833 4 ปีที่แล้ว +13

    Duhh kweli professor mussa asaad aliliona hili bunge kuna jina alilisema kumbe kweli ndio maana wakapitisha sheria ya kuwakinga spika ndio tanzania tunayoitaka tutaelewana tu

    • @kumulwa
      @kumulwa 4 ปีที่แล้ว

      Kweli nithaifu kabisaa

    • @hapatv2991
      @hapatv2991 3 ปีที่แล้ว

      Nidha inahitajika unamungilia je m2 hajamaliza punda nyie msio nauelewa

  • @abrahamkibona7038
    @abrahamkibona7038 4 ปีที่แล้ว +46

    Hapo sipika hajatenda haki kabisa 😭

    • @erickrichard4292
      @erickrichard4292 4 ปีที่แล้ว +4

      Spika hajatenda haki tena amempendelea huyo mama anaeongea visivyonamaana

    • @mohamedkashindi7689
      @mohamedkashindi7689 4 ปีที่แล้ว +2

      Yaani wapinzani wanaonewa kiwaziwazi bila huruma hinauma sana

    • @evansm8802
      @evansm8802 4 ปีที่แล้ว

      This speaker is partisan.

    • @mathiaszakaria7052
      @mathiaszakaria7052 4 ปีที่แล้ว

      Uonevu mkubwa sana

    • @zuberikamote2078
      @zuberikamote2078 4 ปีที่แล้ว

      @@erickrichard4292 katenda haki we hela yko unaipata kwajasho lko halafu uwwkeze kwenye chama wkt chama kinatakiwa kikulipe ww

  • @momocadabra8611
    @momocadabra8611 4 ปีที่แล้ว +5

    Job Ndugai uwo ni uzalilishaji na sio haki

    • @rosekweka2044
      @rosekweka2044 4 ปีที่แล้ว

      Spika hajatenda haki yy angewasikiliza mpk mwisho angejua ukweli wa Mambo?

  • @godifreypaul9409
    @godifreypaul9409 4 ปีที่แล้ว

    Pole sana,Dada uliyetolewa nje,mwite Yesu,aingie ndani yako,akupe nguvu,malipizi ni hapa hapa duniani.Usiweke kinyongo kwa mtu ye yote maana Mungu atashindwa kufanya kazi yake.Mpende huyo Dada,wala usimchukie.wala kumuwazia mawazo mabaya.Amini tu,Yupo mkuu kuliko yeye.

  • @msafirimwenyemvua6997
    @msafirimwenyemvua6997 4 ปีที่แล้ว +18

    Tanzania kweli hakuna bunge tena! Kwa sasa bunge limegeuka kikundi cha taarab na mipasho tu

    • @yohanaobeth1558
      @yohanaobeth1558 4 ปีที่แล้ว

      MUNGU lirehemu Bunge la Tanzania, kwa kutoka nje ya jukumu lake la msingi, wasamehe viongozi wetu na uwape hekima katika kuchagua cha kuongea, namna ya kuongea na kufanya maamuzi. MUNGU unayerehemu na kuwapa Viongozi hekima tunakusihi usiwache viongozi wetu bila kunena nao.

    • @whatisthetruth.8793
      @whatisthetruth.8793 4 ปีที่แล้ว

      Aaah ! wewe ccm songa mbele . You get love it

    • @justinagabriel3176
      @justinagabriel3176 3 ปีที่แล้ว

      🤣🤣

  • @subirapaul8127
    @subirapaul8127 4 ปีที่แล้ว +17

    Hizi kumbukumbuku za unfair ipo siku zitakumbukwa jamani msichee utu namna hyo mambo yanabadilika one day yesi imenikera kwa hili ase

  • @dedanmwasongwe1675
    @dedanmwasongwe1675 4 ปีที่แล้ว +12

    Spika unaalibu bunge kwa kushabikia mambo yakipumbavu kabisa, wakisema bunge ni dhaifu unachukia

    • @allychacha2698
      @allychacha2698 4 ปีที่แล้ว

      Kiukweli.sio.sio.kiongozi.hupaswi.kua.hivyo.hata.kama.nisiasa

    • @ashamwamba9088
      @ashamwamba9088 3 ปีที่แล้ว

      Ijamaaniiiii.utopoloooi

  • @mohammedshaaban9509
    @mohammedshaaban9509 4 ปีที่แล้ว +16

    Daaah,huu ni udhalilishaji kabisa huyo ni mama wa mtu au dada wa mtu au pia ni binti wa mtu kwa kitendo hiki hajatendewa haki

  • @SaikoMsongo
    @SaikoMsongo 4 ปีที่แล้ว +28

    Mm sina chama Ila nashangaa kwann wanamzalilisha huyu dada

    • @bongotvonline4883
      @bongotvonline4883 4 ปีที่แล้ว +2

      Nawakumbusha tu waheshimiwa wabunge na kiti chao kuwa sisi raia sio wajinga, tuna akili za kutosha sana.... tunajua ipi haki ipi si haki. Kumbukumbu hizi zimehifadhiwa hapa ili watoto na vijana wa kesho wajionee wenyewe, siku moja haki itashika hatam. InshaAllah....!

    • @fortunatuskapinga5250
      @fortunatuskapinga5250 3 ปีที่แล้ว

      Hakuna haliyekzalilosha bali yeye mwenyewe
      Mbunge mwenzie kaelezea kilochotokea sasa sioni huzalilishaji

  • @emanuelsarakikya9398
    @emanuelsarakikya9398 4 ปีที่แล้ว +9

    Bunge la Mzee wetu Sita lilikuwa Bunge. Mama Makinda naye Alifanya Kazi iliyotukuka. Ila ili sasa Mungu ndiye anajua.

  • @onesmopaulmwacha566
    @onesmopaulmwacha566 4 ปีที่แล้ว +21

    Hakuna anayewaweza mmeshika makali ..lakini Mungu anawaweza .Ee Mwenyezi Mungu tuepushe na udhalimu .tutee mwenyewe

    • @twaibumikidadi7377
      @twaibumikidadi7377 4 ปีที่แล้ว

      mtafaulu tu gawa wa ccm ni kama rimoti tu
      wanapelekwa pelekwa hawa hakuna sıasa ccm amin uciamin
      ila hutumıa mguvu zao za kıdoşaaaaaaa

    • @nehemiahparadox8488
      @nehemiahparadox8488 4 ปีที่แล้ว

      Kwakweli

    • @fredrickmartin995
      @fredrickmartin995 3 ปีที่แล้ว

      Aliyewapa kiburi kasepa bado zamu yenu

  • @anthonymosha1992
    @anthonymosha1992 4 ปีที่แล้ว

    Hkuna spika haliye endesha bunge la Tanzania hvo kwanzia nchi hhi ipate uhuru kama spika ndugai hakika broo ipo sku utalipwa na kila goti litapigwa Mungu akusaidie sana uko juu y sheria umevunja katiba dhaaa yajayo ynafurahisha pipzzzzzzz power

  • @profgeofreysevelinenyalale9454
    @profgeofreysevelinenyalale9454 4 ปีที่แล้ว +1

    Ndugai hufai kuwa kiongozi hata wa nyumba kumi maana uongozi ni busara wewe umekosa hata hekima ya kuiga kwa walio kutangulia.kuna siku utasimama kujibu kwa Mungu

  • @lutufyojason2598
    @lutufyojason2598 4 ปีที่แล้ว +3

    The history is being written for the first time our country .And this is the speaker of the National Assembly( the national think tank)

  • @abubakarzamir6276
    @abubakarzamir6276 4 ปีที่แล้ว +16

    Duh kweli nchi ya democracy mtu anadhalilishwa anataka kujitetea anatolewa

    • @johnmitti3201
      @johnmitti3201 4 ปีที่แล้ว +3

      Huo ni upuuzi haki iko wap hapo si mseme 2 kuwa hamtaki vyama vingi kaeni mkjua mtavuna mnachokipanda

    • @erickrichard4292
      @erickrichard4292 4 ปีที่แล้ว +3

      There is no democracy there

    • @erickrichard4292
      @erickrichard4292 4 ปีที่แล้ว +2

      @@johnmitti3201 yeah, kweli kabisa bora waseme hamna vyama vingi kuliko haya yanayoendelea

    • @rajabhamis4384
      @rajabhamis4384 4 ปีที่แล้ว

      @@erickrichard4292 there there mbona zimeongozana hivyo. 🙄

    • @anuaryally6177
      @anuaryally6177 4 ปีที่แล้ว

      @@johnmitti3201 mbona mama yako ataki baba yako aongeze mke

  • @gibsoncharles9555
    @gibsoncharles9555 4 ปีที่แล้ว +17

    Ongelea chama chako na katiba yako kila chama na katiba yake maana vyama vya upinzani ni vichanga unafikiri vingejiendeshaje???
    Mnatumika vibaya sana

    • @nemecymsanya3191
      @nemecymsanya3191 4 ปีที่แล้ว +1

      Umeongea point ndugu yangu ingawa hatufamiani aisee

    • @youngloyclassic3173
      @youngloyclassic3173 4 ปีที่แล้ว

      Wanaongea pumba hawajui kuongoza chama

    • @gilbertvicent4229
      @gilbertvicent4229 4 ปีที่แล้ว +1

      Umetoa mawazo ya kisomi japo sikufaham lkn nyie ndio wananchi mnaoweza kuishaur serkali na kuivusha katika suala zima la maendeleo

    • @anuaryally6177
      @anuaryally6177 4 ปีที่แล้ว

      Mbona chauma akidai kodi na kichanga pia au tlp wacha ukada katika maendeleo fala wewe

    • @kazembally6032
      @kazembally6032 4 ปีที่แล้ว +1

      watanzania wenzangu kwa mawazo yangu kwa spika uyu akuna maana ya kuwa na Bunge kama mtu anadhalilishwa Bungen na spika anasapot.wakat vyombo vya usalama vpo kama kweli walifanyi wangeenda kwenye vyombo husika

  • @charzwilson9494
    @charzwilson9494 4 ปีที่แล้ว

    Mr to ndugai no sio sawa unacho kufanya uchunguzi wa udhalilishaji unafanyika na vyombo vihusika bunge nimahara pa kwelekeza nakushauri unapo ruhusu majina ya watu yanatajwakua ulifanyiwa ukatiri wakijinsia bira kuwashauri waende policy na mahakamani unjishusha kwa kushabikia siasa unayobitaka my broooo unafel Sana bunge unalo liongoza nila kupashana pole umefel kaka

  • @gredatv554
    @gredatv554 4 ปีที่แล้ว +21

    Nimekuwa wa kwanza kukoment naombeni like jamani

    • @frankkataraiha607
      @frankkataraiha607 4 ปีที่แล้ว

      hv like zna msaada gan au kwann huwa mnaomba likes leo nimeona bora niulize sina maana mbaya kama hutojal nifahamishe

  • @dullymsafi9030
    @dullymsafi9030 4 ปีที่แล้ว

    Aiseeee bunge la sasaiv. Ukija kulisikiliza unachoambulia n mauzi mbona chadema mnakifanyia hvyo jaman da! Mungu anawaona

  • @emmanuelsimon545
    @emmanuelsimon545 4 ปีที่แล้ว +1

    Mnalaumu sipika bure ila huyu dada angetulia ingempa heshima zaidi

  • @wirfredrukoo7830
    @wirfredrukoo7830 3 ปีที่แล้ว

    Ukweri ni gharama acheni mama afunguke ili watu wajue yaliyo sirini ndani ya vyama vya siasa na amezungumza pia kama mzazi kikubwa sio kuzalilisha je? Ni kweli anayo sema sio kuchangia kwa mihemuko ya kisiasa au upendeleo spika uko vizuri sana songa mbele

  • @ibrahimmasanja9097
    @ibrahimmasanja9097 4 ปีที่แล้ว

    Ndo maana kesi za mitandaoni haziishi hapa huwezi shindwa kumwaga tusi Kali kwa spika ingawa mwenyewe ni namfagiliaga magufuri daaaah spk

  • @nuru.simkoko
    @nuru.simkoko 4 ปีที่แล้ว +8

    Malipo ni hapa hapa

    • @msemwaasha6244
      @msemwaasha6244 3 ปีที่แล้ว

      Kwanza mwanaume mzm tena spik wa bunge kushabikia mambo ya wamama hata haya huna

  • @khaalidcheo5383
    @khaalidcheo5383 4 ปีที่แล้ว +13

    Dh! ...R.I.P....CHADEMA...masikini ndio basi tena..tunaenda kukizika jumla hooooh.......😭😭😭😭😭😭😭

    • @danielekisinza537
      @danielekisinza537 4 ปีที่แล้ว +4

      Hahahahaaha

    • @perfecttz2690
      @perfecttz2690 4 ปีที่แล้ว

      We mkundu kwl

    • @ramathedon4001
      @ramathedon4001 4 ปีที่แล้ว

      sasa kwa hoja gani apo ndugu yangu spika anaonekana kabisa nimpendeleo ndugai mungu anamuona

    • @msemwaasha6244
      @msemwaasha6244 3 ปีที่แล้ว

      Na ndo walichokua wanataka wabaki wenyeny wapige mabenj kwakukubaliana na ujinga

  • @saidibakarimakota9400
    @saidibakarimakota9400 4 ปีที่แล้ว +1

    Hivyo ndio itakuwa bunge lijayo wakichakaa wenyewe hawana hoja za msingi za kulijenga taifa ni vichekesho tu

  • @khamisabeid3365
    @khamisabeid3365 4 ปีที่แล้ว +22

    Hakuna mwazo usio kua na mwisho unamzalilisha mwanamke mwezio hivo inauma sana naona kama kazalilishwa mama yangu 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭

  • @margarethsaramaki3966
    @margarethsaramaki3966 4 ปีที่แล้ว +16

    Bunge dhaifu watu wanaongea utumbo

    • @msemwaasha6244
      @msemwaasha6244 3 ปีที่แล้ว

      Ngoja tuendelee kuuona upuuz wa bunge

  • @neyousingo7616
    @neyousingo7616 3 ปีที่แล้ว +1

    Ndugai Baba fanya kazi huyo dada ni mtovu wa nidhamu

  • @hamadiayossy
    @hamadiayossy 5 หลายเดือนก่อน

    Matumizi mabaya ya u spika,,sijapenda kwakweli,

  • @petermushy9883
    @petermushy9883 4 ปีที่แล้ว +6

    Kweli ni spika ya sabufa

    • @gracejohn886
      @gracejohn886 4 ปีที่แล้ว

      🤣🤣🤣🤣😂

  • @frankjingu5763
    @frankjingu5763 4 ปีที่แล้ว +2

    Huyu sio spika ni sabufa la kichina

  • @zrazanzibarrespectiveacade9056
    @zrazanzibarrespectiveacade9056 4 ปีที่แล้ว +14

    Dah hyi cio hki na kma unakubali cio hki bc gonga like

  • @tumabhay8576
    @tumabhay8576 4 ปีที่แล้ว

    Very good mh spika. Tunaanagalia mwengine anoitaka kuelekea huko huko.. Hahahahaaa hahaaaaaa nimeipenda iyo.

  • @issakapemba6115
    @issakapemba6115 4 ปีที่แล้ว +3

    Duh wapinzani hawana haki kwenye nchi yao kabisa yaan lakini yatafikia mwisho tuu yaan

  • @mossesraphael1073
    @mossesraphael1073 4 ปีที่แล้ว +1

    Nimeumia sana lkn MUNGU yupo na ndugai hataishi milele hapa duniani dah kama vile hajazaliwa na mwanamke afu kuna wanawake wengine wasiojielewa nao wanacheka dah MUNGU tazama watu wako ukatende haki

  • @mohamedimbinga225
    @mohamedimbinga225 4 ปีที่แล้ว +10

    Case study ;Nkurunziza

  • @jerikorojas4317
    @jerikorojas4317 4 ปีที่แล้ว +13

    Bunge la Bajeti Wabunge wanajadili Majungu!
    Aibu kubwa kwa Taifa la Tz

    • @erickrichard4292
      @erickrichard4292 4 ปีที่แล้ว

      Mwenyew najiuliza mbona kuna mambo mengi ya msingi ya kujadili wala sio hayo

    • @jojolee382
      @jojolee382 4 ปีที่แล้ว

      Nawewe c ugombee ukajadili hiyo bajeti..! Mfeeeeeew..!!!

  • @thabitngangila8562
    @thabitngangila8562 4 ปีที่แล้ว +22

    Hali ya bunge linavyo endeshwa mpaka aibu.

  • @sophiamosoi4369
    @sophiamosoi4369 4 ปีที่แล้ว

    Ndungai ajafanya vizuri kabisa uzalilishaji wa hali ya juu anatumia madaraka vibaya

  • @ELIAMbise-sy5ue
    @ELIAMbise-sy5ue 6 วันที่ผ่านมา

    Ivi uyo jamaa apo jirani na uyo Jacklin kavaa kibarakashee Huwa ninani make ananyodo balaa,, nakumbuka sikumoja anamchamba Mbunge wa nkaskaskazini. Iyo bench wanakaza wenyesifa za like inaonekana 😊

  • @subirapaul8127
    @subirapaul8127 4 ปีที่แล้ว +8

    Mimi ni Ccm blood tena sana lakini kwa hili limenikera kwann mnatumia madaraka vbaya wakati raisi anafanya vyema nyie mnabomoa???????

    • @hassanmalamla3485
      @hassanmalamla3485 4 ปีที่แล้ว +1

      Utaratibu ndo kila kitu...

    • @mtaninjegere6060
      @mtaninjegere6060 4 ปีที่แล้ว

      Anafanya vyema wapi ndugu ndo amempa huyu hiki kibri? Hakika Mungu aliyetuumba wote yupo na hajalala. Yeye hatupimi kwa vyama vyetu

    • @subirapaul8127
      @subirapaul8127 4 ปีที่แล้ว +2

      @@mtaninjegere6060 utakuwa cyo mtanzania ndg yangu na cyo lazima mumpende wote jamn

  • @kasiankillo6949
    @kasiankillo6949 3 ปีที่แล้ว

    Cjawai kuona mzigo Kama spika na Mungu mwenye mamla na utawala wote wa duniani na mbinguni pokea maombi ya wanyonge wote tusaidie kuondoka watu Kama awa wenye kutumia mamlaka Yao vibaya ewe mwenyezi Mungu tusaidie

  • @chazzymediatv5075
    @chazzymediatv5075 4 ปีที่แล้ว

    Ndio chamsingi sasa tupanze sauti zetu maana hapa hatuna bunge tena bali kuna kikundi cha ccm ndo kinachojadili kila kitu bungeni now ila ndugai tambua kuna maisha baada ya usupika wako na one day mungu atajibu kilio cha watanzania in god we trust

  • @aliebrahim9423
    @aliebrahim9423 4 ปีที่แล้ว +4

    "Hebu msinipigie kelele ninapotaka kufanya maamuzi yangu".Mwisho wa kunukuu.

    • @emanweljohn1240
      @emanweljohn1240 4 ปีที่แล้ว

      ukweli kun upendeleo min ccm lakin Ktk hili Luna upendeleo san kwanin kuhoj mipango yamtumwingine huko ccm mbon hawahojiwi huu siosawa

  • @felistasswai4735
    @felistasswai4735 4 ปีที่แล้ว

    Spika.umekosea.sana.pamoja.na.wabunge.uonevu.mtupu.mumefanya.kunge.kua.chombo.cha.majungu

  • @frbm1729
    @frbm1729 4 ปีที่แล้ว +5

    Kwenye hili spika leo hapana umekosea.

    • @whatisthetruth.8793
      @whatisthetruth.8793 4 ปีที่แล้ว

      Akini sio aliambiwa asubiri akalete kichwa maji jamani

  • @mako331
    @mako331 4 ปีที่แล้ว +4

    Ndugai hapa sio vizuri heshima Kidogo jamani

    • @waelimesha8207
      @waelimesha8207 3 ปีที่แล้ว

      Kweli mmmmmmmmmmm! Woooooooooowi!!!!!. Wapishe mamangu!!!!!!!!!!. Ila wote tujaribu kuwa watoto wa mama mmoja.

  • @josephsasa7497
    @josephsasa7497 3 ปีที่แล้ว

    Mara zote huwa nawaambia kuwa Itumie vizuri sana nafasi uliyopewa na Mungu, bila kuonea au upendeleo kwani kuna Maisha mengine baada ya haya duniani. huwezi ukawa Spika wa bunge kwa kupendelea watu.

  • @jacobmigera2626
    @jacobmigera2626 4 ปีที่แล้ว

    Kesho yetu si nzuri;Watu wana tamani vyama vya siasa vifutike kuwepo na chama kimoja: ili ,CCm waongoze kimabavu; Ndugai haongozi bunge Kwa hekima; Wanayo yapanda leo wataya vuna kesho;

  • @ndugaimwakyembe9692
    @ndugaimwakyembe9692 4 ปีที่แล้ว

    Job Ndugai wewe ni ndugu yangu, Bunge lijaro hautakuepo humo ndani. Umekua jeuri usietambua wajibu wako. Uongozi wako umepimwa na kuonekana kukandamiza.

  • @missmoona4497
    @missmoona4497 4 ปีที่แล้ว +2

    Asilimia kubwa za comments zimeumizwa na huyo dada alichofanyiwa, nami ni miongon mwao why hakupewa nafas ya kujitetea kwa kilicho semwa kweli au uongo? Maana ukweli anaujua yy watu tulikuwa na hop ya majibu yake ya tuhuma aliopewa, kama nawe umeliona hilo like tuwe pamoja kifikra

  • @habibashabanigonji1915
    @habibashabanigonji1915 3 ปีที่แล้ว

    Mbunge anasukumwa kama kibaka heshima iko wapi ama kweli nchi ya wanyonge mtanyongwa sana

  • @lifeisgood4242
    @lifeisgood4242 4 ปีที่แล้ว

    Ikiwa umetenda haki Mh. Spika basi Mungu akupe haki.

  • @bakarimashi2299
    @bakarimashi2299 4 ปีที่แล้ว +4

    Kuna siku ikiwa si dunian bac hata kwa mungu huu upuuzi wa namna hii utakumbukwa kwa majonzi yake

  • @anthonymosha1992
    @anthonymosha1992 4 ปีที่แล้ว

    Huo ni uonevu dhidi ya vyama pizani ila kwenye nchi hh ni yetu sote na Kuna watu wanaishi kama vile wataishi milele hawafahamu kuwa haya maisha wamekopeshwa na mwenyezi Mungu ila tutafka tu hakuna chenye mwanzo kisicho kuwa na mwisho.

  • @christianmwashala276
    @christianmwashala276 4 ปีที่แล้ว +3

    Yan Spika ni Amna apo kwel Tena duh Yan Dada was watu kaongea kwamba anazalilishwa af unamtoa nje au niww kwel kakushinda ad mama Makinda duh

  • @ditrammwanaharakatimike1492
    @ditrammwanaharakatimike1492 4 ปีที่แล้ว +20

    Huyu ndo ndugai masta HAPA KAZI TU

  • @abakuryatv2119
    @abakuryatv2119 4 ปีที่แล้ว

    Chama cha kisenge Sana hichi
    Wanaminya Sana demokrasia nasikitika Sana kuona kuwa
    Mungu mtu ndiye anaye wapa hicho kiburi 😢 😢 😢
    Haya mambo yana mwisho...na msisahau kuwa hayo Yote mnafanya Hapo bungeni ni kwa ajili ya nchi moja.. Tanzania 😔 😔 😢 imeniuma Sana hayakuwa maamuzi sahh kwakeli

  • @dubledublecepte8680
    @dubledublecepte8680 4 ปีที่แล้ว

    Duniani hakuna utawala uliokuwa na nguvu kama utawala wa mfalme Nebukadreza lakini ulianguka 🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤗

  • @BlackPanther-xx8dn
    @BlackPanther-xx8dn 4 ปีที่แล้ว +1

    ukiyafatilia haya san utakosa la kujadili chamsingi pambana na Hali yako chapa kaz hilo bunge toka mda limeshapoteza Nuru

  • @magakalutema3790
    @magakalutema3790 3 ปีที่แล้ว

    Siyo sana bunge hli

  • @sr.january7141
    @sr.january7141 4 ปีที่แล้ว

    Daaah ila sio fair kabisa huyu jamaa anajiona sana

  • @likimaro6
    @likimaro6 4 ปีที่แล้ว

    Yaani kuna watu wamejimilikisha bunge. Huyu dada kadhalilishwa kwa kweli. Yaani napata hasira kali

  • @emmanuelbuyamba853
    @emmanuelbuyamba853 4 ปีที่แล้ว

    So painfully aise! Pole sana kamanda Yosepher Komba.

  • @khatibabdi
    @khatibabdi 4 ปีที่แล้ว +4

    Magazetini kesho "Watunga sheria nchini Tanzania wamwaga mtama kwenye kuku wengi"

  • @mozasaid3869
    @mozasaid3869 4 ปีที่แล้ว +1

    Dah! Hatari!!

  • @tam8951
    @tam8951 4 ปีที่แล้ว

    Sio sawa,Ndugai jirekebishe

  • @kimchi-91
    @kimchi-91 4 ปีที่แล้ว

    spika yuko sahihi,maana huyo bunge wa chadema kaenda kinyume na taratibu za bunge,hajaruhusiwa kuongea yy kashaanza kuongea kisa kadhalilishwa ,hata kama unahisi umedhalilishwa ndani ya bunge jitahidi kuji-control na hasira ikiwemo kuheshimu taratibu za bunge

  • @charlesbaba8820
    @charlesbaba8820 4 ปีที่แล้ว

    Speak er ukosahihi sana unaendasawa na tunavyotaka

  • @gibsoncharles9555
    @gibsoncharles9555 4 ปีที่แล้ว +11

    Yaani speaker ni kama hilo bunge atazikwa nalo,ana akili zausiku kabisa

    • @rajabhamis4384
      @rajabhamis4384 4 ปีที่แล้ว

      Wewe ulitakaje!? 🙄 Muache spika afanye kazi yakee 🚶

  • @aetiusaugustine395
    @aetiusaugustine395 3 ปีที่แล้ว

    siyo vizuri inamaana ili bunge ni la chama si la wananchi

  • @gracejohn886
    @gracejohn886 4 ปีที่แล้ว

    Namkumbuka mama mpole sn ana hekima ya kutosha jaman mama Anna makinda

  • @omarybebe8414
    @omarybebe8414 4 ปีที่แล้ว

    Leo ndio comment yangu ya kwanza kuiweka TH-cam, HUYO DADA MMEMDHALILISHA SANA,SIO HAKI KABISA,HUYO NI MAMA AU DADA WA MTU PIA,MUNGU ATALIPA KWA MLILOLIFANYA.

  • @thomashudson1083
    @thomashudson1083 4 ปีที่แล้ว +1

    Jaman huyo mama hajatendewa haki

  • @mahyorokalokola4012
    @mahyorokalokola4012 4 ปีที่แล้ว

    Inaonekana Spika hajui tofauti ya kodi na michango

  • @husseinibnuhassan1272
    @husseinibnuhassan1272 4 ปีที่แล้ว

    Bunge anafungua na maombi mwisho anamkosea Mungu na anadhalilisha watu dah inaskitisha sana bas tufanye nchi hii iwe ya chama kimoja.ile radi itayompiga spika bado inapiga pushap

  • @pinielloilole4340
    @pinielloilole4340 4 ปีที่แล้ว +15

    Ndiko tulipofikia?

    • @rahmaharuna6710
      @rahmaharuna6710 3 ปีที่แล้ว

      Haya ndo mambo ninayotakaga kuangalia

  • @alphamassawe6029
    @alphamassawe6029 4 ปีที่แล้ว

    Ndio ukiona wenzetu wanaendelea usishangae wwe badala ya kuongelea maendeleo unaenda kudhalilisha wanawake its shame na spika yupo tena Anatilia mkazo Huyo mama alievaa miwani hana busara hata kidogo nimpongeze sana Mhe, Yosefa kwa uvumilivu wa kudhalilishwa lakini spika hakutumia busara wala hekima. Hafai kuwa kiongozi

  • @zachaaaamosy8320
    @zachaaaamosy8320 4 ปีที่แล้ว

    Naipenda sana ccm la kwa hili mheshimiwa as jafulaishwa kabsa nyie ndio wale mnaomchafua RAIS wetu nyie Ndugai wewe umeweka uchama mbele kuliko majukumu yako mzee wangu

  • @ildephoncemilambo5493
    @ildephoncemilambo5493 4 ปีที่แล้ว +7

    Mbuge ni upuuzi mtupu, turuhusiwe tu kumiliki siraha tu

    • @hapatv2991
      @hapatv2991 3 ปีที่แล้ว

      Mbwa ww

    • @ildephoncemilambo5493
      @ildephoncemilambo5493 3 ปีที่แล้ว

      @@hapatv2991 sio ww kweli maana hata sura yako inaonyeshaaa kuwa mbwa

  • @sarahtaste2876
    @sarahtaste2876 4 ปีที่แล้ว

    Kwakweli bora nibaki na kitambulisho cha taifa hicho cha mpiga kura hakinifai so kwa bunge hili inaskitisha sijui tunaenda wap ni Mungu tu anajua

  • @willekapuna7102
    @willekapuna7102 4 ปีที่แล้ว

    Kwa kweli hi co nchi huyo dada hana kosa kabisaaaaa anadhalilishwa daah ucjali tupo pamoja asikup shida spika wanaichi tunajua umuimu wako

  • @johnmiligo429
    @johnmiligo429 4 ปีที่แล้ว +4

    Mhh jamani Mimi nimwanaccm Ila mhh mbasi yakomee pale maoni yangu

    • @nicksonjohnson6760
      @nicksonjohnson6760 4 ปีที่แล้ว +1

      Mimi Ni ccm Ila kiukweli ndugai hakuwahi kutoa uamuzi mzuri kwa wapinzani na hisi sio mzima kwenye afya ya akili

  • @ahmedysaidy7937
    @ahmedysaidy7937 4 ปีที่แล้ว +4

    Spika tambua kunamaisha mengine nje ya bunge pia tambua bunge lilikuwepo kabla ww ujazaliwa haya maisha tu bro

  • @mgeniali941
    @mgeniali941 3 ปีที่แล้ว

    Nyinyi ccm mshalaniwa unijifanya ipo ciku mtaondoka kwenye madaraka utacheka sana moto unawasubiri

  • @adamumuki1242
    @adamumuki1242 3 ปีที่แล้ว

    Anajidai sana uyu jamaa km nchi yake Inshaaallah Allah ndio mwenye maalipo na maamuzi ya haki anajiona km mtume

  • @gilbertvicent4229
    @gilbertvicent4229 4 ปีที่แล้ว

    Mungu ndiye mwenye pumzi zetu tunazovuta kama aliweza kutuonyesha miujiza kwa Farao/ Firauni tunaomba atuonyeshe pia kwa wenye tabia kama yake. ..eee Mungu tusaidie ili kuepuka udhalilishwaji huu ambao umeigawa nchi yetu kwa makundi yenye chuki kubwa sana

  • @stanleyjohn6566
    @stanleyjohn6566 4 ปีที่แล้ว +2

    Hatuna spika ila tuna mfano wa3 spika

  • @Denispeter1738
    @Denispeter1738 4 ปีที่แล้ว

    Imeniuma sana baada angewashauri. Ila malipo ni hapa hapa duniani. Huyo dada asikate moyo one day yes.

  • @youngsachafurniture5482
    @youngsachafurniture5482 4 ปีที่แล้ว

    Hii aibu sana bunge limekuwa kama wako location wanashoot mov ya isidingo

  • @victoryngilangwa2671
    @victoryngilangwa2671 3 ปีที่แล้ว

    Wewe spika hufai hata kidogo ungekuwa unachaguliwa na wananchi usingepata hata kula mmoja

  • @djunction4127
    @djunction4127 4 ปีที่แล้ว +3

    Mmmh demokrasia maandazi

  • @fahdihasnuu9034
    @fahdihasnuu9034 3 ปีที่แล้ว

    Huyu ndugai msenge sana huyu jamaa

  • @rachelelias1923
    @rachelelias1923 4 ปีที่แล้ว

    Yaan jaman.. mama makinda alikuwa anaongoza bunge vizur... huyu ndugai kafanya mbunge chekechea ..

  • @lamecktheonest225
    @lamecktheonest225 4 ปีที่แล้ว

    Mwana kulitafuta mwana kulipata, kazi kwako

  • @barakasamwel600
    @barakasamwel600 4 ปีที่แล้ว

    Madhalilisho kama haya sijayafurahia lakin cn LA kusema but ni. Mbaaya kudhalilisha mwnanamke mwezio tena mbele ya umati
    Kujitetea kawekwa kushoto daaa imeniwasha sana pilipili na sijaila

  • @anthonymichael8898
    @anthonymichael8898 4 ปีที่แล้ว +2

    Kiukweli nimeumia Sana