Ningekuwa Lisu ningeokoka na kuwa Mchungaji,Mungu anamtaka ahubiri injili | Mch.Katekela

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 16

  • @EliciaRunobo-nl3tk
    @EliciaRunobo-nl3tk 11 วันที่ผ่านมา

    Yaan mch unawaza kama mimi nilimuwazia hivyo hivyo, kuna kusudi kubwa la Mungu juu ya huyu mtu ila yeye hajui tu, Mungu alimtetea kwa mkono uliokuwa mkuu sana

  • @ChristopherKitheka
    @ChristopherKitheka 12 วันที่ผ่านมา

    Wewe unamtumikia Mungu..usie mjua. Mungu anayomakusudi tofauti kwa kila mtu...

    • @bethmkwama6704
      @bethmkwama6704 12 วันที่ผ่านมา

      Sasa wewe unaongea nn WW

  • @fredrickkokina1217
    @fredrickkokina1217 13 วันที่ผ่านมา +5

    Mimi ndiye viewer wa kwanza

  • @bonifasiemanueli21
    @bonifasiemanueli21 12 วันที่ผ่านมา

    Unajuaje kama alitetewa Mungu wa Mbinguni,mungu wako wengi ,hawa wana siasa wana mambo mengi,labda unamm

  • @VIOLETKABASHA
    @VIOLETKABASHA 12 วันที่ผ่านมา

    Tundu Lisu alipona kwa nguvu za Mungu tu na pia Mungu ana makusudi nae ni muujiza mkuu.

  • @bonifasiemanueli21
    @bonifasiemanueli21 12 วันที่ผ่านมา

    Unajuaje kama alitetewa Mungu wa Mbinguni,mungu wako wengi ,hawa wana siasa wana mambo mengi,labda unambinu za kumvuta kwenye wokovu maana umesema hajaokoka vinahusianaje na msaada wa Mungu wa Mbinguni wakati nuru na giza gaviendani,

  • @gadimbajo
    @gadimbajo 13 วันที่ผ่านมา +1

    Hata kwenye siasa anaweza akamtumikia Mungu, sio lazima ahubiri, sema jambo la msingi ni hilo aokoke.

    • @charlesmwasi7646
      @charlesmwasi7646 12 วันที่ผ่านมา

      Aokoke akiwa duniani, bible yenyewe inaonesha wokovu ni wakati ujao, dini za marekani hizi ni za majisifu Kama farisayo. Upotoshaji mtupu

    • @jacksonmathias4338
      @jacksonmathias4338 12 วันที่ผ่านมา

      Ndugu yangu charles, kwa msimamo wako huu,utakuja kujuta ukiwa umechelewa. Huenda hujui maana ya kuokoka ni nini?
      Kuokoka- ni kumkiri Yesu kuwa ni Bwana na mwokozi wa maisha yako kwa maneno na matendo na kudumu kutembea kwenye utakatifu siku zote za maisha yako...
      Soma waebrania 12:14
      Hakuna mtu atakayemwona Mungu pasipo huo utakatifu,huwezi kuwa mtakatifu bila kuokoka....
      Kwa nini basi tunasema tunaokoka??
      Tunajitenga na jehanum kwa kumwamini Yesu na kutembea na njia zake tukiwa bado duniani hata tukifa matendo na imani yako inafuatana na wewe.
      Kamwe,huwezi okoka baada ya kifo, baada ya kifo ni hukumu tu waebrania 9:27
      Mwamini Yesu leo na uishi maisha matakatifu yani uokoke ili siku moja tuwe wote pamoja
      Ubarikiwe

  • @LodvolaLameck-jl5vs
    @LodvolaLameck-jl5vs 13 วันที่ผ่านมา +1

    Siku moja rafiki yangu aliniambia kwamba ukiokoka acha siasa! Nikamuuliza inamaana wanaopaswa kutuongoza ni wapagani? Mimi naamini kuokoka ni muhimu maana huwezi penya mbingu bila wokovu ila waliookoka wanaweza kuwa kwenye siasa ila tu wakatunza uaminifu

  • @blues4life633
    @blues4life633 11 วันที่ผ่านมา

    Ninyi wachungaj mmeshindwa kukemea kuonya dhulma tunazofanyiwa raia alaf unataka Lisu aache siasa! Unadhan kati ya ww na Lisu nani Mtu wa Mungu hapo?😢

  • @felixBenos
    @felixBenos 13 วันที่ผ่านมา

    Kweli hata ningekuwa mm ni lisu ningeokoka.

  • @gilbertoswald2061
    @gilbertoswald2061 13 วันที่ผ่านมา +1

    ii biashara ya kumwambiya lisu aache siasa apana mm naamini lisu iyo siasa yake ni ibada pya

  • @RobertKikoti-w9v
    @RobertKikoti-w9v 13 วันที่ผ่านมา

    Kweli kabisa Tundu lissu inafaa zaidi awe mhubiri wa injili ya BWANA YESU.

  • @denisjoel2833
    @denisjoel2833 13 วันที่ผ่านมา

    Huyu mch kwa harakaharaka ni ccm. Hivi anataka kutuambia kwamba Lisu akiacha siasa ahubiri injili ni nani atakuwa mbadala wa Lisu kwa ajili ya ukombozi wa Taifa hili?Huyu mch angefunga domo lake kwa sababu haya anayoyazungumza ni matusi kwa watanzania wanyonge ambao wameteseka kwa muda mrefu sana ktk nchi yao na mimi ningekuwa muumini wako ningehama ilo kanisa kwa sababu linafurahia watanzania kuendelea kuteseka chini ya utawala wa ccm. Haya tumuulize huyu mch yeye anaweza kutusaidiaje kutoka katika utawala huu wa manyanyaso bila kupitia vyombo vya siasa? Acha kauli za kinafiki za kutukatisha tamaa wanyonge ili tuamini haki zetu haziwezi kupatikana kwa njia ya siasa. Wananchi kuweni makini kipindi hiki cha Lisu kugombea uenyekiti wachungaji wanamna hii ambao kwa kauli zao utagundua ni ccm wataibuka kwa wingi ili kupotosha kwa sababu pressure ya ccm inapanda na kushuka kwa hofu kwamba Lisu hana mchezo katika kupigania haki kama walivyokuwa wanamchezea Mbowe. Mch.ninakushauri kama hujui kufafanua yaliyomo kwenye. Biblia kaa kimya acha waipiganie nchi yao. Mimi ni Denis Joel,Katibu wa Chaumma(M)-Mara.