Dunia imeisha sasa!! Watu wamekuwa wakatili sana yaan wanapenda pesa, mapambo ya mwili kubadili jinsia rangi na mengine mengi!!! Waraka wa kwanza wa Yohana2:15, inasema hivi; msiipende dunia wala mambo yaliyomo katika dunia. Mtu akiipenda dunia, kumpenda Baba hakumo ndani mwake. Ndugu yangu bila Yesu ujue umeshakufa siku nyingi sana.
Kwani kwetu afeica kuna mambo mangapi machafu, inamana hamwoni, mnafunga mambo ya nchi za wa watu wakati kwenu kunawashinda, machafu magapi kwetu hapa mbona hamfungi na kuomba. Watoto wanalatiwa na baba zao kila siku mbona hamfungi,. Toa kijiti kwenye jicho lako kwanza.
Uko vizuri na Mungu usivae hereni ni thambi rohoni uko vizuri na mavazi uko sawa hereni kwa mtu wa Mungu mapambo no thambi hereni usivae mama ili uingie mbiguni
Sisi Ambao tunaishi Denmark naweza kusema mambo haya Amesema mama mtumishi ni kweli kabisa, Ningetaka namba yake mungu akipenda tufanye maombi pamoja hapa Denmark.
Tuache mapambo vinginevyo hatutakua tofauti na hao waliojibadilisha na tuvae vilemba wanawake wote. Mtumishi acha hereni na Mungu akubariki na uwahuburie watu waache mapambo yote.
@@estasage498 mimi kwanza nafikiri Robo tatu ya Wacongo wanavaa hereni,kuchubua ngozo,kuvaa bangili,na kujipamba na Mikufu ya kila aina ,maana labda wazee tu ila vijana ni karibia wote,labda mwenye mzio tu
jamani tusiwe wepesi wakuhukum kuhusu mapambo mungu anaweza kujifunuwa kwa mtu kwanamna apendavyo inawezekana akafundishwa pia kuhusu mapambo hivo tusiwe wepesi wakuhukum
Mama mbona kama amepanic! Heunda anaushuhuda mzuri lakini hajaupangilia vizuri! Denmark kaolewa na mzungu au?! Mbona kaikimbia ndoa yake?! Anayoyasema kuhusu tabia za wazungu nikweli, mimi naishi hapa Ujerumani, nayaona hayo! Lakini kama umeokoka nirahisi kuelewa kwanini wanatabia hizo!!
Point of correction, sio Mungu alie umba Corona, ni Shetani ili akamuangamize binadamu, alafu mrudie mume wako kwa maana biblia inakataa utengano na mme wako
Ungeihubiri hii injili ulaya ingesaidia, Africa hakuna mtu anapesa yakujibadilisha. Ungewahubiria kwa kikwao. Hayo mambo yanajulikana mama dunia nzima. Tena siku hizi ni kawaida.
Thanks for preaching while,however you youself have insulted God by saying he,God has a son named jesusu.i pray that God guide you because God too was not engaged to mary to have jesus.
Ujumbe mzuri sana. Lkn nadhani ondoa heleni kwani ni mali ya yezebeli, Mungu hapendi
Dunia imeisha sasa!! Watu wamekuwa wakatili sana yaan wanapenda pesa, mapambo ya mwili kubadili jinsia rangi na mengine mengi!!! Waraka wa kwanza wa Yohana2:15, inasema hivi; msiipende dunia wala mambo yaliyomo katika dunia. Mtu akiipenda dunia, kumpenda Baba hakumo ndani mwake. Ndugu yangu bila Yesu ujue umeshakufa siku nyingi sana.
Kwani kwetu afeica kuna mambo mangapi machafu, inamana hamwoni, mnafunga mambo ya nchi za wa watu wakati kwenu kunawashinda, machafu magapi kwetu hapa mbona hamfungi na kuomba. Watoto wanalatiwa na baba zao kila siku mbona hamfungi,. Toa kijiti kwenye jicho lako kwanza.
Asante kwa ushuhuda mtumishi zidi kubarikiwa
Asante kwa ushuhuda wako hereni ni thambi niibada ya sanamu usivae mama
Uko vizuri na Mungu usivae hereni ni thambi rohoni uko vizuri na mavazi uko sawa hereni kwa mtu wa Mungu mapambo no thambi hereni usivae mama ili uingie mbiguni
Ameni
Bwana Yesu ueahurumie unirehemu na mimi Bwana uyanyooshe mapito yangu
Kweli Hii ni adhabu ya mwenyezi mungu
Wwe Mungu tunaombs msamaha kwaajili yao turehemu baba owiiiiiii
Haya mambo hata huku Tz yapo sana tuhata wanawake wanafany vinyume na maumbile hiyo yote ni laana Mungu aturehemu sana
Sisi Ambao tunaishi Denmark naweza kusema mambo haya Amesema mama mtumishi ni kweli kabisa, Ningetaka namba yake mungu akipenda tufanye maombi pamoja hapa Denmark.
Namba yake ni +255762452368
@@PROMOVERTVLive Asante 🙏🏽 Barakiwa sana.
Habr ya uzima
@@samwelkingson4441 Njema kabisa Namshukuru mungu.
😭😭😭😭 mtiani kweli
Tuache mapambo vinginevyo hatutakua tofauti na hao waliojibadilisha na tuvae vilemba wanawake wote. Mtumishi acha hereni na Mungu akubariki na uwahuburie watu waache mapambo yote.
Very good
Very true Tanzania in prayer is much much ahead.
Amen mamaa
Tusiasi amri za Mungu kutoka 20:1-17 mama tumika kuwafundisha
Mungu akikuchagua haangalii vito vya mwilini. Amen amen🙏
Si kweli MUNGU akikuchagua hukutenga na dunia hawezi kukutumia ukiwa mchafu
Mungu Akubariki dada
BWANA atawalipa sawa sawa na kazi zao✍️
Wifi yangu nawewe umeokoka kweli nimeamini mungu huwarowa watu wake Kwa ndoano mtumikie mungu wifi utafika mbali nakupenda
Haya mambo mabaya yapo dunia nzima sasa hivi. Ukienda Thailand, ndio utaacha mdomo wazi. Namuomba ALLAH atustiri na vizazi vyetu yarabby. 🤲
nimefika Thailand, i hear You yaani
Amen
Mbona mme kazana na hereni tegashikio usikie yale roho ya mungu yana nena kupitia yeye
@Salome Ogutu..Heri tuendelee kutega sikio tusikie yale Roho wa Mungu anayanena kupitia Mtumishi huyu...Aaamen...
Mungu atusaidie hasa vijana wadogo
Kweli kabisa aliosema
SANAAÀ.
Jamani.heleni.ni.pambo.lamwanamke.ulitaka.akae.kma.mwanamme.dini.ngani.hiyo.inakataza.mapambo.ilaunambiwa.va.ndani.yanyumba.yako.na.mmewake.tu.siokujionyesha.kwa.watu.wengine
Mtihan sijui dini Yao ikoje looh🙄
😭😭😭MUNGU atusaidie kwakweli ujumbe mzuri inatakiwa tuwe na hofu ya MUNGU NAKUPENDA MUNGU WANGU tusaidie tuishi kwenye kweli yako tuokoe na jehanamu.
Ameeen
Jameni jacktan mwambie uyu mama atoe mapambo ya herini,,
Ni kama Wacongo kuacha ni kazi
@@trophywilson7211 wa 🇨🇩 tuu? Sasa mbona ninaoma makanisa mengi huko Tanzania 🇹🇿 na herini, na nywele fake, kucha, lipstick 💄 etc…
@@estasage498 huko Marekani WaTanzania hata Robo ya Wacongo haipo,ila Wacongo ni Wengi saaaaaana kama hujui
@@estasage498 mimi kwanza nafikiri Robo tatu ya Wacongo wanavaa hereni,kuchubua ngozo,kuvaa bangili,na kujipamba na Mikufu ya kila aina ,maana labda wazee tu ila vijana ni karibia wote,labda mwenye mzio tu
Acha ushamba akivaa hereni nfigo atakuwa kaenda kufanyiwa operation ya kubadili maumbile ??
Inatisha sana, 😭😭😭
Mama ana injili nzuri, ila aondoe heleni masikioni, mwanzo 35:1-6
Mama asante kwa ushuhuda. Ila mama achana na hereni na urembo mwingine.
wewe wa wapi tena
heleni zimefanyaje
Mungu tireh
Ndio mama unanena ni amina munguakupe nguvu mama
Bwana Yesu,tuhurumie Baba.
Siku za mwisho Ameen
Mungu Atusaidie
Hao watakua ni mapepo
Mwambie bibi aache kuvaa hereni ,na mapambo
jamani tusiwe wepesi wakuhukum kuhusu mapambo mungu anaweza kujifunuwa kwa mtu kwanamna apendavyo inawezekana akafundishwa pia kuhusu mapambo hivo tusiwe wepesi wakuhukum
😭😭😭😭😭😭
Wifi yangu hereni ni dhambi acha
Mama mbona kama amepanic! Heunda anaushuhuda mzuri lakini hajaupangilia vizuri!
Denmark kaolewa na mzungu au?! Mbona kaikimbia ndoa yake?! Anayoyasema kuhusu tabia za wazungu nikweli, mimi naishi hapa Ujerumani, nayaona hayo! Lakini kama umeokoka nirahisi kuelewa kwanini wanatabia hizo!!
Point of correction most African countries pray including Nigeria,Kenya etc mama hujatemmbea in other African countries!
Jactan muhubirie mama avue hereni zake mbona wewe unaijua kweli
Mama hereni itakuzuia usione mbigu usivae mama
Dada Regina Tyler umekazia hereni kweli...Mhhhh "hereni imzuie huyu mama mbingu???"
Namtu anaemjuwa mungu hawezi kuhukum yawezakuwa hata wewe yapo mapunguvu
Wewe Dada usitudanganye.Wewe unamaisha Safi sana huko Denmark
Wewe mpumbavu..kwani kakushtakia hali yke y kimaisha...au wewe ni kama wale aliotwataja???
Point of correction, sio Mungu alie umba Corona, ni Shetani ili akamuangamize binadamu, alafu mrudie mume wako kwa maana biblia inakataa utengano na mme wako
Mungu baba aturehemu
Halafu ufuska mwingi, unaanza na makafir,wasiojua dini halafu yanaenea nchi za kikafir ndoo sana wanajibadilisha na kuoa mbwa
Amina
Usirudi kaa na Sisi hapa
Mmh leo Christina ameokoka?
Kweli MUNGU yupo.
Sophia kwani christina alifanya nini?
Tanzania tunauana vibaka.mauaji yamezidi Tanzania 🇹🇿 Mbona huongelei dada.Wale hawauani kama sisi hapa Tz
Yeye kasema na wewe sema, yeye hawezi kumaliza yote. mbona unakuwa kama umekunywa petrol hueleweki?????
Siku za mwisho
Mnajitahidi saana kuleta jumbe ni mioyo yetu tu haitunzi
Kwani dada wewe umeolewa Na mzungu au vipi
Ungeihubiri hii injili ulaya ingesaidia, Africa hakuna mtu anapesa yakujibadilisha. Ungewahubiria kwa kikwao. Hayo mambo yanajulikana mama dunia nzima. Tena siku hizi ni kawaida.
Jessica Duniani TZ imebarikiwa na waombezi wengi wa ukueli
Hii ni dalili moja wapo ya ilimwengu unafikia mwisho, zengine ni : Vita kila mahali,uaminifu hakuna N.K.
We live with fallen angels in human flesh
dayon huyo mashoga
Huyu mama NI mkiristo FAKE.Asitudanganye.Atarudi.i.Hela imejaa .. Pension inamsubiri.Huko
Kwa nini dada kuishi huko wakati roho yako inasononeka.
Face the camera please.
Sikiliza ujumbe ndio muhimu
Ambia mama atoe earrings.. Hizo ni chukizo kwa mungu
Rudi kwa mme wako huo sio Mungu aliekutuma. Kwanza unamuweka mme wako katika majaribu rudi haraka
Huyu bibi Ana njaa, anajidanganya mwenyewe
Thanks for preaching while,however you youself have insulted God by saying he,God has a son named jesusu.i pray that God guide you because God too was not engaged to mary to have jesus.
Amina! Amina! Dada. Asante kwa ujumbe kwani nimeguswa sana. Walishalaaniwa hao!!
Mshamba mkubwa Na mjinga