UBUYU WA ZANZIBAR SALMA SAID KUTOKA MALAWI MPIGIE KURA KUWA MJASIRIAMALI BORA WA MWAKA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 19 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 261

  • @BakariSalum-zh7xv
    @BakariSalum-zh7xv 17 วันที่ผ่านมา +1

    So sweat😋

  • @FaridaKassim-z7n
    @FaridaKassim-z7n 16 วันที่ผ่านมา +1

    Mashallah pambee😅

  • @GrenusBenezeth
    @GrenusBenezeth 17 วันที่ผ่านมา +1

    nimependaaa ubuyu natamanii nisafili kujaaa kuonjaaaaa mamaaa

  • @MomMachimbo-n4q
    @MomMachimbo-n4q 18 วันที่ผ่านมา +3

    Masha Allah habibty unastahili ushindi una ubuyu amaizing sana ❤❤❤

  • @AnneKangaude
    @AnneKangaude 11 วันที่ผ่านมา

    Hongera kipenzi kwa kutia moyo Wale waliokata tamaa kwa mapishi ya ubuyu, ubuyu unavutia sana❤❤

  • @rukiampogole4955
    @rukiampogole4955 17 วันที่ผ่านมา +1

    Mashaallah odoo wangu ubuyu unaonekana mtamuuu na mzurii haswaa na unavutia , yan umenyookaa kabisaa unastahir tuzoo odoo wangu,

  • @UmmuTwalha-q5n
    @UmmuTwalha-q5n 16 วันที่ผ่านมา +2

    Maaashaa allaah

  • @HalimaJuma-p3o
    @HalimaJuma-p3o 16 วันที่ผ่านมา +2

    Huu ubuyu ni mtamu Sanaa Sanaa jmn

  • @UmmuTwalha-q5n
    @UmmuTwalha-q5n 16 วันที่ผ่านมา +1

    Maaashaa allaah umeweza...mzuri kwa macho tu ladha naona haielezeki

  • @SadaRashid-g3u
    @SadaRashid-g3u 18 วันที่ผ่านมา +1

    Masha'Allah juhudi zako ni kubwa sana haukutosheka na kile ulichokua nacho bali ulitamani kua na kitu kilichokua Bora ❤❤
    Unastahiki ushindi na zawadi na ni mfano wa kuigwa

  • @SalmaMresa
    @SalmaMresa 18 วันที่ผ่านมา +1

    MashaaAllah....so yummy

  • @notibrugafocus4261
    @notibrugafocus4261 13 วันที่ผ่านมา

    Eeee Dada upewe tu maua yako, ubuyu wako ni pambe, hongera Sana na unajituma had umetutia moyo wengine huku tuamke tujifunze.
    Mungu akubariki kazi ya mikono yako Amen.

  • @sanctuslyamkuyu2059
    @sanctuslyamkuyu2059 14 วันที่ผ่านมา

    Ubuyu wako ni mtam unaraza na ni soft hongera Kwa kazi mzuri

  • @SalmaMresa
    @SalmaMresa 16 วันที่ผ่านมา +1

    MashaaAllah

  • @AllyaHassanali
    @AllyaHassanali 18 วันที่ผ่านมา +2

    Unastahili ushindi dear. Ubuyu wako ni mtamu na laini .....wewe ni mpambanaji.
    Hongera sana

  • @maulidmaonyesho3610
    @maulidmaonyesho3610 18 วันที่ผ่านมา +1

    Maa shaa Allah ❤

  • @SwaumAbubakar
    @SwaumAbubakar 16 วันที่ผ่านมา +1

    Upo vizuri dada mashallah ubyu wako mtamu sanaa... endelea kupambana mungu akusaidiee

  • @floramushi5580
    @floramushi5580 17 วันที่ผ่านมา +1

    Hongera kipenzi nakupenda bureeee ushind upo tayari kwako Mungu akuwezeshe

  • @MelifaKachongwe
    @MelifaKachongwe 11 วันที่ผ่านมา

    Mashallah ushindi tunachukua sio kwa ubuyu huu❤❤❤❤

  • @WGamingYt233
    @WGamingYt233 18 วันที่ผ่านมา +1

    Mashallah ubuyu mzuri nimeulike hongera ❤❤❤❤

  • @makamohd406
    @makamohd406 18 วันที่ผ่านมา +1

    Hongera sana Allah azidi kukufanyia wepesi katika biashara zako. Ubuyu mzuri ❤❤❤

  • @LovelyFjord-so3pd
    @LovelyFjord-so3pd 18 วันที่ผ่านมา

    Allahumma baarik alayka habibty,,, Maashallah ❤

  • @LucyMlanjira
    @LucyMlanjira 17 วันที่ผ่านมา +1

    It tastes really good❤❤

  • @FloraMzumala
    @FloraMzumala 11 วันที่ผ่านมา

    Nyakaluwa hapa ❤❤ Hongera sana mama🫰🫰 umeshashinda tayari wewe❤❤❤

  • @JessieSteve-n9w
    @JessieSteve-n9w 11 วันที่ผ่านมา

    Jamani ubuyu huu ni mtamu alafu ni mlaini hauchubui mdogo❤❤❤❤

  • @ashaomary3397
    @ashaomary3397 18 วันที่ผ่านมา +1

    MAA shaa Allah tabarakallah ubuyu unavutia na mzuri Sana unastahili ushindi

  • @MuhusiniRàjàbu-x4g
    @MuhusiniRàjàbu-x4g 18 วันที่ผ่านมา +1

    MáshaAllah MáshaAllah

  • @MwanaharusiSaid-e1c
    @MwanaharusiSaid-e1c 18 วันที่ผ่านมา +1

    Mashaa Allah hongera kipenz Mungu akufanyie wepes ushinde

  • @GrenusBenezeth
    @GrenusBenezeth 17 วันที่ผ่านมา

    you are the best mama endelea mwanamke ndiyo kifaaa cha watoto wake kujifunzaaa

  • @EmmanuelPhiri-y3v
    @EmmanuelPhiri-y3v 11 วันที่ผ่านมา

    Thank you for the good work ❤❤❤

  • @rahmajonas3794
    @rahmajonas3794 10 วันที่ผ่านมา

    Maa shaa Allah ubuyu mtamu na mzurii unastahili kushindaaa kipenz

  • @MeryGibson
    @MeryGibson 16 วันที่ผ่านมา

    Hongera sana kipenzi Mungu akupe wepesi upate ushindi

  • @UmmuswalahuddiinIssa
    @UmmuswalahuddiinIssa 17 วันที่ผ่านมา

    Mashaallah Allah akuzidishie juhud

  • @officialummulAbbascooking
    @officialummulAbbascooking 18 วันที่ผ่านมา +1

    Mashaallah Mashaallah ubuyu👌👌 hongera hbbty

  • @MsausoChitengo
    @MsausoChitengo 10 วันที่ผ่านมา

    Kazi Nzuri sana, keep on going ❤❤❤❤

  • @NkhatabayFAO
    @NkhatabayFAO 16 วันที่ผ่านมา

    Hongera kwa kazi nzuri

  • @saracandy4165
    @saracandy4165 17 วันที่ผ่านมา

    You deserve kuwa mshindi kipenzi! Big up ❤

  • @ZamdaIdd
    @ZamdaIdd 16 วันที่ผ่านมา

    Mashaalah dada Allah akufanyie wepesi ushindi urudi nyumbani

  • @GladwellKadakwa
    @GladwellKadakwa 17 วันที่ผ่านมา +1

    Sweet malembo looks sweety 😋😋😋🥲😋😋🤩🤩🤩🤩

  • @LatwifaRwamulaza-s2e
    @LatwifaRwamulaza-s2e 15 วันที่ผ่านมา +1

    Ubuyu mtamu n hauchubui ulimi 🤗

  • @BenedictLyanga
    @BenedictLyanga 17 วันที่ผ่านมา

    Ubuyu mtamu👏👏👏hongera kwa kazi nzuri

  • @qudrahhamza4490
    @qudrahhamza4490 17 วันที่ผ่านมา

    ma shaa Allah....ubuyuu umenyookaaa❤

  • @UmmyAmmary
    @UmmyAmmary 16 วันที่ผ่านมา

    maa shaa Allah ubuyu unavutia saanaa kabla hata ya kuonja hongera saanaa

  • @AnneliseSteve
    @AnneliseSteve 11 วันที่ผ่านมา

    Mashallah ubuyu pambe ❤❤❤❤

  • @RubenMuhone
    @RubenMuhone 10 วันที่ผ่านมา

    This product is awesome ❤❤❤

  • @ammiynahmunnah8686
    @ammiynahmunnah8686 18 วันที่ผ่านมา

    Maa Shaa ALLAH mami❤❤❤

  • @helenminga5998
    @helenminga5998 17 วันที่ผ่านมา +1

    Ubuyu mzuri sana..

  • @milnersings
    @milnersings 16 วันที่ผ่านมา

    Ubuyu mtamu balaa 🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @MemoryDaudi
    @MemoryDaudi 17 วันที่ผ่านมา

    It tastes amazing ❤very delicious 🎉🎉

  • @DonMwaungulu
    @DonMwaungulu 17 วันที่ผ่านมา

    This product is very nice I have tested in town and even it's packaging looks very nice please keep it up giving us good products like this one.

  • @elithajoseph7880
    @elithajoseph7880 18 วันที่ผ่านมา

    Ubuyu pambee🎉. Maa shaa Allah

  • @FaridaAmiri-s5n
    @FaridaAmiri-s5n 16 วันที่ผ่านมา

    Mashaallah,nimependa sana hatua zako na ukweli wako,unastahili tuzo

  • @EmmanuelPhiri-y3v
    @EmmanuelPhiri-y3v 11 วันที่ผ่านมา

    Thank you for the good news worry ❤❤❤

  • @faizahyasin4499
    @faizahyasin4499 18 วันที่ผ่านมา +1

    Unastahili dear ubuyu ni mzuri na mtamu sana Ma Sha Allah

  • @AsiaNguluma
    @AsiaNguluma 18 วันที่ผ่านมา +1

    Salma Yuko vizuri mashallah

  • @BintyMussa
    @BintyMussa 18 วันที่ผ่านมา +1

    Mashaa Allah unastahik kipenz ubuyu mtamu sana 😋😋

  • @FarajaMushi
    @FarajaMushi 8 วันที่ผ่านมา

    Hongera mamy kwa uweza wa Mungu wewe ni mshindi

  • @UmmulkheyriOmary
    @UmmulkheyriOmary 18 วันที่ผ่านมา

    Maa shaa Allah hongera kipenzi

  • @BahatiMussa-p6v
    @BahatiMussa-p6v 18 วันที่ผ่านมา

    Maa Shaa Allah unavutia mno na ni mzuri saana, Allah akubarik ktk biashara yako dada umewatia moyo wengi ktk kujituma

  • @rehemafoum9022
    @rehemafoum9022 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Maasha Allah,,unaonekana mtammm❤

  • @BintKitifa
    @BintKitifa 17 วันที่ผ่านมา

    MashaaAllah kazi nzuri

  • @SalamaAbdallah-m4u
    @SalamaAbdallah-m4u 18 วันที่ผ่านมา

    Mashaa Allah. ❤️

  • @TheresiaMtawa
    @TheresiaMtawa 17 วันที่ผ่านมา

    Hongera saana my dear Ubuyu wako mtam saana ,

  • @bahatistephan7523
    @bahatistephan7523 16 วันที่ผ่านมา

    Huu ndo ubuyu sasa
    Mwengine changamoto😍

  • @jamilatupa3570
    @jamilatupa3570 16 วันที่ผ่านมา

    Salma anastahili ushindi namba Moja Nampa Salma.Hongera sana

  • @UmmufaisalHusna
    @UmmufaisalHusna 14 วันที่ผ่านมา

    Masha Allah kazi nzur

  • @aminahemed7829
    @aminahemed7829 18 วันที่ผ่านมา

    Mashallah Mashallah ubuyu mzur mnooo

  • @GraceKambwera
    @GraceKambwera 17 วันที่ผ่านมา

    Baobab candy you'll never regret buying😍😍
    Ubuyu nzuri

  • @SophiaKisima-vv4bz
    @SophiaKisima-vv4bz 14 วันที่ผ่านมา

    Hongera ubuyu wako mtamu sana 🔥

  • @Shaniemakula
    @Shaniemakula 18 วันที่ผ่านมา

    MaashaAllah,,,,,very delicious 🤏Allah abarik kaz yako

  • @SuzenPhiri-e1z
    @SuzenPhiri-e1z 11 วันที่ผ่านมา

    Ubuyu mtamu na pack zake nzuri❤❤

  • @fatimakarim4391
    @fatimakarim4391 17 วันที่ผ่านมา +1

    Very yummy 😋

  • @BeatriceLwila
    @BeatriceLwila 18 วันที่ผ่านมา

    Waooo ubuyu mtamu na unavutia sanaaa it so yummy

  • @marykimicho
    @marykimicho 13 วันที่ผ่านมา

    The taste that lasts forever 😋😋 ubuyu mtamu sana jamani ❤

  • @AsiaNguluma
    @AsiaNguluma 18 วันที่ผ่านมา +1

    Salm Yuko vizuri mashallah

  • @HosianaMosses
    @HosianaMosses 16 วันที่ผ่านมา

    Kazi nzuriii hongeraaaa

  • @ChimwemweGondwe-n1p
    @ChimwemweGondwe-n1p 10 วันที่ผ่านมา

    Ubuyu mashallah ❤❤

  • @AminaFereji
    @AminaFereji 18 วันที่ผ่านมา

    Allah akuzidishie ktk biashara Yako

  • @danfordmatchado9031
    @danfordmatchado9031 17 วันที่ผ่านมา +1

    What a delicious meal....

  • @MariamJulius-r2d
    @MariamJulius-r2d 17 วันที่ผ่านมา

    Hongera hata muonekano wake unaonekana uko vizuri sana

  • @ShufaaAbdalla-d4k
    @ShufaaAbdalla-d4k 14 วันที่ผ่านมา

    Ubuyu mzuri sana hongera

  • @أمجحيفة
    @أمجحيفة 18 วันที่ผ่านมา +1

    MaashaAllah ubuyu mtamu saaana na unavutia

  • @mwanaidkivarutu9315
    @mwanaidkivarutu9315 18 วันที่ผ่านมา

    Maashaallah ubuyu pambe hongera

  • @salmamasegese190
    @salmamasegese190 17 วันที่ผ่านมา

    Maa Shaa Allah
    Ubuyu wangu unaoneka mzuri mno.
    Unastahili kuwa mpishi bora

  • @JosephMasengo-z8c
    @JosephMasengo-z8c 17 วันที่ผ่านมา

    The taste it's like your seeing the almighty God..

  • @JamesKayuni
    @JamesKayuni 14 วันที่ผ่านมา

    keep pushing 🔥🙇‍♂️

  • @madalomalunga2047
    @madalomalunga2047 17 วันที่ผ่านมา

    🔥🔥🔥 well done

  • @fatumangido2929
    @fatumangido2929 18 วันที่ผ่านมา

    Maa shaa Allah,ubuyu mzuri sana,unastahili kushinda

  • @nasranurdin9496
    @nasranurdin9496 16 วันที่ผ่านมา

    MashaAllah dada Salma anaweza sanaa

  • @SalamaAhmed-u5r
    @SalamaAhmed-u5r 17 วันที่ผ่านมา

    Mashallah mashallah ubuyu nzr sana laini hauchubui mdomo

  • @patrickwenda872
    @patrickwenda872 17 วันที่ผ่านมา

    Very nice... 💪💪💪

  • @AishaOmary-j9t
    @AishaOmary-j9t 18 วันที่ผ่านมา +1

    Maashaallaaah ubuyu pambe

  • @araphaahmed4897
    @araphaahmed4897 16 วันที่ผ่านมา +1

    ubuyu mzur mlaini auchubui ulimi unaradha nzur ongera sana

  • @sanctuslyamkuyu2059
    @sanctuslyamkuyu2059 14 วันที่ผ่านมา

    Salma unatengeneza ubuyu mzuri sana nimeonja ubuyu wako hakuna Raza niliowahi kupata katika sehem yeyote zaid ya ubuyu wako hakika unastaili kupata ushindi na kufundisha walimwengu utengenezaji ubuyu

  • @Salma-s6j5n
    @Salma-s6j5n 15 วันที่ผ่านมา

    The sweetest ubuyu

  • @UmmuButhayna-v7f
    @UmmuButhayna-v7f 18 วันที่ผ่านมา

    Maa shaa Allah , You’re the winner chef….

  • @SoziGrande
    @SoziGrande 17 วันที่ผ่านมา

    Mashaa Allah ubuyu ni mtamu sana unasitahili ushindi

  • @HafswaJudo
    @HafswaJudo 14 วันที่ผ่านมา

    Masshaallah hongera mwaya unavutia

  • @samiath-hr6mt
    @samiath-hr6mt 18 วันที่ผ่านมา

    woow mashaallah, soo yummy na jitihada nzuri

  • @LusticaDaniely
    @LusticaDaniely 16 วันที่ผ่านมา

    Unastahili ushindi ubuyu ni mtamu mnoo❤