RAISI WA KENYA "TANZANIA IMESHA WAPITA KENYA KIUCHUMI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 342

  • @mwalimugoogletv3738
    @mwalimugoogletv3738  หลายเดือนก่อน +4

    MIMI SIO MUUMINI WA "MIPANGO ILIKUWEPO", MIMI NI MUUMINI WA MTENDAJI WA MIPANGO, HUO MPANGO WA MJI MKUU WA NCHI KUWA DODOMA ULIWEKWA LINI? NA MTEKELEZAJI NI NANI? NA LINI ?

    • @rayisadesigns2646
      @rayisadesigns2646 หลายเดือนก่อน

      ZANZIBAR SIYO KENYA!!
      MWALIMU GOOGLE NAKUPONGEZA KWA KUZUNGUMZA MENGI YA MAANA KWENYE HILI SAKATA LA KENYA VS TANZANIA, LAKINI KAKA HAPO KWENYE ZANZIBAR UNAPOSEMA BILA YA AIBU ETI ILIKUWA ARDHI YA KENYA UMETUONGOPEA BRO, ZANZIBAR ILIKUWEPO KABLA YA KENYA NA TANGANYIKA NA NDIYO ILIYOTAWALA SEHEMU KUBWA YA AFRIKA MASHARIKI HASA UKANDA WOTE WA PWANI YA AFRIKA MASHARIKI TOKEA PWANI YA SOMALIA, KENYA (MOMBASA) TANGANYIKA (MZIZIMA / DAR ES SALAAM) MPAKA MSUMBIJI. TENA HATA IKULU YA TANZANIA YA HAPA MAGOGONI (POSTA) DAR ES SALAAM ILIJENGWA NA UTAWALA WA ZANZIBAR CHINI YA SULTAN SAYYID MAJID KUNZIA JUU YA MIAKA YA 1850s NA YEYE NDIYE ALIYEASISI JIJI LA DAR ES SALAAM KUTOKA KUWA KIJIJI KIDOGO CHA UVUVI KILICHOITWA MZIZIMA HADI KUWA JIJI KUBWA LA DAR ES SALAAM. NA ALIFANYA HIVYO KWA SABABU HII YOTE ILIKUWA ARDHI YA ZANZIBAR NA YEYE NDIYE ALIYEKUWA AKIITAWALA. UVAMIZI WA WAZUNGU NDIYO ULIYOIDOGOSHA NA KUIUWA ZANZIBAR NA ARDHI YAKE IKAGAWANYWA NA IKATUMIKA KUUNDA NCHI INAYOITWA KENYA NA TANGANYIKA MWAKA 1884 - 1885 KTK MKUTANO WA BERLIN YANI (BERLIN CONFERENCE) PALE UJERUMANI. LAKINI KABLA YA UVAMIZI HUO WA WAJERUMANI NA WAINGEREZA HAPA AFRIKA MASHARIKI HAKUJAKUWA NA TAIFA LINALOITWA TANGANYIKA WALA TAIFA LINALOITWA KENYA. ZANZIBAR NDIYO ILIYOTAWALA AFRIKA MASHARIKI. TATIZO LAKO MWALIMU GOOGLE UNASUMBULIWA NA CHUKI YA UKASKAZINI NA UBARA NA UNAWACHUKIA SANA WATU WA PWANI NA HASA WAZANZIBARI. MIMI BINAFSI UPANDE WA BABA NINA DAMU YA KIZANZIBARI NA UPANDE WA MAMA NINA DAMU YA KITANGANYIKA NA MABABU ZANGU WALIKUWA WAPIGANIA UHURU WA NCHI HII, KWA HIYO USITUDANGANYE KWA UTASHI WA CHUKI ZAKO KAKA DHIDI YA WATU WA PWANI NA ZANZIBAR KWA UJUMLA, TUNAIJUA HISTORIA VIZURI. ZANZIBAR HAIJAWAHI KUWA SEHEMU YA KENYA HATA SIKU MMOJA, ACHA POROJO NENDA KASOME HISTORIA KAKA. MIMI NI MFUASI WAKO MKUBWA NA NINAKUBALIANA NA WEWE KWA MAMBO MENGI LAKINI KWENYE HILI LA KUTUDANGANYA ETI ZANZIBAR ILIKUWA KENYA BRO HAPANA NINAKUPINGA HAPA UMESEMA UONGO, SIMAMA KWENYE UKWELI UTAFANIKIWA LAKINI UKIENDEKEZA CHUKI ZA UKANDA NA UDINI HUKU UKITULISHA MATANGO PORI YA UBARA DHIDI UPWANI NA KUTUGAWA KAMA WATANZANIA TUTAKUKIMBIA WOTE, UTABAKI PEKE YAKO NA CHANNEL YAKO HII!!

    • @brosteve-qu2cj
      @brosteve-qu2cj หลายเดือนก่อน +1

      Tz imepita Kenya kwa kuuza mali kuelakea inchi za afrika mashariki lakini uchumi wa Tz haujakua mkubwa kuliko Kenya,,he only talked about goods&services in the region

    • @RecapAI
      @RecapAI หลายเดือนก่อน +1

      Kuna mikopo inayotolewa tanzania hili utashuhudia na money lenders wameongezeka tanzania. Kama ilivokuwa kenya 2008. Mikopo ya kiholela ndio kisababishi cha inflation. Msururu ni ule ule. Gdp is nothing measures of a country is per capita income. Napenda kazi zako endelea kazi nzuri

    • @rogerslwitiko3915
      @rogerslwitiko3915 หลายเดือนก่อน +3

      Dodoma kuwa Mji Mkuu wa Tz ilikuwa Sera ya Mwl.J.K.Nyerere miaka ya 1970's Kwa sababu ipo kati kati ya Nchi

    • @AhmedZahor
      @AhmedZahor หลายเดือนก่อน +1

      Wewe Mjinga Zanzibar haijawahi kua ya Kenya ila Mambasa ndio ilokua ya Zanzibar

  • @bonywahab9565
    @bonywahab9565 หลายเดือนก่อน +18

    Kweli kabsaa UNAFIKI ndo unaotupoteza wengi, JPM alijitoa kwa dhati.

  • @ramadhaningulinga217
    @ramadhaningulinga217 หลายเดือนก่อน +20

    Asante sana mwanangu magufuli angekuepo leo tanzania tungekua mbali sana mkuu acha

    • @hamzakhamis1575
      @hamzakhamis1575 หลายเดือนก่อน +1

      Kwani ukuaji wa uchumi wa sasa ameuleta magufuli uko aliko?

    • @PineTree-n9y
      @PineTree-n9y หลายเดือนก่อน

      We msenge kuwa mwelewa magufuli ndiye alituamsha huyu mama anaendeleza kidogo alipoachia magufuli​@@hamzakhamis1575

    • @ameedamilja7992
      @ameedamilja7992 หลายเดือนก่อน

      Hizo ni maani zako. Magufuli alikuwa kafungiwa kuchukua mikopo kila mahali wakati anakufa, hiyo kitu ya kusema Nchi ingekuwa mbali angepata wapi pesa za kuindeleza au unaropoka tuu? Huoni hata ni Mungu tu amebadilisha uongozi maana TZ ingekuwa imekwama kabisa kwani misaada na mikopo ilishasimamishwa wakati wa Magufuli? Acha kuropoka.

    • @PineTree-n9y
      @PineTree-n9y หลายเดือนก่อน

      @@ameedamilja7992 we akili huna kichaa kwani nchi gani inaendelea kwa kutegemea mikopo kwani tuna vyanzo vingapi vya mapato Kodi kila nyumba kwa mwezi au huijui

    • @FalsafaZetu
      @FalsafaZetu หลายเดือนก่อน

      Magufuli angeturudisha nyuma sana

  • @swamymiraji3987
    @swamymiraji3987 15 วันที่ผ่านมา +1

    Nimekukubali mzee ANKO namkubali sana aliyatoa maisha yake kwaajili ya taifa lake...

  • @MZAMILUMNYOTI
    @MZAMILUMNYOTI 29 วันที่ผ่านมา +3

    Upo really kabsa broo

  • @Polycarpmathias-r2j
    @Polycarpmathias-r2j หลายเดือนก่อน +15

    Upo vizuri sana we jamaa na kalugha unakafahamu vzr pia, kongole kwako.

    • @jasiri25
      @jasiri25 หลายเดือนก่อน

      Sio kalugha unakafahamu jamaa ni English language expert

  • @zakazakazi-fn6zy
    @zakazakazi-fn6zy หลายเดือนก่อน +24

    Kaka wewe mwambaaa nakukubaliii sanaaa

  • @zariadunia6328
    @zariadunia6328 หลายเดือนก่อน +30

    Ila ni kweli magufuli ndiye alituzindua sana katunyofoa kenya sasa anayumba mpaka kwenye utalii RIP Magufuli asante mama Samia

    • @aggreymwamakula2937
      @aggreymwamakula2937 หลายเดือนก่อน +8

      Magufuli alikuwa game changer

    • @HomeTown.
      @HomeTown. หลายเดือนก่อน +3

      💪🏿💪🏿💪🏿

  • @khalidbelhasa2137
    @khalidbelhasa2137 หลายเดือนก่อน +32

    Zanzibar, kenya na Tanganyika ni Nchi tafauti,
    Sema Mombasa ilikua ya Zanzibar, muengereza akawapa kenya

    • @tanzanite9944
      @tanzanite9944 หลายเดือนก่อน +5

      Muelimishe jamaa maana hiyo sehemu ya historia ilimpita kando..

    • @zanzibey
      @zanzibey หลายเดือนก่อน +2

      Mombosa ilihongwa na Jemshid 1963 sababu mama yk alikuwa hawara wao Wangereza Zanzibar historia yake ni Pana mno tokea inaitwa Zinjbar mpaka ikawa Zainzalbar hadi Zanzibar

    • @mtulivu-ir1nq
      @mtulivu-ir1nq หลายเดือนก่อน

      Really 🔥🔥🔥

    • @rayisadesigns2646
      @rayisadesigns2646 หลายเดือนก่อน +2

      Hapa Mwalimu Google historia imempiga chenga.

    • @kiddyadams
      @kiddyadams หลายเดือนก่อน

      Kabla ya mkutano wa Berlin na kabla ya Warabu kuja. Hilo eneo lilikuwa linaitwa Swahili Coast na mombasa ilikuwa ndani ya nchi ya PWANI inayoanzia Mogadishu mpaka Msumbiji Pemba. Baada ya vita Oman na Mreno. sultan alishuka Pwani ya Waswahili na kuja mpka Msumbiji na kukaa Kilwa ambao ndio ulikuwa mji mkubwa ya kibiashara miaka hiyo na Bagamoyo. Sultan alipogeuza utawala wa kiasili na kuleta utawala wa kiarabu na kupitia mgongo wa Dini waislam waliungana na kuwa Swahili Coast Oman Sultanate state na head office ilikuwa Unguja. When berling conference ndio ikagawa maeneo kulingana na wajeruman waingereza waraabu, wabeligiji na wareno . Wakaivunja vunja Swahili Coast 😢. Leo Mombasa Pwani state imelazimishwa kuwa Kenya. Na Zanzibar imekuwa Tz. Mafia na Kilwa imekuwa Tz , Comoros na syschelles pia. Nice story ndefu tujifunze zaidi. Wakenya hawakugaiwa Pwani walilazimisha kuungana kilazima coz otherwise Kenya ingekuwa landlocked country. 😂😂

  • @hafifayusuph3781
    @hafifayusuph3781 25 วันที่ผ่านมา +1

    Upo vizuri sana baba ubarikiwe

  • @abdallahkambangwa7215
    @abdallahkambangwa7215 หลายเดือนก่อน +3

    kaka nimekubali wewe ni jenius, upo vzr sana

  • @DevidNgosiyo
    @DevidNgosiyo หลายเดือนก่อน +2

    Uko sawa mchambuzi wangu huwezi kumtenga magufuli kwa maendeleo tuliyo fikia hivi Sasa! kwani msingi wa haya yote ni yeye, Eee. Mwenyezi Mungu na aiweke roho ya Rais Magufuli Mahalia pena peponi Amina.

  • @Pwaguzi
    @Pwaguzi หลายเดือนก่อน +14

    Heko kwa watanzania.. Ni wakati wenu wa kujipiga kifua..Wacha tutie bidii

  • @antoinekatembo8520
    @antoinekatembo8520 หลายเดือนก่อน +4

    Safi sana brother!! True FACTS!!

  • @jewajua2979
    @jewajua2979 หลายเดือนก่อน +1

    🎉Go! Go! East Africans❤ my bantus brothers!

  • @SuleimanAbeid-hg3yu
    @SuleimanAbeid-hg3yu หลายเดือนก่อน +13

    Hujuwi broo mombasa ilikuwa ni ya zanzibar understood

    • @Jambo-w5b
      @Jambo-w5b หลายเดือนก่อน +2

      Huyu Anajisemea tu! Eti Zanzibar ilikuwa ya Kenya! Hajui kama mwambao wote wa Africa ya mashariki from Mogadishu to Beira Mozambique ilikuwa chini ya utawala wa Zanzibar.

    • @HansChuma
      @HansChuma หลายเดือนก่อน

      😂😂😂hamna zanzibar ilikua kenya kaka waingereza walitaka kuwapa wakenya chimba kiundan utajua ndugu hiyo ilikua nibaada ya vita kuu kuisha namagawano ya yakututawala huku kwetu mzee

    • @HasnuuMakame
      @HasnuuMakame หลายเดือนก่อน

      Sio kweli hakuna hicho kitu, Zanzibar ni nchi kongwe sana zaid ya Kenya iweje mtu mkongwe awe ni sehemu ya mtu anaekuja baadae? Kaangalie hayo mataifa mawili yalianza uhusiano na nchi za west lini ndio utagundua kua Zanzibar empire ilikuepo zamani kabla Kenya haijaasisiwa​@@HansChuma

    • @litimbaify
      @litimbaify หลายเดือนก่อน

      Ilikuwa chini ya utawala wa Oman sultanate
      Na sio utawala wa Zanzibar,

    • @Jambo-w5b
      @Jambo-w5b หลายเดือนก่อน

      @@litimbaify Makao Makuu ya sultani wa Oman yalihamishiwa Zanzibar na baadae ndugu wa kifalme wakagawana madaraka.Mmoja akawa ni sultani wa Oman na mwengine akawa sultan WA Zanzibar ambae alitawala mwambao wote wa Africa mashariki .Fuatilia mkataba wa kuutoa mwambao wa Kenya uliofanyika Lancaster huko uengereza. Washiriki na wawakilishi
      Tom Mboya - Kenya bara
      Abdilah Nassir- Kenya Mwambao
      Ali Muhsin - Zanzibar
      Na katika makubaliano wakati wa makabidhiano walikubaliana mambo kadhaa ambayo watu wa Kenya Mwambao wapewe priority.

  • @zaidiissa3714
    @zaidiissa3714 หลายเดือนก่อน +14

    🇹🇿Tanzania Is Self Controlled & Focus In Life 🇰🇪Kenya Is Aggressive & Arrogant In Life 🇧🇪Uganda Is Polite & Confident In Life Kama wewe nimwana Africa mashariki gonga like tusonge nayo nayo haya ndio maishayetu tulio yachagua na viongozi wetu walio yachagua wala tusichukiane kikubwa tuheshomiane tujenge undugu wetu na nchizetu hakuna kama East Africa sisi ni number one Duniani tunaongea Lugha Moja makabila niyaleyale tomeoleana waisilamu na wakristo tunaishi pamoja bila kubaguana tunasaidiana shidazenu nizetu furaha yetu niyenu mungu azidi kutubariki wote sisi na wazazi wetu na vizazivyetu atujaalie mwisho mwema assalamualaikum 🇹🇿🇰🇪🇧🇪 🙏🙏🙏🙏🙏

    • @kiddyadams
      @kiddyadams หลายเดือนก่อน +5

      Safi saana EA FOR Life. ❤ Ila bendera ya Uganda 🇺🇬 ni hii, hiyo hapo ni Belgium 😂🎉. Undugu na umoja ndio ngao yetu.

    • @shinipapaya846
      @shinipapaya846 หลายเดือนก่อน +1

      ​@@kiddyadamsnashukuru kwa kuliona hilo maana mpaka nilikuwa natetemeka nikajua labda UG ishapinduliwa na Uberigiji 🤣🤣🤣🤣

    • @AyubuIkaku
      @AyubuIkaku หลายเดือนก่อน

      Waalaykum salaam warahmatullah wabarakatuh 😅😅

    • @nakeidepaulo2766
      @nakeidepaulo2766 19 วันที่ผ่านมา

      Anyway ila let's what will come after

  • @AminaAbdullah-ws3wy
    @AminaAbdullah-ws3wy 13 วันที่ผ่านมา +1

    I agree with you 💯

  • @Islamictv-l7j
    @Islamictv-l7j 23 วันที่ผ่านมา

    Broo Mimi #kanyukatv nimeona ni like unaongea very point kwa magufuli umeongea good magufuli alipambana

  • @festojoelkichele9382
    @festojoelkichele9382 หลายเดือนก่อน +3

    Sawa mwalimu👍🏿👍🏿

  • @focusmasunga1584
    @focusmasunga1584 หลายเดือนก่อน +6

    Kaka uko vizuri

  • @KingMswati-i8e
    @KingMswati-i8e หลายเดือนก่อน +5

    Kaka nimekuelewa sana upo sawa kabisa

  • @JumaFakki
    @JumaFakki หลายเดือนก่อน +5

    Huu ni ukweli kabisa kaka mungu akurinde

  • @khalilyjuma813
    @khalilyjuma813 หลายเดือนก่อน +1

    Ni kweli Tanzania tunalima sana tuna chakula kutosha

  • @JohnMassawe-t5m
    @JohnMassawe-t5m หลายเดือนก่อน

    Uko vizuri tafadhali wafundishe madhara na ubeberu wa GMO

  • @ISSAJR-f5
    @ISSAJR-f5 หลายเดือนก่อน +2

    MOMBASA ILIKUA ZANZIBAR EMPIRE..

  • @SalumMajorhood
    @SalumMajorhood หลายเดือนก่อน +14

    4 sure MAGUFULI is the best of the best leader God bless MAGUFULI and rest in peace👏👏👏

    • @robertphilip385
      @robertphilip385 หลายเดือนก่อน

      Mwasisi wa wasiojulikana

    • @raphaelkessy7360
      @raphaelkessy7360 หลายเดือนก่อน

      Magufuli👍🔥🇹🇿

    • @raphaelkessy7360
      @raphaelkessy7360 หลายเดือนก่อน

      Hata Mama Raisi wetu ana jitahidi hasa miradi mikubwa yaki mkakati Kazi ina endelea

    • @shinipapaya846
      @shinipapaya846 หลายเดือนก่อน

      ​@@robertphilip385ww ndio mtekaji kuma we chunga bakuli lako au unataka tujue unapoamka kisha uvishwe shanga kiunoni?

  • @MartinLaban
    @MartinLaban หลายเดือนก่อน +4

    I love 💕 my country

  • @AndrewKonga-zp6ch
    @AndrewKonga-zp6ch 21 วันที่ผ่านมา

    Ni kweli kabisa

  • @abdallabundala404
    @abdallabundala404 หลายเดือนก่อน +4

    Broo umeongea facts VITA YA RUSSIA NA UKRAINE, imetuzindua wengi. Mm siamini tena maendeleo kwenye demokrasia.

  • @JustinMwanzeni
    @JustinMwanzeni หลายเดือนก่อน

    It is true brother unaongea ukweli shukran sana

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 28 วันที่ผ่านมา

    This man is ok politically 🎉🎉

  • @eliasnicolaurobath6864
    @eliasnicolaurobath6864 หลายเดือนก่อน +2

    Safi ndugu upo sahihi na ukweri huwa unauma sema zaidi na zaidi watanzania wengi ni machawa ira wewe ni mkweri

  • @Mosesnsolo
    @Mosesnsolo หลายเดือนก่อน

    Nakubali sana blaz

  • @LydiaZainab-ri8bw
    @LydiaZainab-ri8bw 16 วันที่ผ่านมา

    Uyu asalimiwe

  • @lucyhaule-q6j
    @lucyhaule-q6j หลายเดือนก่อน

    very nice broo

  • @ImmaJulius-rg4yf
    @ImmaJulius-rg4yf หลายเดือนก่อน

    Safi sana kijana

  • @MahmoodAhmed-yt9me
    @MahmoodAhmed-yt9me หลายเดือนก่อน +2

    Mombasa ndio ilikuwa sehemu ya Zanzibar soma historia vizuri halafu wakenya wanachukulia kuzungumza kiingereza (lugha ya kikoloni) ndio kuendelea kwa hiyo pigeni sana kiingereza

  • @SafayaPlatnum-zz1dz
    @SafayaPlatnum-zz1dz 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Nakufatilia sana kaka mana unaongea ukweli mpaka nahisi moyo wangu kuhisi magufuri anazunguka akilini mwetu

  • @PureSoul-rf4xd
    @PureSoul-rf4xd หลายเดือนก่อน +1

    Kweli kabisa uwewizi kumshau John Pombe Magufuli kweli sifa tunazpoata Magu alidhubutu hali ilikuwa mbaya haswa, lazima tuseme ukweli wa Mungu

  • @golebenson4597
    @golebenson4597 หลายเดือนก่อน +1

    MAGUFULI BEST LEADER

  • @RevocatusSebastian-c8o
    @RevocatusSebastian-c8o หลายเดือนก่อน +5

    Wakenya wanapenda kukimbilia ulaya na America bdala yakujenga nchi yao watanzania wengi hawapendi kwenda nchi zakigeni

    • @robertphilip385
      @robertphilip385 หลายเดือนก่อน

      Watanzania wanatamani sana kwenda ulaya lkn watanzania wengi hawajui luga ya kigeni tumebaki na siasa uchwara na wizi wakura

    • @RonnieBertin
      @RonnieBertin หลายเดือนก่อน

      Acha upumbavu wabongo wangapi wapo bongo wametoboa.

    • @abdulomari4932
      @abdulomari4932 หลายเดือนก่อน

      Hawajui kingereza ndomaana hawaendi

    • @GwakisaEzekiel
      @GwakisaEzekiel หลายเดือนก่อน

      ​@@abdulomari4932Kenya kuna njaa ndio maana mnaikimbia nchi yenu😂😂

    • @our10picks18
      @our10picks18 หลายเดือนก่อน

      Pumbaff 😏 Omba omba wengi sana watanzania wamejaa Kenya!

  • @Robert-p7c1k
    @Robert-p7c1k หลายเดือนก่อน

    Umegonga ndio👏👏👏👏

  • @haswatoo009
    @haswatoo009 หลายเดือนก่อน

    Big up boy 🔥🔥🔥

  • @Abdulrahmanhassan18
    @Abdulrahmanhassan18 หลายเดือนก่อน

    Hii ni zaidi ya shule, ahsante sana kwa maarifa

  • @Chw_Kdmn83
    @Chw_Kdmn83 หลายเดือนก่อน +1

    Kuhusu zanzibar historia imekupiga....

  • @mashramadhani1989
    @mashramadhani1989 หลายเดือนก่อน

    HUYU JAMAA ANATULETEA MAMBO MAZURI SANA

  • @jumafaki7473
    @jumafaki7473 หลายเดือนก่อน

    nakupenda maneno yako , Ila kilwa ilikua inchi , ikitawala , msumbiji mpaka rasi ya somalia , Zanzibar Tena ikatawala ,Kama kilwa , ilivotawala kilwa, ikitawala pwani ya Tanganyika mpaka lamu, Mombasa

  • @IssahAlen
    @IssahAlen หลายเดือนก่อน +1

    Well said kaka

  • @abdallahibrahim280
    @abdallahibrahim280 หลายเดือนก่อน

    Tusome na kuelimika na akili nyingi zisituondoe maarifa. Kongole kwa udadavuzi makini❤❤❤❤

  • @johnsebastian-bx6qn
    @johnsebastian-bx6qn หลายเดือนก่อน

    Yes is true brother

  • @izamahmasaki4795
    @izamahmasaki4795 หลายเดือนก่อน

    Big up Brother

  • @mbirimartins3597
    @mbirimartins3597 26 วันที่ผ่านมา

    Ribukeni mwehu mkubwa!! Tanzania inahitaji miaka 30 kufikia Kenya

  • @zedmsuya420
    @zedmsuya420 หลายเดือนก่อน +2

    Fact+reality+materials hongera mparee

  • @jumjumsaid3552
    @jumjumsaid3552 หลายเดือนก่อน

    Yeye ndio ameiangusha kenya na wizi wake wakijinga

  • @GeradinaJohn-xh8pw
    @GeradinaJohn-xh8pw หลายเดือนก่อน +4

    Hongera sana

  • @alsalihintvonline9232
    @alsalihintvonline9232 หลายเดือนก่อน

    Kweli Sana bro Mimi ni mkenya na ni dereva wa lory nasafiri Mombasa na lusaka Zambia.kweli Tanzania ipo mbali sahivi naona mwenyewe hiyo sio chuki ni challenge tu ili. Tuwe na bidii

  • @evansogutu4167
    @evansogutu4167 หลายเดือนก่อน +2

    Tanzania wametushinda ...kutekana

  • @MikidadChwaya
    @MikidadChwaya 11 วันที่ผ่านมา

    Fidia ya kuwapa wakenya mombasa tuliongezewa umiliki wa ziwa victoria kiukubwa

  • @kilogreek4050
    @kilogreek4050 หลายเดือนก่อน

    YOYOTE ATAKEYOCHUKIA UKWELI UMEMFIKIA SUPER MESSENG ✊️💪♥️🙏

  • @Purity-j5j
    @Purity-j5j หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂tuko sawa sisi wacha tukufe njaa vile nyie mnasemaaa aty mombasa ni 😂😂😂😂😂😂😂

  • @mkongofundi4828
    @mkongofundi4828 หลายเดือนก่อน

    Asante Asante mungu magufu ndiyo laisi bala kabisa

  • @mnjaladonald9834
    @mnjaladonald9834 27 วันที่ผ่านมา

    Ukweli mtupu

  • @LydiaZainab-ri8bw
    @LydiaZainab-ri8bw 16 วันที่ผ่านมา

    The problem with bongolalas ni eti wanadhani tanzanite iko kwao tu...hiyo madini iko Kenya pia tunaita tsavorite Kwanza ya Tanzania ni blue ya Kenya ni green,,then point of correction...Kenya maandamano si eti UNGA tu sisi huandamana Kwa sababu zetu za wenyewe ila twasema unga tu...GDP yetu iko juu ya Tanzania pia GDP per Capita tumewazidi,so enda uoshe USO kwanza ndiposa uje kutu address sisi

  • @RACHELKERUBO-k4n
    @RACHELKERUBO-k4n หลายเดือนก่อน

    Bro you're being blackmailed and you feel motivated

  • @chrispinusshibona4118
    @chrispinusshibona4118 หลายเดือนก่อน

    Leo ni kuzuri Tz, kwetu kuna misuko, tutaipita hii yote kisha tutajenga, tutaifanya hio biashara

  • @patrickndizeye2190
    @patrickndizeye2190 หลายเดือนก่อน +1

    Wow❤

  • @zumastaphar4053
    @zumastaphar4053 หลายเดือนก่อน

    Mm nakuomba siku moja utupatie full detail point why magufuli ni Bora kama Nyerere

  • @HalfanMaulid
    @HalfanMaulid หลายเดือนก่อน +1

    ❤🎉🎉🎉🎉😅 salute

  • @SalimVunga
    @SalimVunga 24 วันที่ผ่านมา

    Lazima ukienda nchi jirani ukawasifie

  • @ednamugezi3560
    @ednamugezi3560 หลายเดือนก่อน

    Mombasa was part of Zanzibar

  • @FadhiliAlly-fy2tx
    @FadhiliAlly-fy2tx หลายเดือนก่อน +5

    Wao wanategemea kuandamana maisha yao yawe mazur. Wakat wabongo wanafanya kaz Tanzania hapa kaz tu

    • @joycelinelyimo-fenske8745
      @joycelinelyimo-fenske8745 หลายเดือนก่อน +2

      Lakini wakenya wana bidii ya kazi kuliko hata sisi Watanzania. Shida yao ni ukora tu but they are very hardworking. Sijawahi kukutana na Mkenya mvivu.

    • @AmazingMania
      @AmazingMania หลายเดือนก่อน +1

      Unadhani kuandamana ni shida .....mtaamka tu

    • @joycelinelyimo-fenske8745
      @joycelinelyimo-fenske8745 หลายเดือนก่อน

      @FadhiliAlly-fy2tx na wewe acha ukora. Kweli mlitawaluwa na WABRITISHI. Ona mlvyofanana nao aggressive at just simple pinch. That means you are really favoured and spoiled. Watanzania wana kaujermani kidogo which means " keep on working " kwa kiswahili " kazi iendelee"

  • @rukiaiddyyahaya9506
    @rukiaiddyyahaya9506 หลายเดือนก่อน

    Mandugu

  • @MkonoZacharia
    @MkonoZacharia หลายเดือนก่อน

    Leo umejipanga umeongea point saf

  • @adamsengo1869
    @adamsengo1869 หลายเดือนก่อน

    Mombasa ndio ilikuwa ya tanzania na KILIMANJARO ilikuwa kenya

  • @machinefannatic99
    @machinefannatic99 หลายเดือนก่อน

    haijalishi

  • @MauroZaratte-r4r
    @MauroZaratte-r4r หลายเดือนก่อน +2

    Zanzibar na coast region ni moja wala sio Zanzibar na kenya upo hpo

  • @mosesngelej
    @mosesngelej หลายเดือนก่อน

    Hakuna ubaya kusifia mwenzako anapofanya vizuri

  • @ramdanmbara8500
    @ramdanmbara8500 หลายเดือนก่อน +1

    Mimi siku zote nakukubali, ila jambo moja umekosea. Zanzibar haijawahi kuwa sehem ya Kenya. Spokuwa pwani yote ya Kenya na Somalia mpaka Kidmayu ilikuwa chini ya Sultani wa Zanzibar Ndio maana Jomo Kenyata alipodai mlima Kilimanjaro Nyerere nae akaanza kuidai Mombasa na Lamu.

  • @vusumuzi_mathumo
    @vusumuzi_mathumo หลายเดือนก่อน +1

    Kenya na tanzania zote niinchi maskini

  • @GideonMate
    @GideonMate หลายเดือนก่อน +2

    Yani watanzania hamujui ruto ni muongo?😂

  • @lawskuli9876
    @lawskuli9876 หลายเดือนก่อน

    Rushwa ndio issues katika nchi za Afrika jambo ambalo ndio linayomaliza Kenya

  • @focusmasunga1584
    @focusmasunga1584 หลายเดือนก่อน +2

    Ukweri unasimama hata kama utaucherewesha

  • @DeborahSichone-b9c
    @DeborahSichone-b9c หลายเดือนก่อน

    Tunamshukuru muumba wetu

  • @ayoublupande3007
    @ayoublupande3007 หลายเดือนก่อน

    Ha😂sema ukweli kabisa 😅

  • @willymakau7910
    @willymakau7910 หลายเดือนก่อน +1

    This is inter trade not economy wise bro listen carefully.he is talking about the trade between member state

  • @hassanibakari9667
    @hassanibakari9667 หลายเดือนก่อน

    Umeongopa

  • @kassimmussa4468
    @kassimmussa4468 หลายเดือนก่อน +2

    Acha kupotosha Jamii, Zanzibar ilikuekeko na kujulikana kabla ya Kenya na Tanganyika, Zanzibar ilikua ikitawala mwambao wote wa pwani ya East Africa ,Mombasa Ilikua sehemu ya Zanzibar, sasa Zanzibar ndio ilio ipa kenya eneo la Mombasa na mpaka leo baadhi ya wamombasa hawaitaki kenya

    • @obyigogo9920
      @obyigogo9920 หลายเดือนก่อน

      Sawa kabisa

  • @RaheliMollel-v3d
    @RaheliMollel-v3d หลายเดือนก่อน

    MAGUFULI oyee

  • @barakasaimon-f6m
    @barakasaimon-f6m หลายเดือนก่อน

    Hamkutupa Zanzibar kiuhalisia Zanzibar ni yetu ndio sababu watu wa mombasa ni waswahili zaidi. Mombasa ni sehemu ya Zanzibar na Zanzibar ipo Tanzania sio kenya.
    Ila sababu Muingereza alikua anaishi Kenya ndio Sababu mnaona kama ilikua yenu.

  • @omarymaulanaqullaten760
    @omarymaulanaqullaten760 หลายเดือนก่อน

    Zanzibar ilikuwapo na mamlaka yake kabla Kenya na Tanganyika,kisha mamlaka yao yakatekwa na waingereza na baadae wao wakaamua wao kuiweka ama Tanganyika au Kenya.

  • @abdalaalishauri6121
    @abdalaalishauri6121 หลายเดือนก่อน

    Zanzibar haijwahi kuwa sehemu ya Kenya ila Mombasa ndio ilikua sehemu ya Zanzibar pamoja na maeneo mengine ya pwani ya Afrika mashariki, rudi kwenye vitabu vya Historia

  • @MohamedSleyim
    @MohamedSleyim หลายเดือนก่อน

    Mwanza imeshuka sana kutokana na kuongezeka kwa idadi ya watu wakati uzalishaji ukipungua.

  • @ksmally1985
    @ksmally1985 หลายเดือนก่อน

    Sio kweli 😅😅😅

  • @kwisa4899
    @kwisa4899 หลายเดือนก่อน +3

    Wewe unamuamini Ruto,Ruto na mama samia ni wana siasa wene safari ndefu kisiasa kauli ya ruto ni kuomba sympathy ya Mama kutuliza vurugu za kenya.

  • @KamiliKapeta-yr3uc
    @KamiliKapeta-yr3uc หลายเดือนก่อน

    Niwakumbushe wakenya paundi nikubwa kulikola dola

  • @zuuomar4657
    @zuuomar4657 หลายเดือนก่อน

    Sio kweli Zanzibar haikua Kenya, Mombasa ndio nilikua sehemu ya Zanzibar

  • @Hilali-ff5ul
    @Hilali-ff5ul หลายเดือนก่อน

    Mbona muuongo ww Zanzibar tokea lini ilikua ya Kenya ,,na Hal ya kua ,,Mombasa ndio ilikua ni part ya Zanzibar,,

  • @wadudi2741
    @wadudi2741 หลายเดือนก่อน

    Wallah ningekuwa raisi ningeifanya picha ya magufuli katika vitengo

  • @RonnieBertin
    @RonnieBertin หลายเดือนก่อน

    Fact juu ya fact wape vidonge vyao bro