Mnaijelia yupo vizuri zaidi ya mtango na amempiga kwa skills nzuri sana.majaji wamempa mtango yeye mwenyewe ameshangàa kuambiwa ameshinda. kubebana huku kunawafanya mabondia wetu kua wazaifu.
Aache kusema mwakinyo ni level yake anatakiwa aseme mwakinyo ni weight yake na sio level yake mwakinyo amefanya makubwa na ule mkanda wa WBO AFRICA sio wa kitoto
Mnaijelia yupo vizuri zaidi ya mtango na amempiga kwa skills nzuri sana.majaji wamempa mtango yeye mwenyewe ameshangàa kuambiwa ameshinda. kubebana huku kunawafanya mabondia wetu kua wazaifu.
Mafia Boxing mnaharibu ngumi,mnaharibu mabondia wenu
Munawavunjanguvu watu hamuangalii haki mungu atawachoma mtu kapigwa sasa anashindaje
Mdogo wangu mtango duh😂 ndy unamsema vibaya mwakinyo jiangalie ndg mm nakuomba jifunze kupitia mwakinyo
Mesi wa ngumi kapigwa km bata 😅
mtango namkubali sana ila hapa kapigwa kama amekodiwa 😅😅😅
Uyu mnigeria cyo powa n level yakina fadil majiha au kidunda
Messe amekuwa nesi jamaa anachukuliq ngumi mazoea2😅😅😅
Mtango kapigwa ila sisi wabongo tumezoea kubebana
Wachambuzi hamjui kuchambuwa vizuri
Kiukweli mtango kapigwa
Muulizeni mwenyewe salim mchanjo jee kashinda hili pambano
Mtango Kala Kichapo majaji wafukuzwe wote au vipofu hawo majaji
Hii ni aibu sana kwa nilichokuona mimi
Mmh sio mtango yule alizoeleka hii hpn kapiteza bila wasi ila kwa anaelewa mchezo wa boxing hii ni kawaida popote pale duniani.
Mtango hajampiga uyo ila amejitaidi kucheza naye
Sio kweli majaji wamezingua bondia wangu mess kapoteza
Mtango kw tango ss .jifunze kwa mwakinyo kwa gumi hizo ww bado sn acha mazoea gumi fanya km kazi
msiandae mapambano maana hawo majaji feki
Somba ajui ngumi Bhana anataja ngumi zisizosahihi tafuteni mjuzi wa ngumi kwenye kuchambua
Mtangoleoumepigwa
Messi wa wapi ni ushuzi tu
Kiukweli mmemuharibia Lateef rekodi yake tu very unfair.
Aibu naona mimi dah
Aibu
Ni ubora wa mpinzani au maandalizi mabovu? tumepigwa hii
Mesi kapigwa haibu hiyooo
salimu mna mbeba kama mtoto wa miezi mitatu beana
Aache kusema mwakinyo ni level yake anatakiwa aseme mwakinyo ni weight yake na sio level yake mwakinyo amefanya makubwa na ule mkanda wa WBO AFRICA sio wa kitoto
We nae hujui lolote alokwmbia mwakinyo na mtango weight moja nani fatilia ndy uongee utatia aibu.
Hata aibu mtangazaji amepata
KacheZa ovyo sjui maandaliz au nn
ILE (ALBADIR BAYANA)ISHAANZA KUFANYA KAZI MMOJA BADALA Y MWINGINE..
Ilisemekana mango alikua hayupo Maria. Alikua amepingwa stop pengine imechangia
Bondia pekee nchi hii anayeshingdaga bila malalamiko nimwakinyo tu wengne majaji bhan
Huyu lazima Arudi tena tumpige KO.Champion Mara hii Amemchezesha sana.Hakua Akisimama ktk Ubora na mchezo wake wa Asili.
Mnatia aibu sana
HILI PAMBANO NDUGU YETU KAPEWA .. ZULMA .
MTANGO HANA MAZOEZI MAKALI ANACHUKULIA NGUMI ANAZIJUA .
Tuw na haib ata kdg tu jmn ivy munvy fany munawavunj wat2 nguv mtang kapotez iy mech waseng nyie mulio tow matokeo
KIUKWELI INASIKITISHA. KWA MAAMUZI. ILA MUNGU ANAWAONA
Mtango kapigwa judges wanazingua
Mukubali mukatae tz hakuna bondia km makinyo
Ww chiz mwakinyo sio bondia kabisa mtango huyo dogo bondia huyo mnigeria hatari
Huu mtango nibondia mzur tu ila anatakiwa kufanya mazoezi nasio maneno nachuki zakijinga pia anatakiwa kukubali mwakinyo nispecial boxer kwa hapa tz
Hapana kila mtu mwakinyo sio bondia ajakutana nabondia mkali kama huyu atapigwa kama kitenes
Ujinga mnafanya nyinyi aibu anapata mama samia
Robbery 😂
Mwakinyo chiz tu hakuna bondia pale