Jamaa anajua, yuko fit , humble, bwana mdogo, na nnavyomuona huyu anaweza kuwagonga mabondia wengi kibongobongo..!... .big up predator welcome again Tz, boxing spreading love peace and harmony ...🤜🤛
Wellem is a good boxer I advice him in rematch against Kidunda or anyone from Tanzania, to fight in south Africa, why? Because Tanzanian boxers they like to fight in Tanzania to get privileges from our judges as they done at Kidunda's Wellem bout! Wellem he won the fight but judges they lifted up Kidunda and to said its a draw when isn't true ! So my opinion the rematch against Kidunda to be take place in south Africa or anywhere in Africa, except Tanzania!!! I like Wellem, I'm fan of him and he will success in boxing.
Sisi kama Kenya tunajua hakuna wakupigana na uyu dogo lkn pia TZ hakuna Mwakinyo hawezi this boy is too hot 🔥 i congratulate KIDUNDA he made east Africa proud kwa hio draw. Si unaona Mwakinyo anamwogopa awezi kua mtoto na ni rika ya ELVIS AHOGA 😂😂😂😂
Hao wote alio wapiga twaha na selemani niwachovu huyu akijichanganya kwa mwakinyo kitakacho mkuta hatokuja kusahau atapigwa mno tena round ya kwanzatu biashara imeisha.
Mwakinyo mm ni ndugu yangu wa mkoa mmoja ni bondia kwelikweli ila nimuoga alikua anataka kiduku alivyoona kiduku yupo siliasi alianza maneno ohh siwezi nikamsindikiza mtu kwenye mafanikio sasa na uyo msauz bado atasema ivoivo siwezi kupigana na mtoto mdogo yani uyo hataki kuchaguliwa bondia anataka kuchakua mwenyew 😏
Huyu kibimo wake mwakinyo tu akn mfaume atatutia aibu tu kuliko mfaume ni bora apambane na ibra class hp bongo me nawakubla ibra na mwakinyo kduk anapambn akn c kivile
Nyie mnaombeza Mwakinyo akili amna tatizo mabondia wenu mliopigwa na uyu jamaa ndio shida yenu ata kiba aliambiwa ana zarau kwa sababu ana shobo ndio Mwakinyo apigani ngumi kisifa
Huyu hamuwezi mwakinyo hata huyo Kidunda alifeli padogo sana pale alipopata nafasi ya kumaliza akaruhusu kukumbatiwa lakn Mwakinyo hewez kukubali yani apate nafasi ya mpizani kulewa😂😂😂 atamvunja taya
Mwakinyo ndio boxer anaejitambua tz apigani kimwamko na apigani kisifa sijui gari sijui pikipiki sasa awo vilaza wenu waliopigwa mimacho imewavimba kama mafundi saa usilete chuki zenu kwa Mwakinyo
Mwakinyo atazame machampion wakiojiwa wanavyojibu, hawajisifii sana Wala hawavimbi na niwazuri wanazidi kupendwa na kupata mashabiki hata nje ya mipaka Yao, sasa we endelea kuvimba ipo siku utapigwa ndani ya ardhi ya Tanzania alafu tutashangilia
Kaka umetisha umeyatimba mpaka kwa mjukuu wamandera love mutch bro
Kwa elimu zetu SOMBAAAA UMEJITAHIDI SANAAAAA BIG UP DOGOOOO LANGU, APO AZAM AWEKE HELLA APIGANE NA MWAKINYOO TU
Mwakinyo wa kawaida Sana kwa mchizi atakufa mwambien
Mwakinyo ni mtu mbadi sana dogo utafia uwanjani,,,Mwakinyo anakera mdomoni na anakera ulingoni
Somba ni Mmoja tu,Nchi hii
Mwakinyoo hawezi huyu MTU ni noma
Somba unajua Sana kutukosha mashabiki wako saluty kwako
Mwaknyo anajua ngumi mnae sema. Hajui ngumi mnachuki tu mleteni muone
Great job 💯 Dar24
Mtanga atachapwa vibaya😂😂 huyu dogo anajua
Sema kama kweli mpenda ngumi na siyo mahabiki utamuelewa sana huyu dogo..he is smart
Dogo umevimbewa wew,,,Mwakinyo ni next level naona dogo unatafuta pa kufia
Kakayenu kudunda anaujuwa mziki uyu mtoto sio poa
Nimekunali maneno ya twaha Hassan Ni muoga
Jamaa anajua, yuko fit , humble, bwana mdogo, na nnavyomuona huyu anaweza kuwagonga mabondia wengi kibongobongo..!...
.big up predator welcome again Tz, boxing spreading love peace and harmony ...🤜🤛
Humuwezi champez
Somba uko vzr.
Safi sana dar24 pamoja na wewe somba
Salute malume
Huyu dogo anamashabiki wengi sana Tanzania anadamu ya kitanzania
mwakinyo skill boxer ndogo atatulia kama moja
Safi Sana aje tu kwa mwakinyo aonyeshwe shoo
Mwakinyo aje uku South mnataka apendelewe
Sasa apo tutaona starehe
Sio wale MAKURI
Hiyo tshirt aliyovaa "MAFIA"Mwakinyo hakubali kupigana nae😅😅😅
Wellem is a good boxer I advice him in rematch against Kidunda or anyone from Tanzania, to fight in south Africa, why? Because Tanzanian boxers they like to fight in Tanzania to get privileges from our judges as they done at Kidunda's Wellem bout! Wellem he won the fight but judges they lifted up Kidunda and to said its a draw when isn't true ! So my opinion the rematch against Kidunda to be take place in south Africa or anywhere in Africa, except Tanzania!!! I like Wellem, I'm fan of him and he will success in boxing.
Kumbe mwakinyo anasema kwenye mitanda km dgo anamtak lkn kumbe hmtakiii
Huja msikiliza vizuri hembu rudia tena
Itakuwa kivumbi na jasho
Uyo jamaa akicheza na mwakinyo hawez kumaliza mwakinyo hatar jamani anajua ngumi dogo atafia uwankan
Mwakinyo hamuwezi uyo ndyomana anamkwepa alafu uku anajifanya anamtaka nikama kwa kiduku tu.. Mwakinyo niwakawaida mbona.
Unakaribishwa dogo
Mwakinyo hamuwezi huyo dogo mwakinyo mdomo tuu muoga sana
Dogo kwa champez umeyaka nyaka
Somba yupo mmoja tu😂😂😂
Mwakinyo hana ujuzi zaidi ya kuchagua ndizi zile tunazoziona,kwa kipi hasa ampige Wellem? Labda juju! Lkn ujuzi aah wa kawaida sana mtoto wa makorola.
Hao alio pigana nao wote wanatumia maguvu tu ila mwakinyo nahuyo dogo ngumi zao zinafanana wanatumia akili nyingi
mwakinyo hua mzito huyu chalii mwepes sana huwez fananisha
huyu jamaa anapigika huyu ni mjanja anakimbiya sana mnamzarau mwakiyo atafanya kitu mtashanga
Dogo anajua lakini kwa mwakinyo laund ya8 anakaa
It's a good interview but announcer can not translate to other fans..that's problem.
Somba mbona maneno mengine haujaongea kiswahili hd kwa mwakinyo ndio unaongea kiswahili
Champenz awezi pigwa kama unsvyofilia anatumia akili nyingi
Sisi kama Kenya tunajua hakuna wakupigana na uyu dogo lkn pia TZ hakuna Mwakinyo hawezi this boy is too hot 🔥 i congratulate KIDUNDA he made east Africa proud kwa hio draw. Si unaona Mwakinyo anamwogopa awezi kua mtoto na ni rika ya ELVIS AHOGA 😂😂😂😂
Hao wote alio wapiga twaha na selemani niwachovu huyu akijichanganya kwa mwakinyo kitakacho mkuta hatokuja kusahau atapigwa mno tena round ya kwanzatu biashara imeisha.
Dogo hafai kuchezea 😂😂
Dogo ni mpiganani mzuri ila Kwa champiz wetu umeyakanyaga dogo
Mwakinyo mm ni ndugu yangu wa mkoa mmoja ni bondia kwelikweli ila nimuoga alikua anataka kiduku alivyoona kiduku yupo siliasi alianza maneno ohh siwezi nikamsindikiza mtu kwenye mafanikio sasa na uyo msauz bado atasema ivoivo siwezi kupigana na mtoto mdogo yani uyo hataki kuchaguliwa bondia anataka kuchakua mwenyew 😏
Tell me. Tell me. Soba tell me 😅
Mwakinyo vs asemahle
Mwakinyo hamuwezi huyo dogo ,, dogo fundi
Somba somba
Huyu kibimo wake mwakinyo tu akn mfaume atatutia aibu tu kuliko mfaume ni bora apambane na ibra class hp bongo me nawakubla ibra na mwakinyo kduk anapambn akn c kivile
Hao mapromotor sijui hawajaona mabondio mpaka wamemuona mfaumo duuh
Ulimbukeni huyo boxer wenu na uwezo mdogo wa kufikiri
Kwan umeelewa walichokuwa wanaongea wenda ujui kingereza kaka 😂😂😂
Wewe kweli dunduka upo upo tu
Mwakinyo muoga ila ngenga nyingi tu.
Daah! Wabongo sisi
Chuki sana na wanaompiga champez hawajui ngumi@@successpathnetwork
Aje ampige na mwakinyo mana anaongea sana na kuwadharau wenzake
Boxing ni mchezo wa tambo.. Huyu hana dharau, umewahi kufatilia interview za Mohammed Ally? Yule ndio bingwa wa tambo
Bro umeanza fatilia boxing lini huuu mchezo mzee unahitaji tambo sana kamsikilize mike Tyson ukajifunze kitu juu ya uhu mchezo
Mwakinyo is typing 😂😂
Nyie mnaombeza Mwakinyo akili amna tatizo mabondia wenu mliopigwa na uyu jamaa ndio shida yenu ata kiba aliambiwa ana zarau kwa sababu ana shobo ndio Mwakinyo apigani ngumi kisifa
Mwakinyo ni muoga hua anachagua wa kucheza nae
Natamani us-screenshot hii comment yako, halafu itunze, ili uje ujifunze kitu baada ya hilo pambano kama litafanyika
Huyu hamuwezi mwakinyo hata huyo Kidunda alifeli padogo sana pale alipopata nafasi ya kumaliza akaruhusu kukumbatiwa lakn Mwakinyo hewez kukubali yani apate nafasi ya mpizani kulewa😂😂😂 atamvunja taya
Mwakinyo ndio boxer anaejitambua tz apigani kimwamko na apigani kisifa sijui gari sijui pikipiki sasa awo vilaza wenu waliopigwa mimacho imewavimba kama mafundi saa usilete chuki zenu kwa Mwakinyo
Boxer anajitambua kwa kushinda mapambano sio kwa kuongea mtandaoni!
Mwakinyo achomoki
mwakinyo hatokubali kucheza na huyo dogo
Mwakinyo atazame machampion wakiojiwa wanavyojibu, hawajisifii sana Wala hawavimbi na niwazuri wanazidi kupendwa na kupata mashabiki hata nje ya mipaka Yao, sasa we endelea kuvimba ipo siku utapigwa ndani ya ardhi ya Tanzania alafu tutashangilia
Mwankinyo atachezea koo mbaya hamwezi dogo
Salala dogo mzuri2 akacheze na wtt wenzake
Dogo anajieleza Safi havimbi Hana dharau kwa mabondia wenzake cyo mwakinyo amejawa dharau ngumi hajui mbahatishaji mabondia anachagua ambao hawana upinzani yani anaboa sana alafu kwani lazima mue mnamuongelea
sasa somba ujiandae kuchukiwa na mwakinyo
Mwakinyo atapigwa
Huyu dogo anamashabiki wengi sana Tanzania anadamu ya kitanzania
Dogo atakaa mapematu