Wakenya HONGERENI Sana Sana Sana. Maana Hii Mijadala Mnayoifanya Ya Kuwaleta Viongozi Wa Makanisa Mezani Ni Jambo LA Kipekee Sana. Na Tunapata Elimu Kubwa Sana Ma Sha Allah.
Kama kuna Muislam awezaye kupangua hoja hizi -> th-cam.com/video/Tubz3qXYMAk/w-d-xo.html MIMI NIKO TAYARI KUSILIMU. NILISITA KUWA MUISILAMU KWA SABABU YA HOJA HIZO.
Hhhhhh aww ma sheikh wetu wapendwa nawapongeza sana kwa vipindi vyote mnatuandalia na nimefurahia sana hii mada hongera sana.na huu pastor nampenda sana anacangamsha mada insha Allah siku moja ataelewa na atasilimu.Allah awasidishie elimu na awap maisha mepesi sana na janatul fildawus kwa upendo wa Allah
JazakumAllah khair for your efforts may Allah reward you abundantly, Suleiman mazinge if you haven’t then you need to do a lecture by itself about Paulo/ Saul InshaAllah!
Kama kuna Muislam awezaye kupangua hoja hizi -> th-cam.com/video/Tubz3qXYMAk/w-d-xo.html MIMI NIKO TAYARI KUSILIMU. NILISITA KUWA MUISILAMU KWA SABABU YA HOJA HIZO.
Shukran kwa viongozi wa Uislamu Bishop amekiri kwamba kazi yenu ya kuwakutanisha inaelimisha. Kwa hivyo ni muhimu sote tujue kwamba kuna Dini ya haki (njia sahihi ya kuishi maisha haya ya Dunia) Mila ya Ibrahimu, alayhi salaam. ile ambayo Mitume wote walikuwa wanaifundisha. Kama kunae anapinga kwamba Dini ya Allah aliofundisha sio Uislamu alete andiko Ukristo ndio Dini sahihi.
Subhanallah kumbe church ama kanisa niya watu waliokuwa wakiabudu nguruwe ambayo mungu wao ni nguruwe maskini wakristo mumepotea nyote na hakuna atakaeuona ufalme wa Mungu,inasikitisha sana jameni njooni kwa ALLAH mpate uzima.
Subhanallah kweli huu ni msba ya mtu bada ya kujifunza wana tukana na kutukana nidhambi kweli kuna watu wakilala motto wakiamka moto matusi ndio dini yao
kulingana pastor gerison ikiwa yesu na shaul ama paulo kama ilivyoandikwa kwa biblia hawajaleta ukristo ni nani alieleta ukristo na hao watu walikua dini gani enzi hizo?
Sheikh Yahya na wengine musichoke InshaAllah jazaa yenu iko kwa Allah(S.W)..hawa washaona ukweli uko wapi na washajua ukweli ni upi na karibuni kama alivyosema Ustadh Mazinge Bi3izzatillah wataukubali ukweli na kuwa sababu kubwa ya watu wengi kuingia katika uislamu InshaAllah.......Innaa nahnu nazzalna ddhikra wa inaa lahu lahafidhun.
alhamdulillaah nimeelewa kuwa UKRISTO SIO DINI na YESU sio muokozi na hajaleta UKRISTO na kwamba kwe biblia kuna maneno yameongezwa na majambazi kwakuwa walikua wakitaka posho ..... yaani wachungaji wamevurugwa mpaka hawajui jina la dini yao .........nashkuru mimi kuwa. ....... MUISLAMU.....
Vipofu kweli. Mtajua ukweli utawaweka huru. Jesus will remain the truth the way and the life. No salvation without the blood of Jesus. He is the only way to enter in to heaven.
Lol : Jesus is the only way?. Why then Jesus said that the spirit of truth will come after him who will guide you to the truth. (John 16:12-14) “I have yet many things to say to you, but you cannot bear them now. 13 When the SPIRIT OF TRUTH comes, HE will guide you into all the truth; for HE will not speak on his own authority, but whatever HE hears HE will speak, and HE will declare to you the things that are to come. 14 HE will glorify me, for he will take what is mine and declare it to you. WHO IS THIS SPIRIT OF TRUTH.
@@Wambuiwakori : which Holy Spirit. Will come?. Wasn't the Holy Spirit, the father of Jesus according to the Bible?. Who exists first?. The farther or the Son?. (METTHEW 1:18) "Now the birth of JESUS Christ took place in this way. When his mother Mary had been betrothed to Joseph, before they came together she was found to be with CHILD OF THE HOLY SPIRIT;
@@suleymanally4729 gwajima ndiye baba yangu na namwaminia sana,,,,na namtambua sana. Maarifa anayo na ndo manake Mungu amempandisha na cheo,,,na bado anamtumikia. Mimi ni m🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪nya but gwajima namwaminia asilimi mia
Nimesahau jina but yuko ustadhi ulaya who can speak Hebrew. I wish he comes to Kenya and debate this black Israel of ours here in Kenya. That's my wish that Allah fulfills one day.
Kama kuna Muislam awezaye kupangua hoja hizi -> th-cam.com/video/Tubz3qXYMAk/w-d-xo.html MIMI NIKO TAYARI KUSILIMU. NILISITA KUWA MUISILAMU KWA SABABU YA HOJA HIZO.
Mchungaji hawezi kujitegemea ila kijificha na kutegemea nguvu za MUISRAEL MJALUO,japo yuwaona wazi kwamba yuwampinga na kumdhalilisha. WOTE HAWA WANAFANYA KILA JUHUDI KURUKARUKA ILI WATUNZE MASLAHI YAO YA SADAKA KUTOKA KWA WAUMINI WAO WALIO POTEA.
Kama kuna Muislam awezaye kupangua hoja hizi -> th-cam.com/video/Tubz3qXYMAk/w-d-xo.html MIMI NIKO TAYARI KUSILIMU. NILISITA KUWA MUISILAMU KWA SABABU YA HOJA HIZO.
Hao wanaleta ujanja tu hawawezi kujibu maswali ya Shekh mazinge watababaisha tu mpk mwisho km wanasema hiyo tafsiri sio kweli siku watafuteni walete hiyo bibilia ya hiko ki ibarania kisha watafsri km waislam tunavofanya quran
Haaa hata wewe muislam unaongea hivo umeritadi nn umepotea ndugu kumuamini binaadam mwenzio aliyezaliwa na mwanamke kama wewe kumuita mungu Innalilah wsinna illah rajiuni Yesu katahiriwa,yesu Alliingia msikitini kuswali masinagogi,Tena rakaa mbili kila kabla sabato na kumaluza sabato jamani nyie kumbukeni Yesu hakufa wala hakusulubiwa,Yesu aliwakimbia mayahud kutak kumuuwa na alisema yeyote anaetundingw mtini basi hyo ni dhamb ya shetani sasa leo hii angalia wewe mwajuma wajina wa make wangu mpendw na bibiangu mpendw wote sala tano nakushangaa wewe leo unaungam jam tesu ni mungu upo hasaraaaani
Huu ni uongo mkuuu. Lakini maana nimeshajua kuwa uislam umekuja miaka ya 600 na.. Msidanganye watu kwa makusudi. Maana wenyewe mnajua kuwa tulichoshika kina nguvu.. Yesu Kristo wa Nazareth.
Tumsifu YESU,..Yesu katika Mathayo 16:18 anasema atajenga kanisa...Paulo hapo hakuwepo,,hii inatuonyesha Hilo ni baraza la mizaa(zaburi 1:1-2)...na msimtafute mpinga Kristo mbali...tayari hawajifichi wanaonekana waziwazi...katika Mathew 10:16-17 katika masinagogi yao watawapiga ,si bishi hapo Kama masinagogi ni misikiti(ufunuo2:9/3:9)hapo utabaini why sibishi...halafu Biblia haisomwi Kama Quran ama gazeti lazma uongozwe na Roho....kuhusu kutahiriwa,hiyo ulikuwa ni sheria...(wagalatia4:4) YESU alizaliwa chini ya sheria ili atukomboe kutokana na hizo sheria coz wengi walikuwa wanatahiriwa mwili lakini Matendo Yao yalichukiza,,,Petro katika acts 10:28...... alikuwa akihubiria waliotahiriwa,Yesu akamlazimisha ahubiri hata pia kwa wasio tahiriwa...kwa hivyo so Paulo pekee akihubiria wasiotahiriwa hata petro....kuhusu jina sauli to Paulo soma acts13:9 sauli alitumia jina hilo wakati hakuwa anamjua YESU,Paulo analitumi iShara ya mtu aliyebadilika kutoka gizani(shetani) kuelekea kwenye nuru(YESU)...mbona mtu akiislim huwa mnambadilisha jina?jina halipeleki mtu mbinguni ni utakatifu pekee....mpinga Kristo ni anayemkataa Yesu...je wewe waamini 1john4:3///2:22///2:18 na2john1;7 Kama huamini wewe ni mpinga Kristo....Biblia haisomwi Kama gazeti john5:39
@@ramadhanilukambuzi9760 tumsifu yesu mtumishi;kanisa sio jengo ni miili yetu;petro maana yake ni mwamba,yaani kwa kumuamini Yesu na kumtambua kuwa ni mwana to Mungu aliye hai,yeye mwenyewe yaani petro alijengeka na kuwa kanisa la nguvu,,sio jengo..ndugu Yangu mpendwa ukimuamini Yesu (Mungu wangu),,utafanyika kanisa ambalo hakuna lolote litakushinda..majini yatatetemeka ukimuamini Yesu Katika roho na kweli..1corintians3;16-17//6:19////Katika matendo ya mitume 7:47-51,,Mungu hakai misikitini au Katika kanisa jengo,,anakaa ndani ya kanisa linalomuamini na kumtii ambalo ni miili yetu....john14:23 mpendwa yesu akifanya makao ndani yako,hakika umekwisha fanyika kanisa ambalo dengue milango ya kuzimu haita kushinda,,mpendwa,ukimuamini yesu umeipata njia iliyonyoka...Amina ndugu,barikiwa Sara.
@@ramadhanilukambuzi9760 tumsifu yesu mtumishi,uongofu si ushabik ni mtu binafsi usiseme wakristo kujua sheria,,je wewe binafsi wazijua?na kama wazijua wazifuata????hukumu ina Yesu mwenyewe lie sisi kuhukumu:::mathew7;1//warumi2;1///mathew25:31...barikiwa sana mtumishi..Amina
ماشاءاللہ ماشاءاللہ
SHEKH SULEYMAN ALLAH AKUHIFADHII
45:51 45:53 45:55 45:56 45:57 45:58 46:00 46:00
Wakenya HONGERENI Sana Sana Sana. Maana Hii Mijadala Mnayoifanya Ya Kuwaleta Viongozi Wa Makanisa Mezani Ni Jambo LA Kipekee Sana. Na Tunapata Elimu Kubwa Sana Ma Sha Allah.
Shukran kwa mdahalo huu masheikh wetu,endeleni hivo tu kuwapa darsa wakiristo Allah huenda akafungua nyoyo zao wakaifahamu haki na kuiepuka batil
MashAllah. Wallah unaongea kwa yakini. Na ukweli kabisa.
M'MUNGU akuzidishie uongofu na akulinde na maadui ishaAllah
Nakupenda Bishop Bwana akuwezeshe zaidi uwafundishe Wokovu wa Kristo Yesu
Asichokiongoza mungu binadamu hawezi
Masha Allah tabaarakallah! Allah awalinde na awabariki mashekh wetu kwa kazi nzuri mnaifanya
Kama kuna Muislam awezaye kupangua hoja hizi -> th-cam.com/video/Tubz3qXYMAk/w-d-xo.html
MIMI NIKO TAYARI KUSILIMU. NILISITA KUWA MUISILAMU KWA SABABU YA HOJA HIZO.
Hhhhhh aww ma sheikh wetu wapendwa nawapongeza sana kwa vipindi vyote mnatuandalia na nimefurahia sana hii mada hongera sana.na huu pastor nampenda sana anacangamsha mada insha Allah siku moja ataelewa na atasilimu.Allah awasidishie elimu na awap maisha mepesi sana na janatul fildawus kwa upendo wa Allah
Thanks for your teaching well organised and it's understandable very clear speech.
The discussion was well organized, great job, well done.
Mashaa Allah. Nawapenda mashehe wetu kwa ajili ya mungu. Haki nawapenda Sana sheikh Suleiman and Sheikh yahye. Great you from Garissa
JazakumAllah khair for your efforts may Allah reward you abundantly, Suleiman mazinge if you haven’t then you need to do a lecture by itself about Paulo/ Saul InshaAllah!
MaashaaAllah jamani nawapenda wote masheikh na wachungaji sababu mnatufundisha huku mkiwa nyote na furaha Alhamdulillah
Mazinge Suleiman Unanikosha Sana USTAADH Wangu. Nakupenda Kwa Ajili Ya Allah.
Kama kuna Muislam awezaye kupangua hoja hizi -> th-cam.com/video/Tubz3qXYMAk/w-d-xo.html
MIMI NIKO TAYARI KUSILIMU. NILISITA KUWA MUISILAMU KWA SABABU YA HOJA HIZO.
Yaaani mimi binafsi anapo simama mazinge sinaga, shida uyu jamaaa kasoma na anajua nini anacho kifanya, nyinyi wenyewe mashaidi katika ili
Shukran kwa viongozi wa Uislamu Bishop amekiri kwamba kazi yenu ya kuwakutanisha inaelimisha. Kwa hivyo ni muhimu sote tujue kwamba kuna Dini ya haki (njia sahihi ya kuishi maisha haya ya Dunia) Mila ya Ibrahimu, alayhi salaam. ile ambayo Mitume wote walikuwa wanaifundisha. Kama kunae anapinga kwamba Dini ya Allah aliofundisha sio Uislamu alete andiko Ukristo ndio Dini sahihi.
Allah akuzidishie upeo na kuhifadhi yaliyo mema brother sulle big up broo Allah akujaalie kheri
Mashekhe wetu allah awape mwisho mwema takbiiiiiiiir kazi mzuri saana
Ukristu niupumbavu
Sheikh Suleiman a.k.a mazinge he is on another level. Moto wakuotea mbali. MashaAllah
Mansha’Allah shekha Sulaman Allah akulinde na mahasidi yaarab 🤲🤲 Allah akuhifadhi yaarab 🤲🤲
Mashallah
Subhanallah kumbe church ama kanisa niya watu waliokuwa wakiabudu nguruwe ambayo mungu wao ni nguruwe maskini wakristo mumepotea nyote na hakuna atakaeuona ufalme wa Mungu,inasikitisha sana jameni njooni kwa ALLAH mpate uzima.
Kabisa Jazaakallahu
جزاكم الله خيرا و احسن الجزء
Mdahalo mzuri sana hasa sisi tunaowatazama na kuwasikiliza tunajifunza na kutufumbua vitu.
MashaAllah,, good work on progress brothers
Kwenye ukweli uwongo unajitenga
Sheikh mazinge Jazaakallahu khaira
Subhanallah kweli huu ni msba ya mtu bada ya kujifunza wana tukana na kutukana nidhambi kweli kuna watu wakilala motto wakiamka moto matusi ndio dini yao
Keep the spirit.....the truth will always prevail" Islam" is the way
Masha Allah mungu awazidishie shekh wote
Mashaallah nawakubali sana masheikh Allah azidi kuwapa umri mrefu
Sheikh mung akuzidishie unajua Sana Sana Sana naunafasah mnoo
Naomba kuuuliza, iv. Prof. OTHUMAN HABIBU MAZINGE, mwenyekiti wa mihadhara tz yuko wapi
Professor mazinge yupo tena Alhamdhulillah mzima wa afya
Maashaa Allah al habibu mazinge na time yako
Waislam wote pepon inshaala
Peponi bila Yesu Kristo utaisikia tu.
Acheni hayo mambo ya ku gombana hatu yataki sisi wegine
Mungu ndie anae jua yote
Yani nakuonea huruma
Assalam alleykum. Twaiyib Sheykh Suleiman
Safi sana. Open minded brothers in action.
Mungu awaongoze waione khaki InshaAllah
Allahuma Amin
Wallah najivunia kuwa muislam maana ndy dini ya haqi Na isiyokuwa na mashaka.
Alhambdulilah
Nataka mfanye midaharo na mapadri wa Roman catholic Mashekh wangu
Asalam aleikum, Gerison nae naenda wapi kuabudu kwa sinagogi ama wapi?
Fantastic sheh Suleiman Mazinge.
kulingana pastor gerison ikiwa yesu na shaul ama paulo kama ilivyoandikwa kwa biblia hawajaleta ukristo ni nani alieleta ukristo na hao watu walikua dini gani enzi hizo?
Walikuwa waislamu
Ni waislaamu na maana unawaona wanavurugana, bibilia imetiwa mkono na wanazuoni wakiyahudi, mkubali nabii wa mwisho tu utakaa kwa amaani kabisa
Mbona mwavuana nguo wenyewe kwa wenyewe
@jumakoga Bible wameiyalibu Warumi watie Mambo yao yakidhalimu ndio Wakiristo makao makuu roma
Allah amfanyie wepsi maustadh wetu na bwana eskof Allah amuongoze inshallah uyu askof ni muislam
Jina haiwezi kubadilika...paulo ni nani na shaul ni nani?
sheikh Yusuf pia yuko
Rahaa tu
Sheikh Yahya na wengine musichoke InshaAllah jazaa yenu iko kwa Allah(S.W)..hawa washaona ukweli uko wapi na washajua ukweli ni upi na karibuni kama alivyosema Ustadh Mazinge Bi3izzatillah wataukubali ukweli na kuwa sababu kubwa ya watu wengi kuingia katika uislamu InshaAllah.......Innaa nahnu nazzalna ddhikra wa inaa lahu lahafidhun.
Allah awahifadhwi mashehe wetu
Takbiiir
Mazinge kiboko yao 🇹🇿🇹🇿
Mazinge Allah azidi kuwapa Afya mnafanya kazi kubwa saana
Eti hawezi munyonga🤣🤣🤣🤣
Atakutana na babangu wa kiroho Josephat gwanjima
Ni kiboko ya wasioongozwa na Roho mtakatifu...Ni kiboko ya waislam nanaofuata dini ila hawamfuati Kristo Yesu.Amina
Moto wakuotea mbali
Yaani hawa watoto sana tuakili twao tote wamefika hapa kujifanya kuna anae tetea ukristo hapo
Somo uko juu
Alivyokua akieleza mtu wa kwanza,mwenye ndevu hakua na maswali ya kumkatiza katiza ila wa pili anavyoanza hatoi nafasi kabisa. Mbona??
Sasa kama hakuna swali mbona aulize?
Sheikh Mazinge Nimekuongeza Nyota.
alhamdulillaah nimeelewa kuwa UKRISTO SIO DINI na YESU sio muokozi na hajaleta UKRISTO na kwamba kwe biblia kuna maneno yameongezwa na majambazi kwakuwa walikua wakitaka posho ..... yaani wachungaji wamevurugwa mpaka hawajui jina la dini yao .........nashkuru mimi kuwa. ....... MUISLAMU.....
Ma pasta wanavurugana! Hahahaaa uislamu raha
Afu jua uisilam uliletwa na waarabuu ko din tumeletewa wa Africa,,,
😂😂mashekhe munachanganya wachungaji mpaka wanarukana wenyewe kwa wenyewe😂😂
Wamenichekesha sana
😂😂😂😂
Mazinge anazungumzia Bible tunayoijuwa Girson anazungumziya Bible haijulikane Afrika mpaka Girson atakapo ionyesha Afrika
Sheikhs mazinge uko juu bro
Masha Allah Muslims, mbona hao wenzenu Hawaii AYA?
Watoe AYA
Wanayo n'a maneno mazima yamekaa sehemu yake
Vipofu kweli. Mtajua ukweli utawaweka huru. Jesus will remain the truth the way and the life. No salvation without the blood of Jesus. He is the only way to enter in to heaven.
Lol : Jesus is the only way?.
Why then Jesus said that the spirit of truth will come after him who will guide you to the truth.
(John 16:12-14) “I have yet many things to say to you, but you cannot bear them now. 13 When the SPIRIT OF TRUTH comes, HE will guide you into all the truth; for HE will not speak on his own authority, but whatever HE hears HE will speak, and HE will declare to you the things that are to come. 14 HE will glorify me, for he will take what is mine and declare it to you.
WHO IS THIS SPIRIT OF TRUTH.
@@Truth771 The Holy Spirit.
@@Truth771 tumsifu yesu mtumishi,,the name of that spirit to come,,,is Jesus himself...john14:26///Mathew 28;20...Amina barikiwa Sana..
@@davismwamachi1145 : Tumsifu Yesu mtumishi!.
Swali : Yesu mtumishi wa Nani?.
Unazungumza kwa akili au unabwabwaja kama alielewa?.
@@Wambuiwakori : which Holy Spirit. Will come?.
Wasn't the Holy Spirit, the father of Jesus according to the Bible?.
Who exists first?.
The farther or the Son?.
(METTHEW 1:18) "Now the birth of JESUS Christ took place in this way. When his mother Mary had been betrothed to Joseph, before they came together she was found to be with CHILD OF THE HOLY SPIRIT;
Naomba Huyo Gerishon aje na Tanzania kuwaumbua watumiaji Wa maganda yaliyochakachuliwa
Mazinge nataka ukutane na Josephat gwanjima
Gwajima hamn kitu akae bungeni t
@@suleymanally4729 gwajima ndiye baba yangu na namwaminia sana,,,,na namtambua sana. Maarifa anayo na ndo manake Mungu amempandisha na cheo,,,na bado anamtumikia. Mimi ni m🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪nya but gwajima namwaminia asilimi mia
@@japhethmbusya1479 alosema nani mungu amempandisha cheo? Na ni cheo gani kapandishwa?
Gwajima Hana Elimu ya kukutana na mazinge. Wakristo wote wamepotezwa n'a akili zishatapakaa matope zimezingirwa hamuioni haki
PR. mazinge ni balaa lingne kaa mbali naeee usicheze nae karibu kabisaaaaa
Nimesahau jina but yuko ustadhi ulaya who can speak Hebrew. I wish he comes to Kenya and debate this black Israel of ours here in Kenya. That's my wish that Allah fulfills one day.
Huyu mchungaji ana float and no having notion... translation in Hebrew and Greece. Jesus has many names, or God has many names.
Kama kuna Muislam awezaye kupangua hoja hizi -> th-cam.com/video/Tubz3qXYMAk/w-d-xo.html
MIMI NIKO TAYARI KUSILIMU. NILISITA KUWA MUISILAMU KWA SABABU YA HOJA HIZO.
@@kabhikachambala3392 usislimu kwa ajili ya hoja za binadamu, simama imara tu ukristo. Utafsiri potovu kutoka kwa bibilia kusikubabaishe
Yaani nyinyi nawapa pole sana , sasa kwa nini munawadanganya watu wakristo mmeshuhudia uwongo wa viongozi wenu
Wanakuja wenyewe
Mashalah shikh yetu
Naam
Wakristo hawaichokonoi Quruan kwa sababu wanajua haina makosa yoyote iko kamili na tukufu.
Kazi ipooo mungu ndie anae jua yote
Ushirikiano na amani imetawala congratulations
Mchungaji hawezi kujitegemea ila kijificha na kutegemea nguvu za MUISRAEL MJALUO,japo yuwaona wazi kwamba yuwampinga na kumdhalilisha. WOTE HAWA WANAFANYA KILA JUHUDI KURUKARUKA ILI WATUNZE MASLAHI YAO YA SADAKA KUTOKA KWA WAUMINI WAO WALIO POTEA.
Watakuja makiristo ya uongo 😭😭😭😭😭😭😭jamaniiiii
mazinge umewavuruga tangu mwanzo ndo maana hawajui walisemalo hawo wachungaji hahahaha mazinge ww kiboko umewavuruga kisaikolojia mwanzo
Mazinge mashallah Allah akulipe, ni mwalimu bora
Nkama timu ipijwe bao 3 dakika kumi za mwanzo😂😂😂
Hajawavurugwa wamepewa ukweli wamekosa kujipinzua
Jamani msidanganyane njoni kwa yesu hapo mnavurugana akili
Sisi twaenda kwa mungu kama alivoamrisha yesu
Wow ! What an interesting debate. Wachungaji wanajichanganya balaa sipati picha hali ya hao kondoo 🐑 😅🤣😂
Kama kuna Muislam awezaye kupangua hoja hizi -> th-cam.com/video/Tubz3qXYMAk/w-d-xo.html
MIMI NIKO TAYARI KUSILIMU. NILISITA KUWA MUISILAMU KWA SABABU YA HOJA HIZO.
iko kwa blaket mtu ameadd😅😅😅😅😅😅hiz din bwna sasa kitu mtu ana add vip na din ya Mungu😅😅
Mjadala safi sana mwenye kuelewa ataelewa na atachagua yy mwenyew moyon sehemu ya kujikita
Inastikisha wapo gizani mungu awaoneshe njia Inshallah😢
Tumsifu yesu mtumishi,ikiwa hawamuamini yesu,wako gizani kwelikweli..Amuaminiye yesu,hayuko kamwe gizani bali anaouzima wa milele ..yesu ndiye nuru...Acts9:3-5////john12:46/////isaya9:1-6
Mimi nafwatalia Sana hii midahalo mchungaji kaanza kuelewa sasahivi atabadilika
Walm wote peponi😁
Sichoki kutizama kila nikiwa na mda na'angalia .
Mtume shauli ni nan mbona ajaorodheshwa kwenye least ya mitume
Hao wanaleta ujanja tu hawawezi kujibu maswali ya Shekh mazinge watababaisha tu mpk mwisho km wanasema hiyo tafsiri sio kweli siku watafuteni walete hiyo bibilia ya hiko ki ibarania kisha watafsri km waislam tunavofanya quran
hawa wanatoa midomoni mwao
Yesu ni Mungu Mwokozi mwenye nguvu
Wewe ni chiz akili zako saw n paul
@@jumaalhamid5242 😂😂😂😂
Eloi eloi Lima sabaktani.yesu anamlilia mungu .nguvu zilienda wapi hapa????
Haaa hata wewe muislam unaongea hivo umeritadi nn umepotea ndugu kumuamini binaadam mwenzio aliyezaliwa na mwanamke kama wewe kumuita mungu Innalilah wsinna illah rajiuni Yesu katahiriwa,yesu Alliingia msikitini kuswali masinagogi,Tena rakaa mbili kila kabla sabato na kumaluza sabato jamani nyie kumbukeni Yesu hakufa wala hakusulubiwa,Yesu aliwakimbia mayahud kutak kumuuwa na alisema yeyote anaetundingw mtini basi hyo ni dhamb ya shetani sasa leo hii angalia wewe mwajuma wajina wa make wangu mpendw na bibiangu mpendw wote sala tano nakushangaa wewe leo unaungam jam tesu ni mungu upo hasaraaaani
@@jumaalhamid5242 jina lisikuskume kuwa huyu ni muislamu. Si muislamu nijina tu na wako wengi kama huyu
Wakristo huwa hawana point
Ukweli ukidhihirika uongo hujitenga
Paul anajulikana hata yeye mwenyewe amejitapa kuwa ana mwiba wa Shetan
Askofu mungu akujariye uyione haki ya wislam kama gisi nasisi tumeyiona uwepukane na moto wa jahanama
Huu ni uongo mkuuu. Lakini maana nimeshajua kuwa uislam umekuja miaka ya 600 na.. Msidanganye watu kwa makusudi. Maana wenyewe mnajua kuwa tulichoshika kina nguvu.. Yesu Kristo wa Nazareth.
Mume kuwa elimu dunia kuna ishu ya kutohoa msamiati kutoka lugha moja kwenda luga nyingine
yaani hdi aibu huyo bishop bora awe comedian tu
hhhhhh
😁😁😁😁
hehe gerrison ako na umbwedede hehe
Mtaendeleah kupotosha wasiowajuau niny
Kwani ww kipi unacho kijuwa ww fata andiko 😏😏😏😏😏😏
Paulo ameharibu vzaz na vzaxi hadi kufikia kw gerson
Nimecheka san😁😁😁😁
Wanapingana wao kwa wao😂😂😂
hakuna lugha ya kiibrania inayofunzwa mashuleni hapa kenya so huyu Gerison anadanganya watu yeye ni kati ya wale mayahudi walio mkataa yesu abadani
Hapana sivyo.Kusoma kwanza si lazima uende shuleni,kunayo mitandao.Kisha,Mwalimu Gerisson na mtu ametembea duniani Sana.
Hahahahaaaa jmn mbavu zangu alhamdullah najivunia kuwa muislam
Najivunia kuwa mkiristo
@@kadunawewe7248 pooleee
@@alibell5246 pole yanini.sasa kila mtu na changuo.lake
Masheikh Mashaallah
wakirsto mungu awaogoze muone haki na muifate kabila yakufa kwenu uislam peke ndio dini ya haki na insha llah mutakuja2 kwa makundi makundi
Kwenye majini,kweli haki yapatikana?haki yapatikana kwa Yesu pekee(John14:6)
Mchungaji amekuja kupigwa mafunzo, can't defend gospel
Muulize kwann wanamuabudu yesu kuliko maryam alomzaa huyo yesu
Wakristo ni wababaishaji unaona wanamkataa paulo sasa wanasema jina bandia lakin si ndo huyo huyo sauli hawana lolote hao
Tumsifu YESU,..Yesu katika Mathayo 16:18 anasema atajenga kanisa...Paulo hapo hakuwepo,,hii inatuonyesha Hilo ni baraza la mizaa(zaburi 1:1-2)...na msimtafute mpinga Kristo mbali...tayari hawajifichi wanaonekana waziwazi...katika Mathew 10:16-17 katika masinagogi yao watawapiga ,si bishi hapo Kama masinagogi ni misikiti(ufunuo2:9/3:9)hapo utabaini why sibishi...halafu Biblia haisomwi Kama Quran ama gazeti lazma uongozwe na Roho....kuhusu kutahiriwa,hiyo ulikuwa ni sheria...(wagalatia4:4) YESU alizaliwa chini ya sheria ili atukomboe kutokana na hizo sheria coz wengi walikuwa wanatahiriwa mwili lakini Matendo Yao yalichukiza,,,Petro katika acts 10:28...... alikuwa akihubiria waliotahiriwa,Yesu akamlazimisha ahubiri hata pia kwa wasio tahiriwa...kwa hivyo so Paulo pekee akihubiria wasiotahiriwa hata petro....kuhusu jina sauli to Paulo soma acts13:9 sauli alitumia jina hilo wakati hakuwa anamjua YESU,Paulo analitumi iShara ya mtu aliyebadilika kutoka gizani(shetani) kuelekea kwenye nuru(YESU)...mbona mtu akiislim huwa mnambadilisha jina?jina halipeleki mtu mbinguni ni utakatifu pekee....mpinga Kristo ni anayemkataa Yesu...je wewe waamini 1john4:3///2:22///2:18 na2john1;7 Kama huamini wewe ni mpinga Kristo....Biblia haisomwi Kama gazeti john5:39
Hiyo mathayo 16:18 ni kanisa gani alilijenga Yesu?2.Wapi Yesu aliingia Kanisani?
Hiyo Zaburi 1:1-2 Ukitafakari unadhani nyie Wakristo sheria za Mungu mnazitafakari vizuri?
Wapi andiko ktk biblia kwamba Biblia ni kitabu kutoka kwa Mwenyezi Mungu?