DISHI MOJA VING'AMUZI VIWILI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 22 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 7

  • @amilyabdu1563
    @amilyabdu1563 2 หลายเดือนก่อน

    Vip Kaka Kuusu Hdm Ndefu
    Nataka Niwe Nanesha Mpira Pande Mbili Bila Kutumia Avi

  • @timoliiisaya3824
    @timoliiisaya3824 8 หลายเดือนก่อน +1

    Je hapa naweza unganisha kingamuzi cha DStv?

    • @dmginfo2470
      @dmginfo2470  8 หลายเดือนก่อน

      Kwa njia hii hapana labda uwe na splitter. Pia nikwa baadhi ya ving'amuzi ambavyo vina tundu la pili la Loop out. Ving'amuzi vya Azam vyenye tundu moja la LNB in mbinu hii haitafanya kazi

  • @lucasmolel8129
    @lucasmolel8129 3 หลายเดือนก่อน

    Kama kingamuzi cha kwanza hakijawashwa cha pili kitaweza kufanya kazi

    • @dmginfo2470
      @dmginfo2470  3 หลายเดือนก่อน

      Chapili hakitafanya kazi

  • @officiallister4195
    @officiallister4195 11 หลายเดือนก่อน +1

    Kwaiyo hapa natakiwa kulipia decoder zote au hata nikilipia moja sawa

    • @dmginfo2470
      @dmginfo2470  11 หลายเดือนก่อน

      Haimanishi ukilipia decoder ya Kwanza ndo umelipia nayapili, hapo nimerahisisha Tu badala ya kutumia madishi mawili ukatumia moja