Asante san kwa video ila Nilikuwa nataka nijuwe, sisi tumekwisha kufunga Dish na signal ipo quality 56% ila kuna channels atuwezi kuzipata kama vile ARIZE AND SHINE Tume fanya factory reset ila bado channels zimoja amna Tupo Congo 🇨🇩 DRC
Hapana local channels lazima zitaonekana, kama unatatizo lakutopata channels za ndani ikiwa hujalipia wasiliana na Azam Huduma Kwa wateja Azam Huduma Kwa wateja 0784108000 0764700222 07659072002 WhatsApp/ Telegram 0677996611
Ubalikiwe Sana
Amen 🙏 tubarikiwe sote
Very nice video brother....
Thank you very much my dear sister 🙏
Oya Tisha sana mwanangu
🙏
Asante san kwa video ila Nilikuwa nataka nijuwe, sisi tumekwisha kufunga Dish na signal ipo quality 56% ila kuna channels atuwezi kuzipata kama vile ARIZE AND SHINE
Tume fanya factory reset ila bado channels zimoja amna
Tupo Congo 🇨🇩 DRC
Hii video itakusaidia 👇 bonyeza iyo link
th-cam.com/video/pGZE90Voj2I/w-d-xo.htmlsi=aHZtsiPlQ8-e6kBY
Kama mtu haja lipia king’amuzi je inaweza sababisha Chanel nyingine kuto onekana?
Hapana local channels lazima zitaonekana, kama unatatizo lakutopata channels za ndani ikiwa hujalipia wasiliana na Azam Huduma Kwa wateja
Azam Huduma Kwa wateja
0784108000
0764700222
07659072002
WhatsApp/ Telegram 0677996611
@@dmginfo2470 thank you
Mm king'amuz changu napowasha tv sauti inadota kwenye redio ila kwenye tv picha haionekani na inaandika no signal
Msaada wa Ap ya setelliti fainda
Video yakupata uelekeo Kwa kutumia app ya simu iko jikon
👌👌👌👌
Naomba zenu za huduma kwa wateja mnasema bure mtu akipiga anakatwa gharama za muda aliotumia vp mnkwama wapi?