Unaponunu king'amuzi huwa wanasajili moja kwa moja. Huwa wanajaza taarifa zako majina mwaka mahali nambaya sm nk. So Kama umefunga dish channel hazij bas wapigie watakifungua upesi.
Umezingua. Haujaonyesha jinsi unavyosachi signal kwa maana ya kuzungusha dishi. Unasema umepata kirahisi bila sisi kuona. Pili hujaonyesha settings zozote kwenye TV.
Kaka umenisaidia sana sana sana San kwasababu Jana nimehangaika sana na huku hakuna mafundi basi Kwa kuwa umeelimisha vzir bc nijaribu Tena nakupenda kk
Tofauti nikwamba king'amuzi cha antena kinapokea mawimbi yake kutoka kwenye vituo vya kurusha na kusafirisha mawimbi vilivyokaribu sio maeneo yote king'amuzi cha antena hufanya kazi, maeneo ambao hayo masafa hayafiki ningumu kupata huduma Ila king'amuzi cha dish kinachukua mawimbi direct kutoka kwenye satellite popote ulipo ukiwa unatumia dish utapata Huduma na ving'amuzi hivi huwa haviingiliani. Tofauti nyingine king'amuzi cha antena hakitumii card Ila cha dish kinatumia card. Wkt WA mvua king'amuzi cha antena hakikati mawasiliano wkt dish huwa kinakata Hadi mvua au Hali ya hewa ikae sawa
Ni kweli, changamato sikuweza kukuonesha ktk iyo video Ila ukizingatia principal wala kwenye kuzungusha sio kazi. Ili kazi iwe rahis elewa cha Kwanza uelekeo WA satellite ya Azamtv cha pili bomba linaloshikilia dish likasimame wima nyuz 90 set LNB receiver kwenye..
vema kaka. Ila yakwangu inanisumbua ukizima dicoda ukija kuwasha inaandika "no or bad signal ". Na strength ni 100 na quality 80!! Ukizima kama masaa manne mpaka matono kinakubali. Nifanyeje aisee na ni aina hiyohiyo nyekundu
Inaweza kuwa either ni decoder inamatatizo( wasiliana na mafundi) Ila kabla haujafanya hivyo unaweza wapigia Azam huduma kwa wateja au jiridhishe na waya wa dish Kama unaconect vzr. Kwenye decoder na receiver iliyoko kwenye dish, kadi unaweza ichomoa na kuirudisha
kazi yako nzuri sana kaka sasa kitu ningependa kujua ni namna ya kufanya registration ya card ya king'amuzi ambacho ni kipya
Unaponunu king'amuzi huwa wanasajili moja kwa moja. Huwa wanajaza taarifa zako majina mwaka mahali nambaya sm nk. So Kama umefunga dish channel hazij bas wapigie watakifungua upesi.
Comment yako nimeipenda sana. Shukran 🙏
Baba nashukuru sana mkuu kazi yako njema sana. Nimejifunza kiasi flani. Asante sana mista
Karibu sana, Comment yako ina impact kubwa sana 🙏
helpful brother keep the experience
🙏🙏
Well gotten this is helpful
Its works , thanks ✊
Umezingua.
Haujaonyesha jinsi unavyosachi signal kwa maana ya kuzungusha dishi. Unasema umepata kirahisi bila sisi kuona. Pili hujaonyesha settings zozote kwenye TV.
Kazi nzuri Chief, naomba kuuliza, naweza ongeza LNB kwenye dish la Azam lakini nipate FTA channels
Hapana
Kaka umenisaidia sana sana sana San kwasababu Jana nimehangaika sana na huku hakuna mafundi basi Kwa kuwa umeelimisha vzir bc nijaribu Tena nakupenda kk
Nafurahi kwa comment yako kaka, Pia nashukuru kwa support yako kutambua mchango wangu.
Ni wapi huko kaka ni chitogori ama😂😂😂
Ningependa kujua namba za lnb za azan ni ngap
Pamoja funding kazi nzuri
Asante
Asante sana
Kama kwenye ghorofa unafanyaje hiyo kazi bila finder
Ningumu Sana unatakiwa uwe na satellite finder Ila kama huna bado hujafeli paper UNaweza mkawasiliana Kwa cm Kwa MTU aliyechin
cable tiy api kaka sipi insulation
Very helpful thanks 👍
kote nime elewa Ila bdo uku kwenye decoda ilikua aioneshi vizuli tv yako
SUPER ♥️📡
Nahitaji Kwa sasa nipo kabindi mkoa wa kagera
helpful
Tofauti kati ya kisimbuzi cha antenna na dish nn
Tofauti nikwamba king'amuzi cha antena kinapokea mawimbi yake kutoka kwenye vituo vya kurusha na kusafirisha mawimbi vilivyokaribu sio maeneo yote king'amuzi cha antena hufanya kazi, maeneo ambao hayo masafa hayafiki ningumu kupata huduma Ila king'amuzi cha dish kinachukua mawimbi direct kutoka kwenye satellite popote ulipo ukiwa unatumia dish utapata Huduma na ving'amuzi hivi huwa haviingiliani. Tofauti nyingine king'amuzi cha antena hakitumii card Ila cha dish kinatumia card. Wkt WA mvua king'amuzi cha antena hakikati mawasiliano wkt dish huwa kinakata Hadi mvua au Hali ya hewa ikae sawa
mbona kwani haiyojeshi
🇹🇿👍👍
Kirefu cha DMG ni nini
Defend My Goal
Nime elewa
Makini
Kwenye reseive naona waya hupo hupande ni kanuni
Ndivyo kabisa, ikiwa haupo upande huwez pata signal 📡
Kazi huwa ni kuzungusha kuzipata signals na kupandisha na kushusha cha ajabu haujaonyesha kabisa
Ni kweli, changamato sikuweza kukuonesha ktk iyo video Ila ukizingatia principal wala kwenye kuzungusha sio kazi. Ili kazi iwe rahis elewa cha Kwanza uelekeo WA satellite ya Azamtv cha pili bomba linaloshikilia dish likasimame wima nyuz 90 set LNB receiver kwenye..
@@dmginfo2470 pa1 xana
Nimeelewa kaka ngoja nikalibu na Mimi yani
Kaka nimejalibu lakini sioni mafanikio sijui shida hiko wapi nimelifunga vizuri lakini Kila nikichezesha sipati signal
Nicheki kesho ukiwa unafunga ili iwe rahis kukuelekeza
@@dmginfo2470 sawa kaka nimekupata
Utanichek WhatsApp 759060986
Mbona hamujibu
Karibu @shamsaMohammad ikua na sea gani,? Karibu
Naomba namba yako
719220216
@@dmginfo2470 sante
@@dmginfo2470 uko wap kaka
@@dmginfo2470 nahitaji unifungie chap
Mwanza
vema kaka. Ila yakwangu inanisumbua ukizima dicoda ukija kuwasha inaandika "no or bad signal ". Na strength ni 100 na quality 80!!
Ukizima kama masaa manne mpaka matono kinakubali.
Nifanyeje aisee na ni aina hiyohiyo nyekundu
Inaweza kuwa either ni decoder inamatatizo( wasiliana na mafundi) Ila kabla haujafanya hivyo unaweza wapigia Azam huduma kwa wateja au jiridhishe na waya wa dish Kama unaconect vzr. Kwenye decoder na receiver iliyoko kwenye dish, kadi unaweza ichomoa na kuirudisha
Badilisha waya au lnb
Je nawza kutumia laputop kama tv
Kabisa bila wasiwasi angalia kwenye mtiririko WA video zetu IPO naelekeza jinsi yakuunganisha🙏
naomba no yako ya whatsap
759060986