Hii film nilipo Anja kuitazama mwanzo nilizani niwaupuuzi sasa nimejua kumbe niyakutuelimisha asanté sana nyote mulio usika kutuandalia elimu ya Futur, nawakubali🧏🇨🇩
Ila kupenda wahuni raha sana an kuna mhuni nilimpenda nilikua 4m4 jaman jamn hii mov kama inanihusu maana nilikua sisikii k2 juu yake , bange , sigara , pombe zake lakn nilimpenda ivo ivo
Chado master niliomba uingize kama msela na umefanya ivo nàkubali shabiki yako kaka ❤❤❤❤❤❤
Huyu dem yupo ok sana mm bina fisy namkubalai kama na wewe ❤una mkuba lu gonga likee❤❤❤❤
Chado wee super start bwana hata mm nakupenda ulivo
Hii movie n ya mwaka Kali San Mzee unajua chado
Najma na chado fanya muoane nawapenda sana❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Nakubali saana kazi zako kichaa wangu
Yaani chado unajua mpka unakera baba🎉🎉🎉 Big up from +254🇰🇪💯📌
Hamkawii kusema ni msani wenu😂😂😂
C n wetu ata ivo😅😅😅@@hawayassir9574
Kazi nzuri Sana hongereni Sana
Nawapenda mnajua Hadi mnaboa alafu hamcheleweshi mungu abariki kazi ya mikono yenu
Nzur sana
Kaka msiweke matusi kazi nzuri sana NGINJA NGINJAAAAAAAAAAAA
Matusi gani Sasa na wewe amesema bado mdog hajazoea kufiwa
Nashangaa pia mimi
Kufiwa babuu watu mnawaza matusi
Nakubali bro kazi yako zuri sana
Nakupenda sana chado ❤
Hii film nilipo Anja kuitazama mwanzo nilizani niwaupuuzi sasa nimejua kumbe niyakutuelimisha asanté sana nyote mulio usika kutuandalia elimu ya Futur, nawakubali🧏🇨🇩
Kaka nimekupa yote hayo chukuwa ndugu yangu unaweza
Sema wahuni sio poa yani chado dem wamuita dogo
Si bora dogo 😂😂kidem jauu
@@user-cu9st9bk7h😅
Amini kwamba ninoma Sana movie Kali kinoma
Napenda hiyo kinyozi😂
Nakubal kaka mkubwa chadoo master
Huyu mtoto akija kuwa mkubwa ndio atakuja kuwa HANIFA😂😂
Ety anapenda ulefu wako, ndevu, aloooooh
Umalaya2 kusoma aaaha😂
Hahahahaha 😅😅
Hamlali mko u tube😅
Ila wanafunzi wanapenda wahuni kweli
At mm nlikuw nawapend jmn
Ivi cjui kwann
Wanajua kupenda
Kwana wanafunzi wa likoni na kisaun nawahuni kubababake😅😅😅
Af kwel mie mwenyewe nilikua napenda wahuni kuna mhun nilimpenda mpaka nikawa send shule naenda kwake mda wa shule
Kweli muhuni akipenda ni noma namuona chado anaanza kupendaa😂😂😂 shikamoo mapenziiii
Wakwanza mm Leo 🎉🎉wakwanza mm nataka
Oooo nzuri lakini mbn mnatoa kipande kimoja tu
dah wanauwa vibe 🤪🤪
Awee sio powh mwenetu Chado moto sanaaa
Neno NINGEJUA huja baada ya tukio kutokea . pole janma soma sana mapenz yapo na yanaendelea kuwepo
Haya na mm leo nataka like hata kumi2
Ndo utakura au?
Uzipeleke wapi
10 mbili 20 izo
Wee piraa Nini lakini move Yako hii piraaa weee
@@MgonjaFide pira wewe omba omba
Nakubali sana kazi zako chado masta
Leo iko refu vizuri sana bwana chado next plz 🎉🎉❤❤
Ali Dady nakupata vyema. Fanya umlete Chado mnazi mmoja jingo la vitenge me ni yule chalii ako tulikutana nkakupa gwara hapa vitenge mkalidayo
Huyo wakusoma akimaliza kuigiza naomben namba zake nimemuelewa balaaaaaaaaaaaaaahhh😢😢😢
Big up sana braza🇨🇦🇨🇦🇨🇦🇨🇦kazi nzur🔥🔥🔥
Kutoka kenya fan mkubwa wa chado masta
Movie hiii Kali sana Tena Kali nimeipenda sana kutoka ZANZIBAR
nakubali dady ,unapoonyeshe Jinsi yakupiga msumali😅😅💪💪
One love ❤ kazi nzuri sana 💯💯💯🇹🇿
Wanafunzi wanapenda wahuni kwasababu wanaojitambua hawapendi kuwaharibia maisha watoto washure
Aisee moto nimeukubali mashallah ni jiwe la mwaka
Kazi nzuri Chado master
piga like watu wa chado naiona nikiwa usa
USA 🇺🇲🇺🇲
Tuko pamoja
Zanini sasa
Naikubali sana hii movie wazee❤❤
Si utoee part9 bc chaapu ynii Nina mitihani lknii nawazaga tyu muendelezo WA hii movie jaaamn Kali saana
Kweli upedo ni wasimu kabisa haka kana gogo ya mapezi
Napenda gadaya apone 😅
Kazi nzuri nawapenda sna❤❤❤❤❤❤
Chado master unaweza kaka unajua mpaka unaboa
Mi nawaelewa sana ❤❤🇧🇮🇧🇮
Congratulations Chado ......
The series is doing very well ...
Its over 400k views in Kenya.....keep it up 🎉🎉🎉
Nakukubali sana najma w sai 😊
Wana yanga wote hapa like zenu💛💛💚💚💚
Bwana weeeee tupishege hapa unatuletea mambo ya utimu hapa.....mfyuuuuuuuuuuuuuu
@@user-rk6sx2bw3e utimu kwanzaaa
Kaka yanga mpk uku duuuh
@@likopa_msanii ume tisha mkali
Unalete ushabki mpk kweny move
Ubunifu ni mzuri muongeze zaidi
Nakubalii mkaliii umetisha xan chado
Mimi Leo nimewai
Chado uko vizury sana
Kali lakini unatoa vipande vidogo sana chado
Duuuh kweli mapenzi upofu eti napenda unavovaa😅😅 asa anavaa nini😅😅 labda uwo urefu, weusi, na ndevu🙌🙌
😂😂😂
Ava kisela 😂😂😂
Hujui mapenzi 😂😂😂😂😂nyamaza
Thezea pensi weye🤣🤣
Kwan ww umpendi ad umuulize mwenzio 😂😂😂
Watoto wa shule kwa wahun@@😅😅😅
Wadau tuendelee kuongeza subscribers Kwa chado masta ili apate nguvu ya kuleta kazi nzuriiiii zaidii..... Wadau wa chado gonga like
Aaaahh shida nini miyangu
Saluteeeee kwa chado master USA GANG STAR
nimechelewa lakini sio mbaya nawakubali sana tem chado ❤❤❤❤
Like kwajili ya chado master mnyama nipeni like zangu tafadhali naomba
Mapenzi mambo 😊😊🎉shado unatish
I magita wote waka some good sana chado
The first one like to me
Aaaah maselaaa nimeingia mzigoniii na mm❤❤❤chado gang
😂😂😂baba chado lako pambana na haliyako ulilemba pale mwanzo ila saizi 😅😅na uyo ndo mwanamke wapo mtaani kwetu ❤❤❤
Jaman Najma anakosa gani hapo,,,,kaka ajui kumfunda mdogo wake,,,Keep going Chado umeua more love +254❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
This is a very interesting please post more🔥🔥🔥🔥
Nampenda chado mast 😮
Munajua sn chado ebu ongela sn❤
Kamanda kova leo anamwaga chozi 😂😂🔥🔥🔥
Nakupenda vile unavovaa😂😂
Ngadaya weemchumba tuuu daah Allah atunusuruu 😢😢😢
Unakua Sana pasta chado unakipaji kikubwa Sana hongera
Vitto vya elfu mbili tujikusanye mwenzetu amemfanya muhuni alie😂😂
Kaka hauchelewesh good san
😂😂😂chado na najma wameachana si Ndiyo daaah sema nini zam ya muuni kuteseka naisi kama moyo wa chado unaluka salakas🤸🤸🤸
Kazi nzuri vijana
Chado master umezengua mda mrefu Sahi umekula kwako najma Soma ddngu mapenzi yako 😂
Oya kidem jau katisha kaupiga mwingi 🎉 🎉
Ila kupenda wahuni raha sana an kuna mhuni nilimpenda nilikua 4m4 jaman jamn hii mov kama inanihusu maana nilikua sisikii k2 juu yake , bange , sigara , pombe zake lakn nilimpenda ivo ivo
😂😂 kale Bado katoto akajazoea kufiwa😂😂😂
Chado ww! Ati kichwani hana bleach ila kichwa kinawaka🤣🤣...safi sana! Mnaweza team chado
Unajua sana kaka chado❤❤❤❤
Bonge moja la kazi 🔥🔥
Chado kwa kweli tunakupenda ila tuongezee mda kwa kweli😢😢😢
Chadoo ebu sema tenaaaaa!!!! 😂😂😂😂😂😂
Hahaha ilo pala nimecheka kwakweli😁😁😁😁😁😄😃😀😆😂😅🤣
Kidem jau ,,ila wahun 😂😂😂
Patamu sana hapo Najma
Keep it up ❤
Chewa sio chado master
Napenda msimamo wa Nadjma 😊
chado umepigaje tena 😂😂😂😂😂😂nimecheka sana
Najma anapenda mchizi juu ya kuvaa 😂😂😂😂😂
Kama zali nimekuja na maji meneja sapoti jah bless 🙏💪
Maskini dada anaongea kwa uchungu😢
mimi nakukupali chado masta kaka chado ❤❤❤
Chado ananichekesha na ka msemo tenaaa.
❤❤ nawapenda tu