Nilikuwa sipendagi bongo movie kbs lkn hii tamthilia Duniani imenirudisha kwenye mapenzi ya Movie za kibongo hasa aina hii ya Waingizaji vzr sana yaan napenda mtu anaingiza uhalisia wa maisha kwenye scene cyo kuongea mpaka mtu anaona kbs umekariri script lkn kwenye Dunia salute 🙏🙏🙏
Munafanya vizuri kabisa, mumwambie baba ASMA kama amutafute kicheche baongeye, makosa inakuwaka kwa kila mutu, afazali musameane kabisa. Tunamukumbuka kicheche. Congolais ville kalemie
Iyo wala haiwaalib watu wanaume wa siku hizi wamekuwa kama wanawake2😏na chanzo kikubwa cha wanawake kubadlika ni hao wanaume waharb sana maisha yawa2 bola tuish kwenye 50 50 tu bas😏😏
Hujakaa darasani ukafundishwa dini ndugu yangu. Hiyo ni dini ya vibalazani... Kakae darasani ufundishwe utaelewa nini maana ya wajibu, mawaddah na huruma. Kinyume cha hapo utadili kwenye wajibu
Tatizo ataongea mengi ya uongo hata mtu akitoka kanisani au msikitini lazima aongee ushenzi example kama mchungaji msigwa anaongea pumba kwasababu amehamia ccm
ASANTE KWA KUFUATILIA TH-cam CHANNEL YETU PIA AHSANTE KWA KUTAZAMA VIDEO HII PIA TUNAOMBA USISAHAU KU SUBSCRIBE 🙏🙏
BROTHER NAOMBA UWE UNAANDAA VARIETY OF QUESTIONS THEN FANYA KUMHOJI MANYANYA TUNATAKA KUMSIKIA.
Nilikuwa sipendagi bongo movie kbs lkn hii tamthilia Duniani imenirudisha kwenye mapenzi ya Movie za kibongo hasa aina hii ya Waingizaji vzr sana yaan napenda mtu anaingiza uhalisia wa maisha kwenye scene cyo kuongea mpaka mtu anaona kbs umekariri script lkn kwenye Dunia salute 🙏🙏🙏
Vai tunakukubali ila manyanya amekufanya uwe vizuli Zaid katika kipaj chako tunakupenda Zaid hongela kwako manyanya na wasanii wengineo wote ♥️🌹🇹🇿
Bwannn ongoa na muzee kicheche tunampenda sannnnaa❤❤❤❤❤❤
bongo movis now wanaweza sana 👍
Violet ni kama Mkikuyu huku Kenya mana akili zake zote zipo kwa hela...hata hivo hongereni sana mumefanya kazi kizuri
😂😂😂
Kweli kabisa 😂😂
😂😂
Hapo wamekosea kidg tyuu kumuacha kicheche hii movie ingeshika namba Moja African Zima wanao Amin like hapoo chini
Manyanya ndo anaesitaili kuojiua,Yuko very smart brow msomi
Nampenda vailet jmn kwakwel ajawai kosea yupo vzr sana 🔥🔥🔥
Nakupenda sana vailet ila kicheche mmembwaga
Kwakweli dunia ni kubwa sana tena sana hapa Congo ime chukuwa namba moja ❤❤❤🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Weeeh ebu acha uongo vipi penzi la mtoto wa Boss unaiacha wapi ?
Uwongo
Tuleteeni Mudy jamani awe amelewa kabisa ukouko kwa bi Tausi😂😂😂😂😂
Vailet unaweza sana dada kiukweli kwenye muvi ya dunia unatisha napenda kukufatilia
Tunakupenda pia 🇧🇮 tunakufatiliasana
Kamfanyie Martlidah tafadhali. Huyo mdada ❤❤
Dada vailet nakukubali sana nikiwa uku mozambique
Tuna kupenda pia da Vai pia muendelee kutup mautam il mtow mapemaa🎉🎉
Vailet we ni mzuri sana ongera❤❤
Jaman vai mruguru mwenzetu napenda sana kazi zako
Vailet muigiza mzuri sana🎉🎉
Uko vizur vai mashallah
Ongeraaaaa Sana
Vaireth
Nakupenda Sana ❤
Nakupenda sana Vailety, tutafutie manyanya tumsikie na yeye
Dah vaileti nakukubali San dad❤❤❤❤❤❤❤❤
Munafanya vizuri kabisa, mumwambie baba ASMA kama amutafute kicheche baongeye, makosa inakuwaka kwa kila mutu, afazali musameane kabisa. Tunamukumbuka kicheche. Congolais ville kalemie
Nakulomba muzungumze nakicheche
Kicheche piya anaitajika
Wewe binti ukweli mungu akujalie Sana unaelimisha sana jamii
Point kubwa sana mngu amjalie
Hongera sana manyanya mwanaume ambaye anaona mbali
Kumbe mruguru mwenzetu ❤❤❤❤
Warugulu sisi wazuri weeee🌹🌹
Kawa mshangazi sai ❤❤❤
Dada Congo wewe mwalimu wa doa, tunakupenda sana
Zungumuza Pia na Manyanya tumusikie maoni yake, kwani wanafanya kazi zao vizuri sana
I love you vai so much ❤❤❤❤💋
Iyo wala haiwaalib watu wanaume wa siku hizi wamekuwa kama wanawake2😏na chanzo kikubwa cha wanawake kubadlika ni hao wanaume waharb sana maisha yawa2 bola tuish kwenye 50 50 tu bas😏😏
Vaileti fanya mazowezi ❤❤❤❤❤
Uyu jamaa anaoji muvi au maana ilitakiwa aoji vitu vya maana bhan yani unaoji utazani ayo ni maisha halisi ya uyo dada umeboa bhana
Ku "oji" ni kufanyaje?😢
Daa mmetisha San Yani unyama mwing,😅😅
Kazi zuri mnafanya waigizaj,wa Tanzania 🇹🇿
Wa kwanza Mimi jamani naombeni LIKE zangu 😂
vailet punguz kumutesa manyany😁😳
ila kichech tunamukumbuk xn
Nakupenda xana vai
Jinake ngumu kidogo kama trilda mupaka si elewi alakini yule dada mzuri sana
Matirda na sio trilda
Hakika dunia ni namba one inaongoza
Huyu mtoto mrembo Masha'Allah 💞💞🇰🇪✌️
Very good job my sister
Jamani na hiv vingereza vyenu vya kuombea maji kwenye maget ya wazungu
Uko muzili vailet❤❤
Manyanya is the best one who is needed to be interviewed.
ila nilichogundua hapo manyanya anaendakutoka na matrida pia matrida anaenda kigombana na rafiki yake.
Kweli muda mdogo sana waangalie
Manyanya kachoka kula wali harage na mchicha😂😂😂
Mmmh wali? Si bora ata ungekuwa wali angejitahidi 🤣🤣🤣 ugali mchicha na maharage au ugali kabage na mchicha
namupenda vailet
We kaka Kwan we na baisa ni ndugu mwafanana sana
kwel kabisa mpaka sauti
Let's hope Kicheche will rise again 😢🥹🥺
Vizuri sn 🇨🇩
Bora mliachana na Kicheche. Hii movie inaelimisha jamii. Emmanuel kutoka Burundi 🇧🇮
Nilijua tu kama mluguru mana kafanana sanaaaaaaaa na mama yang
KAMA AMPEWI TUNZO MWAKA HUU WALAHI ITAKUWA SIO HAKI
Kiukweli Vai nakuchukia sana kwasababu scenes zako zinanichukiza sana
Una roho mbaya ww
Yaani kama mkija hapa kwetu Bujumbura nitafurahi sana
Unafanya vizuli sana❤
look good ❤❤🎉
Presenter jifunze kuuliza maswali
Mume aina ya manyanya Ana kazi sana kumvumilia😂😂😂anaongea weeeeeeeee
Vailet uko sawa Bebygrl
Nice Ila jordan😂😂😂
Kilammoja amefanya vizuri kwanafasi yake kweli kwenye dunia
Uko vizr
Sasa no comment ndio nn huyu nae
Sipendi 😂,halafu ana sugu jamani lakn nampenda😊
Kicheche yupo wap
Tz Ina warembo tatizo vicheche
Vai umeolewa au bado
Kicheche yuko wap
Baba asma ndio nan kwan anaejuwa tafadhali
Angalia kwenye video za Asma chini uko utamuona babaake ana kichwa Fulani kirefu ivi cha kichogo
Ndo director
Sisi warugulu wazuri❤❤❤❤
Ndio ninawajua wengi😊😊😊
Mm nimekutananae mwanamkekama vai
Nahisi kama vaileth anaringa flani hivi au ndo camera????
Mtangazaji punguza kutumia neno "actually" .
Kidin yangu usilamu mke sio Kaz yake kupka wara kufua Kaz izo ni zamwanaume ndio hari arisi...lkn wanaume wa tz mnatufanya wanawake kuwa watumwa
Si utumwa 50% 50% effects
Hujakaa darasani ukafundishwa dini ndugu yangu. Hiyo ni dini ya vibalazani... Kakae darasani ufundishwe utaelewa nini maana ya wajibu, mawaddah na huruma. Kinyume cha hapo utadili kwenye wajibu
Maa Shaa Allah akhy ww wajitambua na una elimu@@DonMooFILMES_Express
kicheche alikua m,mba tu alikua anamtesa vaileti
Maswali ni yale yale tu
Anajua kuigiza
Vai your so qiut mydear
Amefanana na mke wangu waaaaah😂😂
Tupostie mkeo tuone kama kweli
Nimependa muuliza maswali nimependa anaejibu maswali
Vai😂😂😂😂😂❤❤❤
Ki ukweli dunia mmejipanga sana yaani mmevaa uhusika vizuri na kila moja anajitambua nini kazi yake mko mvizuri
Ivi baba asma ndio kicheche au jaman nambie sijajua
😂😂
Sio kicheche.
Nenda Instagram kwenye account ya asma utamuona babaake na mamake pia
Mkikuyu uku kenya
Kiukweli ukiwa mtu wa kusoma saikolojia huyu dada ni tabia yake halisia hata nje ya movie mtu anaonekana tu
Bro tuletee mdi naye
Anafanana na lulu 😅
Pia ww umeona
Lovely
Haki hanapedeza kweli
Veilet kwenye dunia umeweza dada 🎉🎉🎉
Mwandishi English mwandishi umesomea wap 😅😅😅😅
Namtaka vaileti from drc naitaji number tu please 🎉
😅😅😅😅😅😅😅Acha tamaa
Vai kazur jmn
Tatizo ataongea mengi ya uongo hata mtu akitoka kanisani au msikitini lazima aongee ushenzi example kama mchungaji msigwa anaongea pumba kwasababu amehamia ccm
Blasa, tafuta moody pia umhoji tafadhali
🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤
Tunafatilia