MAMA MKWE ANANIFUKUZA KWENYE NYUMBA YA MUME WANGU

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 16 มิ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 18

  • @sebastianjoseph2682
    @sebastianjoseph2682 28 วันที่ผ่านมา +3

    Conglaturation Caren for providing us with a very good show...keep it up please

    • @carenmihayo7991
      @carenmihayo7991  28 วันที่ผ่านมา

      Thank you so much, for your comment, I will🙏

  • @BohkeVictor-qs9hn
    @BohkeVictor-qs9hn 12 วันที่ผ่านมา

    Yaani upangiwe nyumba ya 250000😂

  • @user-sn5zb2zb1z
    @user-sn5zb2zb1z 28 วันที่ผ่านมา +3

    😢

  • @BontownMzigu
    @BontownMzigu 23 วันที่ผ่านมา +1

    kwel mama umepitia magum Sana Ila ndo Dunia ilivo

  • @omanoman2044
    @omanoman2044 10 วันที่ผ่านมา

    Wamam punguzen roho mbaya achen wajukuu wakae duuh mwanza watuy wamekaa kam mashetan

  • @mpefu_4936
    @mpefu_4936 16 วันที่ผ่านมา

    Akae hapo ili km wanamtoa waende serikali za mtaa baada ya hapo ataludi kuteseka nyumba za kupanga azifai

  • @yukundapeter8200
    @yukundapeter8200 22 วันที่ผ่านมา

    Mnyoshee Mungu mikono,na choxi la nguvu Mungu atamkalisha kiuno chini,atatambaa km nyoka.

    • @carenmihayo7991
      @carenmihayo7991  22 วันที่ผ่านมา

      Kweli kabisa😊

    • @francescospeciale6556
      @francescospeciale6556 19 วันที่ผ่านมา

      ​@@carenmihayo7991Mnamzungumzia mungu wakati ninyi nyote ni wasaliti na watu mliofanya mambo ya kutisha...na mnajua kabisa ninachokizungumza.

  • @user-me5qu5kw4u
    @user-me5qu5kw4u 20 วันที่ผ่านมา

    Cha msingi hapo usihame kamwe mpk wanao wajenge nyumba yao usihame hapo awezi toa wajukuu wake

  • @christaoman8890
    @christaoman8890 20 วันที่ผ่านมา

    Sasa dada unaomba usaidiwe halafu unataka kufungua biashara ya duka la bei kubwa kiasi hicho duka la vifaa vya ujenzi bora uanze na biashara ya sokoni kuuza vitunguu,nyanya na mboga mboga utafanikiwa kusaidiwa na nyumba ya kupanga tafuta ya bei ndogo pia ili kwa baadae uweze kulipa kodi wew mwenyew

  • @mpefu_4936
    @mpefu_4936 16 วันที่ผ่านมา

    Wewe mm naona umelogwa unaama kwenda wapi banana nao mpka watoto wako wajitegemee ndio uondoke acha uoga wewe

  • @francescospeciale6556
    @francescospeciale6556 13 วันที่ผ่านมา

    Sote tuna mifupa chumbani kusimulia....sote tuna hadithi sawa?

    • @francescospeciale6556
      @francescospeciale6556 12 วันที่ผ่านมา

      Caten kwahiyo unataka kutuambia kitu kwani umependa comment yangu... au unataka nikusimulie kisa cha msichana?

    • @francescospeciale6556
      @francescospeciale6556 4 วันที่ผ่านมา

      Hadithi ya maisha ya msichana ambaye anaishi katika uongo na usaliti kwa sababu anachofanya kinamuangamiza kwa sababu kazi yake halisi ni ukweli mwingine.