![THE CAREN SHOW](/img/default-banner.jpg)
- 9
- 4 696
THE CAREN SHOW
Tanzania
เข้าร่วมเมื่อ 4 มี.ค. 2019
Hello, Karibu kakita kipindi cha THE CAREN SHOW, ambacho kinagusa maisha ya watu na historia zao zilizojaa majonzi na huzuni, karibu tujifunze namna yakukumbatia utu wetu na kuyagusa maisha ya wengine kwa namna ya pekee, na tujenge jamii zinazotambua Utu na thamani za watu wake, kuheshimiana, kujaliana na kubebeana matatizo yetu kama nyakati zile ambapo pesa ilikuwa ni uchaguzi baada ya utu, kwa wewe ambae unaitaji kushare story yako karibu sana, na kwa mawazo, ushauri na msaada usisite kutufikia kupitia kurass zetu na mawasiliano yetu, 0717969661. carenmihayo?igsh=ZGV0aTdnMXRzdWJt
MWANAUME ALIUZA KIWANJA TULICHO NUNUA PAMOJA AKATOROKA #interview#
MWANAUME ALIUZA KIWANJA TULICHO NUNUA PAMOJA AKATOROKA #interview#
มุมมอง: 108
วีดีโอ
NLITESEKA NA KIDONDA KWENYE KALIO KWA MUDA MREFU
มุมมอง 19919 ชั่วโมงที่ผ่านมา
NLITESEKA NA KIDONDA KWENYE KALIO KWA MUDA MREFU
NILIFUKUZWA SAA SITA USIKU NIKAANZA KUISHI MAISHA YA MTAANI:
มุมมอง 134วันที่ผ่านมา
NILIFUKUZWA SAA SITA USIKU NIKAANZA KUISHI MAISHA YA MTAANI:
MAMA MKWE ANANIFUKUZA KWENYE NYUMBA YA MUME WANGU
มุมมอง 2.2K21 วันที่ผ่านมา
MAMA MKWE ANANIFUKUZA KWENYE NYUMBA YA MUME WANGU
Jinsi wazazi wetu walitutelekeza tulikuwa tunakula mapumba
มุมมอง 3262 หลายเดือนก่อน
Jinsi wazazi wetu walitutelekeza tulikuwa tunakula mapumba
MUME WANGU ALIKUWA AKINIHESABIA KILA KIPANDE CHA KUKU HAKUTAKA NILE
มุมมอง 5082 หลายเดือนก่อน
#stor#zamaisha#yawatu#
BAMDOGO ALINIALIBIA MAISHA NA NDIE CHANZO CHA KIFO CHA BABA YANGU
มุมมอง 5702 หลายเดือนก่อน
#story#zamaisha#yakusisimua#yawatu#
Mume wangu alinipiga na kuniacha uchi mbele za watu huku mama yangu akiona,
มุมมอง 7153 หลายเดือนก่อน
#story#zamaisha#yakusisimua#yawatu#
Shavu lote lilioza mjomba alikuwa anatumia nyota yangu
มุมมอง 2857 หลายเดือนก่อน
usisahau kusubscribe soon inakuja full episode
😢😢😢😢ah
Mungu atakulipa nae yatamkuta maliopo ni hapa dunian
Wewe mm naona umelogwa unaama kwenda wapi banana nao mpka watoto wako wajitegemee ndio uondoke acha uoga wewe
Akae hapo ili km wanamtoa waende serikali za mtaa baada ya hapo ataludi kuteseka nyumba za kupanga azifai
Sasa dada unaomba usaidiwe halafu unataka kufungua biashara ya duka la bei kubwa kiasi hicho duka la vifaa vya ujenzi bora uanze na biashara ya sokoni kuuza vitunguu,nyanya na mboga mboga utafanikiwa kusaidiwa na nyumba ya kupanga tafuta ya bei ndogo pia ili kwa baadae uweze kulipa kodi wew mwenyew
Ushauri mzuri asante sana
Mama mpambanaji hongera sana, Mungu akufanyie wepesi Mume ni dhalimu huzuni kubwa! Kosa la Mama huyu ni kujisahau afya yake na kusahau kuwahi kuiona nyota ya kijani! Yani uzazi wa mpango
Kweli kabisa, mungu ni mwema,
Mungu ni mwema kwa wale wanaostahili kweli na tunajua kwamba ni wachache hapa
Cha msingi hapo usihame kamwe mpk wanao wajenge nyumba yao usihame hapo awezi toa wajukuu wake
Kweli kabisa
Mnyoshee Mungu mikono,na choxi la nguvu Mungu atamkalisha kiuno chini,atatambaa km nyoka.
Kweli kabisa😊
@@carenmihayo7991Mnamzungumzia mungu wakati ninyi nyote ni wasaliti na watu mliofanya mambo ya kutisha...na mnajua kabisa ninachokizungumza.
🤦
kwel mama umepitia magum Sana Ila ndo Dunia ilivo
Watoto wadogo mmepitia magumu sana Pole mdogo wangu
Ila shoga angu unamoyo wa chuma mimi siwwzi walahi sikuiyo aliokukaba ilibidi uwachane nae kabisa kwanza hana adabu anamtukana adi shangazi ako loo misiwezi kwakweli
Inaitaji moyo sana
😢
Conglaturation Caren for providing us with a very good show...keep it up please
Thank you so much, for your comment, I will🙏
pole sana
❤❤
Caren why don't you tell us more about yourself ....
Beautiful dear
Congratulations
Duuuh shida kweli 😢
Pole sana
Duuuh
Good work
Thank you
❤❤❤
pole sana mdada
Wah
Hongeleni sana mnaweza mungu awazidishishie malifa❤❤❤❤
Asante sana
Nomaaaaaa❤❤❤
God bless you
Thank you so much
Hongera Sana Caren kwa kazi nzuri kuwasaidia watanzania wenzio Mungu akubariki. Huyo Aisha namfahamu jamani kama sijakosea
Asante sana dear tunaendelea kupambana, kumbe unamfahamu basi ni jambo jema ❤
Why don't you tell us your story and your work in Macedonia .....
Oh pole sana mdogo wangu aisha. Mungu akufanyie wepesi.
Iyi kali
Dunia Ina mambo
Sanaa tuombe mungu tu,
Daaah ni hatari
😢😢😢
😢😢😢
❤
😢
umetisha sana
@@coktvasante sana
I can't wait for the Caren Show
Karibu sana
Aaaaaah nomaaaa saanaa
Wow waiting
Thanks
Tunasubili ❤