Ata sijui niandike nini kwa sababu kila kitu kina uzito kwa huu wimbo. Asanteni sana. Nakwambia huu wimbo umecheza nikipause kwa sababu uzito upo kwenye maombi haya. Roho mtakatifu asante kwa huu wimbo!! Yesu awaweke Paul na Kavishe!
This is the best song , more congratulations Guys of Jesus Christ, you're doing, keep it upy my brothers in Jesus Christ. I'm so blessed through your singing style. "uniondolee majigambo, kiburi, dharau na majivuno"...... KONGORE VIJANA WA YESU
Mungu ana watu Yaani amejiinulia kakizazi chake fulani hivi km hawa Sa we kaa hapo ukijiona ndo solo , Yesu ana watu Bwanaaa He we gooo🎉🎉 Glory be to God
Bwana anatufundisha kunyenyekea maana vyote tulivyonavyo ni kwa neema yake . Asante Yesu kwa ujumbe huu , ni wewe pekee watufundisha kuwa wenye kunyenyekea asante Bwana Yesu. *Waefesa 2:8-9
The countenance on these two men speaks of a Godly acceptance just like Abel, God is pleased with their sacrifice. It was seen in 'Mungu Wangu Hasaidiwi' an it's still evident now. May God uplift His faithful servants!
Natafuta ngoma iko na hizi lyrics. Imekuwa in my mind for the second day now. mungu mwenye uwezaa, nakimbilia kwako .... najua just this part. Help me heal.
Am leaving this comment here so that when someone comes and likes it I will come back and watch it again and again .Kenya 🇰🇪 more love
If we can all say this prayer every single day😭😭
Yes yes yes yes @JaqueGachiri
Tunangoja yako pia in this season ❤
My sincere prayer,may God deal with our hearts
I know right since l had this song it's my prayer for 2025
Wapi like za Kenyan in the house
This song since l heard it can't stop listening to it
Anae taka wimbo uu ubadili maisha ya wengi gonga like
This must be every believer's anthem! Tuimbe pamoja:
*Lyrics (Swahili)*
Nitanyenyekea
Sitajihesabia haki
Nimepata vyote kwa neema Yako, kwa neema Yako
Niondolee majigambo
Nisidharau wengine
Maana nimepata vyote
kwa neema Yako, kwa neema Yako
Bwana niondolee kiburi
Nisitukane wengine
Maana nimepata vyote
kwa neema Yako, kwa neema Yako
Aii wee aii wee aii wee aii wee
Aii wee aii wee
Aii wee aii wee aii wee aii wee
Eeh nafsi yangu
muhimidi Mungu pekee
Aii wee aii wee aii wee aii wee
Aii wee aii wee
Aii wee aii wee aii wee aii wee
Eeh nafsi yangu
muhimidi Mungu pekee
Nitanyenyekea
Sitajihesabia haki
Nimepata vyote kwa neema Yako, kwa neema Yako
Niondolee majigambo
Nisidharau wengine
Nimepata vyote
kwa neema Yako, kwa neema Yako
Niondolee kiburi
Nisitukane wengine
Nimepata vyote kwa neema Yako, kwa neema Yako
Tunalia
Aii wee aii wee aii wee aii wee
Aii wee aii wee
Aii wee aii wee aii wee aii wee
Eeh nafsi yangu muhimidi Mungu pekee
Tunanyenyekea
Aii wee aii wee aii wee aii wee
Aii wee aii wee
Aii wee aii wee aii wee aii wee
Eeh nafsi yangu muhimidi Mungu pekee
Wivu usionekane ndani ya moyo wangu
Nijue hata wengine Umewachagua kwa neema Yako
Nisijione mwenyewe
Nijue wako wengine ambao Umejizazia
Hata nikiacha wataendelea
Nisiwe wakutegemewa nijue wako wengine
Ambao Umejizazia hata nikiacha wataendelea
Kiburi kisinishushe
Neema ininyanyue
Maana ipo kwa wanyenyekevu nifundishwe na neema Yako
Nifundishe kukushukuru
Nifundishe kukuhimidi
Nimepata vyote
Kwa neema Yako, kwa neema Yako
Tunalia
Aii wee aii wee aii wee aii wee
Aii wee aii wee
Aii wee aii wee aii wee aii wee
Eeh nafsi yangu muhimidi Mungu pekee
1Petro 5:6-7 Tuzidi kunyenyekea kwa mkono wa BWANA ulio hodari ili yeye atukweze kwa wakati wake.Mbarikiwe sana watumishi wa Mungu.Glory to God.
Nimeutafuta sana huu wimbo very heavy messege
Ata sijui niandike nini kwa sababu kila kitu kina uzito kwa huu wimbo. Asanteni sana. Nakwambia huu wimbo umecheza nikipause kwa sababu uzito upo kwenye maombi haya. Roho mtakatifu asante kwa huu wimbo!! Yesu awaweke Paul na Kavishe!
Ee Mungu naomba unijalie unyenyekevu
Mmenigawia mibaraka asanteni muzidi kubarikiwa watumishi wa MUNGU 🙏🙏
These two have more chemistry than the periodic table 😄Usipoguswa na huu wimbo wewe ndio uko na ka-shida.
Humbleness is a stepping stone towards receiving greatness 🙌🔥🔥
Kenyan Likes🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
This is not just a song but a prayer! Keep it Man of GOD
Waooooo! I've been waiting for this song!!!! May the Lord teach us to be humble. Keep it up brothers i can feel it for sure!
This is the best song , more congratulations Guys of Jesus Christ, you're doing, keep it upy my brothers in Jesus Christ.
I'm so blessed through your singing style.
"uniondolee majigambo, kiburi, dharau na majivuno"......
KONGORE VIJANA WA YESU
Sitajihesabia Haki 🙏
Kweli
This is a real prayer naamini hivyo pamoja nawe ndugu yangu@John Kavishe🙌🙌🙌
The stage setting just 🔥🔥🔥🇹🇿🇹🇿🇹🇿 backup singers Soo marvelous I love the whole thing Tanzania Gospel to another level wooow 💚💚🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Niondolee majivuno, nimepata vyote kwa Neema tu❤❤
Wimbo wa Nyakati zote
🙌🙌🙌🙌
❤❤
Nanyenyekea Hakika sitajihesabia haki
Niondolee majigambo nisidharau wengine
BABA YANGU KAVISHE EMBU MUNGU AKUPE MAISHA MAREFUU,,,,EEEE NAFSI YANGU MUHIMIDII MUNGUUU MUWEZAAA TU
NIMEPATA VYOTE KWA NEEMA YAKO🔥🔥🔥🙌🏻🙌🏻
Nitanyenyekea sitajihesabia haki nimepata vyote kwa neema yako😭😭🙌🏾🙌🏾
Vanilla so nyimbo tuu haha live mungu kakubaliki
Nafis yangu muhimidi Mungu aiiwe aiwe🙏🏼
Mungu ana watu
Yaani amejiinulia kakizazi chake fulani hivi km hawa
Sa we kaa hapo ukijiona ndo solo , Yesu ana watu Bwanaaa
He we gooo🎉🎉
Glory be to God
kaka ukosafi mungu akubalik
🙏🏽🧎🏽♀️
Aiweeeeeeeeeeeeeeee,nafsi yangu......
Nyimbo nzur sana
Ee nafsi yangu muhimidi Mungu pekee🙌🏼🙌🏼
This is massive this is the song for closing 2024 this song so spiritually well done am blown away 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿💚💚💚❤️❤️❤️❤️👍👍👍
Eee nafsi yangu umuhimidi Bwana oooh haleluya😢
Unyenyekevu ndio Kila kitu❤..mbarikiwe watumishi
Wow very powerful watumishi tunyenyekee huu ujumbe mzito
Aiwee 🙌🏽🙌🏽🙌🏽
Ee Mungu nipe moyo wa kunyenyekea mbele zako, kwani kila nilichonacho leo ni kwa neema yako tu 😥😥
John all the way
ile nafungua tu nakutana na upako huu hakika ni kweli kabisa niujumbe wng mungu awabariki sana.
Bwana anatufundisha kunyenyekea maana vyote tulivyonavyo ni kwa neema yake .
Asante Yesu kwa ujumbe huu , ni wewe pekee watufundisha kuwa wenye kunyenyekea asante Bwana Yesu.
*Waefesa 2:8-9
🔥🔥🔥🔥
Aii bana band never miss it...they synch vizuri. Praise be to God..
Today, a friend reminded me that it is by the grace of God that we are who and where we are.❤
Ee nafsi yangu mhimidi Bwana 🙌🙌🙌🙌
eeh nafsi yangu muhimidi Bwana siku zote🙏🙏🙌
Wimbo mzuri sana 🎉❤ utukufu kwa Bwana
Mungu awabariki Kavishe na Paul, wimbo ni wa moyo wangu huu kabisa
Ibaada Yenye Maana Saana Mbele Za MUNGU Na Wanadamu Ee Nafsi Yangu Mhimidi Bwana😭🙌🧎
❤❤❤🔥🔥🔥🔥🔥🔥 Eeeh nafasi yangu 🙌🙌🙌
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎯🔥🔥🔥🔥kaka john thanks for responding calling
This isn't just a song,is a conversation with God🥹❣️
Mungu akubariki Mtumishi
Asantee Kwa huu Ujumbe huu Kaka wa unyenyekevu 🙏🏽🙌🏽🙌🏽,,,, ee nafsi nyenyekea na msifu MUNGU
Nijue wapo wengine nisiwe wakutegemewa maana ni neema tu... Eeeh nafsi yangu 😢😢 Ninyenyekee siku zote
The countenance on these two men speaks of a Godly acceptance just like Abel, God is pleased with their sacrifice. It was seen in 'Mungu Wangu Hasaidiwi' an it's still evident now. May God uplift His faithful servants!
Be blessed son's of God. Hakika vyote ni kwa neema🔥🔥🙏
Eeeh nafsi yangu muhimidi Bwana peke.. Hallelujah
🔥🔥🔥🔥🔥🙌🙌🙌🙌💕
Ni maombi yangu haya❤❤
Be blessed 🎉
Let givr this song billions, God deserve🎉🎉🎉🎉🎉🎉
So powerful🔥🔥
anointing
Perfectly really message🎉
🙌🏻
True humility
Prayer Song🙏🙌🙌🙌
😢😢😢😢😢 Heavenly Melody 😢😢😢😢😢 Aiyiweeee ayiweeee
My soul, Glorify God only ❤❤
The song of surrendering to the feet of king of kings😭🙌🏾🙌🏾
This is my prayer❤
New subscriber 🎉🎉
Bro yu killed it this is so much blessing so touching ❤❤❤❤❤
Powerful 🙌🙌
Huu sio wimbo tu, it's GOD voice speaking to us. Tuache Kiburi......
We live only by his grace, not by material things we claim to posses....
Niondolee majigambo...nimepata vyote kwa neema yako. 🔥🔥
Aliyemuona zoravo na bella,apige like
Natafuta ngoma iko na hizi lyrics. Imekuwa in my mind for the second day now.
mungu mwenye uwezaa,
nakimbilia kwako ....
najua just this part.
Help me heal.
God bless u ministers
Iweke sasa kwenye platforms zingine
Ameen ameen ameen🙇🏽♂️🙇🏽♂️
Hakika tunanyenyekea BWANA, tupe unyenyekevu zaidi MUNGU, ili tukupendeze 🙏🙏
Very powerful mr clement and johny
Glorious 🎉🎉🎉
Eeh Nafsi yangu muhimidi Mungu pekee 🙌🙌
Wimbo maombi 👍 ni neema tu nothing else.
Keys Mungu anakuona🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Eeeh nasfi yangu muinuwe bwana
Aiwee Aiweee 🔥🔥🔥🔥🔥 GOD Bless you Men of God @JohnyKavishe & @paulclementofficial
Yatakuwa maombi kila siku Mungu nisaidie
Aiwee aiwee ❤❤mubarikiwe sana hakika nafsi yangu imuhimidi BWANA,🙏.
Kabla ya Anguko kiburi huanza…Mungu atuondolee kiburi🤲🏿
Na haya ni maombi yangu kwako bwana😭😭
Wataaalam kbsaa
Kaka kavishe mungu awabaliki sana❤
Ooooh hallelujah, Utukufu Kwa Mungu aliye haii nabarikiwa sana , Mungu azidi kuwainua
Haleluya
Utunzi mzuri sana, Sam bass umefanya kazi nzuri sana 👌