off all songs, this is the best. more grace johny kavishe. nyimbo yenye upako na ujumbe mzuri wa kukumbuka yale mungu ametufanyia. from kenya we love you😍
Im from Kenya and I love your ministration🤗may you be blessed hope one day I will be on the alter with you people one day Mungu akipenda🤗you inspire me alot in kingdom matters🙏🏾more blessings
Kama sio huruma yake, kama sio rehema zake, kama sio mapenzi yake juu yangu Mtu kama mimi ningefanyaje??, God me n my household will worship you for the rest of our lives🙏
Mimi ningefanyeje?? God bless you Kavishe
off all songs, this is the best. more grace johny kavishe. nyimbo yenye upako na ujumbe mzuri wa kukumbuka yale mungu ametufanyia. from kenya we love you😍
Mtu kama Mimi🙌😭MY SOUND🔥
Hakika kama si huruma za Mungu mtu kama mimi nisingefika hapa nilipo leo hii...🙏
MUNGU akutunze john kavishe, this sound iko na nguvu na YESU ainuliwe zaidi kwakweli,.
MUNGU wangu nakupenda 😢😢❤❤
Ametangaza Majira MAPYA JUU YA MAISHA YANGU AMEN +254KE we love the live worship from TZ 03:55 AMETANGAZA SEMA😇
AMEN
@@Naomidemure254 AMEN TO THE LORD ALMIGHTY
Mtu kama Mimi ✅🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 One of the Season song At a Right Time🙏🏽🔥🔥🔥🔥🔥🔥 God Bless You MOG✅✅✅✅✅✅✅✅
Asante Yesu Kristo kwa kukubali kuutoa uhai wako kwa ajili yangu
Sasa mtu kama mimi jamaniii😢😢..ningefanyajeee ..jamaniii mimi😢😢😢...Thank you Jesus
Hallelujah amazed song,,,,, kama si Rehema za YESU kwani kama Mimi ningefanyaje😭😭😭🙌
KAMA MIMI Ningefanya bila YESU Familia yangu je ingefanyaaje
May the Lord bless you brother!!! If it wasn’t the cross we would sing!!
Kama si msalaba, kama si neema, mtu kama mimi ningefanyaje🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
My favorite song all timee❤❤,thank Jesus kwa kazi ya msalaba
Kama si neema
Kama si msalaba,🤔🤔🤔
Mtu kama mimi ningefanya nini!!??
Siipati hio picha maana kweli sijui ningefanya nini
Im from Kenya and I love your ministration🤗may you be blessed hope one day I will be on the alter with you people one day Mungu akipenda🤗you inspire me alot in kingdom matters🙏🏾more blessings
Kama Si huruma ya Mungu kwa haya nliyopitia mtu kama mm ningefanyaje🙏.
Kama sio huruma yake, kama sio rehema zake, kama sio mapenzi yake juu yangu Mtu kama mimi ningefanyaje??, God me n my household will worship you for the rest of our lives🙏
It's by your Grace oh Lord...mtu kama mimi sijui ningefanya aje.. I am forever grateful 🙏 Ebenezer.
Mbona hii nyimbo ni heaven sake afu hakuna acoustic guitar kwa hii song oiii.. I hear it kabisa ni maunyama
Hallelujah,,tumsifu Masihi kwa huu wimbo,,,Kama si kazi yake ya Calvary watu Kama sisi tungekuwa wapi.
I really blessed 🙏 God be with you 🙌🙌
Kama si msalaba,kama si neema mimi ningekuwa wapi 🙌🙌🙌🙌🙌
Kama si msalaba,kama si neema.Indeed we are saved by Grace.Ahsante sana MoG John and the team.
#MTUKAMAMIMI😢 nakosa cha kueleza zaidi juu ya hii neema ya pekee asante Mungu 🙏..
#MTUKAMAMIMI 🔥🔥🔥🇹🇿🇰🇪🇺🇬🇷🇼🇱🇷
We need this in audiomack chapchap😭🔥
Kama si msalaba mm cjui nngekuwq wapi right now God bless you kavishe
Kama si msalaba,neema ..mtu kama mimi ningefanyaje,ningekuwa wapi?
❤ from 🇰🇪
Powerful Song ! More Grace My Brother !
Tunabarikiwa watu kama sisi🔥🔥
Yesu ni mzuri
Ni reheme tu za Mungu 😢😢
Oh waooh❤ mtu kama mimi ningefanyaje😢 ...unaisha kama unaanza vile😊 wacha tuendelee kuenjoy🥰
Mtu kama mimi ningefanyaje ,,,,,Asante Yesu
Wimbo wa Majira na Nyakati! great work John!
Mtu kama mm 😭😭😭😭😭🦅🤔🤲🏻🙌🏼
MTU KAMA MIMI🔥🔥🔥🔥🔥
Mimi ni zao la Msalabaa😭😭🙌🙌🙌🙌
Congrats my brother ❤God bless
Kama si msalaba ,kama si Neema.....MTU kama mm ningefanyajeeee...,
A man like me with a heart so inclined to sin has been freed from the repetitive sins.....Ningefanyaje kama sio Yesu❤🎉
Kama si msalaba kama si rehema mi ningefanyeje? Mungu akubariki brother 🎉🎉
This song❤❤❤❤❤❤
May God continue using you as his real time ministers
#mtukamamimi
Hakika kama si Msalaba nisingepata Neema kama hii🙌🏾
Barikiwa sanaa mtumishiiii❤️
That's the Intro for me🎆🎆🎆🎆❤🔥❤🔥❤🔥❤🔥❤🔥❤🔥❤🔥❤🔥
Munga akubalik
Mtu kama mimi ningefanyeje
The music, the words of this song🙌🙌🙌so full of life...Yesu asante kwa kazi ya msalaba...
Hallelujah👐👐👐👐👐👐❤❤
Ningefanyaje sasa mtu kama mimi🙏
MTU KAMA MIMI 🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻
Amen🙏 Mtu kama mimi💃💃
This song is boom🔥🔥🔥🔥🔥
WOW! MTU KAMA MIMI 🎉🎉🎉
Mtu kama mimi ningeenda wapi 🙆♀️
🙌🙌🙌🙌
Mtu kama mimi, NINGEFANYAJE???
ASANTE YESU.
Without grace of GOD we are nothing🙌🏻Calvary
Mtu kama mimi ningefanyaje 😢🙏🙏
Mtu kama mimi mimi asante Yesu
This u have killed bro
Yaan wimbo sichoki kuuskiliza sema tu umegoma kujidonload
Wow amazing grace God bless you man of God
Aloooooh this is powerful
Ningefanyaje Mimi 😢😢
Viwango vya juu sana..Mungu awatunze!
Kazi nzuri sana Mtumishi. Mujwahuki always ni next level 🙌🏾
Ningefanya Nini mungu
Mtu kama Mimi 😭😭
Kama SI msalaba ....🙏🙏
Kama si msalaba🤲🏾🤲🏾
My teacher❤
Mtu kama mimi hivi nngefanyaje !??? Barikiwa sana John kavishe mwaka huu Mungu anakuinua yaan mpk utashangaa atafanya zaidi ya vile ulivyotarajia
Ni Neem safi sana mtumishi hongera sana 🙏🙏⛪
Mtu kama mimi ningefanya je ety Brother John Kavishe
Ningekuwa wapi mtu kama mimi😢❤
Barikiwa sana mtumishi wa Mungu aliye hai tunabarikiwa kwa kwel
Kama si neema na rehema zake mtu kama mimi ningefanyeje🙌🙌
Mtu kama mim😭
Mtu kama mim🙌🏻🙌🏻🙌🏻
Mtu kama mimi ningekuwa wapi 🙌🙌
Kama si msalaba Kama si neema mtu Kama Mimi ningefanyajeee
What a Prophetic Dance 😻😻😻😻😻
🎉🎉🎉This man of God is blessed, singing spiritually connected songs,am blessed Glory to God 👏👏👏🙏
Mtu kama mimi🙌🏾🙌🏾🙌🏾
MTU kama Mimi 🙌🏾🙌🏾🙌🏾
barikiwa sana ❤
If it wasn't for the cross 😭
Mtu kama mimi # power song
Mtu kama Mimi. Asante YESU Kwa NEEMA
Barikiwa mtumishi
Aiisaaaay mtu kama mimi ningefanyaje?🙏🙌🙌
Kama si msalaba🙏❤
Ubarikiwe Sana , wimbo mzuri sana
Glooooreeeey 🎉❤
Nimekua excited tokea first time kusikia kwa insta ...be bless man of God
Kama sio Msalaba mtu kama mimi ningefanyaje? Asante sana. Ubarikiwe
Mtu kama Mimi imekua Afya sana hii
Hiiii stairi daaaah...!!!! Htar sana
Powerful 💥💥💥
🎉🎉the song ashhhhh enters the bones