Kwa sasa tupo kwenye supply phase ndio mana dollar inashuka tukifika kwenye demand phase itafika mpaka 3000+ wenye uwezo Kwa sasa wahifadh dollar kwa wingi soon itaenda kupanda Kwa kasi then utapiga faid kubwa ukiwa unafanya forex trading 📈 chart inaongea
Serikali ndio sababu ya Shilling yetu kufanya vizuri dhidi ya dola , ukitaka sarafu yako iwe na nguvu hakuna njia mbadala zaid ya kupiga marufuku matumizi ya dola au fedha za kigeni kwenye maisha ya kila siku
Hamna mchumi hapo. Shilling ikipanda mnasema Marekani, ikishuka mnasema Tanzania sera mbovu. This time iliyoimarika ni shilling muwe wafuatiliaji sio kusikiliza hao wachumi uchwara.
Jamaa yupo sahihi kwa sababu ameeleza FACTORS zote! Mosi, Dollar yenyewe tu imeanza kuporomoka kuanzia mwishoni mwa November! Pili, msimu wa mauzo ya mazao ya kilimo una-boost uwepo wa USD!!
Ilipo poromoka dolar(shilingi) ya Iran wa marekani weusi😂wa buza walicheka sana, hawajui dolar huwezi kuigawa Katika Vita,biashara,ujenzi wa uchumi wa nchi.ikabaki salama shika kimoja, mbaya zaidi dolar ya brics inazidi kuwa na ushawishi..R.I.P dolar ya US tulikupenda ila Brics tumeipenda zaidi😊
@@nishimwelambert8377sasa ukiishi urusi sie tukusaidie nini 😂si tupambane na maisha yako kama yamekushinda rudi kwenu hujalazimishwa kuishi nchi za watu
@@nishimwelambert8377 kuishi urusi, sio tatizo urusi inajenga ushawishi wa doral yake nje ya mipaka yake kwanza wala sio ndani ndio maana ndan urusi huwezi kuona shauku ya dollar mpya nenda south sasa 😊😊
Kuna athali pia kwa mauzo ya nje. Ukiuza bidhaa nje manayake utalazimika kuuza kwa bei ya juu ili kupata faida. Kama bidhaa inushindani basi wanunuzi watakimbilia nchi nyingine ambao pesa yao iko chini. Ndiomaana china anaamua kuishusha pesa yake ili auze sana nje. Fikiria Yuan ingekua kama Dolar nani angeenda China. Kwahiyo kupanda nako kuna athali.
@@ameirzapy1318 Mi mwenyewe hapa nimedata manake nilikuwa najiandaa kwenda kutoa Visenti lakini kwa mporomoko huu, mnh! Unajua jana nililipia service moja ambayo ni Sh 13K TU, sasa kuangalia online statement nakuta nimetunguliwa $5.56 - NIKASHTUKA! Mara ya mwisho nilitoa Sh 400K kwa $162; lakini kwa stahili nadhani itakuwa sio chini ya $175 kwa Sh 400K ile ile!!
Huyu mtu hajui anacho ongea Dolla ndio baba wa manunuzi duniani mbona sarekali yako inahifadhi Dolla kwaajili ya manunuzi na matumizi ya ndani we binafsi umeficha Dolla usifiche shilingi
Ndiomana hakuna one definiton ya ECONOMICS so kwa mtazamo wake yupo sawa. Hoja hii itapingwa na hoja nyingine yakiuchumi, na itakuwa hivyo mpaka mwisho wa dunia.
Kwani kushuka si ndiyo maana yake hiyo, thamani ya fedha ya nchi fulani mfano Tzs kuimarika dhidi ya USD. Pia inaweza isiwe sababu ya Tzs kuimarika bali kukawa na sababu zingine za nje(external factors) zikawa zimechangia kuporomoka kwa USD.
@@stellahlinusi8215Ninyi wote ni washamba, dola haijashuka, Euro haijashuka, wala hela ya Oman haijashuka bali ni hela ya Tanzania ndio imepanda thamani
Inflation rate imepungua, Fed wamepunguza interest mzunguko wa fedha umeongezeka sababu kampuni zimeanza kukopa hivyo Dollar imeongezeka kwenye mzunguko( as simple as that)
@@denislodrick Hapana, Dollar ya Marekani haijashuka thamani, bali sarafu ya Tanzania ndio imepanda thamani. Na imepanda thamani dhidi ya sarafu zote sio dola tu. Wiki mbili zilizopita. Shilingi 1 ya Kenya ilikuwa sawa na 20 ya tz, leo shilingi 1 ya Kenya ni sawa na 18 ya tz. Euro 1 ilikuwa sawa na 2728, leo Euro 1 ni sawa na 2494 ya tz. Rand 1 ya Afrika Kusini ilikuwa ni sawa 146 ya tz, leo rand 1 ni sawa na 133 ya tz. Yuan 1 ya China ilikuwa ni sawa na 363 ya tz, leo yuan 1 ni sawa 327 ya tz. Rial 1 ya Oman ilikuwa ni sawa 6831, leo rial 1 ni sawa na 6188 ya tz. Ruble 1 ya Urusi ilikuwa ni sawa na 26 ya tz, leo ruble 1 ni sawa na 22.6 ya tz. Kwacha 1 ya Zambia ilikuwa ni sawa na 98, leo kwacha 1 ni sawa na 85.6 ya tz. Dola 1 ya Canada ilikuwa ni sawa na 1879, leo dola 1 ya Canada ni sawa na 1673 ya tz. Rupee 1 ya India ilikuwa ni sawa na 31 ya tz, leo rupee 1 ni sawa na 28 ya tz. Dinar 1 ya Kuwait ilikuwa ni sawa na 8561 ya tz, leo dinar 1 ya Kuwait ni sawa na 7742 ya tz. Sarafu za wenzetu hazijashuka thamani bali ni sarafu yetu ndio imepanda thamani.
Hivi Leo watanzania bado IPO shida uchumi acheni sifa 46.00 usd sawa na 110.170.00 hivi mnamdangaya nani cc hatuwezi kujikita kupambana na dola acheni Hilo gumuzo
Huyu jamaa , anatupanga effect haiko kwenye Dollar bali iko kwa Tsh imeimarika , na ukichunguza vizur utaona Tsh imeimaerika dhidi Gbp, Eur, na currency zote kubwa hata Kes. Kwa hyo huyu jamaa hakutakiwa kuhisha dolla kwenye kuimarika kwa Tsh , alitakiwa aongee kuhusu Tsh kuimarika..
BRICS wameanza kupunguza utegemezi wa USD kwa kutumia sarafu zao kwenye biashara, hatua inayochangia kushuka kwa thamani ya USD. Hii inatokana na juhudi zao za kujitenga na mifumo kama G20 na kuimarisha uchumi wao. Katika masoko ya indices, hali hii inaathiri mikakati ya wawekezaji, wakitafuta fursa kwenye sarafu nyingine.
Hii inatumika kisiasa Kwan aflika inafanya biashala gan paka iweze kusababisha dola kushuka? Walio shusha niwale wanao fanya biashala za kimataifa mafuta viwanda vikubwa ndio wenye maamuz lakin sio Tanzania sisi nikupelekwa Kama gali bovu malangap tunaambiwa tunadaiwa hela myingi kisa dunian dola imepanda kumbe wakubwa ndio wenye kujuwa
Acha maigizo, Dola kabla haipanda mwaka Jana ilikuwa 2346tsh baadae ikapanda Hadi 26343tsh. Tulitarajia kuona Dola ikishuka Hadi 1000 hapo ndo ungesema shilling impenda
Dollar imeshuka duniani kote ndio maaana dhahabu imeshuka pia msituharibu akili pesa yetu kuimarika ni bado ata kama bot inanunua dhahabu kwa sasa lkn tunatarajia kuimarika kwa kwake
Kwa akiliyangu yakawaida bilakupepesa kupanda kwa shiling ya Tanzania nikutokea kwamzunguko mkubwa wapesa hivyo shirng inatafuta kwagharama kubwa nihayotu
Dola haijashuka thamani, thamani yake iko palepale bali hela yetu ndio imepanda thamani. Imepanda thamani dhidi ya sarafu zote. Sio za China, sio za Canada, sio za Urusi
Huyu jamaa namshangaa hv hajui kuwa BRICKS yenye watu takribani nusu ya watu duniani wameamua kutumia local currency kwa kiasi kikubwa, saudia anawauzia mafuta kwa local currency sasa hiyo dollar inaimarikaje yaani dollar imesuswa na nusu ya dunua, pili USA anaprint dollar kusaidia ukraine Israel na kujiendesha bandana ya USA kuwekeza hapo dollar inaimarika vipi
Kwanza kuzipata hizo dollar Tanzania ni issue, miez miwili iliyopita nilisafir, nilizunguka kununua dollars aisee nikaambiwa bora ununua dirham utaipata kwa urahisi kuliko dollar
Marekani na ulaya magharibi roho zitawauma Allaah awangamize wote wenye nia mbaya na nchi hii na wanao hujumu uchumi wa nchi hii ailinde nchi yetu na raisi wetu na viongozi wote wenye nia nzuri na wananchi wenzao wa nchi hii na Allaah awaangamize maadui wote wasio itakia mema tanzania na wanye nia mbaya na wananchi wa tanzania na ajaalie uchumi wetu uzidi kukua
Mchumi sikuelewi unaongelea dollar kwasababu ya utawala mpya watu wana hofia vipi kuhus Euro ilikua imefikia 3000 kwa shillingi 1? Sasa imeshuka ghafra week moja imefika 2350
@@rumdeesonsoa1811 FUATILIA CHIFU, USD imeshuka lakini pia ni kweli Shilingi nayo imeimarika na ndo maana "net effect" yake imekuwa kubwa sana!! Yaani ni kama mtu aliyaliwa chini (Shiling) halafu yule aliye juu (Dollar) anapungua uzito na yule aliye chini anaongezeka uzito. Sasa ktk mazingira kama hayo huyu wa chini atajipapatua kirahisi sana tofauti na endapo ingekuwa ni yule wa juu pekee ndi ameepungua uzito huku wa chini akiwa vilevile au kama ni wa chini ndie kapungua uzito lakini wa juu anabaki uzito ule ule!
Leo nmenunua dollar 1 kwa 2200😮😮😮😮ila mmarekan ameshusha dollar ili dollar ya 2017 itoke kwenye mzunguko ili dollar ya 2021 ingie sokon subir mwakan tutanunua dollar kwa 3000
One of the worst analysis, dollar imeshuka???? Au Tanzanian currency imegain value, yaan analeta international reasoning kwenye impact ya nchi moja kweli huyu mchumi amelack level ya analysis na evaluation kwenye real world anaelezea mambo yanayotokea kama anajibu mtihani, this is very bad kwa mtu anayejiita mchumi
Reasons: 1: China and Japan dumping USA Treasury Bond 2: BRICS: using local currency for international transaction bypassing USA dollar 3: USA economic hardship 3:
Hizo reasons zako hazina maana yoyote. Hayo ndio matokeo ya kuhisi bila kufanya utafiti. Dola haijashuka thamani, thamani yake bado iko palepale. Sarafu ya tz ndio imepanda thamani, na imepanda thamani dhidi ya sarafu zote sio dola tu.
Kwa sasa tupo kwenye supply phase ndio mana dollar inashuka tukifika kwenye demand phase itafika mpaka 3000+ wenye uwezo Kwa sasa wahifadh dollar kwa wingi soon itaenda kupanda Kwa kasi then utapiga faid kubwa ukiwa unafanya forex trading 📈 chart inaongea
Sure
Washushe na bei za mafuta basi😂😂
Wew ni mwana wa Fx 😂
Kabisa Huu ndo mda mazuri wa kununua Dolla
urusi❤
BRICS 🎉
lol joining brics 😂😂😂😂😂😂😂😂 haikusaidii vile unafikiria
@peterkioko3936
BRICS ndiyo sababu ya andiko la dola, na bado safari inaendelea. Sijui unaumia ukiwa wapi?
Hongera Mama Samia Rais wetu mpendwa ❤
Tahira hilo
Amefanya nin
@@Jake-jkg Fanya kazi acha kulalamika
Haibadilishi chchote kwenye maisha yetu ya cc wanaichi wa chini gharama ya maisha n palepale
Chadema wivutu
Hujielewi unachoongea
Sasa kwa siku unatumia tshng 2000 utaelewa nn sasa hapo
Mh. Mchumi hapa sijui ka yupo sahihi ... mbna shiringi ndo imeongezeka dhidi ya pesa nyingi, ikiwepo ksh, yuen, pound.
Mchumi amejibu vizuri ila hakueleza kila kitu. Pesa ya Tanzania imepanda thaman
Mimi nafikiri sh. Imeimarika kwa sababu matumizi ya dola kwetu yamepungua
Serikali ndio sababu ya Shilling yetu kufanya vizuri dhidi ya dola , ukitaka sarafu yako iwe na nguvu hakuna njia mbadala zaid ya kupiga marufuku matumizi ya dola au fedha za kigeni kwenye maisha ya kila siku
Shiling nahisi imeimarika maana hata huku Oman rial imeshuka sana
Rial Kiasi gn sahv
Sababu kubwa ni Brics
We ndo umeongea la maana
Bricks hamna lolote
Shilling imeimarika yaani export rate ya TZ imeongezeka jamani mbona huyu mchumi anamambo mengi 😂😂
Kweli
Mchumi wa mchingo huyu 😂😂😂😂
Tukubaliane tu shilling imeimarika ,, dola kwao ipo pale pale
Ishara ya njaa upande wao watu wamechenji mifumo ya biashara..
Umeongea vyema sana.
Hamna mchumi hapo. Shilling ikipanda mnasema Marekani, ikishuka mnasema Tanzania sera mbovu. This time iliyoimarika ni shilling muwe wafuatiliaji sio kusikiliza hao wachumi uchwara.
Jamaa yupo sahihi kwa sababu ameeleza FACTORS zote! Mosi, Dollar yenyewe tu imeanza kuporomoka kuanzia mwishoni mwa November! Pili, msimu wa mauzo ya mazao ya kilimo una-boost uwepo wa USD!!
Endelea kulala hauna unachojua.
😂hatujauza sehem ya nchi kweli haha 😂 naogopa yn Bora ingebakia TU 😅pale pale hahaha 😂
Shilingi umeanza kuimarika hata rial ya Oman ime kua chini kidogo kwa Sasa hii inaonyesha shilingi ya ki Tanzania imeanza kuimarika
Pound siku zote ipo juu kuliko pesa zote za wazungu
Ilipo poromoka dolar(shilingi) ya Iran wa marekani weusi😂wa buza walicheka sana, hawajui dolar huwezi kuigawa Katika Vita,biashara,ujenzi wa uchumi wa nchi.ikabaki salama shika kimoja, mbaya zaidi dolar ya brics inazidi kuwa na ushawishi..R.I.P dolar ya US tulikupenda ila Brics tumeipenda zaidi😊
R.i.p dollar
Kakudanganya nani lakini nyie wazungu wa temeke!Bricis hawajatengeneza hizo pesa ila waxungu weusi mnawashwa tuulize sisi tunaishi Urusi
@@nishimwelambert8377sasa ukiishi urusi sie tukusaidie nini 😂si tupambane na maisha yako kama yamekushinda rudi kwenu hujalazimishwa kuishi nchi za watu
@@ZHING.Tech.😊😊
@@nishimwelambert8377 kuishi urusi, sio tatizo urusi inajenga ushawishi wa doral yake nje ya mipaka yake kwanza wala sio ndani ndio maana ndan urusi huwezi kuona shauku ya dollar mpya nenda south sasa 😊😊
Kuna athali pia kwa mauzo ya nje. Ukiuza bidhaa nje manayake utalazimika kuuza kwa bei ya juu ili kupata faida. Kama bidhaa inushindani basi wanunuzi watakimbilia nchi nyingine ambao pesa yao iko chini. Ndiomaana china anaamua kuishusha pesa yake ili auze sana nje. Fikiria Yuan ingekua kama Dolar nani angeenda China. Kwahiyo kupanda nako kuna athali.
Huyu Mchumi wa shule gani????? Inabidi arudi shule 😮
Mkosoe utusaidie wengine tunaishi kwa biashara ya kuuza pesa
Kakosea wapi ? Wakati shilling ilinunuliwa kama njugu, dola moja ilikuwa selling😂 2800
@@ameirzapy1318 Mi mwenyewe hapa nimedata manake nilikuwa najiandaa kwenda kutoa Visenti lakini kwa mporomoko huu, mnh! Unajua jana nililipia service moja ambayo ni Sh 13K TU, sasa kuangalia online statement nakuta nimetunguliwa $5.56 - NIKASHTUKA! Mara ya mwisho nilitoa Sh 400K kwa $162; lakini kwa stahili nadhani itakuwa sio chini ya $175 kwa Sh 400K ile ile!!
@@mohamedmbalazi748 HAJAKOSEA, yupo sahihi kabisa!
Nimemsikiliza huyo jamaa from A to Z, na nilichogundua ni kwamba, WEWE NDO HUJUI UCHUMI!!
Kwa hio thamani ya dola itakua kama pesa ya Tanzania kwakwakwaa kwanza nicheke😅😅
Uyo mchumi ajichunguze, Dola haijashuka wala haishuki, Shilingi ya Tanzania ndo inapanda mwambie Afanye Comarison ya Shiling na Currency Zingine.
Utasikia mwamba mmoja atasema mama ameupiga mwingi😂😂
Huyu mtu hajui anacho ongea Dolla ndio baba wa manunuzi duniani mbona sarekali yako inahifadhi Dolla kwaajili ya manunuzi na matumizi ya ndani we binafsi umeficha Dolla usifiche shilingi
Waraah sio dollar tu hata sisi wa Rial huku change iko chini haswaaa. Kutoka 7800 hadi 6500
Kabisa yaan mpk unatamn irud kam zaman tena
Wapi 6500 niambie mana nataka kutuma naambiwa 6000
Huyu siyo mchumi sky huyu ni muvivu tu wakulima😢 mnawakosea sana watu wa uchumi
Nimemsikiliza huyo jamaa from A to Z, na nilichogundua ni kwamba, WEWE NDO HUJUI UCHUMI!!
@Myplusbee sasa WW na baba yako niwachumi wa bobezi next mtapewa kipindi mje kuelezea kwanini mnadanganya watu🤣
@@GeorgeBush-p1y Kwahiyo baada ya kuishiwa au kutokuwa na hoja ukaamua uingize masuala ya wazazi 🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮?!!
Ivi nyinyi mbona kama mnaziguwa inchi gani imeshuka ki uchumi sio marekani imeshuka kwa Tanzania tu sio huku usa 😅
Ndiomana hakuna one definiton ya ECONOMICS so kwa mtazamo wake yupo sawa. Hoja hii itapingwa na hoja nyingine yakiuchumi, na itakuwa hivyo mpaka mwisho wa dunia.
Dola haijashuka bali Tanzanian shilling imeimarika.
Kwani kushuka si ndiyo maana yake hiyo, thamani ya fedha ya nchi fulani mfano Tzs kuimarika dhidi ya USD. Pia inaweza isiwe sababu ya Tzs kuimarika bali kukawa na sababu zingine za nje(external factors) zikawa zimechangia kuporomoka kwa USD.
Nikweli dola imeshuka sana tumekufa 😒
Nikweli dola imeshuka sana tumekufa 😒
@MoSagofx ticktock km wew ni trader🎉
Kk ni bora dola ishuke ukiwa juu itakuwa jau @@uwimana6533
siyo dollar tu ata pesa nyingine inamaana ni shiling yetu inaimarika
Sidolla pekee hata lial ya Oman imeshuka mno wallah😢😢😢
toka huko oman rial ishuke rial ipo palepale zinashuka pesa zenu za madafu
Riyal HAKUNA Lial
ww naye sio pesa ya oman iko vile vile kilicho shuka ni dola
@@stellahlinusi8215Ninyi wote ni washamba, dola haijashuka, Euro haijashuka, wala hela ya Oman haijashuka bali ni hela ya Tanzania ndio imepanda thamani
Imeshuka sana
😂😂😂 dola imeshuka ila sio bei hio ya mango yenu
Inflation rate imepungua, Fed wamepunguza interest mzunguko wa fedha umeongezeka sababu kampuni zimeanza kukopa hivyo Dollar imeongezeka kwenye mzunguko( as simple as that)
@@denislodrick Hapana, Dollar ya Marekani haijashuka thamani, bali sarafu ya Tanzania ndio imepanda thamani. Na imepanda thamani dhidi ya sarafu zote sio dola tu.
Wiki mbili zilizopita.
Shilingi 1 ya Kenya ilikuwa sawa na 20 ya tz, leo shilingi 1 ya Kenya ni sawa na 18 ya tz.
Euro 1 ilikuwa sawa na 2728, leo Euro 1 ni sawa na 2494 ya tz.
Rand 1 ya Afrika Kusini ilikuwa ni sawa 146 ya tz, leo rand 1 ni sawa na 133 ya tz.
Yuan 1 ya China ilikuwa ni sawa na 363 ya tz, leo yuan 1 ni sawa 327 ya tz.
Rial 1 ya Oman ilikuwa ni sawa 6831, leo rial 1 ni sawa na 6188 ya tz.
Ruble 1 ya Urusi ilikuwa ni sawa na 26 ya tz, leo ruble 1 ni sawa na 22.6 ya tz.
Kwacha 1 ya Zambia ilikuwa ni sawa na 98, leo kwacha 1 ni sawa na 85.6 ya tz.
Dola 1 ya Canada ilikuwa ni sawa na 1879, leo dola 1 ya Canada ni sawa na 1673 ya tz.
Rupee 1 ya India ilikuwa ni sawa na 31 ya tz, leo rupee 1 ni sawa na 28 ya tz.
Dinar 1 ya Kuwait ilikuwa ni sawa na 8561 ya tz, leo dinar 1 ya Kuwait ni sawa na 7742 ya tz.
Sarafu za wenzetu hazijashuka thamani bali ni sarafu yetu ndio imepanda thamani.
Hivi Leo watanzania bado IPO shida uchumi acheni sifa 46.00 usd sawa na 110.170.00 hivi mnamdangaya nani cc hatuwezi kujikita kupambana na dola acheni Hilo gumuzo
Huyu jamaa , anatupanga effect haiko kwenye Dollar bali iko kwa Tsh imeimarika , na ukichunguza vizur utaona Tsh imeimaerika dhidi Gbp, Eur, na currency zote kubwa hata Kes. Kwa hyo huyu jamaa hakutakiwa kuhisha dolla kwenye kuimarika kwa Tsh , alitakiwa aongee kuhusu Tsh kuimarika..
Ila sio mbaya pesa yetu ipate thamani. Maaana pesa ya kigeni ikiwa kubwa basi yetu inakuwa haina thaman
BRICS wameanza kupunguza utegemezi wa USD kwa kutumia sarafu zao kwenye biashara, hatua inayochangia kushuka kwa thamani ya USD. Hii inatokana na juhudi zao za kujitenga na mifumo kama G20 na kuimarisha uchumi wao. Katika masoko ya indices, hali hii inaathiri mikakati ya wawekezaji, wakitafuta fursa kwenye sarafu nyingine.
Hii inatumika kisiasa Kwan aflika inafanya biashala gan paka iweze kusababisha dola kushuka? Walio shusha niwale wanao fanya biashala za kimataifa mafuta viwanda vikubwa ndio wenye maamuz lakin sio Tanzania sisi nikupelekwa Kama gali bovu malangap tunaambiwa tunadaiwa hela myingi kisa dunian dola imepanda kumbe wakubwa ndio wenye kujuwa
Ahaa 🤠 Mbona iko gudi👍
Hakuna
Kilichopanda thaman n shilingi ya Tanzania kuliko dollar
Dola haijashuka thamani, bali ni sarafu ya tz ndio imepanda thamani. Na imepanda thamani dhidi ya sarafu zote sio ya Marekani tu.
Sht🇹🇿 ipovzr unazid nchinyingi 2 km Burundi ugand nasehem nyingin lkn isipandetena dollars
Acha maigizo, Dola kabla haipanda mwaka Jana ilikuwa 2346tsh baadae ikapanda Hadi 26343tsh. Tulitarajia kuona Dola ikishuka Hadi 1000 hapo ndo ungesema shilling impenda
Dollar imeshuka duniani kote ndio maaana dhahabu imeshuka pia msituharibu akili pesa yetu kuimarika ni bado ata kama bot inanunua dhahabu kwa sasa lkn tunatarajia kuimarika kwa kwake
Mchumi kishoka huyu...thaman ya dollar iko pale pale lakin tzs imeimarka
Naomba mkuu umtafte mchumi mwingne atakaelezea vizur😂
Kazi nzurii
Safi sana
Sio dollar tu na currency nyengine zimeshuka pia against t shilling
Kwa akiliyangu yakawaida bilakupepesa kupanda kwa shiling ya Tanzania nikutokea kwamzunguko mkubwa wapesa hivyo shirng inatafuta kwagharama kubwa nihayotu
Si dollar tu, had pound
Putin huyo
ikipanda wiki ijayo utaongea nini..!? Acha ushabiki
Dola haijashuka thamani, thamani yake iko palepale bali hela yetu ndio imepanda thamani. Imepanda thamani dhidi ya sarafu zote. Sio za China, sio za Canada, sio za Urusi
Hawaelewi hawa@@rumdeesonsoa1811
Mimi nipo hapa Canada 🇨🇦 kichwa kinauma Canadian dollar imeshuka vibaya ilikuwa 2000 plus sasahivi mmmh leo mtandao wa sendwave ni 1649 daaah sio powa
@@jacobjb4515 vp unahisi urusi inaweza kuwa sababu
Na huku China tuna-experience kushuka kwa Yuan vs Tsh.
Tuliyeni nynyi mna mjuwa mmarekani ivi hamjuwi kaa mwaka kesho hapo kuna uchaguzi wana okota maokoto yao kwa mama samii lazma mchague tu
Hamna lolote hapo,ikifika 500/1$ tutaelewa
Sasa shilingi ina faida gani, watu maisha bado magumu uko africa
Kuongezeka kwa mauzo ya Tanzania nje ya nchi
Huyu jamaa namshangaa hv hajui kuwa BRICKS yenye watu takribani nusu ya watu duniani wameamua kutumia local currency kwa kiasi kikubwa, saudia anawauzia mafuta kwa local currency sasa hiyo dollar inaimarikaje yaani dollar imesuswa na nusu ya dunua, pili USA anaprint dollar kusaidia ukraine Israel na kujiendesha bandana ya USA kuwekeza hapo dollar inaimarika vipi
Kwanza kuzipata hizo dollar Tanzania ni issue, miez miwili iliyopita nilisafir, nilizunguka kununua dollars aisee nikaambiwa bora ununua dirham utaipata kwa urahisi kuliko dollar
Really omani imeshuk imeshuk ten aisee
Marekani na ulaya magharibi roho zitawauma Allaah awangamize wote wenye nia mbaya na nchi hii na wanao hujumu uchumi wa nchi hii ailinde nchi yetu na raisi wetu na viongozi wote wenye nia nzuri na wananchi wenzao wa nchi hii na Allaah awaangamize maadui wote wasio itakia mema tanzania na wanye nia mbaya na wananchi wa tanzania na ajaalie uchumi wetu uzidi kukua
Kweli huyu ni mtaalam pia sky umeuliza maswali ya msingi
Inatakiwa ifike mpaka mia 200
Iran huyo kashaamua kuidondosha dollar cheza na Iran wew waajemi noma kudadadeki zao😅😅😅
Toko ww
Jamani ndio maana cc watanzania tunaonekana watu wa midhaa 100 USD sawa lak 2 na
Kiforex zaidi pia dollar inapansa thaman kuliko currency nyingi
$100 kwa shilingi 224 sasa zimeshukaje 😂😂😂😂😂wa Tanzania 🇹🇿 aibu sana kwanini nyinyi amkuendaga shule😂😂😂😂
Kaka bundala naomba nipate ufafanuzi juu ya gold kwenye exchange rates..
Mchumi sikuelewi unaongelea dollar kwasababu ya utawala mpya watu wana hofia vipi kuhus Euro ilikua imefikia 3000 kwa shillingi 1? Sasa imeshuka ghafra week moja imefika 2350
Dola haijashuka thamani, thamani yake bado iko palepale. Ni sarafu ya tz ndio imepanda thamani. Na imepanda dhidi ya sarafu zote sio dola tu
@@rumdeesonsoa1811 FUATILIA CHIFU, USD imeshuka lakini pia ni kweli Shilingi nayo imeimarika na ndo maana "net effect" yake imekuwa kubwa sana!!
Yaani ni kama mtu aliyaliwa chini (Shiling) halafu yule aliye juu (Dollar) anapungua uzito na yule aliye chini anaongezeka uzito.
Sasa ktk mazingira kama hayo huyu wa chini atajipapatua kirahisi sana tofauti na endapo ingekuwa ni yule wa juu pekee ndi ameepungua uzito huku wa chini akiwa vilevile au kama ni wa chini ndie kapungua uzito lakini wa juu anabaki uzito ule ule!
sijui hata faida yake
Mi nilifikiri shiling yetu imeimarika ndiyo maana dola imeshuka.
Njia nzuri ya kuimaliza dollar ni kufuata mkondo wa BRICS!
Unasahau pia kuwa kuna BRICS! Kupitia BRICS,mataifa mengi yataacha kutumia kutumia dollar katika biashara za kimataifa
Shillings haijapanda bado sn maana nakumbuka ilikuw usd 100 ilikuw laki moja
Kwa muda gani maanake hata USA wanajipanga ipande tena sio wajinga ujue
Leo nmenunua dollar 1 kwa 2200😮😮😮😮ila mmarekan ameshusha dollar ili dollar ya 2017 itoke kwenye mzunguko ili dollar ya 2021 ingie sokon subir mwakan tutanunua dollar kwa 3000
Uchumi nchi yingi dollar imeshuka hapo umechambua Tanzania tu kuna tatizo kubwa hebu chambua kwa ujumla
Ni kweli kabisa..$$$
Sasa na nyie wachumi 2300 ndo kushuka jamani ??? Nilizani iwe 1500 ndo kushuka , nasio 2300 jaman
Tutaeshimiana tu😂😂😂
One of the worst analysis, dollar imeshuka???? Au Tanzanian currency imegain value, yaan analeta international reasoning kwenye impact ya nchi moja kweli huyu mchumi amelack level ya analysis na evaluation kwenye real world anaelezea mambo yanayotokea kama anajibu mtihani, this is very bad kwa mtu anayejiita mchumi
😂sasa shilingi ndo imehimarika hapo😂
Tuko low season kwenye sector ya utalii subiri January mwishoni hapo
Reasons:
1: China and Japan dumping USA Treasury Bond
2: BRICS: using local currency for international transaction bypassing USA dollar
3: USA economic hardship
3:
Hizo reasons zako hazina maana yoyote. Hayo ndio matokeo ya kuhisi bila kufanya utafiti. Dola haijashuka thamani, thamani yake bado iko palepale. Sarafu ya tz ndio imepanda thamani, na imepanda thamani dhidi ya sarafu zote sio dola tu.
Ebanaee nasikia hadi shilingi ya Kenya iko chini?!
Ipotee tuu dollar pesa ya kishetani hii inatesa wengi xna
Hhhhhh mchumi huyo
Tunapanda kwa kasii
Kama shilingi imeimalika sisi wananch tunafaidika nini mbona vitu avijachuka bei mambo yale yale
Mpaka OMR 😢😢😢😢
Huyo mchumi umemtoa wapi, mwambie asome uchumi upya
Jana pia imeshuka mnoo
Utukufu kwa muumba
Kuporomoka kama unaongelea uchumi, mm sidhani kama ni uchambuzi Bora, unaweza ukatumia maneno ya kiuchumi kama ni mchumi msomi
Je! Dola inapatikana sasahivi?
Huyu mchumi kaenda shule wapi😂
Ni wakat sahihi wa kununua dollars ???
Kanunue dhahabu Dola sikushauri ila utapoteza
Hakuna kitu hizo porojo kwani korosho imeaza kuuzwa leo?
Akili hamna
Ishuke tu maana wanatunyonya
Tobaaaa chiki zitawajaa watatuanzia mafigisu wasijetupiga
lakini me nahisi pia serikali imefanya Depriciation yenyewe tuu kwenye masoko yake ya kimataifa hasa yanayohitaji madini
Uongo mtupu la dollar ipo au nibwebwe tu haya bank hazina hio dollar nimanango tu rafiki yangu
Ushindi wa Trump umepelekea makampuni mengi pia makubwa ku shift kwenye cripto Kam BITCOIN
Viradmir purtin anakuna pumbu kwa amani kabisa😂😂😂