Na Bado Russia hata kampuni zingine za technolojia za urus wamilik Wana asili ya Israel yaaan rusia hawez kunzuru Israel ..waisrael wapo top 10 ndan ya rusia
Hiyo ni bwege kweli mchambuzi alafu kibaraka sasa si mpumbavu. Dunia yote inatambua Israel na iran wakipigana mtu 2 lazima Israel apoteee. Hata marekani anaijuwa hiyo ndio maana wanailinda Israel pia iran amezindua mifumo ya ulinzi mingi mipia lakini Kuna mpumbavu mmoja anasema ulinzi wa iran zaifu kama sio ushirikina ni nini? Haya ubora wa ulinzi wa Israel ni upi maana Kila siku wahuthi wanapenyeza vitu vizito
Unachosahau kusema iran ni tishio kwa israel kila kitu kinachofanywa na usa ni kwa niaba ya isreal . Kwa kifupi israel ni liability kwa usa na kuna siku wamarekan watachoka hi hali ya kunyonywa kwa mgongo wa ushirika
Endeleeni kujidanganya kwa kujifariji ukiishambulia iran umeishambulia Russia sasa subili mpaka BBC waje nyumbani kwako wakuambie ni nini kipo katika mkataba huo wote
@nizarrama225 Hapa ni nazungumzia Israel... tena nafurahia Sana wakati unabii huu unatimia hivi ...maana tayari Wakristo tunajuwa mwisho wake ni upi na Nani atashinda vita ...kaa mkao wa Kula... Israel -Iran war ipo around the corner...🇮🇱🇮🇱💪😂
@omondiowino7875 Israel chalii miezi 15 bila kuimaliza Hamas kushindwa kuwakomboa mateka 😂 pamoja nakuungana na Marekani kupewa vifaa vyenye teknologia ya juu lakini wanamgambo wamewashindwa ama kweli mipango ya "MUNGU" ndiyo mipango sahihi, elimika usiwe msomi wee zuzu!
wataweza kweli? ata wakiungana? matusi kututukana? 😂😂ngoma ya mondi io BABALAO nitajie ni dikteta gani alimaliza career vizuri, nami takuonesha mbuzi mwenye miguu sita
TTZO LA ALI MASUBII AJUI KUFUPISHA HABARI CJUI KWANN AWAHIGII KWA SKY HII HABARI ANGEKUNGUWA ANAELEZELEA SKY INGECHUKUWA DAKIKA 3 TU ILA MASUBI IMECHUKUWA DAKIKA 8. HIII TOO MUCH SSA
@@FxL_87 soma Ezekiel sura 38yote na sura 39 yote,pia soma ufunuo Sura 16:12-17.japo Daniel pia imeongea Ila Leo soma hapo tu.ni vizuri kujifunza dunia inaenda na unabii . Yesu anarudi .hivi ndivyo vitu vya kufuatilia SASA wewe unafutilia .kila kinachoendelea duniani lipo kwenye maandiko.Biblia imesema nyakati za mwisho wajinga hawataelewa Bali wenye hekima ndio wataelewa.yupo MTU anamfuatilia msanii huyu NI mjinga utajua Vipi dunia inakoelekea????
Hatar sana noma noma jambo Zurich sana kushirikiana hawa miamba
Irani yupo juu kuliko israel
Putin baba leo🌹❤🇷🇺🇷🇺🇰🇪
Noma sana
Unyama🔥
Tuna subir GPS kwa ham mana itakua ya moto
🙏
Mimi Masubi namshangaa yeye taarifa nae anaona kwenye mitandao Ila anachambua utahisi alienda nakuona wanacho miliki
Hao ndege wanapiga miluzi wapo Moscow 😮😮😮
Ndio
Iran hawamchokozi tena hawatomgusa kwisha habari yao Nato
Wew unaboha hulengagi point afu unaanzishaga story nyingine isiyo husika.mda mnaenda hutaji mikataba waliosaini
🇹🇿💕🇷🇺
iziraeli gusa uone kiama
iyo inaitwa gusa nikufuate ulipo
Putin anamkubali Israel awez kuingia mkenge 😂😂😂😂
Na Bado Russia hata kampuni zingine za technolojia za urus wamilik Wana asili ya Israel yaaan rusia hawez kunzuru Israel ..waisrael wapo top 10 ndan ya rusia
mifumo ya ulinzi ya anga ya irani bado ni bora tu changamoto ipo kwenye ndege za vita ndio hayuko vzri
Hiki hakiwezi kumzuia Israel kuipiga Iran
Your enemy is my love. 😅
We jamaa kama unachambua chambua ila punguza ushabiki
Ndio mana israel alishambulia kwa tahadhari sana coz anajua si dhaifu hvo kam anavyoingia anga zingine kushambulia
Ali masoubi bana we umeshikilia anga ya iran ni zaifu hayo umesema wewe acha ubwege weka ushabiki pembeni😂
Jamaa anafeli saana kama vile hajaona vile makombora ya Israel yalivozuiwa
sio vizuri kumuita muislam mwenzio bwege, ni kharam
Ali masubi sio muislamu@@hazygardmericho9571
Jitaidi kutafuta kujua ukweli,irani kuliko israel ww uwone au tuwashe tochi uwone.
Hiyo ni bwege kweli mchambuzi alafu kibaraka sasa si mpumbavu. Dunia yote inatambua Israel na iran wakipigana mtu 2 lazima Israel apoteee. Hata marekani anaijuwa hiyo ndio maana wanailinda Israel pia iran amezindua mifumo ya ulinzi mingi mipia lakini Kuna mpumbavu mmoja anasema ulinzi wa iran zaifu kama sio ushirikina ni nini? Haya ubora wa ulinzi wa Israel ni upi maana Kila siku wahuthi wanapenyeza vitu vizito
Unachosahau kusema iran ni tishio kwa israel kila kitu kinachofanywa na usa ni kwa niaba ya isreal . Kwa kifupi israel ni liability kwa usa na kuna siku wamarekan watachoka hi hali ya kunyonywa kwa mgongo wa ushirika
Endeleeni kujidanganya kwa kujifariji ukiishambulia iran umeishambulia Russia sasa subili mpaka BBC waje nyumbani kwako wakuambie ni nini kipo katika mkataba huo wote
😂😂😂😂😂😂 jidanganye Israel imepiga Syria sana ila urus ajawai kupiga Israel 😅 Israel siyo mchezo ajalibu aone hiyo siyo Ukraine
Walio pewa talaka na USA , Urusi amewahowa hote.
Kuna ndege analalamika sana kwenye sauti.chwirichwiri usumpuuzee tafadhali😂😂
Sikiliza kwanza mbaka mwisho ndiyo u comment 😂😂
Unabii wa wa Ezekieli 38 na 39 unatimia machoni petu I sei...
Marekani na Nato yake nguvu kwisha😂 mashariki ya kati imewashinda, Ukraine imewashinda na bado vikwazo vyao vimedunda
@nizarrama225 Hapa ni nazungumzia Israel... tena nafurahia Sana wakati unabii huu unatimia hivi ...maana tayari Wakristo tunajuwa mwisho wake ni upi na Nani atashinda vita ...kaa mkao wa Kula... Israel -Iran war ipo around the corner...🇮🇱🇮🇱💪😂
@@omondiowino7875😂😂😂sema unabii wako
@omondiowino7875 Israel chalii miezi 15 bila kuimaliza Hamas kushindwa kuwakomboa mateka 😂 pamoja nakuungana na Marekani kupewa vifaa vyenye teknologia ya juu lakini wanamgambo wamewashindwa ama kweli mipango ya "MUNGU" ndiyo mipango sahihi, elimika usiwe msomi wee zuzu!
@@omondiowino7875 ukristo tena imeingia vp umesahau kuwa moja ya nchi inayo chukia waislam dunian ni Russian asilimia 90 ni wa kristo
We.....braza ....tunakuelewa.....kuwa ni mu US .usichambue habari za makamanda wetu😊
Kabisa 👊
Huyu hana ushabiki maandazi kama dj sma 😂😂😂😂
@@GeraldElias-s7jZidisha bidii ya chuki dhidi ya mtu asie na msaada wowote kwako ni matumizi mabaya ya akili
bora umwambie
@issataslima9846 kbsa yan
wataweza kweli?
ata wakiungana?
matusi kututukana?
😂😂ngoma ya mondi io BABALAO
nitajie ni dikteta gani alimaliza career vizuri, nami takuonesha mbuzi mwenye miguu sita
Anapigwa sria
Israel anapigwa na makundi
TTZO LA ALI MASUBII AJUI KUFUPISHA HABARI CJUI KWANN AWAHIGII KWA SKY HII HABARI ANGEKUNGUWA ANAELEZELEA SKY INGECHUKUWA DAKIKA 3 TU ILA MASUBI IMECHUKUWA DAKIKA 8. HIII TOO MUCH SSA
Ukraine babalao
😂😂😂😂
😂😂😂Kichwa boga sasa Zelensky mwenyewe hajitambui kama nyumbu mara nataka mazungumzo mara sitaki 😂😂😂
Unabii WA Biblia umetimia
Aisee Armageddon hiyo
George Hembu nipe andiko la hilo Andiko nilisome hapa na mimi nipate maarifa kidogo
@@FxL_87 soma Ezekiel sura 38yote na sura 39 yote,pia soma ufunuo Sura 16:12-17.japo Daniel pia imeongea Ila Leo soma hapo tu.ni vizuri kujifunza dunia inaenda na unabii . Yesu anarudi .hivi ndivyo vitu vya kufuatilia SASA wewe unafutilia .kila kinachoendelea duniani lipo kwenye maandiko.Biblia imesema nyakati za mwisho wajinga hawataelewa Bali wenye hekima ndio wataelewa.yupo MTU anamfuatilia msanii huyu NI mjinga utajua Vipi dunia inakoelekea????
Unatakiwa kujua kwanza Unabii utatimia Kwa kina nani,