ไม่สามารถเล่นวิดีโอนี้
ขออภัยในความไม่สะดวก

UKUMBI | Mauaji ya kiholela nchini(Part 1)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 14 ก.ค. 2024
  • #CitizenTV #CitizenDigital

ความคิดเห็น • 26

  • @atwowa6380
    @atwowa6380 หลายเดือนก่อน +6

    Ukiiba kuku wafungwa maisha lakini wauwaji wa binadamu wanaishi na wanalindwa subhanallah

  • @PETERKIMANI-kr5cd
    @PETERKIMANI-kr5cd หลายเดือนก่อน +2

    Ingillieni kusaidia senior Dave a content creator anafuatilia washukiwa lecturer, councilor, daktari,wanaua kutoa body's parts Na kudump maiti

  • @Mima-cl2im
    @Mima-cl2im หลายเดือนก่อน +4

    Mauwaji haya hayawezi kufanywa na mtu mmoja. Serikali inatakiwa kuchunga usalaama wa wananchi. Serikali imeshindwa. Ruto must go

  • @agneskhakali2069
    @agneskhakali2069 หลายเดือนก่อน +1

    Hakuna cha kuugua akili hii business ingieni YOU TUBE ya Senior Dave muone vile wanatoa offer ya 40m waachiliwe

  • @user-yb5we7bm7t
    @user-yb5we7bm7t หลายเดือนก่อน

    😢😢😢😢😢😢 kayole remember iko mbali Sana na kwuare

  • @conpere1468
    @conpere1468 หลายเดือนก่อน +1

    This guy has been set up.
    Why were the police against phone usage around the said area?
    That area is a crime scene and everybody is there.
    Kikulacho kiko nguoni mwako.

  • @trusilangolo9032
    @trusilangolo9032 หลายเดือนก่อน

    Huyu mtu never did this alone police should be answerable

  • @atwowa6380
    @atwowa6380 หลายเดือนก่อน +2

    Hii kazi ipatieni kina posta show nakina true k na kina raaf

  • @thesheriff-sheriffmunene7993
    @thesheriff-sheriffmunene7993 หลายเดือนก่อน +2

    This Government is fooling us...Watu si wajinga bana

  • @lucafrica123
    @lucafrica123 หลายเดือนก่อน

    Maskini tuhamishwe Kenya 🇰🇪 tuiwachie serilali na kanisa😢

  • @ChristineNzelu
    @ChristineNzelu 29 วันที่ผ่านมา

    Kwanza ukienda police kulipoti kitu anasema uyo pesa kwani mahasikali awana mshahara tuhulisie

  • @ElizabethLetletting
    @ElizabethLetletting หลายเดือนก่อน +1

    Mungu alinde kenya so sad oh my God

  • @eunicenyokabi3604
    @eunicenyokabi3604 หลายเดือนก่อน

    Yule anasema wahamizwe mahali pennine,pia yeye Ali sign

  • @walkertechnology
    @walkertechnology หลายเดือนก่อน +1

    Govenment will always have something to say be it true or false.... Bona imetake long kuconvict wale waliua wakati wa maandamano na wengi wanajulikana?

  • @eunicemukui
    @eunicemukui หลายเดือนก่อน +1

    So sad 😭😭😭😭😭😭

  • @abdulmustafa2148
    @abdulmustafa2148 หลายเดือนก่อน

    Mliambiwa bottom up maana ya bottom ni hiyo shimo up ni juu ya hiyo shimo ya kware

  • @antoniosenteu1599
    @antoniosenteu1599 หลายเดือนก่อน +1

    decoy..
    he is just another pawn sacrifice

  • @user-dp5zy8ih1k
    @user-dp5zy8ih1k หลายเดือนก่อน

    Hii nijaa yapesa watu wanauza viungu vya.mwili.huyo.siruto.natuombe

  • @ednahumazi777
    @ednahumazi777 หลายเดือนก่อน

    Kitu sijaelewa kwani hawakuriport police

  • @rihkaa6289
    @rihkaa6289 หลายเดือนก่อน

    Ruto the murderer,, ruto the killer,, ruto mtu amethreaten DCI waje watupigie kelele,, ruto mtu hana utu,,we aren't buying this narrative..

  • @2ndlast539
    @2ndlast539 หลายเดือนก่อน

    Sheria iwekwe kama ya saudi arabia ukiua uuliwe pia si ho kuangaliwa ati akili, huo n upusi

  • @mzeemombasa.3456
    @mzeemombasa.3456 หลายเดือนก่อน

    Mshukiwa atatuelezea zaidi .

    • @ifgodsayyes.nobodycansayno1796
      @ifgodsayyes.nobodycansayno1796 27 วันที่ผ่านมา

      Uyo jamaa hajauwa nikupumbaza wa kenya akili tu ila malipo ni hapahapa duniani ahera ni esabu

  • @user-ok6qr6tb1u
    @user-ok6qr6tb1u หลายเดือนก่อน

    Rutos dirty deeds

  • @getrinimweyeli2095
    @getrinimweyeli2095 หลายเดือนก่อน

    Wameshika mutu Mmoja ili kuficha aibu ya serekali kenya niogozi wanatoa watu kafara sana walai mungu alali ata nyinyi mutakufa tu