Hongera sana, ndio mtu wa pili kwenye simulizi za maisha, ambaye hajawa mchoyo wa taarifa, na ndio maana anafanikiwa, wa pili ni yule wa Manyara mwenye kiwanda cha vinywaji vikali, nimefurahia sana interview hii
Huyu tajiri sura yake si ngeni kwangu nimemuona akiwa chini kweli mungu akiamua kumpaisha mtu anaweza kama itapendeza njoo upande wa migodi huku north mara kuna frusa za uchimbaji
Yan ni hivii ukiwa sio Malaya unafanikiwa basii wnye uwezo waache kuekeza kwnye ngono waekeze kwnye Mambo muhm la sivyokila siku utaona wabaya watu Amin kwamba
He jamani kuna wengine wanaishi mbinguni au duniani.sasa mbn bado kijana sana afu unazungumzia zamani zamani.jamani kuna wwngine duniani kwel wameishi hata wakipita historia inasoma eee hadi rahaaaaa

Mashaallah Allah akibariki zaidi na zaidi
Kenya tuko ndani ya nyumba. Hongera Hamidu kwa kazi nzuri. Nafurahi tu jinsi Zama anavyochukua notes.
Mashaallah azidi kukuinua hamna kisichowezekana na mimi nitapambana nshaallah
Huyu tajiri sura yake si ngeni kwangu nimemuona akiwa chini kweli mungu akiamua kumpaisha mtu anaweza kama itapendeza njoo upande wa migodi huku north mara kuna frusa za uchimbaji
Very inspired kaka, may ALLAH bless u
One of a my favourite interested interview. More Blessing Upon You.
Very Inspiring... May ALLAH continue to Bless You Bro.. Asante Zamaradi...
Namsubir Bakharesa 🙏🙏🙏 Mpare damu umepambana vyakutosha hongera sana
MashaAllah Mungu ambakir zaidi kwa juhudi zake he's the best 👌
True, motivative, inspiring story♥️♥️
Yesu wangu akutunze
Mashaallah Tabaraka Rahman, kweli hakuna linaloshindika!
Interviewer pia uko vyema sana unajua unachohoji ili kinatusaidia sana
Yan ni hivii ukiwa sio Malaya unafanikiwa basii wnye uwezo waache kuekeza kwnye ngono waekeze kwnye Mambo muhm la sivyokila siku utaona wabaya watu Amin kwamba
Mashaallah amepambana vyakutosha
Mashallah
Hongera sana kwa kufanya mambo makubwa
Mtu wa dini na roho safi what a good stories and inspired .
Napenda historia ya maisha yako kwa kua nami nimehangaika sana
Hongera sana baba
Nimejifunza kitu kikubwa sana kuwa kila kitu ni vyema kukifanya kwa siri
Masha Allah
Brooo. uko vzr sanaaa
Dada zamaradi naomba msaada uniconnect Na huyu brother nimtengenezee app nina idea nzuri . Mwambie Mimi ni mdogo Wake kutoka kilomeni
Bora mtafute mwenyewe uliza kwa watu na Google na mungu atakusaidia
Mm naangaika pa kulala wengine wana nyumba zote izo ila mungu ampe ekima ya kutumia izo mali izur
Ameen
@@khadijahali4837 Amiin Ila usikate tamaa Allah anawapenda wasiokata tamaa na kuwa na matumaini kuwa Kuna siku atawapatia
Samahani hii ya jonas
@@hadijamandanje6189 😊😊
@@hadijamandanje6189 amin
Very inspiring
Aisee mungu. Akisema yes hakuna wakusema no naukimya unamaana
👏👏👏
ila kusema kweli zamaradi wewe mzuri sana
Hongera sana
Tusikate tamaa lkn ni ngumu jmn
He jamani kuna wengine wanaishi mbinguni au duniani.sasa mbn bado kijana sana afu unazungumzia zamani zamani.jamani kuna wwngine duniani kwel wameishi hata wakipita historia inasoma eee hadi rahaaaaa
namimi munguu anisaidiee tuuu
HUYU MPARE ANAYO AKILI SIO HABA..AFU ANA USIRI ,UKIWA MSIRI RAHA SANAA
Uyu jamaa mwamba sn aise🙌
Naitaji namba jaman
Hamidu amefanana na MUZAMMIRU YASIN kiungo wa simba
Inahamasisha kuendelea kumsikiliza
Hongera
daaa!!!. aka kadada ni kazr
😋💯🤔
Da Zamaradi nambie kipenzi, Hamidu kasema mifuko ya sim sikuelewa mifukk ya sim ndionini?
Labda utakuwa haujaikuta. Simu za zamani zilikuwa na mifuko yake ya kuwekea. Ingia Google utaiona.
Siku hizi kuna makava. Ila zamani tulikuwa tunaita mifuko. Ilikuwa mininge ukivalisha simu unachomeka kwenye mkanda kiunoni.
🎉
Mimi nilitumia sm zake nyingi zilikuwa fake.
Tukusaidiaje sasa?
Mashallah,, Ila tusaidie izo bei z nymba weeh
Hamidu nikopeshe nymba ntalipa kila mwezi
Hauna say jealous Kuma we leave my family alone
Hongera