Thank you very much St Joseph's Choir , Mwenge Parish. It is a sweet song , sung very sweetly. The intended message is correctly hammered home. May OUR LORD bless you.
Huu wimbo ni mzuri sana, waimbaji wazuri, sauti nzuri ujumbe mzuri piaa, Mungu awabarikini nyote, class mate wangu wote ambao mmehusika kwenye hiyo kazi,💖💖
Kazi nzuri, Fr. A. Kauki, utunzi mzuri sana, pia wanakwaya mmefanya vizuri sana, aliyefanya vzuri zaidi ni Mpiga kinanda, kimepigwa kwa ustadi wa kikatoliki kabisa. Mungu awabariki wote.
Well done MWECAU Kwaya,,, nimewapenda bure,, mzudi kubaririwa na kuinjilisha
Thank you very much St Joseph's Choir , Mwenge Parish.
It is a sweet song , sung very sweetly. The intended message is correctly hammered home.
May OUR LORD bless you.
Hongereni sana katika kazi ya Bwana
Watching from kenya salimia organist Kaniki Mamba
Nzuri
Good video, good sound,good message, kazi nzuri
Huu wimbo ni mzuri sana, waimbaji wazuri, sauti nzuri ujumbe mzuri piaa, Mungu awabarikini nyote, class mate wangu wote ambao mmehusika kwenye hiyo kazi,💖💖
Dah wimbo mtamu mno na umeimbwa kwa ufundi mkubwa. Hongereni sana Kwaya
Kazi nzuri, Fr. A. Kauki, utunzi mzuri sana, pia wanakwaya mmefanya vizuri sana, aliyefanya vzuri zaidi ni Mpiga kinanda, kimepigwa kwa ustadi wa kikatoliki kabisa. Mungu awabariki wote.
Wimbo mzur ,,, hongeren sana
Pamoja sana wanangu wa Mwenge kazi nzuri sanaa
Safiii sanaa ikooo bombaa na ujumbe mzuriii
🥰
Asanteni kwa wimbo mzuri na ujumbe mzuri hakika mungu si dhalimu
🎉🎉
Classic gospel Masterpiece,blessed are the members of the choir
Feeling better yjnjvkh
Utunzi mzuri sana waimbaji safiii
Rest in peace Mwl Charles Saasita
Amina
Amina
Utunzi mzuri mnoooooooooo!
Orginist sio kaniki kweli?
nice one
Av sn somebody