I'm a Tanzanian studying in Uganda I once taught this song in the campus for last year easter..the appreciations I got have never happened in My life😔😔thank u Jmc
Kuna voice za wanaume hapo zinapita Backvoco nishida tumshukuru MUNGU kwa Vipaji hivi location,tabasamu,voices,codes and music key kila kitu kiko katika arrangements.🙌
Kama bado unauangalia wimbo huu katika kipindi hiki cha Pasaka gonga likes za kutosha ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Nimegonga nime ilike😊
@@WilfridaAsubwa 🌹🌹🌹🌹
Dah!!!!!! Najivunia kuwa mcatholic maan so kwa raha hii jmn Au bx tumsif yesu kristo wote tuseme milele Amina 🙏🙏🙏
Milele Amina🙏
Najiuliza usipokuwa MKATOLIKI unakuwa wapi . Raha sana najivunia sana?
Hakika najivuni kuwa MKATOLIK 🎉
Rc raha sana ...TUMSIFU YESU KRISTU
Leo wakati wa mahubiri, paroko wetu aliomba wanakwaya waimbe huu wimbo. Nlibarikiwa sana.
❤❤❤❤❤amefufuka Haleluuuuuya
Kafufuka hayupo tenaaa
Leo Nimekipata Aaaa Safi
Asee song liliimbwa kwakweli uongo mbaya...
Kweli kafufuka Bwana wetu Yesu Kristu. Kaburini hayupoo.
Mwokozi kafufuka ❤❤❤
Wote walioimba wimbo huu Mungu awabariki Iwapo ni WA mda kidogo lakini utafikiri unaimbwa live Leo.
Asante sana donald👏👏, ubarikiwe pia
Mie muda wote havi sasa unapiga na nacheza peke yangu
Mungu azidi kuwabariki ni wimbo mzurii sana
I say kazi Safi Sana wakuu na hongereni mzidi kueneza injili ya ufufuko wa Kristu.
Amina ndugu Frank
Proudly being catholic
Kazi nzuri sana, mbarikiwe.
Amina Theresia
Namshukuru Mungu kwa kumpa nguvu mtunzi huyu huwezi kuamini kama ni kipofu, nafarijika sana kwa utunzi wake na hali yake anafundishe mengi
Una uhakika Kuwa amtunzi Perfecto Mtuka ndio kipofu????
Mbona ni Class mate na hakuwa kipofu
Na apewe udoctor wa music mtakatifu kupitia wimbo huu
👏👏👏👏👏👏
Asifiwe mungu 🙏
Bwana kufufuka aleluya aleluya
Jaman ❤❤❤❤ najivunia iman yangu roman Catholic Church
Beautiful song Mungu awabariki. Ni UPENDO Tu
Thank you St John Paul ll Choir.
Your production is beautiful , lovely , enjoyable and delivers that good message .
Thanks @Edward
Naupend bute
Raha ninavyo jiskia siwezi kuielezea hata nikchanjwa damu yangu inavyo dondoka inajiandika mkatoliki
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
When I say I'm a Catholic that's what I mean ❤❤❤❤
Amina wimbo mzuri sana
Ahsante sana
kafufuka Aleluya
I'm a Tanzanian studying in Uganda I once taught this song in the campus for last year easter..the appreciations I got have never happened in My life😔😔thank u Jmc
kafufuka kweli kweli Aleluya
Big up
Ni rahaaaaa💖
Jamn naupenda huu wimbo ❤❤ ❤❤
Amefufuka tumshangiliye🙏🙏
Mbarikiwe Mungu awajalie vipaji vyenu vizidi kusonga mbele
The best song of Pasaka,good job
Amina sanaa🙏🙏
🙌🙌🙌🙏🙏🙏🙌🙌🙌
Ongereni mungu atukuzwe milele.
🔥🔥
❤❤😍🎉
Kuna voice za wanaume hapo zinapita Backvoco nishida tumshukuru MUNGU kwa Vipaji hivi location,tabasamu,voices,codes and music key kila kitu kiko katika arrangements.🙌
Asante sana Jerry 🙏
Proudly Catholic just fell in love with this peace. Please can someone explain the meaning of the song. Watching it from Zimbabwe.
Jesus christ is rise up . To celebrate and sing hellelujah..
Jaman Hadi rahaaaa kwel kwa yesu rahaaaaa
Amina
Amen
❤❤❤
Hongereni kwa utume, kuimba ni kusali mara2
🎉🎉
Kaburini hayumo
This song is sooo good
Kafufuka hayumo
Ni. Raha. Kwel
Congratulation
One of my favorite song ,am proud to be catholic🔥🔥🔥❤️❤️❤️
Kila ninaposikiliza nataman kucheza mwenyewe mwenyewe,,mbarikiwe,,mmeimba na zaidi 🥰🥰🥰
Amna Amna mbarikiwe nilaha kwer
Amina
❤
Mungu awabariki
Kwaya
Anthem 🔥🔥
Felicitation Allelua alleluia
Safiiiiiiiii
You guys are amazing🫶🫶🫶
Soooo amaizing song
Beautiful
Thank you🙏
Asante
Hakika amefufuka
Sawa
Tusapotiane kwa kusubscribe
❤