- 37
- 343 838
St.Joseph Choir Mwecau
เข้าร่วมเมื่อ 20 ก.ค. 2019
KIMBUNGA CHA SIFA Na.Br Magnus A Kadete
Karibu utazame Wimbo Kutoka kwaya ya Mt. Yoseph Mume wa Bikira (MWECAU). Wimbo huu umebeba ujumbe wa kumsifu Mungu kwa mema mengi atutendeayo sisi kama Wanadamu.
มุมมอง: 3 819
วีดีโอ
KANISA LA KISINODI Frt Norbert Nyabahili
มุมมอง 2.9K4 หลายเดือนก่อน
Karibu utazame wimbo kutoka kwaya ya Mt. Yosefu Mume wa Bikira, Chuo Kikuu cha Kikatoliki Mwenge. Wimbo huu umebeba ujumbe wa Sinodi ambayo inatuasa tutembee pamoja kwa kushirikiana katika imani sisi kama kanisa.
NITAKAA MIGUUNI PAKO F E Nyanza
มุมมอง 9K4 หลายเดือนก่อน
Kwaya ya Mt. Yoseph mume wa Bikra maria MWECAU Tunawaalika kutazama wimbo huu ukiwa na ujumbe unao tuasa kuendelea kumuomba Mungu na kusimama upande wake. WIMBO: Nitakaa miguuni pako. MTUNZI: F E Nyanza. AUDIO & VIDEO: The Galaxy Pro. USISAHAU KULIKE, SUBSCRIBE NA KUSHARE MUNGU AWABARIKI SANA
WIMBO WA KATIKATI DOMINIKA YA EKARISTI TAKATIFU; NITAKIPOKEA KIKOMBE CHA WOKOVU.
มุมมอง 9566 หลายเดือนก่อน
wanakwaya wa kwaya ya Mt Yoseph Mume wa Bikira Maria chuo kikuu cha kikatoliki Mwenge kilichopo mkoani Kilimanjaro wakihudumu katika dominika ya Ekaristi Takatifu wakiimba wimbo wa katikati karibuni kupokea zawadi hii ya upendo na kwa moyo mkunjufu share, likes, comments and subscribe tone hili la upendo Ubarikiwe. @thegalaxypro6219 @Eyopro4923 @rajopro @radiomariatanzania @st.josephchoirmwecau423
Dominika ya Utatu Mtakatifu wimbo wa katikati Heri Taifa by K.Kadafa
มุมมอง 9186 หลายเดือนก่อน
Dominika ya Utatu Mtakatifu wimbo wa katikati Heri Taifa by K.Kadafa
MUNGU WETU NI MWENYE HURUMA - Kidesu DP St. Joseph Choir Mwecau
มุมมอง 8K9 หลายเดือนก่อน
Wanakwaya wa Mt. Yosefu Mume wa Bikira Maria Chuo Kikuu Cha Kikatoliki Mwenge (MWECAU), wanawaletea wimbo wenye tafakari katika kipindi cha Kwaresma ambapo, wanatuhimiza Mungu wetu ni Mwenye Huruma, Hivyo basi tunapaswa kutubu kwa kufunga na kuomba Neema Takatifu naye Mungu atatusamehe na kutuweka karibu na yeye kwani ni Mwingi wa Rehema. Karibu kuusikiliza, kuutazama na kutafakari Huruma ya Mu...
MTUMAINI BWANA - Adam Bukuku St. Joseph Choir MWECAU
มุมมอง 4.4K11 หลายเดือนก่อน
Wanakwaya wa Mt. Yosefu Mume wa Bikira Maria Chuo Kikuu cha Kikatoliki Mwenge (MWECAU), Wanawaletea wimbo uliopo kwenye Album yao Mpya unaokuja kwa jina la MTUMAINI BWANA. Wanawakaribisha kuusikiliza na kuutazama wimbo huu ukiwa unatukumbusha kumtumaini Mungu pekee kwenye kila jambo pasipo kutegemea nguvu na akili zetu wenyewe
NITASIMAMA IMARA - KIDESU DP St. Joseph Choir MWECAU
มุมมอง 26Kปีที่แล้ว
Wanakwaya wa Mt. Yoseph Mume wa Bikira Maria Chuo Kikuu cha Kikatoliki Mwenge (MWECAU). Wanawaletea Wimbo wa Album yao ya Tano (05) unaoitwa NITASIMAMA IMARA, Wanawakaribisha Nyote kuutazama wimbo huu kwani waliimba wakiwa na nia ya kutangaza Injili Ulimwenguni kwa watu wote yakwamba Tusimame imara Kiroho katika Kumtukuza Mungu na Kumuamini Mungu kwani yupo nasi Daima.
MUUMBA WA VYOTE By. Ernestus Ogeda. (St. Joseph Choir Mwecau)
มุมมอง 53Kปีที่แล้ว
Wanakwaya wa Mt. Yoseph Mume wa Bikira Maria Chuo Kikuu cha Kikatoliki Mwenge (MWECAU). Wanawakaribisha nyote kutazama wimbo huu wakiwa wanamuimbia Mungu Sifa na Shukrani Muuamba wa vyote kwa maana yeye ndiye Bwana Mfalme wa Mbingu na Nchi Ahimidiwe milele na milele.
MUNGU IBARIKI MWECAU By. Fr. C. Mushumbusi
มุมมอง 12Kปีที่แล้ว
Wanakwaya wa Mt. Yoseph Mume wa Bikira Maria MWECAU, wanawaletea Wimbo wa Chuo Kikuu cha Kikatoliki Mwenge. Wakimshukuru Mungu kwa ajili ya MWECAU, na Wakimuomba Mungu azidi Kuibariki na Kuidumisha MWECAU.
AGANO C Y LUSEBA NDEGE By ST. JOSEPH CHOIR MWECAU
มุมมอง 3.1K2 ปีที่แล้ว
Wanakwaya wa Kwaya ya Mt. Yosefu Chuo Kikuu cha Kikatoliki Mwenge wanatukumbusha kuwa Agano la Mungu kwetu litazidi kuwepo na litadumu Milele yote. Hivyo tumuombe Mungu rehema zake bila kuchoka kwakuwa hawezi kutuacha yupo pamoja nasi daima na Anatupenda.
Wewe Ni Mungu By Bernard Mukasa (St. Joseph Choir MWECAU)
มุมมอง 2.9K2 ปีที่แล้ว
Jumapili ya Sherehe ya Utatu Mtakatifu (Mwaka C ). Wanakwaya wa Chuo Kikuu Cha Kikatoliki Mwenge (MWECAU) Wakimuimbia Mungu kwa kumpa Sifa na Utukufu kila wakati, huku wakitusihi kuwa daima na milele yote tunapaswa kuamini kwamba kwenye furaha, magumu na hata matatizo hakika Mungu yupo kila wakati na wala hapungui neno. LIVE PERFORMANCE
WATU NA WAKUSHUKURU By Deo Kalolela. By St. Joseph Choir MWECAU
มุมมอง 14K2 ปีที่แล้ว
Wimbo wa Katikati Jumapili ya 6 ya Pasaka, Mwaka C Live performance na Wanakwaya wa Chuo Kikuu Cha Kikatoliki Mwenge.
USIJISIFU BY F E NYANZA St. Joseph Choir Mwecau
มุมมอง 9K2 ปีที่แล้ว
USIJISIFU BY F E NYANZA St. Joseph Choir Mwecau
NJOONI TUABUDU By Gregory Chaung'wa. St. Joseph Choir Mwecau
มุมมอง 1.6K2 ปีที่แล้ว
NJOONI TUABUDU By Gregory Chaung'wa. St. Joseph Choir Mwecau
FUMBUENI VINYWA VYENU, By D B Wasonga - St. Joseph Choir Mwecau
มุมมอง 2.6K2 ปีที่แล้ว
FUMBUENI VINYWA VYENU, By D B Wasonga - St. Joseph Choir Mwecau
MWIMBIENI BWANA, By Devis Milenguko - St. Joseph Choir MWECAU
มุมมอง 3.9K2 ปีที่แล้ว
MWIMBIENI BWANA, By Devis Milenguko - St. Joseph Choir MWECAU
ROHO NDIYO ITIAYO UZIMA BY ERNESTUS M OGEDA, St. Joseph Choir Mwecau.
มุมมอง 1.6K2 ปีที่แล้ว
ROHO NDIYO ITIAYO UZIMA BY ERNESTUS M OGEDA, St. Joseph Choir Mwecau.
AMRI YA UPENDO BY. T H O NG'AMILO, Kwaya ya Mt. Yosefu Mwecau
มุมมอง 2.2K2 ปีที่แล้ว
AMRI YA UPENDO BY. T H O NG'AMILO, Kwaya ya Mt. Yosefu Mwecau
Wimbo wa katikati jumapili ya 33 mwaka B- Mungu unihifadhi mimi
มุมมอง 3.9K3 ปีที่แล้ว
Wimbo wa katikati jumapili ya 33 mwaka B- Mungu unihifadhi mimi
Ee bwana nitakutukuza- Kwaya ya mt,Joseph MWECAU- dominika ya 13B #2021
มุมมอง 12K3 ปีที่แล้ว
Ee bwana nitakutukuza- Kwaya ya mt,Joseph MWECAU- dominika ya 13B #2021
Sina neno jema -kwaya ya mt. Joseph MWECAU dominika ya 13B #2021
มุมมอง 7K3 ปีที่แล้ว
Sina neno jema -kwaya ya mt. Joseph MWECAU dominika ya 13B #2021
KABURINI HAYUMO Kwaya ya Mt. Joseph Chuo Kikuu Cha Kikatoliki Mwenge.
มุมมอง 7K3 ปีที่แล้ว
KABURINI HAYUMO Kwaya ya Mt. Joseph Chuo Kikuu Cha Kikatoliki Mwenge.
NAJUA YESU WANIPENDA_Kwaya ya mt. Joseph Chuo Kikuu Cha Kikatoliki Mwenge (official_video) HD
มุมมอง 7K3 ปีที่แล้ว
NAJUA YESU WANIPENDA_Kwaya ya mt. Joseph Chuo Kikuu Cha Kikatoliki Mwenge (official_video) HD
ASANTE YANGU -Kwaya ya Mt. Joseph Chuo Kikuu cha kikatoliki Mwenge (official video)_HD
มุมมอง 33K3 ปีที่แล้ว
ASANTE YANGU -Kwaya ya Mt. Joseph Chuo Kikuu cha kikatoliki Mwenge (official video)_HD
HAZINA YA MBINGUNI (D.B. Wasonga) Kwaya ya Mt. Joseph MWECAU #mahafali19December2020.
มุมมอง 8K3 ปีที่แล้ว
HAZINA YA MBINGUNI (D.B. Wasonga) Kwaya ya Mt. Joseph MWECAU #mahafali19December2020.
Maandamano (Mahafali ya 13 MWECAU) #kwaya ya Mt. Joseph MWECAU.
มุมมอง 1.9K3 ปีที่แล้ว
Maandamano (Mahafali ya 13 MWECAU) #kwaya ya Mt. Joseph MWECAU.
Check walimu wa kwaya walichokifanya Mahafali ya 13 MWECAU Askofu ashangaa!!!!!
มุมมอง 1.4K3 ปีที่แล้ว
Check walimu wa kwaya walichokifanya Mahafali ya 13 MWECAU Askofu ashangaa!!!!!
Mbarikiwe sanaa
Ni baraka tuuu, tumieni sauti zenu kumsifu Mungu
Jaman hongera kwa mtunzi,media mliyotumia kwenye maono hadi masikizi sauti zimetulia,,dada angu mecktilda endelea kumtukuza Mungu kwa njia ya uimbaji,naona saut yako inazid kuacha mbegu na kwa wenzio.
Mungu na abariki kazi hii njema daima
Mungu atukuzwe daima
Very nice❤❤ ❤
🎉🎉
Bravoo 🎉🎉🎉
Audio inagoma download
Nice
🎉🎉
Tumwimbie bwana katika roho na kweli kazi nzuri sanaaa Wana MWECAU
Wimbo mzuri sana😍
Kazi nzuri watu wa Mungu
Hongereni vijana mpo vizurii,,,,,,,, chukueni maua yenu💕💕💕💕❣️🥀🥀🥀🥀
Kazi nzuri Wana Mwecau
Kazi nzuri Sana Mungu awabariki
Nafrahi kuona improvement kila mwaka
Hongereni sana🎉🎉🎉🎉
Nice
Viva St Joseph mwecau upo vzr
Kazi nzuli I like it 🎉
ninabarikiwa sana kupitia kwaya hii Mungu aendelee kututia nguvu👏👏
Mungu awabariki sana kwa kazi nzuri❤.
🎹🎹🎹🎹🎹
Ninyi ni watu sanaaa be blessed Mdumu daima katika utume💞💞🙏
Mungu awabariki sana St. Joseph Mwecau Choir
Hii ilikuwa fire,,,,, wacha Mungu aendelee kutukuzwa kupitia vinywa hivyo
Mungu azidi kutukuka zaidii kwa utume wenu mbarikiwe sana 🙏🙏
❤ St Joseph mwecau choir kwa kazi nzuri, nina Amani ndani ya Moyo wangu ambayo amani hiyo imevutwa na Yesu mwokozi mwenyewe, hadi Raha wapendwa Mungu awabariki na kuwatunza daima, utume uendelee❤❤❤
Good job
Hongereni wimbo mzuri upo🔥
Kazi nzuri❤
Wimbo Mzuri Hongeral kwenu waimbaji St Joseph Mwecau
Hongereni kazi nzuri wapendwa Mungu awabariki sana
Mungu azidi kuwasimamia siku zote 🎉
Kazi nzuri sana Mungu azidi kuwatunza waimbaji wetu #Kimbunga Cha Sifa❤❤❤❤❤
Hongeren sana vijana kwa kazi hiyo iko poa sana
Amina
Good job
Huruma ya mungu Haina nwisho tumrudie Kila mara ata kama tunamkosea sana yeye anatuita Kwa mara nyingine Tena akisema nirudieni
Roho mtakatifu nimsaadizi wetu aliyeletwa na baba baada ya yesu kristo kupaa juu mbinguni so be strong believers msiogope chochote
Mkono wenye nguvu utatuongoza ili tuzidi kusimama katika Imani katoliki
❤❤❤❤❤❤🎉🎉
Ubarikiwe💖💖
Litukuzwe jina la bwana wa majeshi kwani ni mkuu kupitia kimbunga Cha sifa
Kazi nzuri sanaa MUNGU azidi kuwapa upeo na Nguvu mzidi kumtumikia
MWECAU, MWALIMU KIDESU MMEUPIGA MWINGI HONGERENI👏
Mbarikiwe sana wimbo umenibariki
Be blessed ❤❤❤
Kila lililo jema mwenyezi Mungu anabariki
Viva St. Joseph mwecau viva
Aminaaaaaa