Ubarikiwe sana brother. Kiukweli una nibariki sana kupitia nyimbo zako. Una kipaji na kipawa. Mungu wetu aendelee kukutia nguvu kila siku. Zaidi ya yote nakuombea Mungu akupe mwisho muzuri kuliko mwanzo
Mwanadamu bila mafuta Na keki ya upako hawezi Acha kumungunya maneno Ndicho umemanisha kwenye Hiyo ibada usihau zaburi 1:1-6. Kiukweli huwa nakukubali Lakini kwa hiyo ibada 🙈🙉.
Mungu tenda miujiza kwa wote waliohudhuria mahali hapa na Uwabariki.
Ubalikiwe Sana piga kazi muhubili huwa anaingia popote haijalishi kupitia wimbo huo kunawatu wamepokea kitu kikubwa
Mtumishi mwamposa anawapenda sana waimbaji namuelewa san
Ubarikiwe sana mtumishi wa MUNGU
Ubarikiwe sana brother. Kiukweli una nibariki sana kupitia nyimbo zako. Una kipaji na kipawa. Mungu wetu aendelee kukutia nguvu kila siku. Zaidi ya yote nakuombea Mungu akupe mwisho muzuri kuliko mwanzo
Wee ni muimbaji wa kwanza kuwaza endapo nikipata chansi lazima nifanye kazi na wewe...barikiwa sana bro
Duh,watu kma wote mtumishi wimbo huu umenigusa san,umenifanya nibadilike
Kaka Emmanuel my Role model,,, I appreciate u, stay blessed brother
Mwenyewe siwezi Bira wewe siwezi barikiwa mtumishi E mgogo
God bless you man of God
Am in full grace when listening your uplifting song it's really clitching my soul all the best from Europe.merci beacoup.
huwa nafalijika sana na nyimbo zako mtumishi
God bless youuuuuuu🌏🌏🌏
Amen
AMEN
Barikiwa mtumish
What this Mgogo kwenye madhabahu
Mungu amfungue hakika kaka yetu anapotea we love you brother sisi tutakupa hela brother ila usiache kumtumikia mungu aliye hai
Nahukubari sana huu ujumbe
Good job Daddy
Asante
🔥🔥
Mwanadamu bila mafuta
Na keki ya upako hawezi
Acha kumungunya maneno
Ndicho umemanisha kwenye
Hiyo ibada usihau zaburi 1:1-6.
Kiukweli huwa nakukubali
Lakini kwa hiyo ibada 🙈🙉.
Tumuombee tuu mungu amfungue
Amen
Amen
Amen