Stan Bakora Movie Part 1

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 23 ส.ค. 2024

ความคิดเห็น • 653

  • @ferouzmasoud4741
    @ferouzmasoud4741 5 ปีที่แล้ว +130

    Natoka kuangalia maneno ya kuambiwa nakuja kwa STAN BAKORA gud sanaa

    • @mariammwanga5680
      @mariammwanga5680 5 ปีที่แล้ว +4

      Ayo maneno ya kuambiwa ni ya jana ya leo bado muda

    • @akpaekhtb7776
      @akpaekhtb7776 5 ปีที่แล้ว +2

      Maneno ya kuambiwa 44 tayr au

    • @ssur5797
      @ssur5797 5 ปีที่แล้ว +2

      Ferouz masoud maneno ya kuwambiwa part ya ngapi usije ukanitia uwehu nambie.

    • @alisss9757
      @alisss9757 5 ปีที่แล้ว +3

      @@ssur5797 andi maneno yakuwambiwa itakuja ninzuli sana utafulahiya ivi tuko kuepisode 50

    • @mamanasra4269
      @mamanasra4269 5 ปีที่แล้ว +2

      Ferouz masoud maneno ya kuambiwa sehem ya 62 ishatok au

  • @milcahjosiah3967
    @milcahjosiah3967 5 ปีที่แล้ว +16

    Kama unafatilia maneno ya kuambiwa kma mm na umegundua hichoo chumba anachokaa Stan Ni kilekile anachokaa kweny maneno ya kuambiwa na bakari nipe like

  • @geraldhamis3825
    @geraldhamis3825 5 ปีที่แล้ว +12

    Kama ulisoma na watu aina ya Stan gonga like tujuane.

  • @promessek.m4433
    @promessek.m4433 5 ปีที่แล้ว +20

    Mwalimu mkuu aka tangaza kwamba wanafunzi wote wenye hasira za karibu tuondoke 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @officialtalenttv3882
    @officialtalenttv3882 5 ปีที่แล้ว +470

    Kama umetoka kutazama
    #manenoyakuambiwa alafu
    Umeitazama hii gonga like
    Twende sawa

    • @kulthummohamed8626
      @kulthummohamed8626 5 ปีที่แล้ว +1

      nipe full date daer inaonyeshwa lini paka lini

    • @officialtalenttv3882
      @officialtalenttv3882 5 ปีที่แล้ว +1

      @@kulthummohamed8626 maneno ya kuambiwa kila jumamosi inatoka episode 1 na jumapili episode1
      Ila jumapili inategemea sio constant

    • @kulthummohamed8626
      @kulthummohamed8626 5 ปีที่แล้ว +1

      Sawa

    • @kulthummohamed8626
      @kulthummohamed8626 5 ปีที่แล้ว +1

      Thanks

    • @akpaekhtb7776
      @akpaekhtb7776 5 ปีที่แล้ว +1

      Kwan part ya Leo jumapil ishatoka au

  • @jaflaywamonie4314
    @jaflaywamonie4314 5 ปีที่แล้ว +189

    Kama Umeiona Ile Nyumba Ya Kwenye Maneno Ya Kuambiwa Like Please

  • @masoudjuma2180
    @masoudjuma2180 5 ปีที่แล้ว +50

    wamekosea sana hawapo kihalisia kabisa hapo ndo tunapo kosea umeona wapi wanafunzi wakanyoa viduku gonga like hapa

    • @orivakapinga1072
      @orivakapinga1072 5 ปีที่แล้ว

      Masoud Juma nenda kaigize wwe tuone

    • @aishakyejo5565
      @aishakyejo5565 5 ปีที่แล้ว +1

      huyo ni mwanafunz mtukutu ndo mana

    • @abuu1282
      @abuu1282 5 ปีที่แล้ว

      Mtukutu, we hujaona alivoulizwa na mwalimu wake

    • @masoudjuma2180
      @masoudjuma2180 5 ปีที่แล้ว +1

      nimeona na kosa lake kugonga kengele kabla ya muda wake sio kunyowa kiduku wewe kama unafahamu mwalimu gani anoweza kukuruhusi uingie darasani kama vile na kama wapo basi hawaijui kazi yao

    • @masoudjuma2180
      @masoudjuma2180 5 ปีที่แล้ว +1

      @@orivakapinga1072 hutupo kubishana bali kuelekezana sawa

  • @abdallahamad4682
    @abdallahamad4682 5 ปีที่แล้ว +61

    Dada mlezi umecheza vyema uko vizur sana

  • @kajjd40
    @kajjd40 5 ปีที่แล้ว +55

    Wapili Stan bakora 🙌🙌🙌mwendo wangap ngap mwendo watatu tatu 😀😀😀😀😀😀😀makusanyaaaaaaa Noma kwer

  • @abasilihundu200
    @abasilihundu200 5 ปีที่แล้ว +11

    Aliyegundua hii nyumba wanayoishi kina Stan ni ile ile waliyotumia kwa maneno ya kuambiwa like hapa twende sawa

  • @athumanbabisz8426
    @athumanbabisz8426 5 ปีที่แล้ว +24

    Lkn muda wenyew ndo ushapita ningeenda Dada tufanye kesho Leo ntagombana tu na walimu😂😂😂😂

  • @re_up_gang
    @re_up_gang 5 ปีที่แล้ว +8

    Kwa wale wanaofatilia Maneno ya kuambiwa na hii stan bakora,,kama umeobserve kitu gonga like apa twende sawa

  • @sifamugwaneza1178
    @sifamugwaneza1178 5 ปีที่แล้ว +3

    Woow, niliisubir kwa ham kubwa sana, wangap mnamkubl #StanBakola kama mimi jmn?? Kama unamkubal fanya ku like hapa chini tujuane, Stan ee fanya uturushie fast muendelezo Epsd 2 fasta fasta kama anavyofanyaga #Kitale...

  • @user-xi1pi4zr3b
    @user-xi1pi4zr3b 5 ปีที่แล้ว +10

    Safi sana Stan atujapumzika kwa maneno ya kuambiwa umeachia yako tupo nyuma yako lete vitu na team yako...

  • @missqeen4195
    @missqeen4195 4 ปีที่แล้ว +2

    Dah!!! Kama wew ni mshabiki wa stani gonga like apa

  • @nalingacomedian3251
    @nalingacomedian3251 5 ปีที่แล้ว +10

    Mimi kwa kweli namuonea sana
    huruma Dada ake Stan wallah

  • @tatumuhabed9869
    @tatumuhabed9869 5 ปีที่แล้ว

    Begi liko Shule Mwalimu anasahihisha madaftari kama ulichek hapa kam mm embu piga like

  • @aminamchoya4083
    @aminamchoya4083 5 ปีที่แล้ว +6

    Hii sasa ndo comedy isiotumia nguvu nyingi inaelimisha nakuchekesha big up

  • @zakariajoseph6813
    @zakariajoseph6813 5 ปีที่แล้ว +3

    Wanafunzi wenye hasira za karibu waondoke🤗🤗🤗😁

  • @mamafatuma138
    @mamafatuma138 5 ปีที่แล้ว +1

    Thanks kwa movie kali

  • @princenassir5708
    @princenassir5708 5 ปีที่แล้ว +8

    Nikwereeèeeeeee!kama umeikubali shule yetu gonga like yakutosha

  • @mohdabdi4157
    @mohdabdi4157 5 ปีที่แล้ว +37

    Nakubali kazi thanks 😁😁stan bakora kama nawewe unakubali nipe like

  • @nuruabdallah2510
    @nuruabdallah2510 5 ปีที่แล้ว +3

    Stan wacha aitwe Stani hahahaha.....ongera dada mlezi umecheza vizuri Sanaa ungekuwa kalibu ningekupa pipi .....ongera kaka kitale umemjua mtoto mjinga asiependa shule hahahaha

  • @harunaiddi5628
    @harunaiddi5628 5 ปีที่แล้ว +1

    Huyu mwalimu vipi,
    Anajua kuwa mwanafunzi hana mzazi alafu anamuagiza akamuite mzazi wake.
    Ila kazi nzuri.

  • @sophiamichael644
    @sophiamichael644 5 ปีที่แล้ว +39

    Kitale: kumbe hili litoto lijinga kweli, linaniambia niibe nguo za shule ili lisiende shule. "Mitoto ya siku hizi bwana, sisi tulisoma bwana.!"

  • @athumanhassan9360
    @athumanhassan9360 5 ปีที่แล้ว +1

    Kwl wahun cyo w2 wazur Stan bakora bg up xnaaaaaaaa ukiachiliah mbali tixa kumi maneno ya kuambiwa ndy mnauwah kbx hongeren kuruu nzima ya kibabe

  • @anualiissa2676
    @anualiissa2676 4 ปีที่แล้ว +1

    Kama unamkubali sanaaa stani gonga like apo

  • @jennerozaombeni7029
    @jennerozaombeni7029 5 ปีที่แล้ว +2

    Maneno yakuabiwa nizuri natena Stan bakora nizuri❤️💓💖♥️💕💝🍉💎💜💗💋🌺😍💯

  • @hkfreeboy9533
    @hkfreeboy9533 5 ปีที่แล้ว +1

    Stan Bakora respect jananguh kazi nzuri mzee

  • @sniperislam4547
    @sniperislam4547 5 ปีที่แล้ว +71

    Unaanza na maneno ya kuambiwa unakuja hku stan bakora

  • @rashidmwasing1363
    @rashidmwasing1363 5 ปีที่แล้ว +219

    kama ulikuwa unaixubiri kwa hamu like 2juane mapema @stan

    • @asinathasinath5090
      @asinathasinath5090 5 ปีที่แล้ว

      💃💃💃💃😁😁😁☝☝

    • @nomasika1405
      @nomasika1405 5 ปีที่แล้ว

      l go home to see you so bake cak me l ilke you mmmmmm go zoo in today see you funny is in the happy go fun l love you

  • @innocentbangirinama751
    @innocentbangirinama751 5 ปีที่แล้ว +2

    Braza una Mia mbili ni chukue ndizi ❤️

  • @beautyibrahim8428
    @beautyibrahim8428 5 ปีที่แล้ว +15

    Stan akili zako mbovu😂😁😂

  • @prettylove7534
    @prettylove7534 5 ปีที่แล้ว +11

    😂😂😂😂eti wanafunzi wenye hasira za karibu waondoke nyumban

  • @paulmgoli4853
    @paulmgoli4853 4 ปีที่แล้ว +2

    Mwalimu hassani kalileta 😂😂🙌

  • @nurumohamed3665
    @nurumohamed3665 5 ปีที่แล้ว +5

    Eti wanafunzi wote wenye hasira za karibu waende zao nyumban 🤣🤣🤣🤣🤣

  • @ashuramahali6643
    @ashuramahali6643 5 ปีที่แล้ว +11

    Stani bhana 😀😀😀😀😀 we fund nimecheka mno kumwona sister ako mke w kobero 😋😋 Stan umejua kuigiza Kama mwanafunz hongera bro 😀😀😀😀😀😀 et shule yetu mpya bdo haina jina 😀😀😀😀😀 jinga sana ww

  • @amoswekesa1476
    @amoswekesa1476 5 ปีที่แล้ว +10

    yeeh shule yetu mpya bado haina jina,, na tulivyo na hasira za karibu,,,big up stan na mkude...mko sawa

  • @ramzmak7121
    @ramzmak7121 5 ปีที่แล้ว +11

    Hapa Sawa Kabisa .. Nilikuw naisubir kwa sana tu... From +974

  • @amashamtama8422
    @amashamtama8422 5 ปีที่แล้ว +15

    Wakati nasoma primary nilikuwa na tabia kuficha nguo za shule ili nisiende shule dah! Mzee alikuwa ananitembeza bakora balaa gonga like kama umeipenda hii

  • @mikapeter1019
    @mikapeter1019 5 ปีที่แล้ว +1

    Da mwene nakuonaa🙌🙌

  • @herriethkwegiar8582
    @herriethkwegiar8582 4 ปีที่แล้ว +3

    Maneno ya kuambiwa then stan bakora and kimbiji ❤❤❤❤

  • @safiamkondoa2646
    @safiamkondoa2646 5 ปีที่แล้ว +19

    Filamu hii nzuri sana wahusika wamejitaidi ila tatizo wameshindwa kuuweka uhalisia wa tukio wanalolifanya hasa kwa stan. Angenyoa ndevu na kiduku hicho kwani hakuna mwanafunzi wa staili hiyo hata kama awe mtukutu vipi

  • @sallyraidan6867
    @sallyraidan6867 4 ปีที่แล้ว +2

    Me mafia, me mdudu... 😂😂😂 waulize ata kibanda cha video nangaliaga picha ngap kwa siku 😂😂😂 nne

  • @mejubaraza9415
    @mejubaraza9415 5 ปีที่แล้ว +12

    Stan we kiboko kaah nakuinulia mikono kaka

  • @jasmin5minja207
    @jasmin5minja207 5 ปีที่แล้ว +1

    Kwl mnajua kuigiza Mina wakual wote,af hiyo nyumba ndo mpango mzima from maneno yakuigiza hahaaa

  • @willydeannatvjacob3988
    @willydeannatvjacob3988 5 ปีที่แล้ว +1

    Daaah bro Unaweza😂😂😂😁😁😂😁😂😁😁😁😁😁😁😂😂😂

  • @halimasssomar8793
    @halimasssomar8793 5 ปีที่แล้ว +18

    Stani much love. Nicheka kweli ❤️❤️❤️❤️😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁

  • @rehemabern4382
    @rehemabern4382 5 ปีที่แล้ว +4

    Nmecheka sana kwa mzazi wa kununuliwa

  • @jumamgoo7500
    @jumamgoo7500 5 ปีที่แล้ว +2

    Bonge la filam tz big up stan

  • @halimasssomar8793
    @halimasssomar8793 5 ปีที่แล้ว +13

    Yani amuboeshi..muko poa...mnatufuraisha❤️❤️❤️ much love

  • @ahmedali0333
    @ahmedali0333 5 ปีที่แล้ว +2

    Daaaaah nahisi kuchanganyikiwa 😰sijuwi hata nianze na ipi etii walimwengu nianze na ipi kati ya manenooo ya kuambiwa na stan bakora😃😃

    • @zackiahamza7345
      @zackiahamza7345 5 ปีที่แล้ว

      Maneno ya kuambiwa n motrooo fire... Itabaki kuwa juu mawnguniii 🙌🙌

    • @zackiahamza7345
      @zackiahamza7345 5 ปีที่แล้ว

      Maneno ya kuambiwa n motrooo fire... Itabaki kuwa juu mawnguniii 🙌🙌

  • @djtrusted6997
    @djtrusted6997 5 ปีที่แล้ว +6

    Kali sana

  • @noonalfarsi8504
    @noonalfarsi8504 5 ปีที่แล้ว +1

    Jamani stan unanikosha wewe daaah😂😂😂naima kutoka Oman 😘😘😘

  • @judnesstemba7252
    @judnesstemba7252 5 ปีที่แล้ว +12

    😂😂😂😂😂😂😂😂eti waalimu walikuwa wanagombana tukaambiwa wenye hasira za karibu tuondoke nmesoma shule mpya haina jina Stan una vituko😂😂😂

  • @chrisyusuph9457
    @chrisyusuph9457 5 ปีที่แล้ว +25

    Jitahidi malizia season maneno ya kuambiwa kali sana hiyo

  • @mwanajumabadi2836
    @mwanajumabadi2836 5 ปีที่แล้ว +14

    Stan ww yaani part zako bila kuanza action uwa na smile tyr

  • @chrastussanga3590
    @chrastussanga3590 5 ปีที่แล้ว +2

    Kama unahitaji mwendelezo ....gonga like

  • @wahidawahida6675
    @wahidawahida6675 5 ปีที่แล้ว +5

    Tabia za mtoto wa kaka angu na hi move ya stani yani hakuna ata moja lililopishana

  • @chezarinaromanus1557
    @chezarinaromanus1557 5 ปีที่แล้ว +1

    yan mwanzo mwisho nacheka tuition 🤣🤣🤣🤣

  • @estongomera2222
    @estongomera2222 5 ปีที่แล้ว +4

    Dah uyu mimi kabisa kipindi nasoma secondary

    • @abusaeed9037
      @abusaeed9037 5 ปีที่แล้ว

      Eston Gomera ulikuwa mtundu

  • @kake_alicios7620
    @kake_alicios7620 5 ปีที่แล้ว +17

    Nani mwengine anaomba muendelezo wa #kampuni. Tujuane wenye wameimiss

  • @mindsettv8054
    @mindsettv8054 5 ปีที่แล้ว +6

    stan anasoma shule ya nani kwa njinsi alivyonyoa alf walimu wanamfukuza kisa kapiga kengele ila kunyoa kapatia duuu....... au hii ni Comedy nijuzeni

  • @hammyzuberi4068
    @hammyzuberi4068 5 ปีที่แล้ว

    Nilidhani Stan anafanywa bakora kamili leo kumbe babamdogo hahahaha 254 mob love salimia Kitale

  • @latifamchekenje6718
    @latifamchekenje6718 5 ปีที่แล้ว +14

    Kwani imetumwa lin hii jmn Kitale C Kasema Anatuma Badae

  • @kassimutekele4277
    @kassimutekele4277 5 ปีที่แล้ว +6

    15:37 Mwene alikuwa kamechisha Rangi ya Dela lake na rangi ya Mlangoni aliposimama...😁😁😁

  • @vanillamziray2303
    @vanillamziray2303 5 ปีที่แล้ว +6

    Stan kweli kalizozo🔥🔥

  • @aminamussa7228
    @aminamussa7228 5 ปีที่แล้ว +2

    Toto jinga kweli ili

  • @bjaymaster3942
    @bjaymaster3942 5 ปีที่แล้ว +1

    hahahahaha stani kajua dada atamutetea at duu noma xana

  • @mosesaluta3764
    @mosesaluta3764 5 ปีที่แล้ว

    Kama umemuelewa kitale gonga like twende xawa

  • @haithamrubeabuhet2637
    @haithamrubeabuhet2637 5 ปีที่แล้ว +1

    Ngapi ngapi tatu tatu Hhhhh tujuane tulokua tunaisubiria hii nipen like zenu

  • @smitraminah6796
    @smitraminah6796 4 ปีที่แล้ว +1

    M stak kuwa ombaomba wa like ila meikubal hii kitu

  • @ahmedali0333
    @ahmedali0333 5 ปีที่แล้ว +3

    Tuwacheni masigharaaaa😅😅😅 tuongeee vitu vya siriasiii😅😅hivi wapo wanafunziii dizainiiii hii ya stani hivi kwelii ehhh walimwenguu😅😅😅

    • @kbjuomaly8466
      @kbjuomaly8466 5 ปีที่แล้ว

      Wapo ndugu co utan yaan raha sanaaaaaa

    • @annasilas8633
      @annasilas8633 5 ปีที่แล้ว

      Ndio

    • @fatmaaly9686
      @fatmaaly9686 5 ปีที่แล้ว

      Tena wengi sana sana hata mimi nishawahi sana kuficha nikaenda pwani😆😆😆😆😆

  • @saumrajabpalomar9569
    @saumrajabpalomar9569 5 ปีที่แล้ว +30

    Asante Sana washirika💋💋💋💋alafu timu yangu yote ipo👌👌👌👌nime enjoy ❤️❤️😋😋😋

    • @ukhtysakinaa7664
      @ukhtysakinaa7664 5 ปีที่แล้ว

      Dah yan hii movie nmecheka mpaka basi 😀😀😀

  • @alhasibualhasibu8331
    @alhasibualhasibu8331 5 ปีที่แล้ว +2

    Kwel mmeamua kutumalizia MB zetu sema mmetisha ile mbaya

  • @zenahoka6265
    @zenahoka6265 5 ปีที่แล้ว +4

    Jamani nacheka sijifai mwalimu Hassani kaleta

  • @noonalfarsi8504
    @noonalfarsi8504 5 ปีที่แล้ว +1

    Stan unajua kujitoa fahamu😂😂😂😂eti umletee maji ya kunywa

  • @jessicakhamisi3653
    @jessicakhamisi3653 5 ปีที่แล้ว +9

    Muendelezo prease nzur sn jamani mwendo wa tatu tatu

  • @mesabendo7581
    @mesabendo7581 5 ปีที่แล้ว +3

    Sijapitwa stan bakora🔥🔥

  • @omaryabdallah5931
    @omaryabdallah5931 5 ปีที่แล้ว +3

    Mwalimu hassan kaletaaa 😂😂😂😂😂

  • @bioszbar1963
    @bioszbar1963 5 ปีที่แล้ว +4

    stan''Tayari moja.
    kibwe "" moja nn ile uzinduzi

  • @muniraahmad4055
    @muniraahmad4055 5 ปีที่แล้ว +14

    Ee jamani stan eti wanafunzi wenye asira zakaribu tuondoke

  • @saidikassi3459
    @saidikassi3459 5 ปีที่แล้ว +2

    dah huyu koku ndo yule yule wa kwny maneno ya kuambiwa ao macho yangu😁😁😁

  • @janewilson8620
    @janewilson8620 5 ปีที่แล้ว +3

    Haahaah ety Leo kipindi cha din halafu sio dini yangu naenda kufanya nn sasa hahhh

  • @mtaalamwamambo2099
    @mtaalamwamambo2099 5 ปีที่แล้ว +3

    Kazi nzuur, Stor Nzur, ila akuna ubunifu wala uhalisia maan kwa hl ya kawaida akuna mwafnz mweny muonekano kama Huo, pil Ata Kama n mwanafunz n mtundu haiwezkn akawa muoga hivy!

    • @priscamlyuka5531
      @priscamlyuka5531 5 ปีที่แล้ว +1

      Lengo tucheke tu

    • @mtaalamwamambo2099
      @mtaalamwamambo2099 5 ปีที่แล้ว +1

      @@priscamlyuka5531 ni sawa lakn ifike mahal tuache kufny vitu kwa mazoea, hii itasaidia kuinyanyua tasnia hii kotok hapa tulipo kwenda kweny level nyingn, tutazd kulalamik wakat wachaw n ss wenywe kuridhik na hii Hal.

    • @sniperislam4547
      @sniperislam4547 5 ปีที่แล้ว +2

      @prince mushy bro Kama nakuelewa hv

    • @mtaalamwamambo2099
      @mtaalamwamambo2099 5 ปีที่แล้ว

      @@sniperislam4547 nashukur kwa kunielewa,, sasa ni muda wa mabadiliko katk tasnia, tumechk mazoea!

    • @ameirmanzi2684
      @ameirmanzi2684 5 ปีที่แล้ว +1

      Ilitimiaje move bila ubunifu na uhalisia hata waloendelea hawana uhalisiya hakuna atochupa gorofa au ndege akapona km wanavofanya wazungu wangekuwa hawapo kwa kuchupa magorofa

  • @jessicakhamisi3653
    @jessicakhamisi3653 5 ปีที่แล้ว +1

    Hahahahaha hatareeee umenikosha sn stan mana c kwa kusubir huko aise

  • @chanutuchake9959
    @chanutuchake9959 5 ปีที่แล้ว +36

    Kama utakuwa mfwatiliaji kama mm gonga like twende sawa

    • @mwapuleyohana1300
      @mwapuleyohana1300 5 ปีที่แล้ว +1

      Sana nakubali sana kazi nzuri

    • @humphreynduye6239
      @humphreynduye6239 5 ปีที่แล้ว

      Huna,,,kaz ndomn unftilia,,,,,

    • @chanutuchake9959
      @chanutuchake9959 5 ปีที่แล้ว

      @@humphreynduye6239 ww mwenyewe hunaka kazi ndomana unafwatiliya coment zote

    • @humphreynduye6239
      @humphreynduye6239 5 ปีที่แล้ว

      ,,,,,huna kaz ww ,,unaeomb cjui like ,,,cjui nn ,,unakula ,,,,?

    • @chanutuchake9959
      @chanutuchake9959 5 ปีที่แล้ว

      @@humphreynduye6239 utakapo acha kunijibu nitajuwa kama unakazi zakufanya lakini ukinijibu taona unaleta shobo kwangu

  • @aminamchoya4083
    @aminamchoya4083 5 ปีที่แล้ว +2

    😂😂😂😂😂😂nimecheka mwanzo mwisho

  • @abdulnsserjameelmohammed146
    @abdulnsserjameelmohammed146 5 ปีที่แล้ว +3

    Yaani Hadi Raha unamaliza maneno ya kuambiwa unakuja Kwa stani bakora 😂😂😂😂😂😂

  • @charlescolman5589
    @charlescolman5589 5 ปีที่แล้ว +2

    Baba mdogo😁😁😁😁😂 dah kweli😁😁😁

  • @amshlynebaby8495
    @amshlynebaby8495 5 ปีที่แล้ว +6

    mwendo wa ngapi ngapi?😀😀😀👏👏👏

  • @faridatambwe6711
    @faridatambwe6711 5 ปีที่แล้ว +3

    hahahahahaah nimechelewa ila nimefika afu we stan we haa umeniacha hoi

  • @stanleytango7012
    @stanleytango7012 5 ปีที่แล้ว +1

    Stan Bakoraaaahh..!!! +254 tunakupenda kaka

  • @pendocharles8786
    @pendocharles8786 5 ปีที่แล้ว +5

    ahahahaha daah stan kiboko jaman tuwekee part 2 tunakuomba mweee

    • @yascomdoe5686
      @yascomdoe5686 5 ปีที่แล้ว

      Pendo Charles nae anaring km kitale

  • @shinertv127
    @shinertv127 5 ปีที่แล้ว

    Dahaaaa bonge la burudani ..Frm maneno ya kuambiwa hadi hapa tisha sanaaa

  • @zenahoka6265
    @zenahoka6265 5 ปีที่แล้ว +3

    Hehe likua napita kumbe ya kweli

  • @jumaissa3854
    @jumaissa3854 5 ปีที่แล้ว +1

    Nakubari mzee.baba

  • @linnahmwasi2831
    @linnahmwasi2831 5 ปีที่แล้ว +1

    🤣🤣🤣🤣🤣Stan bhanaa ety mwl hasani kaleta begiii🤣🤣🤣

  • @zuhurat7002
    @zuhurat7002 5 ปีที่แล้ว

    Bora maneno ya kuambiwa iko poa sna

  • @siyamunadhir3669
    @siyamunadhir3669 5 ปีที่แล้ว +2

    Unayepitia kila comment na huchangii chochote km mimi ila una enjoy na wanachoandika wenzio Naomba nitambue uwepo wako.