Kuna jamaa alimwambia rafiki yake amwambie demu wake kakamatwa na polisi, demu alichomjibu 'mwambie jengo limejengwa kwa ajili ya watu, mwache afungwe😂😂😂 dadeq, jamaa aliumia kwasababu tu kajibiwa rafiki yake
Me kuna mtu aliniambia anataka kujiua nikamwambia jiue tu Hasara ataipata mama ako 😂😂😂😂kakusomesha baada ya kumsaidia wew utatafuta tikeki ya kwenda Akhera mwenyew 🤣🤣🤣🤣mbona hakujiua ni uongo tu mtu anafanya madudu makusudi kujirekebisha hataki yanini mei nikaachia😂😂😂😂

Wakwanza naombeni ata like to
Me kuna mtu aliniambia anataka kujiua nikamwambia jiue tu Hasara ataipata mama ako 😂😂😂😂kakusomesha baada ya kumsaidia wew utatafuta tikeki ya kwenda Akhera mwenyew 🤣🤣🤣🤣mbona hakujiua ni uongo tu mtu anafanya madudu makusudi kujirekebisha hataki yanini mei nikaachia😂😂😂😂
Duuu noma sana😂😂😂
Mi stani huwa nmemkubali mcheshi kweli😅😅😂
Nahc km nmepata kitu ivi 😂😂😂😂
Kunawengine hata K hio hawajibu kbx😂😂😂
Hamna kitu inaumiza mtu unampenda yeye anachukulia poa unamwambia I miss anajibu "ahsante" hapo ujue chenga
True 😂😂😂🎉❤❤
Kiufup tunakuaga ving'ang'anizi😂
Kula gwala 😂😂😂
@@hasnajuma5567 nalipokea kabsa
Tuisila kisinda😂😂😂
Kwel kabx
Kweli kabisa 😅😅😅😅😅
😂😂😂😂😂😢 ila stan
😂😂😂 asee
Kweliiii
😂😂😂hunibamba wewe
Kudaadeki sio poa😂
Hahahahaha
Apo kwa kisinda hahaaaaa
Mi mmoja wapo
😂😂😂😂😂
😂😂😂
Mamae
jmn stani ww yaan nmetoka kuongea sasahv kama unanisema mm hv😂😂😂