Kitale kafulia kashindwa kuendeleza binadamu sanaa Haziwalipi😅uwekezaji mdogo waigizaji mnaroho mbaya ndio maana sanaa ya maigizo Tanzania imekufa mnaoneana wivu sana roho mbaya zinawasumbua ndio maana movie zenu hamuwezi kumalizia ata nusu movie hamfiki poleni mapinduzi yanaitajika katika sanaa ya maigizo
Nakukubali sana kitale, you are my favorite actor in Tanzanie
Namupenda kitale sana,nashangaa leo anacheka😀😀I'm from Canada 🇨🇦 ✌️✌️✌️
Eti sio rahisi😊😊😢😅
Ety bange zimemsaidia tundulisuuuuu... duuuh hawa jamaaaa
Eti bangi imemsadia tundulisu duuuh 😂😂😂😂😂
Mumetisha kinyama....likes zangu from kenya ❤
Sema hawa jamaa wanajua sana 😅😅😅😅 mwanzo mwisho unacheka
Achunge sana asije akaenzekwa😂😂😂😂😂😂😂❤❤❤💥💥💥💥💥💥🌍🌍kitale your my favorite actor, one day nitaigizaga na wewe tu.
Unyama mwingi wakubwa
Heeeee 😅😅😅😅 et makalio yakeeeee alijua yameondokaa
nilifanya mpango dinki kumuoa mother
Ila kitale khaa unatuchoma sana wanao😅😅😅😅😂
Ujue we kitale una waalibu awo watoto 😂😂😂😂🇿🇦🇿🇦🇿🇦🇿🇦
Kitale mkude ipo siku utaniua msela ww
Mbwa nyieeee mmetishaaaa sanaaaaaaa🎉🎉🎉🎉🎉
Eti munanitania baba yenu mpaka naona aibu 😁😁😁😁
Sema huyu jmaa wa matako anajua😂😂😂 af serious kinom😂
Nyie jamaa wasenge kweli hahaaa
Mko Juuuuuuu sana.... kutoka kenya...
😢jamani mi nauliza Kitale umeowa lakini nij uniow mimi nakupenda hadi mwisho ❤❤❤
Kitale
😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆una mambo
Kenyan in Canada loves the set
Whatch this movie
🤣🤣🤣Eti Tundu Lissu
wewe jamaa fala sana.
😂😂😂Mtoto wa musa mahenge daah huyo mzee zamani tuliambiwa ukimtaja anatokea aisee ni gwiji hatar
La Bangi sio kabsa
🤣🤣🤣 matako eti ameyasahawu jamani
ila kitale daah 👏👏👏👏🤣🤣🤣🤣
Kitale 😂😂😂😂raisi wa mateja 😂😂😂nakupa kongole
Bange nibanguwe kasumba usinisumbuwe sumbuwa aliye kulima nipewe!!!!!macho ya shangazi zuwena hahaha
😅😅nimechika mpka basi kitale,stan na beka jamani... mbavu zangu mie🤣🤣🤣🤣🤣🤣
😂😂😂😂 eti kajiskiya mwepesi kazani amesahawu matako😅😅😅😅❤
Iv kitale jaman sio teja uyu 🤣🤣🤣
Siy teja kabsa Alf hata bangi havuti wala sigara hay ni maigizo2 Aiseee
😂😂😂😂 umenifanya nicheke sana hongereni .from moro
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Matako .yangu nilikua naoana yameanguka pale nilipo kaa naenda.kuyaangalia kumbe niko. Na moja.😆😆😆😆😆😆😆
Kitale kafulia kashindwa kuendeleza binadamu sanaa Haziwalipi😅uwekezaji mdogo waigizaji mnaroho mbaya ndio maana sanaa ya maigizo Tanzania imekufa mnaoneana wivu sana roho mbaya zinawasumbua ndio maana movie zenu hamuwezi kumalizia ata nusu movie hamfiki poleni mapinduzi yanaitajika katika sanaa ya maigizo
Salamalekum hapa msikitini😂😂😂
😂😂😂😂
Nimecheka sana 😅😅😅😅kumbe hata waheshimiwa wapiga
Et ameyasahau matako, bangi nihatari, ningekuwa nauwenzo ningemuita aje kwetu 🇧🇮🇧🇮 kutuchekesha
Whallah😂
❤😂❤❤❤😂😂 Huwezi kuongelea Bandali Bilayakuvuta bangi 😂😂😂 Umeuwa
Hahah😂 at mama ht mi mkubwa
Kitale Mungu anakuona
Bangi NIMECHEKA kinyamaaaaa 😂😂😂
Sina mbavu
Hahahaaaaaaaaaa anechukua macho ya shangaziiii, et mi ndio wa kwanz kuzaliwa kafuata bi mkubwaaaa jmn bangiiiii😅😅😅😅😅😅😅😅😅
Talented 🔥🙌🙌🙌🙌
Et nmeyazau maakalio yanguu😅😅😅😅😅😅
Watoto wana mtania baba yao mpaka anaona aibu🤣🤣🤣
😂😂😂 ila nyie majinga kweli
Bangi sio mbaya wabaya walimwengu
Kitale❤ from South Africa 😂
Bangi nyoko haijawh kumuacha mtu salama
Huwezipona risasi 86 bila bangi😅😅😅😅kitale unazingua.
❤❤ respect Bros good job
Binadamu wabaya mliishia wapi jaman
Eti utakuja kuezekwa!😁😁😁😁
hahahahaha kitale mshziiii kweli
Ahaa 😂😂 kumbe bange ndo inamsaidia Lisu kumbe bange nzuri 🤔
Kwa madiba tunawapata cape Town
Mbona kama vijugu style
Naona wanayeya
Sio bang
Baba na watoto wake😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂beka nae kasahau matako yake😂😂😂😂
Nawakubali kz zenu
Napenda bure mm❤
Nawakubali sana kwa kazi zenu like zangu kutoka Mozambique
fresh
Bangi kweli noma nimecheka sio mchezo 🤣🤣🤣🤣
Kitale anajua sana
Ila stani ni chizi eti me mwenyewe nimempita yan mamaake😂😂😂
Kipaji badokipo kitale mtanipasua mbavu zangu lakini
Jaman tusapoti kaz zet na xanaa yetu ilitufik mbal
😂😂😂😂😂hawa jamaaaa Wajinga kinoooomaaa 😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂💯💯 salute sana
Soo sigara ni mzuri kama angekosea
Tuliwamiss sana karibuni tena
Tundu Lisu eti😂😂😂
Good idea imezingua mmeshiga sigara kabisa s mngesokota hata karataso wazee
Kitale ❤❤🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Tupen na binadam tumalizie du siyo pow
Kasahau matako nyuma😅😅😅
😂😂😂😂bangiiiiiii dah acha nivute niendelee kulima😅😅
Hamna mbaya ata kdg rais wangu akohowe 2 m nashimba kitale
😂😂😂😂😂Honey 😅😅😅😅😅
Hahahaha nimechemka sana
Kitale mnyama kbx👊
Iko nzuri.kitate
Hamonize akivutatuu hahahaaa
😂😂😂😂moshi kama treini
😂😂😂😂😂matako yameanguka
mm hadi najiskia aibu😂😂😂😂 dah kitale
Unatakakuoe nahuko ulikoumekoshwa mpenz wakukuowa mpaka umuulizie kitale aunamatatizo et
Shushaa kama izo zakuzidi
Ila kitale auimbe kwanini imba bana
😂😂😂😂😂😂😂 mafala nyie
Kitale ni noma
😂bangi ishi namii
😂😂😂😂😂😂😂mamae walah
Kitambwise kitambwise😂
Ila kitale usikatae wewe unavuta kweli sio kuigiza tu Yan wewe nimvutaji
😅😅😅 anatoa code zote
@@youngweezy3846 🤣🤣🤣umemcheki
Oyahhh wee 😅😅😅😅😅
Anamafuta kibaiooo😂😂😂😂😂
Hatari san bangi
😂😂😂😂 wapogolooo tupoooo