ขนาดวิดีโอ: 1280 X 720853 X 480640 X 360
แสดงแผงควบคุมโปรแกรมเล่น
เล่นอัตโนมัติ
เล่นใหม่
Asante mpenzi nimejifunza mengi na nimejua vingi kupitia ww. Mpaka hapa nilipo fika nafanya maandalizi mwez wa nne Mungu akinipa uzima nafungua saluni yangu,❤️❤️ Mungu akubariki Farida hujawahi kuwa mchoyo kwa kile ulicho nacho nakupenda sana mama
Nakupenda pia faraja Mwenyez Mungu akubariki
Asante mumy
Asante da farda Kuna vitu nataka kujua Aina za dawa na stimingi
Nakupenda sana Farida unanifunza mengi
Am so proud kukutana naww hakina najifunza mengi . Nakupenda sana❤❤❤❤
ahsante kwa mafundisho yako Mungu akubaliki.
Kiukweli mungu akutunze san zaidi 😢 nataman moyo kama wako umejitoa san kwetu
Mungu akubariki Mamy mm Niko arusha nikifungua nitawasiliana na wew unitumie mecap
Dahhh we dada mungu awe nawe milele daima hauboi hauchoshi kila siku unatuletea vitu vZr NAKUPENDA SANAAA 💓💓💓
Nakupenda pia jaman
Napenda Kaz ya saloon mm jmniiiiiiiiii
Nakuelewaga bure NDUGU. Ahsante sana🙏
Ntafanya hvy Asante kwa kunipa moyo
Asante sana dada nimejifunz kitu nilikua nawaza nianz n shingapi asanteeee
Hongera sana dada Farida una roho nzr sana mwenyezi mungu akubariki sana naomba kujua Cha kutundikia Rasta kinaitwaje mamy
Asante sana da farida tumeelewe hapo umesahau kupgia hesabu rasta na dawa za nywele
Oooh! Asanteeh Dr kumbe CYO lazma uanze na Kila kitu
Asante sana umenisaidia pakubwa love you
Nimejifunza kwa umakini sana hongera sana
Unaelezea vizur sana na unasaidia weng sana much love 💋💋💋💋
Ubarkiwe kwa kazi nzuri mi nauliza ukitaka kumwajiri mtu kwa Manzoni unamliaje
Ahsante dada kiukwel unafundisha vizur
Nimefurahi sana kukuona live nilizoea sauti yako tu, asante kwa mafunzo Dada endelea na moyo huo mungu akubariki sana
Ameen Barikiwa sana
Nashukru sana kwa vele ulivyo nifunza nimejifunza vitu vingi kupitia kwako thanks
Nakupenda Sana dada unafundisha vzr sana masomo yako
Nakupenda sana Farida umenisaidia sana nilikuwa natafuta sana video kama hii Mungu aendelee kukubariki
Shukran sanaaa
Dry ya ukutan bei gani
Asante sana dada Farida nakupenda bure maana sio kwa kutujali huku jmn Mungu azidi kukuongezea maarifa
Stima ni nn Dada farida ktk bifaa vya salun?
Napend mafunz yak farid❤❤❤
Samahani dada eti osheo lile zuri kabisa Bei gan
Mungu akuweke sana dada, umenisaidia sanaa na mafunzo yako
❤ Asante my dear kwa Elimu
Asante Sana my dia mana Nina mpango wa kufungua saloon
Asante dada kama umeniona vile somo linanihusu sana
Haha nime Ku zoooooom nikajua what u need😂😂😂😂
Asante sana kwa mafundisho mazuri ubatikiwe
Asante kwa mafundizho mazuri
Asante dada kwa kutufunza mambo mengi mungu akuzidishie
Nashukuru kwa mafunzo yako mpenz, nakupenda sana
naomba bei ya madraya
Nafurahia sana mafunzo yako dada be blessed
Asant mmi ndo nataka kuanzaa inshallah ❤
Asante kwa elimu ❤
Watching from kenya,nafuatilia kax yako.
Dada asante kwa maelezo mazuri
barikiwa mpenzi nashukulu sana kwa msaada wako
Yaaan umenitia moyo dada asante saaana
Nakupenda bureee kwa roho nzuri ulonayo
Unazidi kuwa mzuri tu dea
Daaah yani dada farida umenipa somo zuri nilijua ni gralama kubw kumbe ni hivyo tu
Mungu aendelee kukutia nguvu kwa roho yako nzuri na ya ukalimu💖💖
Shukran sanaa
Kabisa
Naomba kuuliza Kati ya bodraya na draya kipi Cha umuhimu sana
Nakupenda bure jaman una kipawa cha kuelekeza ubarikiwe dada
Asante mungu akipenda mwakani nitakuja kujifunza
Nakupenda madame wangu si mchoyo ❤️❤️
Nakupenda pia nimekumc jaman
Mm pia nampenda sana kwan mungu alichokupa unashea na wengine mungu akubarik sana kwa moyo uwo
Asante Mwalimu
Waoo hongera
Asanteeeeee mm nahitaji draya
Wow....asante San kwa darasa
yaani wee dada mie nakupenda naja kujiunga na darasa lako
Nakupenda sanaaa na nimekuelewa sana
Mungu akubariki Dada angu ninakuombea, una moyo mzur sana
Mungu aendelee kukubariki
Asante sana kwa somo zr
Nakukubar saaaaana my dear 😍😍😍💗
Faida inakuje kwasiku kwamkadilio wakawaida
Asante kipenz
Asante Santa,Kuna meng nataka kujifunza kwako.
Huyu ndio faridaa
Asante sana
Mungu akubariki Dada 🌹
Ameen
Hello siz nimependa kazi yako nzuri naitaji kufungua na niko na 100k naesa ama doo n kidogo
100k ya kenya au tz
Nimepend dd nanimejifunza kwakuw nipokwenyemaandaliz yakununua vifaa
waoooo jmn asant nimejifinza kitu pia nitakua naitaji nijue mek upo
SAMAHANII mm nauliza draya znakuwa ngapi
Last born is watching asant dada
Sitochoka kusema nakupenda 🌹farida coz sio mchoyo unaroho yapekeako madame Mungu akutunze kipenzi ❤❤❤💋
Amina Sana'a nakupenda pia
Asante madam Fa nmeielewaaaaaaaaaaa
Naona somo limeelewekaaa
Limeeleweka vizur sana Madame,, mie tayar bado kuiboresha madam faa na kuipangilia ionekane Classic,,
@@odiliapeter3288 tayar? Sijaona ukiniungishe makeup seti
@@faridaothman mmh madameee nlinunua makeup kwako,, ulinipelekea kkoo,, ushasahau??? Gundi ya kope ujanipa na urembo wa b harus nlikuagzaga madamee
Niko n ww MPAKA nitafunguwa saloon♥️🙏🇧🇮
Asante dada farida nataka kuifungua saloon nategemea nitaona part 2 ya kipindi hiki
Dada mungu akubarik san
Da farida mwakani nakuja kusomea kusuka na makeup🥰
Karib sana love
@@faridaothman sawa lkn natokea tanga vipi kuhusu makazi
Dada Asante sana tena sana 🙏🏼🙏🏼❤️❤️❤️
Nakupenda buree ujue
Hongera kwa kazi nzuri
Asante dada naitaj vifaa tapataj
Asante my umenipa mwanga
Napenda kujua
Daa farida mm nakufatilia kila hatua na nimejifunza vitu vingi sana daa nakushukuru sana uko wazi na kazi yako ila mm nataka hizo bidhaa mumy
Taulo umesahau. Somo zuri
Asante mpenzi sina chakukulipa zaidi ya kua mteja wako wa full set mpenz muda si mrefu
Nashukuru saana kwa ushaur wako Mana nami ni muhenga
Asante 🙏 mpenz
Barikiwe Sanaa
Asante dada ❤❤❤❤❤
Asante dada,me nilikua nataka kujua na bei ya,draya ya mkono,pasi pamoja na ile trei ya kuwekea roles
Amekwambia chukuwa namba mpigie atakuonganisha nawauzaji waivyo vifaa vyote wewe utaondoka namzigo wako tu Best yangu.... Asante
nashukur sana
Waiting for part two 💋❤️❤️❤️🌹🌹
Stay tune
Mungu akubariki dada
Me napenda kazi ya soloon ,,,ila sijui mambo ya soloon jee una wezekana kufungua soloon alikuwa mimi sijui kabisa kufanya chochotee kuhusu saoloon
Upo kama Mimi
Mungu akubariki dada farida unatufundisha vitu vingi sana
Nimefrahi sana
Sante sana jaman❤️
Nzuri my 💜
Asanteee🥰🥰
Asante Sana my
Nakupenda buree dada ang
Na pasi je Bei gaan
❤❤❤farida