Mama ninaamini utafanya mabadiriko ya mawaziri. Huyu abaki hapohapo. Ila ALI HAPI, apewe Uenezi. Nafasi ile aichukue yule wa uenezi. Asante Mama Samia 🙏🙏
Mh. Waziri Jerry Slaa yupo vzri sana yaani tunahitaji viongozi wa aina hii anayewajibika anafika mpaka saiti kujiridhisha,,,ongera sana mh, waziri kwa maana ukiacha siasa nami naacha kabisa mambo ya siasa
Huyu mama hajielewi,yaani kumbukumbu muhimu za documenti zake hana.Hivi amekwenda shule kweli? Aliyewahi kumuoa ana hasara.Wanaume tuoe wanawake wanaoweza kujisimwmia na kufuatilia mambo,hata tukiondoka duniani mali za watoto wetu zinalindwa.
Yaani inavyoonekana hapa nikiwa kama mzawa wa Tng hawa ni wale wasiopenda kufuatilia mambo serious na kusema famililah, hawakutaka kufuatilia tena wakaacha kama ilivyo na sasa waziri amefika pia hawakutaka kujiandaa wamekulupuka dah! Hawakumbuki hata mwaka wa au miaka ya matukio yote dah! Mimi ninakiwanja na kilikuwa na mgogoro nimepambana na sipo Tz mpaka kimeeleweka nakumbuka mpaka saa za malipo na tarehe zake siku tu nduo sikuzingatia ambazo pia nikiulizwa siku narudi kwenye kalenda naangalia mwezi na tarehe nakutana na siku hapo😂rahisi kabisa, hakuna mkoa rahisi watu kudhulumiwa kama tanga, uvuvi ndio chamgamoto wao hupenda shortcut tuu basi ambayo siku zote matokeo yake utasikia aaagh yule mzitoooo hawezekani wala usijisumbue. Na kweli imeisha hiyo sasa haya ndio matokeo yake.
Madrasa zaidi ya shule hao walosoma madrasa huwezi kuwadanganya maana kila kitu kipo kimesemwa ndani ya kurani mpaka mwisho wa dunia ndio maana walio soma madrasa hawawezi kuuliwa ovyo na kina kibwetere makenzi na wengine
Wazir nakuomba ushuhulike na hao wa ardhi pia na serekali za mitaaa na kata pia maana wanawajua wamiliki wa maeneo yao laki wakishaahidiwa kitu wanafiga ukweli na kuweka uwongo ambao huzzaa mauti baadae
Sasa Mheshimiwa waziri una elimu gani kwanza kwa sababu njia unayotumia kutatua matatizo ya wananchi haiendani na nafasi uliyonayo ingefaa upewe cheo cha afisa ardhi wa kata ungefanya vizuri sana kwa nafasi hiyo lakini siyo uwaziri hapo unapuyanga tu Me nina ardhi na ina mgogoro sijui lini utanifikia nimekaa hapa nakusubiri
Sasa tena anapuyanga Then una msubiri Kweli kaka?. Lakini sawa kaka ni Uhuru wa maoni. Ila kwa Faida tu Mh waziri Ni Mwanasheria By professional pia ni Wakili kabisa Na Wakati anaendesha Hizi Clinics Huwa na Jopo la wabobevu katika Maswala ya Ardhi. Asant
😂mjane na yatima ndio wanazulumiwa na taasisi inayojiita ya kidini na Baraza lao la wadhamini wanamfungilia kesi ya kuwa kavamia hospitali yao yeye NI daktari kwa nini asivamie hiyo hospitali anayofanya kazi akàsema NI yake tunashanga wakazi wa tanga wanaume uvamizi
,matajiri wakubwa wanaminyana kuzulumi mjane na watoto wake watano wizara ya afya imechangia kudhulumiwa mjane na yatima kupitia mganga mkuu WA mkoa alipita wizara
Mama ninaamini utafanya mabadiriko ya mawaziri. Huyu abaki hapohapo. Ila ALI HAPI, apewe Uenezi. Nafasi ile aichukue yule wa uenezi. Asante Mama Samia 🙏🙏
I love silaaa
Mmmmh hata mwaka hamjui jmn c mngejipanga kwanza
Waziri upo vizuri 😁😁. Umewajaza kwenye kumi na nane. Halafu umewamwaga🤣
Mh. Waziri Jerry Slaa yupo vzri sana yaani tunahitaji viongozi wa aina hii anayewajibika anafika mpaka saiti kujiridhisha,,,ongera sana mh, waziri kwa maana ukiacha siasa nami naacha kabisa mambo ya siasa
Hatimaye dada yangu amepata haki yake! Hongera Mh. Waziri
Sisi wabongo jamani dahhh mijitu mizima mibichwa kama ugali pumbavu kabisa apo ukiwauliza habari za vijola wanajua 😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Huyu mama hajielewi,yaani kumbukumbu muhimu za documenti zake hana.Hivi amekwenda shule kweli? Aliyewahi kumuoa ana hasara.Wanaume tuoe wanawake wanaoweza kujisimwmia na kufuatilia mambo,hata tukiondoka duniani mali za watoto wetu zinalindwa.
Ingekua ni harusi eangrjua ilikua lini munatudharaulisha waswali munaenda kwa wazir kiswahili tu mumepata golden chance yakukutana na wazir
Yaani! Wanachosha, Kila KITU hawakumbuki! Heeee!
Yaani Bure kabisa ...yaani unaacha file lako mahakamani hata copy huna .
Hawa hawako serious kabisa wanatutia aibu
Safi sana waziri muungwana
Waziri allah atakulinda na atakulipa in shaa allah
Yaani inavyoonekana hapa nikiwa kama mzawa wa Tng hawa ni wale wasiopenda kufuatilia mambo serious na kusema famililah, hawakutaka kufuatilia tena wakaacha kama ilivyo na sasa waziri amefika pia hawakutaka kujiandaa wamekulupuka dah! Hawakumbuki hata mwaka wa au miaka ya matukio yote dah! Mimi ninakiwanja na kilikuwa na mgogoro nimepambana na sipo Tz mpaka kimeeleweka nakumbuka mpaka saa za malipo na tarehe zake siku tu nduo sikuzingatia ambazo pia nikiulizwa siku narudi kwenye kalenda naangalia mwezi na tarehe nakutana na siku hapo😂rahisi kabisa, hakuna mkoa rahisi watu kudhulumiwa kama tanga, uvuvi ndio chamgamoto wao hupenda shortcut tuu basi ambayo siku zote matokeo yake utasikia aaagh yule mzitoooo hawezekani wala usijisumbue. Na kweli imeisha hiyo sasa haya ndio matokeo yake.
Waswahili bwana kilankitu umafaa kufail kila kitu mambo mazito aya kili kitu mukiulizwa hatujui umesahau
Madrasa zaidi ya shule hao walosoma madrasa huwezi kuwadanganya maana kila kitu kipo kimesemwa ndani ya kurani mpaka mwisho wa dunia ndio maana walio soma madrasa hawawezi kuuliwa ovyo na kina kibwetere makenzi na wengine
Huyu mama mwenye Juba mbona kama mbabaifu
Sana
Kuna mabint warembo hii dunia huyo bint mashaa Allah!tujtahd ibada tu tuwapate mahurul ain
Acha tamaa,,Ridhika na uliyenaye madako wewe
Amiina nduguyangu ❤❤😊😅😅😅😂😂😂😂😂
Ninachogundua watanzania wengi hatujui mambo yasheria ndomana tunazurumiwa...mmmh mungu tusaidie
Wazembe sana hawa
Eti hata original kaacha mahakamani hii hainingii akilini hati
Machoo yanaonyeshaa hawa matapelii wakubwaa..body language inaoneyesha haiko sawa.
Eti Hati iko mahakamani 😄
Matapeli utawajua tu
BASTED..BONGO MOVIE...UTAPELI.
Matapeli/majizi huyo mama
Hivi wanaakili kweli kweli vitu vya muhimu havikai kichwan!
Walikua tayari warudishiwe garama za ujenzi waachie kiwanja 😅😅😅😅 nawaondowenye haki😂
Naomba kupata mwendelezo wa pili waii kesi utu postie kaka
Usjali Boss Mwendelezo Unakuja Soon.........!!
RAI MUWE MNATOA NA MUENDELEZO TUELEWE
Swa
Sio muendelezo tu hata tamati au mwisho wa suala lenyewe
Acha utaperi
Wazir nakuomba ushuhulike na hao wa ardhi pia na serekali za mitaaa na kata pia maana wanawajua wamiliki wa maeneo yao laki wakishaahidiwa kitu wanafiga ukweli na kuweka uwongo ambao huzzaa mauti baadae
,tanga mwenye pesa ndie mwenye haki
😂😂😂hii kali
Kuna UGONJWA WA KUSAHAU JAMANI UNAITWA DEMENTIA
Nini tiba yake nahisi nnao
Mkuu njoo dar utsaidie mgogoro wa kazimzumbwi uturudishie maeneo yetu. Mali ability wanakata vipande wanauza
Sasa Mheshimiwa waziri una elimu gani kwanza kwa sababu njia unayotumia kutatua matatizo ya wananchi haiendani na nafasi uliyonayo ingefaa upewe cheo cha afisa ardhi wa kata ungefanya vizuri sana kwa nafasi hiyo lakini siyo uwaziri hapo unapuyanga tu
Me nina ardhi na ina mgogoro sijui lini utanifikia nimekaa hapa nakusubiri
Sasa tena anapuyanga Then una msubiri Kweli kaka?.
Lakini sawa kaka ni Uhuru wa maoni.
Ila kwa Faida tu Mh waziri Ni Mwanasheria By professional pia ni Wakili kabisa Na Wakati anaendesha Hizi Clinics Huwa na Jopo la wabobevu katika Maswala ya Ardhi.
Asant
Kazi kweli
Mbona kama wageni na swala ni la kwao?
Changamoto hamtoi copy ndo uzembe uko hapo
Tatizo ni hawa watumishi Ardhi ndo kikwazo wazar anzanao hao
Sasa huyo mwingine msichana mdogo you anakurupuka tu bila kuchukua document
Tatizo wanawake huwa tunabweteka kusimamia mambo hata kujieleza anashindwa,yeye na binti yake wazembe
😂mjane na yatima ndio wanazulumiwa na taasisi inayojiita ya kidini na Baraza lao la wadhamini wanamfungilia kesi ya kuwa kavamia hospitali yao yeye NI daktari kwa nini asivamie hiyo hospitali anayofanya kazi akàsema NI yake tunashanga wakazi wa tanga wanaume uvamizi
,matajiri wakubwa wanaminyana kuzulumi mjane na watoto wake watano wizara ya afya imechangia kudhulumiwa mjane na yatima kupitia mganga mkuu WA mkoa alipita wizara
Elimu elimu elimu
We mchaga ulieingia kiwanja chetu hapo bongo nakuja utatia akili
Mahakama, zinaweka vyeti halisi vya mali za watu ?
Namm nimeshangaa sana
Maajabu ya Musaa
Mhe shida watuwako wabardhi
Duh!! .Mheshimiwa kazi anayo!! Yaani hawa ni matapeli! Yaani hawana copy ta chochote!!
Kwani mtu akishinda kesi si kuna nakala ya hukumu unapewa? Sasa unashindwaje kujua tarehe na mwaka? Acha kutupanga nyie wamama! Matapeli nyie!
Ujinga ni mzigo