ไม่สามารถเล่นวิดีโอนี้
ขออภัยในความไม่สะดวก

Zanzibar culture:Cheo chako - Rukia Ramadhan

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 ก.ย. 2020
  • #zanzibarorchestra #nyimbo za rukia ramadhan #cheo chako kwangu mimi

ความคิดเห็น • 21

  • @mohamedseif7350
    @mohamedseif7350 6 หลายเดือนก่อน +1

    Mwenyewe ni sihaba juma nyimbo hii akiimba utafurahi 1989

  • @sakinaabdallah7713
    @sakinaabdallah7713 หลายเดือนก่อน +1

    Home sweet home zanzibar i love you with my heart❤️

  • @abdulhamidkificho5768
    @abdulhamidkificho5768 3 ปีที่แล้ว +3

    Wahoi,wataabani kukijua wanataka
    Wenda mbio sakafuni,ukingoni wamefika
    Yaasalaam BI mama wangu Rukia Ramadhan
    Old is gold taarab Zanzibar, Asili haipotei

  • @abdulhamidkificho5768
    @abdulhamidkificho5768 3 ปีที่แล้ว +2

    Taji lililo kichwani,Kabisa halitonivuka
    Pingu zilizo Moyoni ni muhali kufunguka
    Na cheo chako mwandani,Hakiwezi kugeuka
    KWA hapa ulimwenguni,Mwinginewe hatozuka

  • @RioIpo
    @RioIpo 3 ปีที่แล้ว +2

    Asante Bi Rukia
    Maneno buli buli

    • @abdulhamidkificho5768
      @abdulhamidkificho5768 3 ปีที่แล้ว

      Vya kale ni dhahabu,,haya ndio mahadhi ya Zanzibar

    • @RioIpo
      @RioIpo 3 ปีที่แล้ว

      @@abdulhamidkificho5768 Naam ndo urithi wetu

    • @abdulhamidkificho5768
      @abdulhamidkificho5768 3 ปีที่แล้ว

      @@RioIpo
      Swadakta

  • @Legends_Interviews
    @Legends_Interviews 10 หลายเดือนก่อน

    Niwengi walotamaaaniii ohh killed it❤

  • @abdulhamidkificho5768
    @abdulhamidkificho5768 3 ปีที่แล้ว

    Tamtam za mwambao na Zanzibar Culture,Asili Haipotei
    Raha hizi wazipata hapa Zanzibar tu
    Nakumbuka wakati huo muda wa kwenda Madrassa
    Yaasalaam BI Rukia

  • @mamyhuuhuu7413
    @mamyhuuhuu7413 3 ปีที่แล้ว

    Hiii ndio asili ya zanzib ...huipat popote

  • @maryamomar3434
    @maryamomar3434 3 ปีที่แล้ว

    yaaa salaaaam.

  • @afropanorama4730
    @afropanorama4730 28 วันที่ผ่านมา

    zanzibar yetu iyo,ila ishavamiwa na mayahudi

  • @ZANZICTSOLUTIONS2
    @ZANZICTSOLUTIONS2 3 ปีที่แล้ว

    Cheo

  • @abdulhamidkificho5768
    @abdulhamidkificho5768 3 ปีที่แล้ว +3

    Ni wengi walotamani,watu wa kuaminika
    Wauelewe undani kwanin waniteka
    Wenda mbio sakafuni ukingoni wamefika
    Hata wakifanya nin, Muhali nje kutoka

  • @fatmas7338
    @fatmas7338 2 ปีที่แล้ว +1

    Nakumbuka hii ilikua mwaka 1989 kama sijakosea

    • @aliyussuf9126
      @aliyussuf9126 2 ปีที่แล้ว

      Dah una kumbukumbu mwaka huo nnamiaka 5 mm nnaanza kujua kwenye tisiini na 7

    • @aliyussuf9126
      @aliyussuf9126 2 ปีที่แล้ว

      Na hapo nimziki tu sijui maana

    • @fatmas7338
      @fatmas7338 2 ปีที่แล้ว

      @@aliyussuf9126 ww unazaliwa mm nipo darasa la pili Enzi hizo

  • @ZanzibarOrchestra
    @ZanzibarOrchestra  2 หลายเดือนก่อน

    th-cam.com/video/0HiAOzfd5zg/w-d-xo.htmlsi=RapOwIjXkcaxTzsa

  • @aliyussuf9126
    @aliyussuf9126 2 ปีที่แล้ว

    Hii nyimbo lazima nikumbe kule niliko ishi.na bb yangu shamba pande zq konde uko wakati huo tunakunywa chai ya viazi vitamu na redio pembeni salam za asubuhi njema au saa 8.mchana