RAIS DKT. MAGUFULI AKIZUNGUMZA NA WANANCHI WA KAHAMA - SHINYANGA AKIELEKEA CHATO MKOANI GEITA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 26 พ.ย. 2019
  • Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wananchi mbalimbali wa Kahama Mkoani Shinyanga Waliokuwa wanamsubiri Barabarani akielekea Chato Mkoani Geita

ความคิดเห็น • 22

  • @erickpascal2249
    @erickpascal2249 4 ปีที่แล้ว +3

    Mungu akupe maisha marefu Rais wetu

  • @marianachuwa3753
    @marianachuwa3753 4 ปีที่แล้ว +2

    Mzee unachapa kazi,hongera sana. Mungu awe nawe siku zote.

  • @marianachuwa3753
    @marianachuwa3753 4 ปีที่แล้ว +1

    Asante sana Mh. Rais. Mungu akupe baraka zake zote.

  • @peterjohn1969
    @peterjohn1969 4 ปีที่แล้ว +3

    Ataukiwa mpinzani kama ujui au uoni kazi anayo fanya mzee wangu john raisi wa Tanzania wewe utakua kipofu kiziwi pamoja na mtu ulie ubwa auna isia yoyote kama wana chama wa chama cha ndugu mboye na ndungu lungwe waliojito sehem ambayo awakuingia hahahaha 😂

  • @mawajacobamaza8216
    @mawajacobamaza8216 3 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤

  • @respiciusdidas8900
    @respiciusdidas8900 4 ปีที่แล้ว +3

    Mzee wangu magufuli mungu akupe maisha marefu sana kwan unagusa maisha ya wananch wako moja kwa moja.. Mungu akubarik sana

  • @HabakukiMajogoro-uf1cy
    @HabakukiMajogoro-uf1cy 8 หลายเดือนก่อน

    Nakubali

  • @mohamedadam-ir6mn
    @mohamedadam-ir6mn 11 หลายเดือนก่อน +1

    Eeeemwenyezimungu mlaze mahala pema tutakukumbuka daima

  • @mahusiwapi6934
    @mahusiwapi6934 4 ปีที่แล้ว +1

    TANZANIA kwanza

  • @mawajacobamaza8216
    @mawajacobamaza8216 3 หลายเดือนก่อน

    Peoples choice Rip 🙏🙏🙏

  • @jumaamartin7929
    @jumaamartin7929 ปีที่แล้ว

    jammani jamani mzee alikua na upendo na hofu ya mungu.watanzania tulimpenda mnomno angalia umat.toka yuhai wake ni umati wawatu hadi kifo chake ni umat wawatu.ameacha alama ktk nchi yake mungu ailaze roho ya mzee wetu mahali pema peponi

  • @revocatusedward5739
    @revocatusedward5739 4 ปีที่แล้ว +1

    Yaani mh kaulixa mnataka nini, jamaa fasta kaanxa kutoa kero yake fasta, kweli jpm wewe ni wetu sisi wanyonge

  • @dennismutethia898
    @dennismutethia898 ปีที่แล้ว

    Wish kenya we had such a president, jamani magufuli was sent from heaven

  • @IsmaelOtembo-oh1ro
    @IsmaelOtembo-oh1ro ปีที่แล้ว

    Kweli rais mugufuli ulikuwa unachapa KAZI,Mungu aweke Rooh Yako mahali pema

  • @alawibukende7917
    @alawibukende7917 4 ปีที่แล้ว +2

    Mungu mbariki Rais wangu MAGUFURI

  • @amunyipeter2886
    @amunyipeter2886 7 หลายเดือนก่อน

    R.I.P. Mrehemu Raisi DKT. MAGUFULI ALIKUWA THE BEST AFRICAN LEADER 🇹🇿

  • @emmanuelbonifas3517
    @emmanuelbonifas3517 2 ปีที่แล้ว

    Kifo hiki kingetuone huruma ukabaki jaman tunaumia sana

  • @eduardomiheso8888
    @eduardomiheso8888 ปีที่แล้ว

    R I p president jpm

  • @stephenmuange3904
    @stephenmuange3904 10 หลายเดือนก่อน

    Hii ndo uongozi dhabiti

  • @allyfutto8763
    @allyfutto8763 4 ปีที่แล้ว

    JPM ni Rais wa aina ya peek ni kama maraika anatumiwa kuwanusuru watanzania wanyonge na kuwaamsha waafrika jinsi ya kuwanusuru watuwao haswa wanyonge.

  • @shabanisaleeh4541
    @shabanisaleeh4541 ปีที่แล้ว

    Haaaaaaaaa kahaaaaaaaaa magu noma watu maik chungu wakitaja ovyo takukuruu ng`ataaaaaaa

  • @godfreymsinza
    @godfreymsinza ปีที่แล้ว

    0