#ZaNdaaani
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 15 มิ.ย. 2022
- WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm - บันเทิง
Mshkaji namkubali sana huyu mzee wa za ndaani kabisaaa
Huyu jamaa bwana muongo sana😂😂😂🤣🤣
Nishamfaham ni morison anaenda yanga amini maneno yangu mkataba mwaka 1
Ni Ki Aziz
Hizi kweli za ndani mpaka zinafurahisha
huyu ni muongo
Uko sawa
Punguza chumvi kaka chakula kitakuwa hakiliki😄😀
Leooo hizi umekazaa sanaaa momooo
Kijamaa kimbea sana kinaishi kwa umbea
Good fhadha bunjubura saido
daaaaah umenichekesha sana
Za ndani
Unajua
Code ya leo kali kuishika 🤪
daaah 😁😁
Halafu wew jamaaa sijawah kukuon ukikaa chin au unakujag mara moja to kulet umbea
Yani ww Momo unakula hela za wasafi kwa kudanganya watu tu apo 🤣🤣🤣🤣
Channel ya mdogo ake so acha ale tu 😂😂😂😂
ila mie nampenda uyuu kaka
Leo umeniacha momo,ni nan hyo?
Sibenadi kutuwa yanga
Ongea vitu vinaoeleweka mzeee
Mzee wa kudere huyooo
Huyu nae ajifanya ajua mambo mengi.baada ya mama dangote kusema ni bro wa diamond
Huoni wanafanana na Mtoto wa tanasha
@@davidibrahim9138 ulimbukeni.kabla yakutambulishwa hakua kimbelembele na ujuaji
@@davidibrahim9138 sahi ajifanya amesoma University ya Scotland na Italy.kula kitu.yuwajua yeye
Kwel kbsaa kanjifanya kanajuwa kilakitu kakianza kuongea kanataka kuskilizwa kenyew tu
M toka kalivyozusha ziletaarifa za kumkana baba Domo sikapend hata kdg
Kuna mijitu ya hovyo sana! Huyu mmoja wapo
muongo tu anabahatisha mara nyingi hbr zake zinabuma
Uwe unakichwa chepes kuelewa
Kwahiyo ikabidi apunguze SAIDO aje Morison
Yeeesssss
Alieenda Dubai ni dewji sio ghalib
Eti ndo meneja wa lavalava
Alaf watu wanasema mbona lavalava kapotea😂angalia meneja wake muda mwingi anafanya nini hana mda na msanii wake😅
😂😂😂
saiv sio meneja wake ilikua zamani
Lavalava ndo manini we huku ni MPIRA BABUU
😅😅😅
Kwani watu wanafanya kazi moja tu?
M
Makusu
Morison in saidio ntibanzokinza out
Kuna watu hunawakela huku
Tarumbeta 🧠
😂😂😂
Huyu jamaa ni mwanamziki au ,sielewagi
Ee bwana wewe acha kudanganya watu huna hata uhakika na unachokisena...unakula mb zetu bure tu..
Mb zako sio zetu