Pale unapokataliwa/kutengwa na watu ulioamini ni salama kwako ukigundua sio watu salama huwa inakatisha tamaa sana kuamini wengine. Ila siku zote tujitahidi kuamini njia za Mungu si za mwanadamu. "Nimempenda huyo mama mlezi japo si mama yako anaposema wanaokukataa leo ipo siku watakutafuta wao" ni kweli kabisa. Wengi tunapitia changamoto mbalimbali ila hatuna wa kutufariji au hata wa kutuonyesha njia sahihi za kupita ila siku zote naamini wakati wa Mungu ukifika aisee huwa vitu vinaenda kwa urahisi hadi unashangaa ulikuwa wapi siku zote.
😢😢😢nasikia uchungu mno ninaposikia hii story maan mama zetu wametuumiza mno nasikia uchungu zaidi mama Yang na ndugu zangu nimewasamehe kuna nyakati huwa najiuliza ni nn ambacho nilishamkosea mama yangu lakini kumbe nilikuwa katika safari ya mapito yangu 😢😢😢
Ohh nani km mama nani km mama 🤣wamama wengine sio wa kuwapa utukufu huo inategemea aina ya mama mwenyewe.😜 Kuna kina mama viazi hataree cha kusikitisha wanakubali kukema but kuatamia vitoto vyao wanakwepa.... Pole dear but amini Mungu anatuwazia mema nyakati zote hata ktk mabaya tunayopitia.
Pale unapokataliwa/kutengwa na watu ulioamini ni salama kwako ukigundua sio watu salama huwa inakatisha tamaa sana kuamini wengine. Ila siku zote tujitahidi kuamini njia za Mungu si za mwanadamu. "Nimempenda huyo mama mlezi japo si mama yako anaposema wanaokukataa leo ipo siku watakutafuta wao" ni kweli kabisa. Wengi tunapitia changamoto mbalimbali ila hatuna wa kutufariji au hata wa kutuonyesha njia sahihi za kupita ila siku zote naamini wakati wa Mungu ukifika aisee huwa vitu vinaenda kwa urahisi hadi unashangaa ulikuwa wapi siku zote.
😭😭😭😭😭😭 Daaaaah pole sana Najma kwa kumpoteza mtetezi wako, tegemeo lako, so sad jmn😭😭😭
😢😢😢nasikia uchungu mno ninaposikia hii story maan mama zetu wametuumiza mno nasikia uchungu zaidi mama Yang na ndugu zangu nimewasamehe kuna nyakati huwa najiuliza ni nn ambacho nilishamkosea mama yangu lakini kumbe nilikuwa katika safari ya mapito yangu 😢😢😢
Pole ndugu yangu
Pole sana najma kikulacho kinguoni mwako looooo
Mama Najmaaa Ivi Kwann hunaaa uchunguuu Kw mtt wako inaumiz snaaa 😭😭
Mungu wa nguwaa napata uchungu mimiii najma pole 😭😭😭😭😭😭
Maskin Najma😢
Asante Sana velo mumy shukran ila usituchelewe
Mmhhh dada vero kuna channel inaitwa mpapai tv inakuwa inatoa ripot kama zako mbona?
Nadhani huwa wanarecord kwenye radio
tena wanatoa mapema kabla yake maranyingi
Kingamuzi gani
Huwa Ana record halafu sauti Ana badilisha anaweka Kama ya kiume, lkn ukisikiliza kwa makini sauti na lafudhi ni ya Da Vero
@@praiseben2678 Sauti Ni besi halafu
Dahhhhh Pole Sana
Ohh nani km mama nani km mama 🤣wamama wengine sio wa kuwapa utukufu huo inategemea aina ya mama mwenyewe.😜
Kuna kina mama viazi hataree cha kusikitisha wanakubali kukema but kuatamia vitoto vyao wanakwepa....
Pole dear but amini Mungu anatuwazia mema nyakati zote hata ktk mabaya tunayopitia.
😥😥😥😥😥😥DUNIA INA MAMBO
Maskin mama.huyu wa aina gani ni mama au shetani wa kutokomea
🔥🔥👌🏾