Vijana wa kileo na wajao sijui dunia yao itakuwa katika hali gani. Nahisi inawezekana matatizo yote yanayomuandama Najima inatokana na chimbuko la kihistoria toka kwa mababu huko kwa upande wa mama/baba. Kuna mambo mengine huwa yanatuandama/tunafeli ila kumbe kuna wazee huko miaka ya nyuma waliwahi kukosea ikatolewa laana/roho ya kukataliwa ambayo inazidi kuandama vizazi ambavyo havielewi yote yanatokana nini. Vitabu vya dini vinatuambia hii dunia si yetu tunapita tu, ila kwa changamoto wanazopitia wenzetu kwa kujua ama kutokujua Bwana Yesu kawape faraja, kawape pendo lako, kawajaze imani na tumaini jipya, kawafanyie wepesi/njia rahisi kwa yale magumu wanayopitia pasi msaada wowote na wakumbushe pale walipokusahau kuwa yupo mfariji asiyehitaji malipo wala rushwa ya aina yoyote.
Da vero anauhakika ni mama yake kweli au aliibiwa hospital 🏥 ajui akamsingizia mwanaume ili achume ela kwa mwanaume na ikawa tofauti je, najma hakuzaliwa na ndugu kule kwa mama yake inamaana ni
Ooh kumbe nimewwkwaza...😄ama kweli ulonitukana kumanyoko nakuachia mungu..hayo yaliiuwa maaono yangu..kwa kuona vile anavyo teseka..watu umkimbilia Mungu...musijifanye sana kujibu nahamna lolote.haya munipeleke kituoni.kila mtu aminde his or her business..

Hakika umenena
Hakika jomon💯💯
Ila huyo mama mwendawazmu tena hana akili kabisa mtoto wako unamfanyia hivo duuuh pole sana najma
Pole Sana najima uyu mama yako nichetani mukubwa Sana dunian asantee davero kwasimulizi yakusisimuwa
Namkubali Sana Mama mlezi aliyeamua kumpeleka Najma chuo ili tu akamuunganishe na ndg yake ni akili kubwa Sana aliitumia bila Najma kujua
Mmmmh mtihani wallah 😭😭 daah pole sana Najma kwauliyo pitia mana mwili wote wanisisimka kwakweli
Pole Najma
🥲😭😭🏃♀️jamani mama ukorofi uwo
Jamani inaniliza sana😭😭😭😭Najmaa!!!
Nashukuru sana da Vero endelea kutuelimisha 🙏🙏🙏🙏🙏
Da vero anauhakika ni mama yake kweli au aliibiwa hospital 🏥 ajui akamsingizia mwanaume ili achume ela kwa mwanaume na ikawa tofauti je, najma hakuzaliwa na ndugu kule kwa mama yake inamaana ni
Daaah... Mama wa namna hiyo mmmh!🤔🤔
Najmaaaaaaa pole xana
nakupenda sana dada Vero jaman sauti yako tuu mie burudani
Aiseeeee huyu ni mama wa namna gani huyuuu???
Wewe mama ungekuwa mama angu wallah nisinge kusamehe,, maana wewe ndo chanzo cha matatizo ya bintio,,,
I am speechless 🙊
Du wakati mwingine wazaz wetu wanakuwa changamoto kwenye maisha yote
Polesana najma matoyo 10 adui yuko nyumbani mwako
Duh htr jmn
Mama yake najma akuzaa mtotl mwingine zaid yake
Kwani huyo najma hamjui Mungu
Ww unamjua
Manyoko kwani hujasikia anasema alikua anafanyiwa ibaada kulingana dini yake
Swali Gani Hilo ?? Hapa Tupate story Kwaajili Ya Kujifunza kutoka Na Makosa Sasa Mbona Kama unamchora mwenzio
Ooh kumbe nimewwkwaza...😄ama kweli ulonitukana kumanyoko nakuachia mungu..hayo yaliiuwa maaono yangu..kwa kuona vile anavyo teseka..watu umkimbilia Mungu...musijifanye sana kujibu nahamna lolote.haya munipeleke kituoni.kila mtu aminde his or her business..
Dad vero mbn kunachanel inaitw mpapai tv na inatoa simuliz kama zako?
Sijui kwanini wanaiba
Mama mtoto kwa nn anamutesa mtt wake
Toba weee lbd siyo mama ako alikuokota
Labuda akumuzaa yy
💃🏽💃🏽
Thank you
🥺🥺
Nimechokaaa