RIPOTI YA LEO NAJMA VOLUME 04

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 25

  • @christituskikoti5234
    @christituskikoti5234 6 หลายเดือนก่อน +1

    Daaaah😢 haya mapito arafu unakuja kuskia badae alimsameh mama yake mimi mung angenisameh

  • @fatumakyengya45
    @fatumakyengya45 9 หลายเดือนก่อน

    Pole sanaaa Najma

  • @osbertvalerian4986
    @osbertvalerian4986 2 ปีที่แล้ว +4

    Kuna watu maisha yao waliyopitia kama movie za kihindi vile. Pole Najma, uchawi upo aisee hadi mama yako anakuja huko uliko? Sijui ana mtandao mpana kiasi gani. Mpaka sasa bado sijaona kosa lako nini hadi wazazi wako baba na mama wakuchukie kiasi hiko? Kweli dunia siku hizi imekua kama gheto tu, unaweza kuhisi uko mbali na mtu fulani ukashangaa mmekutana varandani.

  • @aishasaidi9782
    @aishasaidi9782 2 ปีที่แล้ว

    Pole sana njma Hadi nalia muda mwingine Ni uchungu kweli kweli

  • @filimonmpinge6039
    @filimonmpinge6039 2 ปีที่แล้ว

    Asante sana da Veronika sikuifatiria hii simrizi Sababu ya ubize ila nilivyotoka Ibadan tu nikamaua kufatilia ENDEREA kuturushia you tube

  • @018crewtanzania3
    @018crewtanzania3 8 หลายเดือนก่อน

    Nice

  • @zainabumbondei8635
    @zainabumbondei8635 2 ปีที่แล้ว +1

    Yaani hizi simulizi ukizisikiliza wallah mda mwengine utazami ni hadisi njoo utam kolea daaah pole sana Najma kwa mitihani hivi wamama kama hawa wapo kwenye hii dunia jamani mwanao umfanyie unyama huu kweli

  • @ireneherman76
    @ireneherman76 2 ปีที่แล้ว +1

    Pole Najm uyo Mam hana uchungu ila malipo ni hapa hap dunianii😭😭

  • @abelmipwa9854
    @abelmipwa9854 2 ปีที่แล้ว

    Pole Sana Najma.... Asante Vero kwa simulizi nzur🔥🔥

  • @fallymetoo191
    @fallymetoo191 2 ปีที่แล้ว +1

    Woow!!!..I'm no.1. Thanks kwa muendelezo Sis Vero ubarikiwe mno 🙏🏻

  • @agnesskisima2249
    @agnesskisima2249 2 ปีที่แล้ว

    Mungu akuteteee najma jamanii namuonea hurumaa dada Asante kipenziii

  • @zuhuranadahhinda1366
    @zuhuranadahhinda1366 2 ปีที่แล้ว

    Duuuh pole saaaana najma 😢😢😢😢😢😢

  • @shamsakarimu6276
    @shamsakarimu6276 2 ปีที่แล้ว

    😭😭😭 pole sana najma mungu atakulipia

  • @najmaalabri8835
    @najmaalabri8835 2 ปีที่แล้ว +1

    Pole sana wajina wangu

  • @fatmakombo7584
    @fatmakombo7584 2 ปีที่แล้ว

    Asantee my dear Veronica unatufanyia makubwa tunakupenda sana

  • @josephinankotya2301
    @josephinankotya2301 2 ปีที่แล้ว

    Pole sn wajina wangu

  • @jeremiahkatwale6547
    @jeremiahkatwale6547 2 ปีที่แล้ว

    Dada vero ahsante kwa mwendelezo.

  • @jennipeter5078
    @jennipeter5078 2 ปีที่แล้ว

    Maskin najma pole mwaya jaman 😭😭😭😭

  • @carolinetalam5832
    @carolinetalam5832 2 ปีที่แล้ว

    Wah kweli watu wanapitia mitiani katika maisha pole sana Najma

  • @magrethkapinga3886
    @magrethkapinga3886 2 ปีที่แล้ว

    Simulizi nzur

  • @Laurentupendo4
    @Laurentupendo4 2 ปีที่แล้ว

    Mungu azidi kukubariki

  • @najmaalabri8835
    @najmaalabri8835 2 ปีที่แล้ว +1

    Asante dada vero

  • @issajuma8870
    @issajuma8870 2 ปีที่แล้ว

    Thank

  • @reinfridadavid1994
    @reinfridadavid1994 2 ปีที่แล้ว

    Pole sana aisee

  • @kemiivani2353
    @kemiivani2353 2 ปีที่แล้ว

    Tunashukuru kwa mwendelezo