"NIKIFA UTANIZIKA" ASKOFU AFICHUA ALIYOAMBIWA NA HAYATI MAGUFULI, ATAONGOZA IBADA KESHO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 พ.ย. 2024
  • Askofu wa Kanisa Katoliki jimbo la Rulenge Ngara, Severine Niwemugizi ameiambia AyoTV kuwa Rais wa Tanzania marehemu, John Magufuli alimuambia yeye ndie amfanyie ibada ya maziko

ความคิดเห็น • 61

  • @mrsab303
    @mrsab303 ปีที่แล้ว +1

    We miss you Magufuli rest in peace always we remember you 😭😭😭😭😭

  • @janethkiswaga4204
    @janethkiswaga4204 3 ปีที่แล้ว +8

    Unahekima Sana Baba Askofu wangu!

  • @petronillamnyambi7607
    @petronillamnyambi7607 3 ปีที่แล้ว +4

    Baba askofu tunataka baba yetu Rais MANGUFULI awe mtakatifu haraka yeye ni mchungaji mwema kajitoa maisha yake kwaajili yetu santo subito 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @paulina.baynit7970
    @paulina.baynit7970 3 ปีที่แล้ว +4

    Safi sana, nafurahi kusikia hivyo. R.I.P Rais wetu mpendwa JPM pumzika kwa amani mbinguni shujaa wetu 🙏🙏🙏✝️✝️✝️.

  • @rukiasalum7628
    @rukiasalum7628 ปีที่แล้ว

    Kipenzi chetu nakupenda na.nitakupenda 💔 😢

  • @dafrosamsonge2007
    @dafrosamsonge2007 3 ปีที่แล้ว +3

    Bora mmemuhoji walikua wanawazushia kuwa hawapatani my askofu niwemugizi severin, miss him much

  • @explorelondon3695
    @explorelondon3695 3 ปีที่แล้ว +9

    He's a prophet of God and God sometimes takes His chosen before danger can get them. If a man can singlehandedly change the fortunes of an entire nation in 5 years, what excuse do we have for not solving the problems and issues affecting our wellbeing and productivity?. I mourn him like a dad but I thank God for taking him while he was at the very top, that way, even his many enemies will be forced to only confess Dr Pombe's great achievements for generations to come and no shame, defeat, corruption, amorality shall ever be associated with his name. I personally will miss his humanity and mischief greatly on top of his illustrious achievement record. He's a beautiful human being, in many ways he reminds me of the former ruler of UAE, Sheikh Zayed whose vision, dedication and love for his people transformed UAE from a fishing community to the Country we know today. Uncle Magu saw the promised land but we have no excuse not to enter it but first we must put God first, KAZI na kifua mbele and love one another. Truly, this man was a man of God, we just didn't see it while he lived amongst. Finally, I think we should all make a pilgrimage to Chato at some point in our lives to honour his legacy and walk in his foot steps. Angels don't die, lala Salama🙏🙏

  • @lawistruth
    @lawistruth 3 ปีที่แล้ว +2

    Asante askofu

  • @esterdoriye4304
    @esterdoriye4304 3 ปีที่แล้ว +10

    Ila mzee wetu alijua atakufa kwa changamoto ya kiafya aliyonanyo ,kazi alizozifanya asingestahili kwa shida hiyo ya moyo ,

    • @tedymwandara5480
      @tedymwandara5480 3 ปีที่แล้ว

      Kweli kabisa

    • @fraviansweetberty8819
      @fraviansweetberty8819 3 ปีที่แล้ว

      Alikuwa anajiskia maskin Apumzike kwa aman

    • @FatumaMohamedi-t6t
      @FatumaMohamedi-t6t 5 หลายเดือนก่อน

      Pia kuna mda madaktar huwa wanakwambia kutokana natatizo lako hii inawezekana au haiwezekani au huna mda mrfu sana.

  • @whatisthetruth.8793
    @whatisthetruth.8793 3 ปีที่แล้ว +11

    Makufuli alijuwa kazungukwa na watu waovu mbwa mwitu wasio tusheka na pesa , alijuwa walikuwa wakimuwinda machana na usiku kila pembe . Bush father alimuachia ujumbe huu Obama kwenye desk la ikulu ya marekani , katika nyumba hii rafiki yako ndio huwa msaliti wako , na ndio watakao kuvunja moja . Ni nani msaliti wa Magu ni kitenda wili?

    • @cydrahope5251
      @cydrahope5251 3 ปีที่แล้ว

      😭😭😭😭😭😭😭

    • @nishasalim2880
      @nishasalim2880 3 ปีที่แล้ว +1

      Jamani kama hamuwezi kutamka jina lake acheni.
      Sio makufuli ni Magufuli.

    • @whatisthetruth.8793
      @whatisthetruth.8793 3 ปีที่แล้ว

      @@nishasalim2880 samahani mkuu , tumeelewa

  • @rauzwatimluki8921
    @rauzwatimluki8921 3 ปีที่แล้ว +11

    Magu ninabii bas watanzania tulikuwa hatujui

  • @kokuelikana184
    @kokuelikana184 3 ปีที่แล้ว

    Mungu mwema sote tunakabarofu

  • @innobugobola1694
    @innobugobola1694 3 ปีที่แล้ว

    Kumb yatakuja mengi tusyoyajua na mwngn nae atajitokeza aseme nayy aliambia hivi mmh jmn

  • @scolabahame2214
    @scolabahame2214 3 ปีที่แล้ว +2

    Dah Jamani 😭😭😭

  • @stevenghambi3471
    @stevenghambi3471 7 หลายเดือนก่อน

    Magufuri alikuwa anataka asadikike kama Mungu

  • @chumizola1847
    @chumizola1847 3 ปีที่แล้ว

    JPM Santo Subito

  • @revocatusgervas3450
    @revocatusgervas3450 3 ปีที่แล้ว +2

    Nkwande utupe ukweri ktk mahubiri yako

  • @atengitimkarichard6776
    @atengitimkarichard6776 3 ปีที่แล้ว

    A Amos wa Mbambabay wewe ni mnafiki muongo na mpagani Uzushi wako juu ya JPM unakuonyesha dhahiri unatumika. Mwandiko ulioandika ukiigiza wa mtu wa mtu wa chini watu wa cyber mfuatilieni mtajua mengi !

  • @mosesmtumishi3818
    @mosesmtumishi3818 3 ปีที่แล้ว

    V

  • @edenbaraka7533
    @edenbaraka7533 3 ปีที่แล้ว

    Kick za uongoo

  • @henryndosi1114
    @henryndosi1114 3 ปีที่แล้ว +1

    Huyu jamaa muongo hana lolote

  • @mugemainyas5241
    @mugemainyas5241 3 ปีที่แล้ว +3

    Mimi ni mkatoriki lakini nimeona maigizo mengi kipindi cha uongozi wa magufuli. Natamani huyu azikwe na padre wa kawaidi maana unafiki ulikuwa mwingi katika uongozi wa magufuli. Au angezikwa na Pengo maana huyo baba nilimwamini sana

    • @kazimotomaswi9700
      @kazimotomaswi9700 3 ปีที่แล้ว +4

      Acha kuhukumu kifarisayo mkatoriki ni yule anaye tetea wanyonge Hadi kufa sio wewe ambae uliyoyataka yalishindikana sasa unaona ni kama movie.

    • @f1-4simplifiedchem72
      @f1-4simplifiedchem72 3 ปีที่แล้ว +7

      Haki wewe ni mtanzania kweli. Mimi Kama mkenya naona alifanya mengi mazuri kuliko kiongozi yeyote yule Afrika

    • @getrudistula8187
      @getrudistula8187 3 ปีที่แล้ว +1

      Mnafiki wewe na nafsi YAKO...

    • @ghatrinaclave931
      @ghatrinaclave931 3 ปีที่แล้ว

      Usamehewe Bure maana ujui utamkalo umekalilishwa tuu

    • @marykarebeti9410
      @marykarebeti9410 3 ปีที่แล้ว +2

      Wewe ni nani hata umhukumu mpakwa mafuta?? Biblia inasema "kipimo kilekile mpimacho, ndicho mtakachopimiwa." Jitafakari na utubu. Acha MUNGU ahukumu sio wewe.