Wakaazi wa Mtwapa 001 walalamikia mabwenyenye wananyemelea ardhi yao

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 14 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 5

  • @lordenoughforme4417
    @lordenoughforme4417 3 หลายเดือนก่อน

    Giriama shida kilifi,wao hua maskwata kinguvu,huibia wenye shamba kila kitu mchana kweupe,afu hudai na ardhi pia.

  • @YUSSUFGEDI-r5g
    @YUSSUFGEDI-r5g 3 หลายเดือนก่อน

    N
    Ata wanasumbua watu wa malindi eneyo ya kasimbiji na Ganda watu wanasumbulia ata 😢

  • @patrickbaya3413
    @patrickbaya3413 3 หลายเดือนก่อน

    Hawa wote sio wenye hili shamba,Hawa ni waizi...walivunja shamba la Mzee na kuiba ngombe na mbuzi

  • @happytimes9747
    @happytimes9747 3 หลายเดือนก่อน

    Aky watu wangu wa kubandiwa kabisa hiyo shamba inaeza nyakuliwa Mombasa walifanya hivyo hadi sasa vijana walitake over

  • @francismeeme3693
    @francismeeme3693 3 หลายเดือนก่อน

    Bado hii shamba likona tatizo