ขนาดวิดีโอ: 1280 X 720853 X 480640 X 360
แสดงแผงควบคุมโปรแกรมเล่น
เล่นอัตโนมัติ
เล่นใหม่
Tunaipenda Simba yetu msiitumize viongozi jamnii 😢
Napenda sana usajili uwe mzuri si majina tunahitaji mchezaji mwenye malengo ya kuchukua makombe na ushindi wa magori
Nimependa usajili wamsimuhu
Tunakuw vizuri2
Zisiishie tetesi tu ila viongozi fanyeni kweli. Tumeumia San sis Kama mashabiki wa msimbazi simba, kuona Tim yetu haishiliki Crab Bingwa Africa. Sio kawaida yetu Ludishen heshima ya Mnyama.
Mimi sisemi kitu kwa sasa, maana hata hawa kina jjobe, ilikua hivihivi😮😮😮
2mewaon 2naomben waj wafany vzr 2nahitaj matokeo
Jamn wanasimba mtatuuwa Kwa presh jamn
Fanyeni kweli
Umeangaika weeee, lakini hapa kwa. Feisall. Umezingua mwanangu, AZAM HAUZI
Ngoja tuoñéé c o mbali th 3
Daaaaaa!!!! Viongoz sajilieni uhakika kabsa tumeumia mno kipind Cha nyuma😅
Mie sielewe mpaka sasa simba wamemsajili nani maana kila kitu ni tetesi mara mayele hebu tuambieni simaba wamemsajili nani
Listi ya usajili wa simba 2024
Wachezaji waliojiunga na clabu ya simba
Iki ni kipindi muhimu viongozi wetu muwe makini simba ni club kubwa afrika lazima tupate wachezaji wakubwa simba nguvu moja
Tutajua TU ngoja tuonee
Jaman fei Toto msimuache
Simba acheni tetesi hao wachezaji wachukueni
Viongoz wetu ijengen timu msiishie natetesi msiendelee kutuumiza mashabiki
Kuyumba kwingi simba
Viongozi fanyeni usajiri wa uhakika mashabiki tumeumia yatosha jaman
Wachukuwe wote
7:01
Simba acheni maneno wachukuni hao wachezaji
Achen masihala jamani tunateseka jamani
Wachukue wote na wapewe mkataba wa miaka 2