WAZIRI SILAA APIGA MARUFUKU MABANGO ya VIWANJA VINAUZWA - ''ATOA SIKU 7 YAWE YAMEONDOLEWA YOTE''...

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 23 ส.ค. 2024
  • WAZIRI SILAA APIGA MARUFUKU MABANGO ya VIWANJA VINAUZWA - ''ATOA SIKU 7 YAWE YAMEONDOLEWA YOTE''...
    Waziri wa Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi Jerry Silaa amepiga marufuku nchi zima mabango yaliyozagaa mitaani ya Kuuza viwanja maarufu Viwanja vinauzwa na ametoa siku 7 kwa kwa maafisa ardhi nchi nzima kuhakikisha mabango hayo yanaondolewa na agizo lake la makampuni yote yanayouza ardhi kuweka dawati la mauzo ofisi za ardhi za wilaya na mikoa.
    Silaa ametoa maagizo hayo ofisini kwake jijini Dar Es Salaam alipokuwa akisikiliza kero za wananchi waliofika kutafuta haki yao baada ya kuuziwa viwanja na kampuni Digital Auction ltd waliowauzia viwanja hewa kwenye eneo ambalo hawalimiliki katika Manispaa ya Kigamboni na kukusanya Tshs 116,000,000.
    “Huwezi kuuza kiwanja kwa ramani, kiwanja kinauzwa kwa hati, serikali haiwezi kukaa kimya wakati wananchi wanyonge wanateseka na kutapeliwa fedha zao.
    Amewataka wenye makampuni ya ardhi wanaotaka kuuzia viwanja maofisini mwao waombe hati za viwanja wanavyopima.
    Amemtaka kamishna wa ardhi kuharakisha mchakato wa utoaji wa hati kama zao la upimaji wowote wa ardhi.
    Jishindie Zawadi na Global TV
    Jaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV
    👉🔥👉forms.gle/aU9z...
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136)
    ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
    ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

ความคิดเห็น • 12

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  2 หลายเดือนก่อน +1

    Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7

  • @KeiFerouz-fn9oc
    @KeiFerouz-fn9oc 2 หลายเดือนก่อน +2

    Mungu akubariki sana waziri wangu

  • @user-sw7tf1ob1b
    @user-sw7tf1ob1b 2 หลายเดือนก่อน +2

    Safi kabisa janja kwisha

  • @user-nc1me5vv5f
    @user-nc1me5vv5f 2 หลายเดือนก่อน +1

    Ahsante sana mwamba

  • @bongo39
    @bongo39 2 หลายเดือนก่อน +1

    Safiii sanaaa

  • @RenaldaZeramula
    @RenaldaZeramula 2 หลายเดือนก่อน +2

    U

  • @MamaMama-xp4nk
    @MamaMama-xp4nk 2 หลายเดือนก่อน

    Safi sana tena siku hizi wauzaji viwanja wamekuwa wengi kila mtu anajiuzia tu anavotaka

  • @modyworldmody4297
    @modyworldmody4297 2 หลายเดือนก่อน

    Hapo matapeli umekula kwao....

  • @RenaldaZeramula
    @RenaldaZeramula 2 หลายเดือนก่อน +2

    KiLA MWENYE NYUMBA ANAYE UZA PIA AISAJILI AIKATIE LESENI . MAANA WANAUZA MANYUMBA YA DIASPORA

    • @bilid4128
      @bilid4128 2 หลายเดือนก่อน

      Kuna mtu alishawahi kupangishwa nyumba ambayo mmiliki wake yupo Ulaya ,baada ya mmiliki halali kupata taarifa kuwa nyumba yake kapangishwa mtu alitoa amri mpangaji atoke ! Na mpangaji katoa hela kwa tapeli na tapeli kala kona simu hazipatikani !

  • @RenaldaZeramula
    @RenaldaZeramula 2 หลายเดือนก่อน +1

    HAKIKA UNEGUSA KWENYE KINGI POINT. TUNAOMBA UCHUNGUZE WAUZA MANYUMBA CHANIKA

  • @mshangimasanja6171
    @mshangimasanja6171 2 หลายเดือนก่อน

    Ni sahihi tunapigwa sana