PATRICK KANUMBA na MAMA yake, "JENNIFER akitaka kuwa na mwanangu ni yeye, nimewalea kindugu"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 16 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 391

  • @azizarajab2650
    @azizarajab2650 3 ปีที่แล้ว +37

    Kumbe ndo mama yk mzazi
    Mashaa Allah hongera yk

  • @rahmaoman5122
    @rahmaoman5122 3 ปีที่แล้ว +26

    Masha kumbe huyu mom ndo mama wa Patrick yaan hadi nimepatwa na wivu vire nampendaga huyu mom 👩 💖 ❤ ♥ wallah mwenyezi mungu awahifadhi mom & Son nawa love 💘 so much

  • @fadraj6899
    @fadraj6899 3 ปีที่แล้ว +72

    Mama mtu ni mrembo sanaaa😍

  • @kassimabdu5677
    @kassimabdu5677 3 ปีที่แล้ว +56

    Nimeona wivu sana! Allah anisamehe na amrehemu mama yangu!

    • @semmybugi7371
      @semmybugi7371 3 ปีที่แล้ว +3

      Maskin pole kwa kuondokewa na mama yko mzazi @kassim Abdu

    • @kassimabdu5677
      @kassimabdu5677 3 ปีที่แล้ว

      @@semmybugi7371 Ahsante na shukran sana...ndio maisha ila maumivu hayaishi!

    • @halisiherbalandnaturalremedies
      @halisiherbalandnaturalremedies 3 ปีที่แล้ว +1

      @@kassimabdu5677 Pole sana, ningekuwa mkeo ningekudekeza sana angalau upunguze upweke wa mama, daaah inabidi mkeo akudekeze

    • @kassimabdu5677
      @kassimabdu5677 3 ปีที่แล้ว

      @@halisiherbalandnaturalremedies Ahsante dada.

  • @mariachuri7123
    @mariachuri7123 3 ปีที่แล้ว +38

    Weeeee, kumbe huyu mama muigizaji ndo mama yake Patrick!! So wooow,be blessed jamani

    • @NIELIDAUSWAHILI
      @NIELIDAUSWAHILI 3 ปีที่แล้ว +1

      th-cam.com/video/97xYHmqIzNM/w-d-xo.html

  • @salhamrisho8138
    @salhamrisho8138 3 ปีที่แล้ว +112

    Jamanini nampenda saana uyu mama na mwanaye allah awafanyie wepesi katika kila hatuwa inshallah 😍💞🙏🤲

  • @Tiktome1228
    @Tiktome1228 3 ปีที่แล้ว +3

    Waoh vizur MaMa ,yaani nimwanao kumbe! Yaani kama sio mwanao wote waigzaji msinge tutatumbulisha tusinge jua nimekupenda sana hujivuni mama big up,kwa talent na kujitambua.

  • @worldwide9207
    @worldwide9207 3 ปีที่แล้ว +125

    Watu siyote tumekua surprise kujua kama ndio mom Patric 👍

    • @تاتا-ن6ن
      @تاتا-ن6ن 3 ปีที่แล้ว +6

      Mm kwa mara yakwanza leo ndonajuwa

    • @aminaissa9756
      @aminaissa9756 3 ปีที่แล้ว +4

      Mm nilijua through ile Mpaka Home.

    • @matundumgweno4533
      @matundumgweno4533 3 ปีที่แล้ว +5

      nami ndiyo nafahamu hapa kuwa huyu mama ndiyo mama patrick

    • @jesustheoneandonly
      @jesustheoneandonly 3 ปีที่แล้ว +1

      Kumbe ni mtoto, wa daa hidaya njaidi

    • @zulfahalily6095
      @zulfahalily6095 3 ปีที่แล้ว +1

      @@aminaissa9756 same too

  • @swaumupaji3623
    @swaumupaji3623 3 ปีที่แล้ว +10

    Nimegundua huyu Patrick ni mpole mno Maa shaa Allaah

  • @nenekash9063
    @nenekash9063 3 ปีที่แล้ว +40

    Kanumba hakuza ila ameaca impact kubwa sana ndani yamaisha yahao watoo❤️❤️ keep resting in peace the great 🙏🙏

  • @zayumar2955
    @zayumar2955 3 ปีที่แล้ว +28

    Aki nilikua sijui kama huyu mama Ni mamake na Patrik Masha Allah 😘🌹 🌹

  • @leiratykisura6718
    @leiratykisura6718 3 ปีที่แล้ว +8

    Ma sha Allah nawapenda sana mama na mtto...madam velonika nakukubari sana ❤🥰👏

  • @angelamarlow510
    @angelamarlow510 3 ปีที่แล้ว +7

    Duh kumbe huyu ndomama wa Patrick Hongeren jmn Mtoto handsome mama beautiful

  • @celinamgundoi8420
    @celinamgundoi8420 3 ปีที่แล้ว +3

    Safi sana mama patii umeonesha upendo wa dhati kwa malehemu kanumba mungu amrehemu na ampunguzie adhabu ya kabli Ameen

    • @rizikiomar5393
      @rizikiomar5393 2 ปีที่แล้ว

      Ameeeen thuma Ameeeen inshallah 🤲

  • @letisiamakonda3873
    @letisiamakonda3873 3 ปีที่แล้ว +137

    Tunaosema SNS wao ndio wametujuza kwamba huyu ndio Mama ake Mzazi na Patrick(Othman) like zetu hapa

  • @billylovebillybillylovebil8895
    @billylovebillybillylovebil8895 3 ปีที่แล้ว +11

    Kumbe huyuu njo mama mzazi Wa Patrick. Madam Veronica mwenyew ongera mama yetu unafany vizur kwenye karm piya kafanan namwa naye😘😘😘

    • @gracedaudi4703
      @gracedaudi4703 3 ปีที่แล้ว

      Huyu n mama ake jenifa kanumba

  • @zainabzz7241
    @zainabzz7241 3 ปีที่แล้ว +9

    Hongera mama umeongea pwent sana 😘😘 nakupenda mama na mwanao mungu awape maisha marefu

  • @salomewandya7257
    @salomewandya7257 3 ปีที่แล้ว +16

    Kumbe huyu ndiyo mama Patrick Mashaallah

  • @yahyahamad1802
    @yahyahamad1802 3 ปีที่แล้ว +17

    Umependeza na vazi lako la heshima mama mashallah

  • @edwintouches
    @edwintouches 3 ปีที่แล้ว +20

    Mama Mzuri Balaa, Hajawahi Kuchuja! 🔥🙌

    • @nainaiblack1789
      @nainaiblack1789 3 ปีที่แล้ว

      Sanaaaaaa anajitambua mpka raha mama yetu

  • @bitunihassan9950
    @bitunihassan9950 3 ปีที่แล้ว +2

    Nawapenda wote nimefurahi kumjua mama Patrick yena mama mrembo mno😍😍

  • @christinemangaza6303
    @christinemangaza6303 3 ปีที่แล้ว +6

    I love ❤️ u mom and kanumba ❤️❤️💯🇺🇸

  • @khadijaramadhan3366
    @khadijaramadhan3366 3 ปีที่แล้ว +24

    Ma sha Allah mama na mwana mungu awape maisha marefu yenye furaha😍😍

  • @seciliamassawe4389
    @seciliamassawe4389 3 ปีที่แล้ว +21

    Madame Veronica 🥰🥰🥰🥰

    • @mariumpius9014
      @mariumpius9014 3 ปีที่แล้ว

      Yan jmn ad raha, waziriii wa karma uwiii,

  • @hamzanasry8011
    @hamzanasry8011 3 ปีที่แล้ว +38

    Mama umeongea point saana hao sio ndugu watumbo moja kila kitu kinawezekana

  • @shadiashadia1846
    @shadiashadia1846 2 ปีที่แล้ว

    Hamujambo wa Tanzania ndugu mashallha Patrick nice guy mola akuwezeshe zaidi

  • @malekahmm7502
    @malekahmm7502 3 ปีที่แล้ว +6

    Uyu mama nampenda sana nilikua sijui kama nimama padrik daaah

  • @D-Man.B-Free
    @D-Man.B-Free 3 ปีที่แล้ว +22

    Kumbe mtoto wake?MashaAllah

  • @ifgodsayyes.nobodycansayno1796
    @ifgodsayyes.nobodycansayno1796 3 ปีที่แล้ว +6

    PATRICK NI MREFU SANA NIKIMUONA HUKUMBUKA MAREHEMU KANUMBA 🇰🇪🇨🇿

  • @aminanamoyo83
    @aminanamoyo83 3 ปีที่แล้ว +18

    Waoo mama na mwana mashallah

    • @alidslv9883
      @alidslv9883 3 ปีที่แล้ว

      Amina ndo hutak kuongea na mm nipo germany mm nataka nije tembea huko uswiz

    • @aminanamoyo83
      @aminanamoyo83 3 ปีที่แล้ว

      @@alidslv9883 karibu

    • @alidslv9883
      @alidslv9883 3 ปีที่แล้ว

      @@aminanamoyo83 Vp ushaolewa au

    • @aminanamoyo83
      @aminanamoyo83 3 ปีที่แล้ว

      @@alidslv9883 😁 natafùta

    • @alidslv9883
      @alidslv9883 3 ปีที่แล้ว

      @@aminanamoyo83 naomba jina lako la Instagram

  • @fatmaali4921
    @fatmaali4921 3 ปีที่แล้ว +12

    Kumbe huyu mwanawe eeh mashallah hongera sana mtu na mwanawe

  • @nuruali931
    @nuruali931 3 ปีที่แล้ว +15

    Kumbe huyu mama ndio mama yake patrick mashaallah mungu awajaalie kila la kheri

    • @mahmoodalghefeili5370
      @mahmoodalghefeili5370 3 ปีที่แล้ว +1

      MM MWENYEWE NIMESHANGAA KWENYE MOVE YAKE YA MWANSIT NA HEMED

    • @magrethmariki1114
      @magrethmariki1114 3 ปีที่แล้ว +1

      Ata me ndo nimejua leo hee how beautiful family is

    • @zaitonakondo4617
      @zaitonakondo4617 3 ปีที่แล้ว

      @@magrethmariki1114 kumbe tupo wengi

  • @jaliamdoe1018
    @jaliamdoe1018 3 ปีที่แล้ว +20

    Jamaanii mama Derick na Nana A.k.A Madam Veronica kumbe ndo mama wa Patrick hongeren Sana 🙏

  • @bakithamapembe9381
    @bakithamapembe9381 3 ปีที่แล้ว +3

    Maaashalah umeongea vizur bi mkubwa kijana akizingua nawewe mzingue ili akae sawa na maisha yaendelee,ninawapenda sana

  • @safiyatheonlything7848
    @safiyatheonlything7848 3 ปีที่แล้ว +3

    Mashallha mama mrembo sana nawapenda mama na mwana kumbe watu mlikuwa amjui wengine kama huyu ndo mama wa Patrick

  • @uwitekamimy3431
    @uwitekamimy3431 3 ปีที่แล้ว +7

    Jamani Maman Patrick nampenda mie 💕🤗

  • @KADALAtv255
    @KADALAtv255 3 ปีที่แล้ว +4

    Mwigizaji wangu Mama nakupenda sana na hongera kwa kukuza, kuleana kusomesha. NAKUPENDAGA SANA

  • @HadijaSheban
    @HadijaSheban 3 ปีที่แล้ว +3

    Mola awahifadhi sanaa🔥🔥🔥much love from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @bernadetaleopord51
    @bernadetaleopord51 3 ปีที่แล้ว +15

    Kumbe uyu ndo mama Patrick dah nampenda buree uyu mama

  • @nuraramio4118
    @nuraramio4118 3 ปีที่แล้ว +2

    MaashaAllah huu mama nampendaga sana kumbe mama yake Patrick

  • @tuyisengeariane838
    @tuyisengeariane838 3 ปีที่แล้ว +3

    Mrembo aje mama Patrick 🇷🇼🇷🇼❣❣❣❣

  • @hamadatahir9307
    @hamadatahir9307 3 ปีที่แล้ว +5

    Huyu mama kwa kweli ni mzuri sana Wallahi

  • @bilalbizimana980
    @bilalbizimana980 3 ปีที่แล้ว +7

    Mashallah tabarakallah, mnaishi na hofu y Allah

  • @nurumohammed1310
    @nurumohammed1310 7 หลายเดือนก่อน

    Jmn nimewapenda sana wanapendana sana hadi rahaa

  • @lindamutasa5752
    @lindamutasa5752 3 ปีที่แล้ว +5

    Nimeipenda sana hii interview ya mama n.a. mototo

  • @janetahmed6948
    @janetahmed6948 3 ปีที่แล้ว +19

    Kumbe huuu njo mama yake nilikua sijui jamani duuu

  • @lydiayothamu9902
    @lydiayothamu9902 2 ปีที่แล้ว +1

    Hongera mama sikujua kama we ndio mama wa Patrick.

  • @liliambokile2473
    @liliambokile2473 3 ปีที่แล้ว +4

    Honger mama kwa kua na kijan mzur

  • @munirashughuli7224
    @munirashughuli7224 3 ปีที่แล้ว +3

    Mashaa Allah❤️✋santhaa Barobaro namuona

  • @salhamrisho8138
    @salhamrisho8138 3 ปีที่แล้ว +16

    Nimecheka hapo kuongeya na wasichana🤩😍

  • @junuferjinu1444
    @junuferjinu1444 3 ปีที่แล้ว +12

    Miaka yote nilikuwa simjui mama yake kumbe yupo mbele ya macho yangu😂😂😂😂😍😍🥰

  • @lightnessgerald6153
    @lightnessgerald6153 3 ปีที่แล้ว +1

    🌹🌹huyu mama ni mcuteee dah😊😊nampenda jaman na mwanae

  • @mwanahalimamwachili9679
    @mwanahalimamwachili9679 3 ปีที่แล้ว +2

    Maa Shaa Allah, Mama Na Mwana, Allah Barik.

  • @hamedamahamd1222
    @hamedamahamd1222 3 ปีที่แล้ว +4

    Kumbe Patrick karisi

  • @straightkonect1613
    @straightkonect1613 3 ปีที่แล้ว +4

    Kumbe mama ndio mzaZy wa Patrick.KANUMBA ni jembe aliona mbali sana

  • @isikesamike
    @isikesamike 3 ปีที่แล้ว +5

    What a surprise 🤗🤗🤗

  • @sophiamwita434
    @sophiamwita434 3 ปีที่แล้ว +1

    Mashalaah huyu mama huwa nampenda Sana balaa

  • @zainabukhalid8223
    @zainabukhalid8223 3 ปีที่แล้ว +11

    MashaAllah

  • @lydiayothamu9902
    @lydiayothamu9902 2 ปีที่แล้ว +1

    Huyu mama mstaarabu sana jamani na anaigiza vzr sana nampenda .

  • @joycemotela505
    @joycemotela505 3 ปีที่แล้ว +7

    So nice family guys

  • @naimamunishi1241
    @naimamunishi1241 3 ปีที่แล้ว +3

    Wallah nakupenda sana mama😘

  • @ramadhanseleman4276
    @ramadhanseleman4276 3 ปีที่แล้ว +2

    Nampenda sana huyu mama, bigup hidaya njaidi

  • @zabibuamissi1141
    @zabibuamissi1141 3 ปีที่แล้ว +3

    Mansha Allah mama na mtoto ❤️❤️

  • @khdigahk4246
    @khdigahk4246 3 ปีที่แล้ว +11

    Othmaan mjahid ❤️mwanangu

  • @imelidastevesteve5127
    @imelidastevesteve5127 3 ปีที่แล้ว +1

    Hongera Sana na umeonyesha upendo kwa MAMA

  • @aminakarabani7450
    @aminakarabani7450 3 ปีที่แล้ว +1

    Yaani sikuwahi kujua kabisa kama huyu ndio mama yake Patrick, am so happy to know that

  • @evalyinesalama2535
    @evalyinesalama2535 ปีที่แล้ว

    Mama partrck pamoja nmwanao twawapenda sana

  • @jackmaritn8941
    @jackmaritn8941 ปีที่แล้ว

    Jamani mungu awabariki nimewapenda buree

  • @amour5535
    @amour5535 3 ปีที่แล้ว +14

    Kumbe ndio huyu mama yake

  • @fatmasaid7093
    @fatmasaid7093 3 ปีที่แล้ว +5

    MashaAllah 🤗😘😘😘🤗🤗

  • @nadhifajuma6485
    @nadhifajuma6485 3 ปีที่แล้ว +1

    Naweapenda burree wallah,😘😘

  • @nyabaplussheila6541
    @nyabaplussheila6541 3 ปีที่แล้ว +4

    ...aaaah kumbe!! Okay

  • @mohamedelzobery7194
    @mohamedelzobery7194 2 ปีที่แล้ว +2

    Nc family is come from nc root so congratulates mom 🥰

  • @surujajwie4768
    @surujajwie4768 3 ปีที่แล้ว +6

    MASHAALLAH mamy

  • @muniradaudi440
    @muniradaudi440 3 ปีที่แล้ว +4

    Kumbee huyu bibi n mama as Patrick

  • @rehemaothman2200
    @rehemaothman2200 3 ปีที่แล้ว +4

    Ma sha Allah

  • @madamboss348
    @madamboss348 3 ปีที่แล้ว +15

    Madam veronica mama derick wooow

  • @amanistarz1234
    @amanistarz1234 3 ปีที่แล้ว +7

    Safi sana

  • @sophymosha8722
    @sophymosha8722 3 ปีที่แล้ว +1

    Leo ndo nimejua huyu n mama yake 🥰🥰🥰🥰

  • @hijrakassim304
    @hijrakassim304 3 ปีที่แล้ว +5

    Madam veronica😍

  • @patricktegea1430
    @patricktegea1430 3 ปีที่แล้ว

    Safi Sana,,,💪👍🤝☀️☀️🙏pindi lipo xafi xana

  • @younginspired3899
    @younginspired3899 3 ปีที่แล้ว

    Hongera mtangazaji unajua kuhoji sana

  • @mariamumwela562
    @mariamumwela562 3 ปีที่แล้ว +2

    Nawapenda sana ❤️❤️❤️❤️

  • @kreamagdfsa1697
    @kreamagdfsa1697 3 ปีที่แล้ว +5

    Maashaa allah

  • @sabinamwita5261
    @sabinamwita5261 3 ปีที่แล้ว +7

    Jmn kumbe huyu mama ndo mama ake patrick yan nampenda htr

  • @hasnajuma5567
    @hasnajuma5567 3 ปีที่แล้ว +1

    Mashallah mungu awalinde inshallah 🙏nawapenda sana

  • @badmanno.1650
    @badmanno.1650 3 ปีที่แล้ว +4

    Hidaya njaidi anafnana na aunty Ezekiel mpaka kuongea ... Wazuri sana

    • @jenifajuma5395
      @jenifajuma5395 3 ปีที่แล้ว

      Kweli kabisa wamefanana

    • @sophiekanyengele3241
      @sophiekanyengele3241 3 ปีที่แล้ว

      Othman jaidi mtangazaji wa zamani clouds ni ndugu yao?

    • @mafiosoismail7475
      @mafiosoismail7475 3 ปีที่แล้ว

      @@sophiekanyengele3241 hilo swali hat mm nilwahi kujiuliza ety 🌙🌙🌙

  • @FFL-X1D
    @FFL-X1D 3 ปีที่แล้ว +3

    Maa shaa Allah❤❤🇪🇭🇪🇭

  • @waidaamon457
    @waidaamon457 3 ปีที่แล้ว +1

    mama anabusaraaa mashallaah

  • @getrudajacob637
    @getrudajacob637 3 ปีที่แล้ว

    Kweli Ni surprise ata sikujua mashalah 💕

  • @jackykemboi882
    @jackykemboi882 2 ปีที่แล้ว

    JJ Kenya 👍👍👍

  • @superdeeboy6100
    @superdeeboy6100 3 ปีที่แล้ว +2

    Mashallah ongera san mam na mtot Allah awazidishie kila lenye kher kwenu

  • @rachaeldhahabu5096
    @rachaeldhahabu5096 3 ปีที่แล้ว +7

    Mama wa karma sikujua wewe ndio mzazi wa patric hongera

  • @neemamdami7466
    @neemamdami7466 3 ปีที่แล้ว +4

    Mweeee,kumbe ndio mama yake
    Hongera jamani

  • @bintmrisho3526
    @bintmrisho3526 3 ปีที่แล้ว +9

    Nimependa majibu ya mama

  • @dorcyjohnson5431
    @dorcyjohnson5431 3 ปีที่แล้ว +2

    Uyu mama namuonaga tuu wala cjawahi kujua ndo mama yake patrick 😁😁😁

  • @youngbreezy6615
    @youngbreezy6615 3 ปีที่แล้ว +18

    kumbe huyu mama ndio mama ake na Patrick!

    • @fadraj6899
      @fadraj6899 3 ปีที่แล้ว

      Yaaniii me Nilikuwa cjuh

    • @FFL-X1D
      @FFL-X1D 3 ปีที่แล้ว

      Eee mzur❤❤

  • @mamaafricankenya2501
    @mamaafricankenya2501 3 ปีที่แล้ว

    Kumbe huyu ndio mamake Patrick masha Allah mzuri

  • @matheosimkoko5859
    @matheosimkoko5859 3 ปีที่แล้ว

    Mungu akujaze hekima zaidi

  • @bintysele6999
    @bintysele6999 3 ปีที่แล้ว +6

    Wallah nilikuwa cjui km madamu veronica uwo Patric mwanae