Ni nani kati ya wote atakayejibu nipo Bwana wangu nitume......mmenikumbusha mbali sana. Ninawapenda mno ..mbingu zinawapenda zaidi. Mlipo nipo - Mrs Munisi
I really love this choir akiiiiiiii 😂😂😂🙌 GOD bless you and your divine work 🙏 i will always love you and pray for you my @kurasinisdachoir …. all the love from GOFUjuusdachoir 🙏🙏
Amina... I really love this choir.
Ni nani kati ya wote atakayejibu nipo Bwana wangu nitume......mmenikumbusha mbali sana. Ninawapenda mno ..mbingu zinawapenda zaidi. Mlipo nipo - Mrs Munisi
Unao huo wimbo
@@ayoubbajuta4427hapana but lemme search for it
I really love this choir akiiiiiiii 😂😂😂🙌 GOD bless you and your divine work 🙏 i will always love you and pray for you my @kurasinisdachoir …. all the love from GOFUjuusdachoir 🙏🙏
Ooh no kumbukumbu ya the late mwalimu kibaso nimelia yangu yote 😢
Twawqpenda kutoka Kenya. Si mtembee chogoria SDA Church kenya
Baraka ziwe nanyi kila wakati from kenya 🇰🇪 napenda sana nyimbo zenu hu bariki na kuinua
Nawapenda Sana kurasini from Kenya
Mungu awabariki❤❤❤❤❤❤❤❤
Asanteni sana...
Simon Bayona sijausikia siku nyingi.....
Msilale amkeni vumilieni tufani wimbo mtamu sanaaa
Mungu azidi kuwabariki na kuwalinda
Amen... from Kenya...
Songeni mbele kwaya yetu tunawaombea sana
Nasubiria Jubilee yenu kwa shauku. Kindly share the date mapema. I wanna be there Inshallah.
Amen 🙏
Karibu sana
Nimemkumbuka rafiki yangu Kibaso
Nami nimemkumbuka hasa nikisikia baadhi ya nyimbo kinanda kikikosa vionjo Fulani hvi namiss uwepo wake yote Kwa yote Mungu ni Mwema
Pole kaka Mduma
Tupo pamoja kaka
Haise nawapenda sana
Mnanitia Moyo Sana .
MUNGU AWABARIKI SANA