The song immediately before the prayer is a resounding reminder of a sad reality. I pray we be found on the side of the Lord when the prophecy of the end of the world is fulfilled.
Nawapenda saana mnavoimba wala akuna anayesuka Mungu azidi kuwatangulia msiwe na kiburi cha uhimbaji bali wimbaji huu muuwekeze Mbinguni amen Mungu atubariki sote ni raha saana kua mwaadventist msabato ❤❤
Mbarikiwe sana.nasi pia tume barikiwa na mahubiri mazuri.tumesikia kile ambaco tuna takiwa kufanya tunapo kua tuna sishi apa ulimwenguni.mungu atupe azidi kutuvuvia nguvu za roho mtakatifu ili tushinde zambi.be blessed nyarugusu sda choir.we love you so much
Wao,Mungu awabariki sana,nawapongeza Sana kutunga nyimbo kwa kulingana na Biblia ujumbe unagusa maisha .Nawaombea Sana,na Mwl Enock Mungu aendelee kukutumia
Maombi yangu nipate bibi kutoka nyarugusu in Jesus name.am from kenya. Your work is recommendable ❤❤❤❤❤❤🎉
The song immediately before the prayer is a resounding reminder of a sad reality. I pray we be found on the side of the Lord when the prophecy of the end of the world is fulfilled.
Mungu awabariki sana nyarugusu huo wimbo wa pili ni mzuri mno mwalimu enock mungu akubariki tukuone tena kwenye videous mpya za nyarugusu
Barikiwa sana
Nyimbo Zote Nzuri Sio huo wa pili2
🎉
@@SamwelBred
Nawapenda saana mnavoimba wala akuna anayesuka Mungu azidi kuwatangulia msiwe na kiburi cha uhimbaji bali wimbaji huu muuwekeze Mbinguni amen Mungu atubariki sote ni raha saana kua mwaadventist msabato ❤❤
Salam zangu kwa happy lumuli, i wish ningekuwa nae huko maana napenda kuimba naye
Mbarikiwe sana.nasi pia tume barikiwa na mahubiri mazuri.tumesikia kile ambaco tuna takiwa kufanya tunapo kua tuna sishi apa ulimwenguni.mungu atupe azidi kutuvuvia nguvu za roho mtakatifu ili tushinde zambi.be blessed nyarugusu sda choir.we love you so much
Kuna sauti nikiisikia nabarikiwa natabasamu... Kuna nyuso nikiziona nafurahi moyoni .. Mungu awabariki sana AY Nyarugusu na kanisa kwa ujumla... ❤❤❤
Barikiwa pia
Daaaah ay na mwalimu wenu Mungu amewapa kitu barikiweni sana
Huo wimbo wa kwanza sijawahi kuusikia but it has ministered to me in a very very special way. Very deep message.
Wao,Mungu awabariki sana,nawapongeza Sana kutunga nyimbo kwa kulingana na Biblia ujumbe unagusa maisha .Nawaombea Sana,na Mwl Enock Mungu aendelee kukutumia
Na wapenda sana sana mbarikiwe mpo poa kabisa hakuna kusuka poa sana Mungu awe nanyi ameen
Nawapenda saana vijana wa Nyarugusu, nyimbo zenu zanifuta nkaribu na mwokozi, nawapenda sana, neema ya Mungu iwatoshe.
Ahsante sana
My all time favorite choir,,i love listening to your songs.Be blessed abundatly 🙏
Hii kwayaaa tuitumie siku ya kupaaa kwenda Mbinguni
😂😂😂 Bwana utanisaidia tuingie mbinguni
😂😂😂
Mungu awabariki sana Nyarugusu kwa huduma hii njema
Kwakweli hii inamtukuza Mungu
Mungu awabariki kwa kujitolea kumtumika
Amen. May the Almighty King of glory keep you in faith in His vineyard to walk in truth and in spirit as you minister
Mungu awabariki mno. Yani uimbaji wenu mnakuwa silias na kuuvaa wimbo hakika nyimbo zenu zanibarki mno
Kuwekeza mradi wa mbinguni ni faida kubwa sanaaa.... Asanteni sana nimebarikiwa. Mungu awabariki sana mfike mbali zaidi na zaidi lakini msipotee
Baeikiweni jaman kwa uimbaji wenu, nabarikiwa hasa ninapomwona rafiki yangu kipenziiiiiiiii hapyness lumuli wa nkololo anaimba nyarugusu hatimaye🎶❤️
Kwaya nzuri na mchungaji pia mzur mtafka mbal sana Mungu awatetee
Mnaimba vizuri na mavazi nzuri munapendeza sana tunawafuatiliya Kigali/Rwanda.
Bwana akubariki sana
Zawadi
Amen nawashukuru sana napenda sana nyimbo zenu ni nzuri sana zinafundisha mungu aendeleye kuwapa nguvu.
Mungu aendelee kuwabariki katika utumishi wenu
Woa hongera sana my lovely choir ay nyarugusu musongembele na mungu wetu awabariki.
Ahsante
Minafuraha sana
Mungu ababark
Mimi Niko Rwandan
God bless you
That's Ay Nyaruguru, God bless you my dears❤
Kwaya ,AY Nyarugusu barikiweni Sana mmenibariki Sana.Muende mbaliiiiiii.Amina.
Tuekeeni hizi nyimbo moja moja zinatubariki sana 🙏
Nimefurahi kumuona mwalim Enock
Mlikawia sana i have been waiting for you guys ...from 🇰🇪God bless you guys
Mungu anisaidie niwekeze kwenye mradi wa Mbinguni,Mungu awabariki sana vijana wa Nyarugusu
Kwetu Burundi,Nyarugusu choir tunawapenda sana,
Amina, Mungu amewapa kipaji na hakika mnatumika vyema. Barikiwa mno
Jaman mnaimba vizuri sana natamani namm niwemo hats sikumoja
Bwana awabariki kwa wimbo mzuri waimbaji wote na mwalimu
Amina sana Nyarugusu AY,, Bwana na awabariki nyote.
Mungu awabariki sana AY NYARUGUSU nawapenda sana
Mungu awabariki sanaa vjan wa YESU
Nabatikiwa sana.
Nashauri
Wekeni na maneno ya wimbo. Mko kwenye viwango vya juu.
great piece my friends.Let God continue blessing you .From your Zambian disciple
I love you all, but God loves you more. May God continue to give you more grace.
Mbarikiwe sana kwa huduma njema. Bwana azidi kuwatumia.
Asanten sana Kwa nimbo zenu zinatubariki,msonge mbele na Bwana awasaidie Ili myaishi haya mnayoyaimba.
Nakumbuka ASSA shuleni nilikuwa na rafiki zangu wanne tulipenda sana kuimba nyimbo zenu nawapenda
Mbarikiweee mnooo rafiki zangu baraka za kila namna ziendelee kuambatana nanyii❤❤❤
Mwenyezi Mungu awatangulie mmfike mbali zaidi mkiongoa watu Kwa njia ya uimbaji
❤❤ bwana awabark sana
Hakika Mungu azidi kuwatumia vyema zaidi katika kazi yake
May God bless your voices the nyarugusu , your songs really inspires me a lot.. am so much bless 🙏
Much love ay Nyaragusu, continue serving Lord. Almighty God bless you all❤❤❤🇺🇬🇺🇬🇺🇬
Thank you
Mbarikiweee AY nyarugusu... Tuwekeze kwenye mradi wa Mbinguni
Namwona mwalimu barikiwa sana my favourite choir
Amen 🙏 Mungu awabarik san
Mungu awabariki na kuwazidishia ktk kila jema mtalotenda.
Mungu awabaliki sana muende mbali katika kazi ya mbwana
Mungu awabariki saana sana,nataka nambari ya kiongozi wenu naomba niongee naye
Mungu awabariki kazi mnayofanya imetukuka sana
Amina Amina
Mnatubariki sana kwa nyimbo zenu nzuri, Mungu aendelee kuwabarikii
Ahsante sana mtumishi wa Bwana
Mungu awatunze mzidi kumtumikia mfike mbali lkn msipotee Amen
As a fellow artist I'm grateful and blessed ❤
Barikiwa sana ,Niko narok Kenya.
Barikiwa sana enock and kwaya kwa ujumla 🎉
Mungu awabariki sana msonge mbele kwa kazi yake
Amen amen nabarikiwa Sana zinatia moyo
MUNG awabariki sana ❤❤
Nakupenda sana dada yangu Rehema💕🌹
Najivunia kuona Mungu anafanya kaz
Bwana Asifiwe Sana Kwa Uimbaji Mzuri❤❤❤
Mwenyezi Mungu azidi kuwapigania ktk Utumishi
Nyimbo zenu zote ni tamu sana sana ya mkono iliyopisjhanisw
Huo wimbo wa kiingereza please unaitwaje
Mungu awabaliki sana🇬🇦🇬🇦❤❤️❤️💯💯
Aminaaaaa
Sauti zenu zinanimaliza pongezi❤
Nimebarikiwa Sana MUNGU Awabariki
Amen hallelujah ❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Huo nao mzur wakizungu safiiii
Mimi natamani kuwachangia AY,HUWA MNANIBARIKI MNOOOO JAPO SI M SDA ILA MUNGU NI MMOJA
Karibuni sana Dar es salaam
Mnanibariki Sana songeni mbele
Barikiweni Sana AY Nyarugusu.
Like your lovely songs ooh lovely voices, be blessed 🙌
Amen
Barikiweni sana kwa utumishi
Nawapenda mnoooooooo
Mungu awabariki kwa utume
Amina San MUNGU awatangulie
Naipenda kwa dhat
Mbarikiwe Sana waiimbi
I like and love your be blessed by God
Mmependeza
Wimbo wapili jaman tunauhitaji Sana TH-cam
Nabarikiwa sanaasa😊😅😮
Mungu awabariki na awadumishe kiimani .!
Amina
Well done 👏
Hyo sare mmeua🤣🤣 mbarikiwe Sana nyarugusu
Naomba kujua wimbo wa pili, ndo nausikia
Sauti zenu zinanimaliza pongezi
Mungu pamoja nanyi
Matobera itumbi nikiwa ikizu bunda .mbarikiwe Sana ay nyarugusu
Aminaa
L❤ve from Kenya
Mwalimu hunyamaza wakati wa mtihani nice Message
Mungu awabariki sana aendelee kuwatia nguvu
Amina
❤❤❤❤❤God bless you
Nawapenda.
Mungu awabaliki sana