Mtanzania awazungumzia wapinzani wa Yanga, CBE ya Ethiopia

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 ก.ย. 2024
  • Mtangazaji @katangaommy yupo nje ya dimba la Abebe Bikila Addis Ababa Ethiopia, akizungumza na Mtanzania aishie huko kuhusu ukubwa wa klabu ya soka ya CBE SA ambayo inamilikiwa na benki ambayo ina jengo refu kuliko yote katika taifa hilo.
    Yanga watakuwa dimbani saa 9:00 alasiri dhidi ya CBE SA katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika.
    #CAFCL #Yanga

ความคิดเห็น • 20

  • @reginaldmapunda6702
    @reginaldmapunda6702 5 วันที่ผ่านมา +3

    Ahsante Mungu wetu ,tunaendelea kukushukuru kwa sababu WEWE ndiye ushindi na furaha yetu. Tenda kilicho chema nasi tuendelee kukushukuru kama jana leo na hata milele. Amina

    • @petermanala6138
      @petermanala6138 5 วันที่ผ่านมา +1

      Amina atatenda

    • @reginaldmapunda6702
      @reginaldmapunda6702 4 วันที่ผ่านมา

      @@petermanala6138 Peter ,Huku Tayari Mungu amesha tenda. Amina

  • @user-uz1bl5bk4g
    @user-uz1bl5bk4g 5 วันที่ผ่านมา

    All da best my favourite team

  • @TonnyTarimo-b6r
    @TonnyTarimo-b6r 4 วันที่ผ่านมา

    Tx ni yetu

  • @CasianCasian-v4e
    @CasianCasian-v4e 5 วันที่ผ่านมา +2

    Kwa uwezo wa mungu tutashinda

    • @petermanala6138
      @petermanala6138 5 วันที่ผ่านมา

      Amen

    • @reginaldmapunda6702
      @reginaldmapunda6702 4 วันที่ผ่านมา

      @@CasianCasian-v4e Na kwa uwezo wake tumeshinda kweli na tumshangilue. Amina.

  • @user-mp6zd2ui7r
    @user-mp6zd2ui7r 5 วันที่ผ่านมา

    Fazili Asante kwauzalendo

  • @TonnyTarimo-b6r
    @TonnyTarimo-b6r 4 วันที่ผ่านมา

    Tz ni yetu

  • @SamiraseifAlfan-ph4ke
    @SamiraseifAlfan-ph4ke 3 วันที่ผ่านมา

    Salam no🙏

  • @JumaZakayo
    @JumaZakayo 5 วันที่ผ่านมา

    Talifa kuhusu mchezo wa leo ya CBE dhidi YANGA 9 alasili

  • @FURAHAKICHEKO-n3e
    @FURAHAKICHEKO-n3e 5 วันที่ผ่านมา +1

    MECHI INAONYESHWA CHANNEL GANI?

    • @KhatibuAly
      @KhatibuAly 5 วันที่ผ่านมา +1

      Mpenja TV

  • @LeylaSaria
    @LeylaSaria 5 วันที่ผ่านมา

    Plz jamn yanga inacheza saa ngp