Wewe kama mama wa kweli fanya aliyoyafanya Babra kuwaondoa GSM wanatukera sana kudhamini zaidi ya timu (8) ktk ligi moja nimambo ya kishamba na kijinga na TFF wao wanachangia haya pamoja na serikali hii nchi ni dhulma tu yanafanyika mambo hayapo duniani Basi nasisi tunao dhulumiwa tudai haki yetu mbona tunakuwa kama wajinga fulani hatujielewi na viongozi wetu munaangalia tu mwanasheria wa simba upo wapi?
USHAURI MSIWE MNAWAVUNJIA MIKATABA YA WACHEZAIWENGI VINGINEVYO MTAKUWA KILA CK MNATENGENEZA KIKOSI. NA WACHEZAJI MJITAHIDI WACHEZA KUWAPA NAFASI YAKUCHEZA ILI KULINDA KIPAJI CHAKE. HAWA WACHEZAJI NI BORA SANA ILA HAWAPEWI NAFASI YAKUCHEZA
Semaji la CAF ndiye mwenye majibu sahihi na siyo nyinyi wa mitandaoni ambao mna taarifa za tetesi tu
Waongo nyie,Semaji la CAF haljaongea ndo mkweli
Tatizo Njaa kutegemea TH-cam kula ndio maana unatunga uwongo mwingi
Taarifa sahihi mpaka kutoka kwa viongoz tu
Mbona mutale hatujasikia kuvunjiwa mkataba au kwakuwa anachukuwa pesa nyingi?
Anaenda power daynamo.kwa mkopo
Mbona.hao.wkigeni.mbona.hamkuwataja
Acha uongo wako
Wewe kama mama wa kweli fanya aliyoyafanya Babra kuwaondoa GSM wanatukera sana kudhamini zaidi ya timu (8) ktk ligi moja nimambo ya kishamba na kijinga na TFF wao wanachangia haya pamoja na serikali hii nchi ni dhulma tu yanafanyika mambo hayapo duniani
Basi nasisi tunao dhulumiwa tudai haki yetu mbona tunakuwa kama wajinga fulani hatujielewi na viongozi wetu munaangalia tu mwanasheria wa simba upo wapi?
USHAURI MSIWE MNAWAVUNJIA MIKATABA YA WACHEZAIWENGI VINGINEVYO MTAKUWA KILA CK MNATENGENEZA KIKOSI. NA WACHEZAJI MJITAHIDI WACHEZA KUWAPA NAFASI YAKUCHEZA
ILI KULINDA KIPAJI CHAKE. HAWA WACHEZAJI NI BORA SANA ILA HAWAPEWI NAFASI YAKUCHEZA
Ivi na wewe unaamini alichokiripoti huyu fala! 😂😂achananeni na hizo media uchwara
Mambo yote ya uhakika yanapatikana Simba App huku kwingine na blabla nyingi tu
matakoninyi.mujauongo.hamunaaibu