Mchezo wa mpira ni wa wazi,ukicheza vizuri utafunga na pia ukicheza vibaya utafungwa na watu wanaona uwanjani 😮Tuachane na maneno ambayo hayana msingi wowote huyu ahoijiwe na Takukuru athibitishe maneno yake maana maneno haya yakiachiwa yanachafua sana ligi yetu😮
Unajua siku zote msema kweli anaonekana ni tatizo, huyu JEMEDALI yupo vizuri sana hana unafki shida inakuja kuna timu zinataka zisifiwe tuu lkn wakiambiwa ukweli wanatoa matusi, yaani miaka hii kuna watu wamaingia kwenye mpira wanaharibu ligi, mpira umekuwa uadui,wanafanya mambo ya ovyo lkn TFF wanaona lkn wako kimya ila hapa TFF kuna kitu nao wananufaika, yaani tuna jipa sifa ambazo hata robo hatuna viwango hivo, kama mpira ungechezwa kiuharisia timu ishinde kwa uwezo wake amini hizi timu ambazo tunaziona juu hapo zingine zingekuwa hata nafasi ya saba lbda, shida mpira hauchezwi kwa uharisia marefa wanafanya mambo ya ovyo, na maamuzi ya upendeleo wa wazi kila mtu hili ameona kuna mamuzi refa anaamua kuacha ya wazi, au anatoa maamuzi ya uonezi kwa baadhi ya timu hasa hii ipo kwenye timu zetu kubwa SIMBA NA YANGA, AZAM wanacheza mpira uharisia wanashinda kwa uwezo wao,kuna marefa kama KAYOKO, ARAJIGA,RUKIYA, wengine siwajui majina hawa hafai kabisa, LKN kuna wachezaji wanauza mechi ili timu zao zifungwe, kuna swala linapigiwa kelele la udhamini wa timu zaidi ya moja, Hii kudhamini haikatazwi wedhamini lkn wewe mdhamini usiwe unamiliki timu kubwa moja kati ya hizo timu hiyo ndio unayoitegemea ikifanya vizuri hiyo kubwa unapata faida kubwa, hapa sasa hizi timu ndogo unazozidhamini utahitaji zote zifungwe na hii kubwa ili upate faida kubwa uweze kulisha hizi ndogo ambazo hizi ndogo udhamini wake hazizalishi ila mchango wao kuchangia point hii timu kubwa ili biashara ifanyike kwa kubwa ili timu ndogo zipate marisho, kwahiyo kama timu inadhaminiwa kwa milioni 100/ mchango wake ni point 6 tuu na magori kama kutakuwa na uhitaji, ndio maana watu wapiga kelele kuhusu udhamini na huyu jemedari msikilizeni bila ushabiki mtamuekewa vizuri sana,
Hata wakati inafika Finally shirikisho ikizitoa team tofauti tofauti kwa kubet kwa mujibu wa Jemedar kichwa nyanya dunduka.wanabet wanajulikana sio yanga na bado
Hata wakati inafika Finally shirikisho ikizitoa team tofauti tofauti kwa kubet kwa mujibu wa Jemedar kichwa nyanya dunduka.wanabet wanajulikana sio yanga na bado.
Unadhamini zaidi ya timu moja, uwezekano wa kupanga matokeo ni mkubwa sana, TFF imefeli kwa hili na wanapokuwa kimya juu ya hili ina maana aidha wanalijua au wananufaika nalo.
Wkt Yanga alpopoteza michezo miwili mfululizo mpka akaamua kuhama uwanja hya mambo hayakuckika, ina maana mlikuwa hamyaoni? Mbna mlikuwa kmya? Achen uchochez wa kijinga usiokuwa na mantiki kwa mustakabali wa ligi yetu.
Kwa akili ya kawaida ule muendelezo tangu match na prison haishangazi matokeo hayo Fountain gate ndo team inayoongoza kufungwa kwenye ligi,ushangae kufungwa 5 na yanga nyie mnaosupport mnafikiri kwa kutumia ubongo au?
Yanga ikishinda ni BET ila ikipoteza ni Mpira, kufilisika sio Mali TU hata kifikra watu hufilisika. Ama kweli mwanzo ilikuwa udhamini wa GSM,ikafuata Sindano, baadae uchawi sasa ni BETTING. Yanga ikiendelea kushinda yataibuka mengine mapya ila ikipoteza ni Mpira umekua.Wanaichiii tuungane kutetea nchi yetu na ligi yetu, wasaliti Bado wako kazini, tusiwasikilize tuongeze vipigo, hawajasema mpaka waseme.
Mechi Zote zinaoneshwa dhahir mnajitekenya Wenyewe Kimataifa majibu yatatoka Hadi Aibu mchezaji myasajil Kwa bei Kubwa bado myatafutie Ushindi Wa Bureeee AF Mechi Zenu Rahis Simba akamiwe Ili Uto mpande Juu wanunua Mechi this time mlizoea Kutufunga kwa Kuhonga marefa this time hamchomoki Kenge Nyie Mmezoea Vya bure
Tatizo hamelewi au kweli utopolo wanabet?Maana haijatajwa timu,lakini watu wanajishuku Ili kumpata ukweli tff wachunguze timu au wachezaji watakaopatikana wachukuliwe hatua Kali Ili ligi yeti isonge mbele.
Kwakweli ndio maana Yanga kimataifa huwa haifiki mbali na hawafanyi vizuri hii nikutokana. Ligi ya ndani yanga anajitengenezea mazingira ya kupata matokeo kinyume na uhalali waooo
Kama una hakika na ushahidi peleka taarifa PCCB, tuache lawama za uongo, kwahiyo Simba alipofungwa 5 na Yanga wachezaji wake walibeti? Azam je? KMC? Mpira ni sayansi na uwekezaji, sheria za kuzuia wachezaji na viongozi kubeti zipo wazi labda huzijui.
Tunadanganya watu timu ina uwezo wakati ni maroroso tu yanaibeba..ndio maana ubabe wake unaishia nbc...ikitoa tu pua huko nje kina Al Hilal wanakula kichwa.😅😅
Unajisahalisha au mwamuzi anaechunguzwa wa caf sindiyo alichezesha mechi yenu na warabu mpaka mkavunja viti ebu jifunzeni mpira mbona Bado mko mbali sana na mpira wa kisasa unazungumzia timu kufanya vibaya kwenye mashindano mengine mbona real Madrid wanaongoza ligi ya kwao kwenye champion ligi wanapasuliwa narudia tena mashabiki wa Simba na viongozi wenu pamoja na wanachama jifunzeni mpira wa kisasa achaneni siasa za mpira wa kizamani wakati ushabadilika jamani
Ligi haijafa ulikufa wewe kimawazo na huyo uliyempa nafasi kwenye Media Yako Ili aongee ujinga huyo amecheza mpira ila hajui.Hivyo Mbwaduke ni mtu wa Simba wachache 😢wanaomfahamu kwa sababu anajua mpira.
Hivyo we Jemedar huoni hata aibu mi naona unajidhalilisha matokeo ya yanga yanakuumiza sana kiasi ambacho unatamani matokeo mabovu tu we kenge kweli kama hao marefa na hizo team zingekuwa zinapata hongo toka kwa yanga ingeshinda match zote alafu goli za yanga zenye ukakasi ni chache tofauti na Simba match zake zinalazimishwa kushinda we Babu acha upuuzi.
Hii NI KWELI NA INAHARIBU SANA LIGI YETU MPAKA MPIRA UNAKERA KWA KWELI HAPA TAKUKURU WAINGILIE KATI NA HIZI TIMU ZITOLEWE KWENYE BETI MPIRA WETU UTAKUWA ONA YANGA KIMATAIFA ANAVYONYANYASIKA KUMBE BONGO WANABETI
Yawezekana wachezaji wanabeti. Mechi ya simba na jkt mchezaji aliamua kumwangusha kapombe ambaye alikuwa mbali na mpira na isingekuwa rahisi kwake kuufikia ule mpira.Ni tukio la kufikirisha kwa kweli.
Ubora wa yanga yataibuka maneno mengi sana wapo watakao mlaum gsm et timu 7,Kila kitu watasema wapnzani wa yanga kwa kuwa hiyo ndio dalili ya kuishiwa mbinu
Kama michezo inanunuliwa, kuna sb yoyote ya kulipa wachezaji bei kubwa Je kwa nini kila siku Inaajili. Wachezaji kwa bei kubwa !😮. Basi tusishiriki Nje ya Tanzania ( Africa) kwa sb timu zimesajiliwa kwa sb ya Betting hapa hapa Tanzania. Ni ushamba kufikiria timu zina Bett wakati zina vuja jesho Mazoezini. Inajegwa chuki sb tu timu iliyoshinda una Nogwa nayo. Hiyo ni roho ya mbaya .
Tff hebu mfuatilieni huyu bwana kwa kweli atoe ushaidi maana anautia doa mchezo wetu pendwa,,,Sasa hivi kama ni mazoea kuropoka kumbe ndiyo tunajiharibia pa kubwa kwa sababu ya ujinga huu
kwan ni lin hiz team zitashinda kusiwepo na shida yanaibuka mengi kila siku uchawi sindano wananunua mechi saiv wanabeti dadeki mnafanyag kutrend ila mnaharib sama
Hata ninyi jkt mlichua milchukua milioni 20, zile goli mbili mlizofungwa na yanga, wewe wivu utakuuwa kumbe hata juzi mlivyofungwa na simba pia ulixhukua milioni 10, like goli moja, yanga akishinda kanunua mechi, simba akishinda ndiyo harali, jemedari wivu utakuuwa wewe sio mchambuzi ila ni mchang'ombe, wewe in wa hovyo haijawahi mchambuzi wa hovyo kama wewe, naludia tena wivu utakuuwa, utapiga domo lakini hutaambulia kitu, watu washakujua wewe nikizabizabina,
uyu jammaa nadhani kichwa chake Akiko sawa, mbona Simba tukishinda, sisikii maneno ya ovyo, akishinda yanga anatoa maneno ambayo ajui kama nchi ndiyo itaathirika , uyu dishi limeyumba😮😮😮😮
Usijiite Simba Umeskia Ww Uto Machafu Yenu hadharan Mnanunua Mechi Mapumguf Kwny Litimu lenu tunayaona bas vile mnanunuliwa mechi mnapata 5g za bure hamuez ona ngoja kimataifa
Huyo jemedar ni mjinga tu wakati yanga anafungwa mlikuwa mnacheka sasa moto unawaka mnaanza uzushi na bado mlianza gsm mkaja sindano sasa ni beating na we mtangazaji usiwe fala kama huyo jamaa yako au wote ndio wale wale na bado
Hivyo we Jemedar huoni hata aibu mi naona unajidhalilisha matokeo ya yanga yanakuumiza sana kiasi ambacho unatamani matokeo mabovu tu we kenge kweli kama hao marefa na hizo team zingekuwa zinapata hongo toka kwa yanga ingeshinda match zote alafu goli za yanga zenye ukakasi ni chache tofauti na Simba match zake zinalazimishwa kushinda we Babu acha upuuzi.
Mchezo wa mpira ni wa wazi,ukicheza vizuri utafunga na pia ukicheza vibaya utafungwa na watu wanaona uwanjani 😮Tuachane na maneno ambayo hayana msingi wowote huyu ahoijiwe na Takukuru athibitishe maneno yake maana maneno haya yakiachiwa yanachafua sana ligi yetu😮
Unajua siku zote msema kweli anaonekana ni tatizo, huyu JEMEDALI yupo vizuri sana hana unafki shida inakuja kuna timu zinataka zisifiwe tuu lkn wakiambiwa ukweli wanatoa matusi, yaani miaka hii kuna watu wamaingia kwenye mpira wanaharibu ligi, mpira umekuwa uadui,wanafanya mambo ya ovyo lkn TFF wanaona lkn wako kimya ila hapa TFF kuna kitu nao wananufaika, yaani tuna jipa sifa ambazo hata robo hatuna viwango hivo, kama mpira ungechezwa kiuharisia timu ishinde kwa uwezo wake amini hizi timu ambazo tunaziona juu hapo zingine zingekuwa hata nafasi ya saba lbda, shida mpira hauchezwi kwa uharisia marefa wanafanya mambo ya ovyo, na maamuzi ya upendeleo wa wazi kila mtu hili ameona kuna mamuzi refa anaamua kuacha ya wazi, au anatoa maamuzi ya uonezi kwa baadhi ya timu hasa hii ipo kwenye timu zetu kubwa SIMBA NA YANGA, AZAM wanacheza mpira uharisia wanashinda kwa uwezo wao,kuna marefa kama KAYOKO, ARAJIGA,RUKIYA, wengine siwajui majina hawa hafai kabisa, LKN kuna wachezaji wanauza mechi ili timu zao zifungwe, kuna swala linapigiwa kelele la udhamini wa timu zaidi ya moja, Hii kudhamini haikatazwi wedhamini lkn wewe mdhamini usiwe unamiliki timu kubwa moja kati ya hizo timu hiyo ndio unayoitegemea ikifanya vizuri hiyo kubwa unapata faida kubwa, hapa sasa hizi timu ndogo unazozidhamini utahitaji zote zifungwe na hii kubwa ili upate faida kubwa uweze kulisha hizi ndogo ambazo hizi ndogo udhamini wake hazizalishi ila mchango wao kuchangia point hii timu kubwa ili biashara ifanyike kwa kubwa ili timu ndogo zipate marisho, kwahiyo kama timu inadhaminiwa kwa milioni 100/ mchango wake ni point 6 tuu na magori kama kutakuwa na uhitaji, ndio maana watu wapiga kelele kuhusu udhamini na huyu jemedari msikilizeni bila ushabiki mtamuekewa vizuri sana,
Haya yote Kwa sababu ya matokeo ya yanga ya mechi 5 kwani hivyo ni match gani yanga imebebwa ? tulipofungwa mbona hamkukumbuka udhamini wa GSM?
Achananao hao tumewazoea maneno Yao tukifungwa wanasema wabovu tukishinda tumenunua wanatakaje sasa @@selemanmcharazo
Wamesema mpk 2030 ,, lazm iwe kwa njia yoyote ile. Udhamini wa tim zaid ya moja nalo ni tatizo kubwa
hapo bado hujasema
Mwamby mo adhamin zilizobk
@@HamzaAlawi-ql3wu sure
@@rawalidrajabu5360 mo hawezi mbinu za hivo. Kazoea kiuhalali. Hizo zinasaidia ligi kuu kupata ushindi wa kupewa lkn club bingwa ndio kazi inapoanza.
Ni kweli haisee ndio maana mech 14penut 12 msimu huu lazima watu washinde
Sawa sawa ndipo tulipofikia, kazi kwenu TAKUKURU
Hata wakati inafika Finally shirikisho ikizitoa team tofauti tofauti kwa kubet kwa mujibu wa Jemedar kichwa nyanya dunduka.wanabet wanajulikana sio yanga na bado
Hata wakati inafika Finally shirikisho ikizitoa team tofauti tofauti kwa kubet kwa mujibu wa Jemedar kichwa nyanya dunduka.wanabet wanajulikana sio yanga na bado.
Kwa nchi tulipofika kwenye mambo mengi ya hovyo .hiki anachokisema Jemedari kichumguzwe vinginevyo tumekwisha
Na Kagera wakachunguzwe si wamefungwa Tano na Simba wale
Chizi pekeyake ndie anaweza kujadili ukichaa wa jemedari
Unadhamini zaidi ya timu moja, uwezekano wa kupanga matokeo ni mkubwa sana, TFF imefeli kwa hili na wanapokuwa kimya juu ya hili ina maana aidha wanalijua au wananufaika nalo.
Mechi 14 penat 12😂
Ata Simba tawi la yanga 😂
Wkt Yanga alpopoteza michezo miwili mfululizo mpka akaamua kuhama uwanja hya mambo hayakuckika, ina maana mlikuwa hamyaoni? Mbna mlikuwa kmya? Achen uchochez wa kijinga usiokuwa na mantiki kwa mustakabali wa ligi yetu.
Shida ya mashabiki wanapenda kuona hizi timu kubwa zinafungwa ila wakishinda wamehonga sasa basi wasingekuwa wanasajili ili wasubiri kuhonga
Kwa akili ya kawaida ule muendelezo tangu match na prison haishangazi matokeo hayo Fountain gate ndo team inayoongoza kufungwa kwenye ligi,ushangae kufungwa 5 na yanga nyie mnaosupport mnafikiri kwa kutumia ubongo au?
Vichaa hao, kama mechi zinauzwa na fedha zinapatikana c kila mtu angekuwa na timu auze mechi aingize mkwanja😂😂😂
Kwahiyo yanga walipewa hela iliwafungwe na wanaobeti wapate hela Acha kupotosha jamiii ww
Hakuna namna ya kuwa na ligi bora ya ushindani kama ligi itakuwa inaongozwa na Simba na yanga kwa sababu ya kubet,,ujinga kabisa
Yanga ikishinda ni BET ila ikipoteza ni Mpira, kufilisika sio Mali TU hata kifikra watu hufilisika. Ama kweli mwanzo ilikuwa udhamini wa GSM,ikafuata Sindano, baadae uchawi sasa ni BETTING. Yanga ikiendelea kushinda yataibuka mengine mapya ila ikipoteza ni Mpira umekua.Wanaichiii tuungane kutetea nchi yetu na ligi yetu, wasaliti Bado wako kazini, tusiwasikilize tuongeze vipigo, hawajasema mpaka waseme.
Mechi Zote zinaoneshwa dhahir mnajitekenya Wenyewe Kimataifa majibu yatatoka Hadi Aibu mchezaji myasajil Kwa bei Kubwa bado myatafutie Ushindi Wa Bureeee AF Mechi Zenu Rahis Simba akamiwe Ili Uto mpande Juu wanunua Mechi this time mlizoea Kutufunga kwa Kuhonga marefa this time hamchomoki Kenge Nyie Mmezoea Vya bure
Swadakta kabisa kaka , vipigo viendelee mpaka koo zao zikauke.
Dawa ni kuendelea kuwabonda tu watapike yote
Tatizo hamelewi au kweli utopolo wanabet?Maana haijatajwa timu,lakini watu wanajishuku Ili kumpata ukweli tff wachunguze timu au wachezaji watakaopatikana wachukuliwe hatua Kali Ili ligi yeti isonge mbele.
Mbona kabla Yanga haijaanza kushinfa ulikuwa hausemi Kuma ww
Haaahaahaa ligi namba 6 ? Mbona tunajidanganya wenyewe? Mpira tz hauna samani ni maigizo tu
kama Yale ya Kagera?
Kwakweli ndio maana Yanga kimataifa huwa haifiki mbali na hawafanyi vizuri hii nikutokana. Ligi ya ndani yanga anajitengenezea mazingira ya kupata matokeo kinyume na uhalali waooo
Wewe umefika wapi
Kama una hakika na ushahidi peleka taarifa PCCB, tuache lawama za uongo, kwahiyo Simba alipofungwa 5 na Yanga wachezaji wake walibeti? Azam je? KMC? Mpira ni sayansi na uwekezaji, sheria za kuzuia wachezaji na viongozi kubeti zipo wazi labda huzijui.
Tunadanganya watu timu ina uwezo wakati ni maroroso tu yanaibeba..ndio maana ubabe wake unaishia nbc...ikitoa tu pua huko nje kina Al Hilal wanakula kichwa.😅😅
Unajisahalisha au mwamuzi anaechunguzwa wa caf sindiyo alichezesha mechi yenu na warabu mpaka mkavunja viti ebu jifunzeni mpira mbona Bado mko mbali sana na mpira wa kisasa unazungumzia timu kufanya vibaya kwenye mashindano mengine mbona real Madrid wanaongoza ligi ya kwao kwenye champion ligi wanapasuliwa narudia tena mashabiki wa Simba na viongozi wenu pamoja na wanachama jifunzeni mpira wa kisasa achaneni siasa za mpira wa kizamani wakati ushabadilika jamani
Hivi wapi goli lilofungwa uliona la betingi
Kazumari utakufa kwa kihoro
Na simba aliuza milioni ngapi
Udhamini.kwa.timu.sita.ndio.unaponza.ligi.yetu.na.hongera.kwa.maneno.yko
Tatizo ushindi wa yanga umejaa ukanjanja sana
True
Ukweli ulio wa wazi kabisa yani hapo inabidii wafanye tafiti vzur
Mnaumia sana
Kipind anafungwa yanga hakuna ukanjanja kweli choko ww
Matahira hawa ...
Ligi haijafa ulikufa wewe kimawazo na huyo uliyempa nafasi kwenye Media Yako Ili aongee ujinga huyo amecheza mpira ila hajui.Hivyo Mbwaduke ni mtu wa Simba wachache 😢wanaomfahamu kwa sababu anajua mpira.
Hivyo we Jemedar huoni hata aibu mi naona unajidhalilisha matokeo ya yanga yanakuumiza sana kiasi ambacho unatamani matokeo mabovu tu we kenge kweli kama hao marefa na hizo team zingekuwa zinapata hongo toka kwa yanga ingeshinda match zote alafu goli za yanga zenye ukakasi ni chache tofauti na Simba match zake zinalazimishwa kushinda we Babu acha upuuzi.
Hii NI KWELI NA INAHARIBU SANA LIGI YETU MPAKA MPIRA UNAKERA KWA KWELI HAPA TAKUKURU WAINGILIE KATI NA HIZI TIMU ZITOLEWE KWENYE BETI MPIRA WETU UTAKUWA ONA YANGA KIMATAIFA ANAVYONYANYASIKA KUMBE BONGO WANABETI
Ata Simba tawi la yanga 😂
Lakini hajataja timu yoyote jina mbona povu
Jemedari 😢😢😢
Wewe umeona kubet TU je vipi ya mdhamini mmoja kudhamini timu Saba ni rahisi kwake kupanga matokeo na dalili zinaonekana
yanga1_Tabora 3
Ndio maana Tabora United ambayo hsifadhiliwi na GSM waliliwa kiboga😂😂😂
Leo sio sindano tena😊
Jemedar mpuuzi kama wa puuuzi wengine Fountain gate kwani inadhaminiwa na GSM?
MNAMULIZA JEMEDARI HATAHAKUWAHI KUWA KOCHA WA VIUGO MPIRA HAKUCHEZA KAMA MPIRA WA MAKARATASI SAWA
Huyo amecheza Ligi kuu Tanzania Bara Timu za Kariakoo Lindi,82 Rangers ya Shinyanga,JKT Ruvu, na Timu ya Taifa
Tutatikia mengi,wamesahau GSM anadhamini timu nyingi,
HUYU JAMAA NI MGONJWA WA AKILII
Haingii akirini mtu adhamini zaidi ya timu 5, huo ni hujumu uchumi, TFF iwe makini nalo,
Kuma la mama ako mama ako ndio kauza mechi
Na simba alipewa million 50 akafungwa goli 5-1
KM NI HIVYO BASI NI UJINGA KABISA SASA TFF KWANINI HIZI BET ZINAWEKWA? TATIZO LA UONGOZI WA NCHI YETU KWA NINI INARUHUSU?
Yawezekana wachezaji wanabeti.
Mechi ya simba na jkt mchezaji aliamua kumwangusha kapombe ambaye alikuwa mbali na mpira na isingekuwa rahisi kwake kuufikia ule mpira.Ni tukio la kufikirisha kwa kweli.
Kwani nyie mnataka yanga isishinde na huyo mwehu ilipokuwa inafanya vibaya Simba wa nashinda kulikuwa shwari mlitaka tatizo liwe endelevu Kwa yanga au?
Haya mechi ya Azam,Tabora hizo zote Msomali alibeti na nilishaliongea ili jambo lakini wenyewe timu yao wakaona kama propaganda
acheni uongo ikishinda yanga ndio iwe ivo au pumba nyingi ukweli yanga na simba zinakua kisoka sio uwo utumbo wenu
Mtasema kila kitu
Duh kamata sukuma ndani wote
Ubora wa yanga yataibuka maneno mengi sana wapo watakao mlaum gsm et timu 7,Kila kitu watasema wapnzani wa yanga kwa kuwa hiyo ndio dalili ya kuishiwa mbinu
Tatizo ni Yanga kushinda ila tukifungwa kimyaaaaaa
Shida YANGA kashinda,kazi sana,mbona alivyokua anafungwa hukusema haya .
Huyu jamaa ni mgonjwa wa akili
Kwahiyo kuna timu sasa hivi jina lake ni BETINA😀😀😀
Kama michezo inanunuliwa, kuna sb yoyote ya kulipa wachezaji bei kubwa Je kwa nini kila siku Inaajili. Wachezaji kwa bei kubwa !😮.
Basi tusishiriki Nje ya Tanzania ( Africa) kwa sb timu zimesajiliwa kwa sb ya Betting hapa hapa Tanzania. Ni ushamba kufikiria timu zina Bett wakati zina vuja jesho Mazoezini. Inajegwa chuki sb tu timu iliyoshinda una Nogwa nayo.
Hiyo ni roho ya mbaya .
Huyu mpuuuzi, MLA panya achukuliwe hatua asibitishe, tena anachuki ya WAzi Kwa mafanikio ya mwenzie, hawahawa walizua sindano,
Ukiona komenti wanatetea kubeti ujue nimashabiki wa yanga
Mi.nishasemaga.muda.mlefu.katika.watu.ambao.siwapendi.wakwanza.ni.huyu.kuma.jemedari.yaani.hajawai.kuizungumzia.mazuri.yanga.hata.siku.moja..huyi.dawa.yake.ni.kumfira.tu
mnaongea upuuzi yanga ikishinda unaongea ujinga ikifungwa mneno hayo hayapo simba ikishinda maneno hayo hakuna nyie vip inamana mpira uwanjani hamuuoni au?
Hata yeye alikula hongo basi kwa simba km ceo wa jkt au alibet 😳👀
Na ww bet tuone matokeo
Wakati yanga anafungwa mambo ya betting hatukuyasikia ,ilivyoanza kushinda tu umeibua mambo ya betting ,una haribu ligi Kwa uzushi wako
Kwenda kweli kwanikaguswa yangahapo ndiokambiwa kabeti nyau nini wewe kwendakimbulu wewe
Bado hamjasema
Tff hebu mfuatilieni huyu bwana kwa kweli atoe ushaidi maana anautia doa mchezo wetu pendwa,,,Sasa hivi kama ni mazoea kuropoka kumbe ndiyo tunajiharibia pa kubwa kwa sababu ya ujinga huu
kazumari kunasiku utaliwa wewe acha kujishaua kila baya unalijua ww kwa yanga unatutia mashaka utiwa ww mtu mmoja wa yanga acha
Aibu naona mm😢😢
Kazi imeaanza kisa ushindibwa Yanga😂😂😂 Tz shida😅
Iv wewe inamaana yanga akifungwa mechi fresh ila wakishinda wamenunua mechi basi kama ni hivyo nenda ukacheze wewe tukuone😅😅😅😅
kwan ni lin hiz team zitashinda kusiwepo na shida yanaibuka mengi kila siku
uchawi
sindano
wananunua mechi
saiv wanabeti dadeki mnafanyag kutrend ila mnaharib sama
Utaumia sana jemedali
Kwa hiyo na kwa Simba walibet mkawafunga BAO 3
Wanazungumzia mechi ya leo mbwa wewe
Hata ninyi jkt mlichua milchukua milioni 20, zile goli mbili mlizofungwa na yanga, wewe wivu utakuuwa kumbe hata juzi mlivyofungwa na simba pia ulixhukua milioni 10, like goli moja, yanga akishinda kanunua mechi, simba akishinda ndiyo harali, jemedari wivu utakuuwa wewe sio mchambuzi ila ni mchang'ombe, wewe in wa hovyo haijawahi mchambuzi wa hovyo kama wewe, naludia tena wivu utakuuwa, utapiga domo lakini hutaambulia kitu, watu washakujua wewe nikizabizabina,
Ww koma kutuweka sisi nyie ndo mchezo wenu wakununua mechi
@@azzanassor3482sasa kama yanga inanunua mechi Simba ndo wauzaji wakuu maana mmekuwa Tano mbili moja
😮😮😮
SASA KANUNI HII KWANINI MSIZIONDOE HIZI TIMU JEMEDARI TUNAOMBA UTUSAIDIE KUONDOA HIKI KITU. WANAHARIBU MPIRA WETU
kama Simba zile Tano walizowafunga Kagera Sugar waliuza mechi kabisa wale kagera
uyu jammaa nadhani kichwa chake Akiko sawa, mbona Simba tukishinda, sisikii maneno ya ovyo, akishinda yanga anatoa maneno ambayo ajui kama nchi ndiyo itaathirika , uyu dishi limeyumba😮😮😮😮
Usijiite Simba Umeskia Ww Uto Machafu Yenu hadharan Mnanunua Mechi Mapumguf Kwny Litimu lenu tunayaona bas vile mnanunuliwa mechi mnapata 5g za bure hamuez ona ngoja kimataifa
@@Shu-w7f mbona nyinyi Simba Mlishenyetwa goal 5 na Yanga, je mlibeti? harafu mbona Yanga inapofungwa hamlalamiki? Stupid
Mbona bado ujasema maninaa 😂 kama imekuuma chomoa
Uyu chizi
Huyo jemedar ni mjinga tu wakati yanga anafungwa mlikuwa mnacheka sasa moto unawaka mnaanza uzushi na bado mlianza gsm mkaja sindano sasa ni beating na we mtangazaji usiwe fala kama huyo jamaa yako au wote ndio wale wale na bado
Mbona nyie mmemuuzia Azam mechi sisi atusemi
Tutaonga sana bado hatujakuonga na wewe kwani ume sahau? Zile Tano za Simba?
Alaf uko kubeti ni wanabet akichez yang 2 2 ama u mzee ona aibu bac mkixhind wal hamsem akixhind 2 yang ndo vimdom vinaanz
Kwanini madai yako usipeleke malalamiko yako sehemu husika?
HAKUNA MTU MPUMBAVU NA MJINGA KAMA HUYU...SIMBA INAMLIPA KUICHAFUA YANGA NA NDIO MAANA ALIVYOMFUNGA GOLI 4 HATUKUMUONA HUYU MPUUZI ANAROPOKWA.
Takukuru wamchue huyo akatoe ushahidi
Huyu mwehu
huyu jamaa mhhhh
Weee msenge sana unapenda kuongea mambo ya hovyoo basi nenda kashtaki popote uwe na usha hidi msenge weee
Wacha matusi , mchecheto wa nini ?
Bado mtaongea meng sana sabab yanga ndo imeanza kazi. GSM mme mpumxisha sasa c ndio.. mnachekesha
Hii nchi ni bogus hakuna haki. Tanzania is a banana county
Tulijua tu Yanga ikishinda magoli mengi maneno mengi yanaanza akina Jemedari saidi punguza mdomo
Nazile sindano vipi? Yanga wasipo choma sindano hawana uwezo wa kuzifunga baadhi yatimu kama fontane gat
Utateseka sana
We jemedari si shoga la timu ya simba tunajua unakatwa
Sasa kataja timu yako? Mbona unajistukia!! Au karusha jiwe gizani?
Ukiona kashtuka wakati hajatajwa basi anajua ukweli na tabia ya ukweli inajulikana...ukweli unaumaaa
Kama wewe ulivyo shoga kwa Utopolo
Na wewe shoga la yanga mbwa wewe
Hawa kuma tuuuuu
We msenge skuakifungwa husemi
Ni mjinga na pumbavu huyu jamaa anakatwa
Na wewe kanunue
Wewe kenge.baada ya yanga kushinda ndy unasema hivyo,mbona hukusema jana,kenge wewe
Unamlazmisha eti akusema jana c hakukuwa na hilo tukio
Lisemwalo lipo kama halipo lazm litajitokeza ni suala la muda..2
Simba nao walikula 5,2 na 1 waliuza mechi Tatululizo?
Amina chama na na yule beki mkongo
Yaa munala mpaka Leo yupo benchi kisa ni hicho
Jemedari ni mchambuzi asiye na Akili siku zote anaisema vibaya Sana Yanga.hata siku moja hutamsikia akiisema Simba Vibaya.anatumiwa na Simba