Kisugu hebu washabiki wa Dar mukae muone ni kwa jinsi gani mashabiki mtapata basi kubwa..vi costar kweli safari ni nyingi ni hatari sn na watu ni wachache..basi liwe kubwa lenye rangi za club.
Pesa za vizi serikalini zao hawawezi kuzichezea hivyo hakuna mwenye pesa zake atayesajil wachezaji bei kubwa na mishahara mikubwa na kuwarahisishia ubingwa isipokuwa za wizi
Kisugu inamaana ukisema hivyo kwahiyo Goli la mama Samia Suluh Hassani unataka kusema anafanya makosa ? Kisugu hebu wacha unafiki hata wewe ukitoa motisha sio mbaya kama pesa unazo, wacha nikuulize inamaana wewe hujuwi kama watu wanabeti mpira au kwa sababu wewe uko Rufiji kutaka kusema hujuwi wacha unafiki wako na kama huna pesa basi kaa kimya na umasikini wako wa fikra
Acha uchizi, hv kwa akili yako unahisi wewe peke yako ndiyo unaangalia mpira?? Jasho na damu ni simba peke yao?? Wakati Yanga ikifungwa fedha hazikuwepo?? Acha domo kaya kamdomo kamdomo kamdomo.

Kuna watu wanaharibu hii ligi kwa kununua mechi ili kuikomoa Simba tu!
sema hakiri ndiyo changamoto mara watu wanahonga mala ligi inaushindani, sa tuelewe lipi
Wanaoisaliti simba Allah atawahukumu
Pesa za vizi serikalini zao hawawezi kuzichezea hivyo hakuna mwenye pesa zake atayesajil wachezaji bei kubwa na mishahara mikubwa na kuwarahisishia ubingwa isipokuwa za wizi
Na.bado..hamjasema..wakati.tunafanya vibaya..yanga.imeshuka..viwango..leo..inakuwa. wananunua..mechi..tutanunua..na..makolo
😢😢
Huyu kisugu kinyugu hajawai kueleweka mara ligi ngumu mara watu wanaonga sasa na nyie si muonge
Ni.kweli.maneno.yako.aliamini.simba.lazima.atafungwa
Kisugu upo sahihi sana unaongea tupewe nini tunajenga timu
Kisugu inamaana ukisema hivyo kwahiyo Goli la mama Samia Suluh Hassani unataka kusema anafanya makosa ? Kisugu hebu wacha unafiki hata wewe ukitoa motisha sio mbaya kama pesa unazo, wacha nikuulize inamaana wewe hujuwi kama watu wanabeti mpira au kwa sababu wewe uko Rufiji kutaka kusema hujuwi wacha unafiki wako na kama huna pesa basi kaa kimya na umasikini wako wa fikra
Kusema ukweli yanga inabebwa huo ndio ukweli
Wachambuzimnahoji chizi
Acha uchizi, hv kwa akili yako unahisi wewe peke yako ndiyo unaangalia mpira?? Jasho na damu ni simba peke yao?? Wakati Yanga ikifungwa fedha hazikuwepo?? Acha domo kaya kamdomo kamdomo kamdomo.
Nawewe siunalipwa kuchafua yanga siyo
Kisugu ni chizi wa akili hajui asemavyo wewe ni choo
😢😢