Unaimba lugha gani? Sisi hatuijui
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 1 พ.ย. 2021
- Tazama Full Episodes mpya za BSS SEASON 12 kwa wakati kwenye ST Swahili kila Jumapili saa 3 usiku, kupitia dikoda ya Startimes au App ya Startimes ON
:Vionjo vipya (BSS EXTRA) ni kila jumatatu, jumatano na Ijumaa saa 2:30 usiku ndani ya StarTimes Swahili Channel
Bongo Star Search
Follow Our Pages
Facebook: / bongostarsearch
Twitter: / bongostarsearch
Instagram: / bongostarsearch
SnapChat: BongoStarSearch
TikTok: bongostarsearch
Channel Administered by Slide Digital
Instagram: / slidedigitaltz - บันเทิง
Salama ameongea point moja nzuri saana
Mumefanya vizuri kumwambia ukweli na kumpa nafasi,master J bigup huko ndio kukuza vipaji.
Majaji mnatumia lugha sio nzuri kumwelekeza mtu mnamfokea vby
Salama hapa umemjajai vizuri kabsa, kabsa kaz iwe chafu upate kitu kizuri
Sema jamaa anajuaaaa🔥🔥
Salama ni mzuri kwa ushauri mzuri asante
Wanavojifanya utafikiri waoo wanajua kumbe utopolo tu
Kweli dadangu ukitafta lzma uwe mchafu, mie mkenya by nko Saudi job'tokk pamoja Kenyans and tz ma guys,,🤜💪
Ahsante madam kwa ushauri mzuri
Hapo master j nimekuelewa
Ommy angekuwa nayeye anajajiwa hata round yakwanza asingepta
Master J😂😂😂
Mi nimesikia tu mekiury🤣🤣🤣🤣
Nampendaga sana salama tangu nikiwa mdogo bora umerudi
She moves like a boss top like a boss;" madam lita mnamkosoa mini jamaa mbona huko mwleleeeeee
Wew mwenyew hujui
Great
Iyo good
👏
Nampenda omi ana zarau❤️❤️❤️❤️❤️😢
Hana majivuno kwa mtu yoyote na wala ustar wake hajisikiii, na dunia Madam Ritta wako vzr tu,.
Hahaa!
Sema acheni kuongea kwa ukali na hasira mnazingua
Watuuu wengiiii mzeee inachoshaa watu zaid ya elf 3 alaf wengine miyeyusho tyu
Kweli kabisa
Ahahaha me mniambie watu wengi hvyo c nasepa
Jaman
Majaj n noma na nusu
Ujaji nikazi sana
Dah
🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂😂😂. FUNGUA MDOMOOOOO
hhhah dah masta y lakn
Mmmh
Wanakua wako kazini🤣🤣🤣🤣
😸😸😸😸🎶🎶🎶🎶
Salama nimependa ushauli wako
jamaa anjua bana
Nyiw jujez hamnamo
Kuna majaji wanafoka ila hawajui kuimba ila ukiwa kazin lazima uchafukwe
Anauwoga
Mh jamani
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣
😂😂
Salama una mtoti
Mbona naona aibu kuangalia jaman
Kuimba kaimba yeye aibu tunaona sie😂😂😂
Yani hata mimi naangalia huku naona aibu balaha
Huu wimbo wa wapili aliyoimba huyu mshikaj unaitwaj jmn
Ibraa ndio mwenye ngoma
Very rude judges
How???????
Majurge wanaokoa mda uwezi kumwambia kila MTU aje kesho waimbaj wametofautiana viwango
Master j wacha ushoga....mpe nafac uyo kijana bwana...shida amtaki nyimbo za kizungu...mashoga nyote
Kweli af mshkaj anajuwa
The Niggah is good ..
Why you being harsh on him.😤
😂😂😂