IRENE UWOYA alia kwa UCHUNGU jukwaani, amlilia FREDY KILUSWA ''pesa sio kila kitu, tusali sana''

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 25 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น •

  • @ALCADOJAMES
    @ALCADOJAMES หลายเดือนก่อน +3

    Irene mungu amemtuma ujumbe kwetu ss anatukumbusha watu wanamdhihaki kwamba kafanya maovu wote tuna maovu tena zaidi ya irene na maisha ni mafupi mm ni kijana wa kiume na nimepokea ujumbe wa irene nipo na ww irene cku zote mungu akubariki sana sana wenye kudharau zarau2

  • @fatmaallyabdul1732
    @fatmaallyabdul1732 หลายเดือนก่อน +3

    Hongera sana Irene kwa kupata neema hiyo ya kumtumikia Mungu,tuombeeni na sisi

  • @stanslausjohn8791
    @stanslausjohn8791 หลายเดือนก่อน +4

    Umeongea ukweli Dada yangu.
    Ole wao wanaokubeza ipo siku watakuelewa.
    Nakupenda sana uwoya ❤

  • @GaKanengula
    @GaKanengula หลายเดือนก่อน +1

    Pole Sana dd, mwenyez mungu ampokee mpendwa wetu apumnzike kwaaman

  • @JoshuaAlpha-p3o
    @JoshuaAlpha-p3o หลายเดือนก่อน +2

    poleni sana guys Mungu yupo kubali kumjua Mungu ona watu wanavyo kufa ovyo njoo katika neno la mungu.naitwa Joshua alpha ni mwimbaji wa nyimbo za injili pia na soma nampenda Mungu sana maana bila Mungu mimi sio chochote.

  • @MaryMwaipopo-x2n
    @MaryMwaipopo-x2n 15 วันที่ผ่านมา

    Mwenyez mungu azid kuwa nae dada

  • @LilianMwasaga
    @LilianMwasaga หลายเดือนก่อน

    Amina mungu ndie kila kitu katika maisha yetu ivyo tusiache kumuomba mungu siku zote

  • @NeemaJaphety-m8z
    @NeemaJaphety-m8z หลายเดือนก่อน

    Mungu ndie kila kitu pesa majumba magari tutayaacha Mungu aipumzishe roho ya marehema hongera sana dada uwoya

  • @stanslausjohn8791
    @stanslausjohn8791 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu akutie nguvu dada yangu ❤

  • @iddjamila7540
    @iddjamila7540 หลายเดือนก่อน +4

    RIP Fredy......

  • @JoyceJohn199
    @JoyceJohn199 หลายเดือนก่อน +2

    Kweli kabisa dada angu 😭🫂

  • @CostanciaEdward
    @CostanciaEdward หลายเดือนก่อน

    Mungu awatie nguvu na awapumzishe kwa amani

  • @napendanicholaus9230
    @napendanicholaus9230 หลายเดือนก่อน +2

    Haijalishi kafanya mangap mungu humpokea anaye amua kurudi kwake mungu azidi kukup nguv san dada❤❤

  • @zaitunbaya8242
    @zaitunbaya8242 หลายเดือนก่อน +1

    Haijalishi ulifanya maovu mangapi ,,alie na thamani mbele ya mungu ni yule anaekoasea na kurudi Kwa mungu kumwangukia kwa yote alokosea ,,tumwachie mungu kazi yake ya kuhukumu

  • @sifamugwaneza8774
    @sifamugwaneza8774 หลายเดือนก่อน

    Poleni sana familia kwa ujumla MUNGU awatie nguvu😢

  • @JoyceJohn199
    @JoyceJohn199 หลายเดือนก่อน

    Poleni sana ❤😢

  • @JumaMnyama-p6e
    @JumaMnyama-p6e หลายเดือนก่อน

    Kweli kabisa dada uwoya

  • @RoseTembo-e2c
    @RoseTembo-e2c หลายเดือนก่อน

    R I p Fred 😭💔

  • @leaherasto929
    @leaherasto929 หลายเดือนก่อน +5

    Irene umeongea kitu kikubwa sana

  • @agwalubifaridah7079
    @agwalubifaridah7079 หลายเดือนก่อน

    Daah... 😭😭😭

  • @rosemofuga8101
    @rosemofuga8101 หลายเดือนก่อน +1

    Umeongea ukweli ksbisa

  • @KhadijaDija-ir2hq
    @KhadijaDija-ir2hq หลายเดือนก่อน +2

    Irene ukiondoka hapo ushasahau hata wewe lakini mungu atuongoze sote kwenye njia ilionyooka tufe tukiwa radhi nae

  • @PromieJosam
    @PromieJosam หลายเดือนก่อน +1

    Irene pole nahongera kwa kuijua neema hii

  • @priscamhandi1676
    @priscamhandi1676 หลายเดือนก่อน

    Kweli kipenz 😢

  • @PerrecyMakukulu
    @PerrecyMakukulu หลายเดือนก่อน

    Naungana naww dada

  • @JanetLukas-d7i
    @JanetLukas-d7i หลายเดือนก่อน

    polen San mung awatie nguvu

  • @AziziMapunda-vt4nv
    @AziziMapunda-vt4nv หลายเดือนก่อน

    Asante wasemakweli ayoyote yanapita

  • @aminatarabana7959
    @aminatarabana7959 หลายเดือนก่อน +1

    Allah anawakumbushe kama wasisahahu kumuhabudu❤ allah atupe mushe mwm

    • @JohnArobogast
      @JohnArobogast หลายเดือนก่อน

      𝙃𝙖𝙠𝙪𝙣𝙖 𝙢𝙪𝙣𝙂𝙪 𝙖𝙣𝙖𝙮𝙚𝙞𝙩𝙬𝙖 𝙖𝙡𝙡𝙖𝙝 𝙝𝙪𝙪 𝙣𝙞 𝙪𝙥𝙖𝙜𝙖𝙣𝙞

    • @Nasrahmsiagi-xxv
      @Nasrahmsiagi-xxv หลายเดือนก่อน

      ​Jina la mungu kwa kiislamu wanataamka Allah! Maana yake Mungu 😂😂😂😂

    • @JohnArobogast
      @JohnArobogast หลายเดือนก่อน

      @Nasrahmsiagi-xxv 𝐚𝐥𝐥𝐚𝐡 𝐧𝐢 𝐦𝐮𝐧𝐠𝐮 𝐰𝐚 𝐤𝐢𝐩𝐚𝐠𝐚𝐧𝐢 𝐧𝐝𝐢𝐨 𝐦𝐚𝐚𝐧𝐚 𝐡𝐚𝐰𝐚𝐛𝐚𝐝𝐢𝐥𝐢𝐤𝐢.

  • @VeriuseMnyakiwele
    @VeriuseMnyakiwele หลายเดือนก่อน +1

    Toka nakufaham ireene uwoya Leo umeongea vitu muhimu sana mwenye masikio amesikia na mwenye macho ameona jina la bwana lihimidiwe

  • @BulaluDldm
    @BulaluDldm หลายเดือนก่อน

    Mungu awatie nguvu

  • @Anamika-w1h
    @Anamika-w1h หลายเดือนก่อน

    Pole sana dada mungu akutie nguvu

  • @sabinatsaxara5529
    @sabinatsaxara5529 หลายเดือนก่อน

    Punzika kwa amani kaka 😭😭😭

  • @happyestomih4300
    @happyestomih4300 หลายเดือนก่อน

    Kweli kunawatu hawajui maana ya msiba ongea tuu maana pengine haujawai kupata msiba poleni sana

  • @MANENOHamadi
    @MANENOHamadi หลายเดือนก่อน

    Polen sana jaman duu

  • @patelokoh5828
    @patelokoh5828 หลายเดือนก่อน

    Kuna urefu wa juuu na WA chin?

  • @ReginaMussa
    @ReginaMussa หลายเดือนก่อน

    Mwaka huu toka umeanza umekuwa ni mwaka wa majonzi tena vifo vya gafla kwa wasanii inauma sana 😭😭😭😭

  • @RhodaKerubo-w8s
    @RhodaKerubo-w8s หลายเดือนก่อน

    😭😭😭😭😭

  • @ericmurithi508
    @ericmurithi508 หลายเดือนก่อน

    RIP FREDDY

  • @rukiyyarukiyya6317
    @rukiyyarukiyya6317 หลายเดือนก่อน +1

    Umeongea

  • @HUpendo
    @HUpendo หลายเดือนก่อน +1

    Badilika kama snulaa dada anguu akuna faidaa ya kuigiz kama pes unayoo tubuu kwa mol wakoo

  • @LindaMbilinyi-n3n
    @LindaMbilinyi-n3n หลายเดือนก่อน +1

    Wasanii kulia mbona kawaida hyo ndo kaz yao cha ajabu nin??😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @malkiarosemuhando3310
      @malkiarosemuhando3310 หลายเดือนก่อน

      Lia na wewe

    • @donvanpierre4369
      @donvanpierre4369 หลายเดือนก่อน +2

      Siku ukifiwa na mtu wako wa karibu ndio utajua uigizaji ukoje ... Hasa kwenye ukweli

  • @bwambaleaugustine8239
    @bwambaleaugustine8239 หลายเดือนก่อน

    Pola

  • @josej9888
    @josej9888 หลายเดือนก่อน +10

    Watanzania bwana wanasahau haraka, hata nyie SNS mmesahau kuwa huyo nimuigizaji🤔Eti amelia kwa uchungu!!

    • @bonywahab9565
      @bonywahab9565 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂

    • @LindaMbilinyi-n3n
      @LindaMbilinyi-n3n หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂move

    • @AngelmackieCharity
      @AngelmackieCharity หลายเดือนก่อน +7

      Sio kila kitu kinaenda hivyo kipenzi changu,

    • @judyngowi391
      @judyngowi391 หลายเดือนก่อน

      Watakuwa wanaigiza kumbe

    • @UpendoListon-n1y
      @UpendoListon-n1y หลายเดือนก่อน +3

      Hapo kalia kiukwel kwakuwa haigizi jaman😢

  • @muzafarsharif9465
    @muzafarsharif9465 หลายเดือนก่อน

    Wasanii misura yao bila make up inatisha sana

  • @MargaretJulius
    @MargaretJulius หลายเดือนก่อน

    Poleni sana 😢